Рет қаралды 532
Kumbukumbu za Zamani: Kuelekea maadhimisho ya miaka miaka sitini tangu kuasisiwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tujikumbushe juhudi za Mwalimu Julius Nyerere katika kuunganisha nchi hizi mbili na utayari wa Sheikh Abeid Karume.