LIL OMMY - WAKUBALI DIAMOND SIO WAKUSHINDANA NAE TENA | KOMASAVA NI GLOBAL HIT

  Рет қаралды 22,316

Wasafi Media

Wasafi Media

Ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 87
@saimonifredi4653
@saimonifredi4653 Ай бұрын
HUYU MWAMBA #LILOMMY MUNGU AMPE MAISHA MAREFU, NI MTU NA NUSU KATIKA KUUCHAMBUA MZIKI WA AFRICA NA DUNIA KWA UJUMLA (AMAZING VOICE).....NAMKUBALI SANA SINCE THEN, ...MUNGU ANIPE AFYA NA UZIMA SIKU MOJA TUONANE..... BROTHER #LILOMMY ❤❤ BLESS
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d Ай бұрын
Kwakweli diamond atengewe cku yake asee nyimbo zichezwe masaa24
@richkaja3317
@richkaja3317 Ай бұрын
Mie nilisema mond jini one love my bro
@King_186
@King_186 Ай бұрын
Diamond is great Artist in East Africa,Africa and now the world
@MagomaPato
@MagomaPato 10 күн бұрын
Diamond Platnumz is a Pure Talent.. lichaa ya uchawi wa Harmonize😂😂😂😂
@FiacreTiger-hn8cz
@FiacreTiger-hn8cz Ай бұрын
Huyu Kaka anaongza muzul san mungu akup maisha malefu❤❤🎉 Simba🎉🎉
@channyanjen9047
@channyanjen9047 Ай бұрын
Njoo mana nakupenda Sana kaka L
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign Ай бұрын
Dépuis Le Congo RDC précisément à Kinshasa 🇨🇩
@issadinabdullahi259
@issadinabdullahi259 Ай бұрын
What about calm down ya rema na essence ya wizkid😂😂
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw Ай бұрын
Tupe na refreshhh kwa be levo kuhusu hili
@MsalabaniReko
@MsalabaniReko Ай бұрын
LL ommy anakitu atafika mbali sana
@andreajadeite7445
@andreajadeite7445 Ай бұрын
Big Up Big Man Tunda Man the Real Gee🔥🔥🔥🔥🔥🎶🔁
@AlexAidan-kq5zn
@AlexAidan-kq5zn Ай бұрын
Nakukubal sana simba na homy mwenyew
@jackstar508
@jackstar508 Ай бұрын
Naomba like zangu leo nimekua wa kwanza jmn 😢
@nabillionairevevo5986
@nabillionairevevo5986 Ай бұрын
Acha ujinga ww
@martinjosephat4694
@martinjosephat4694 Ай бұрын
Hii niheshi. Kwa krisbroo pia. 🎉🎉
@alibinali_
@alibinali_ Ай бұрын
COMO SAVA 🇹🇿 🇫🇷 🇺🇬 🇮🇹 🇰🇪 🇳🇬 🇸🇩 🇶🇦 🇸🇦 🇴🇲 🇧🇮 🇨🇩 🇨🇬 🇺🇸 🌎
@user-rk9ut4nz3z
@user-rk9ut4nz3z Ай бұрын
Mwijaku chizi
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Diamond❤❤ n mmoja tu japo tunateseka sana na mafanikio ya Simba la masimba Dangote❤
@HeriRamadan-qx2hk
@HeriRamadan-qx2hk Ай бұрын
Lil omy🔥🔥🔥🔥🔥👋🔥🔥
@TarikymbaroukAkida
@TarikymbaroukAkida Ай бұрын
🙌💯🇹🇿🔥
@chungabhq6413
@chungabhq6413 3 күн бұрын
Rangi nyeupe wana sifika kwa roho mbaya ila hii mikaaa ya Tanzania imezidi aiseee tena nimejarbu kufuatiliya waona ongea ovyo kuhusu nyimbo ya diamond komasava ni wale watu ambao kiuchumi wapo chini sana njaaa kwao imekuwa kama ukooo
@Obedy-er8ih
@Obedy-er8ih Ай бұрын
Breezy TU kucheza ngoma ya mond inatrend je wakifanya collabo
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Breezy sio mtu wa kawaida
@idatonymassawe
@idatonymassawe Ай бұрын
Hii ni bongo bro
@Assab3167-j3d
@Assab3167-j3d Ай бұрын
Kweli
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 Ай бұрын
@AshurKarama
@AshurKarama 3 күн бұрын
Apewe heshima yake kwa wasanii wenzake anatakiwa Alikiba asiitwe King. Hili jina last uking Halimfai Alikiba
@cheafroby_tz
@cheafroby_tz Ай бұрын
Kabiiiisà..
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 Ай бұрын
Kwanza kuna msanii gan anaweza kushindana na diamond ni roho zinawauma kishenz wanatoa nyimbo sjui disconnect Alf ata mbagara asikiki
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Inawauma sana na Diamond💎 ataendelea kuwakanyaga
@NzabonimpaAboudrkharim-pb6lg
@NzabonimpaAboudrkharim-pb6lg Ай бұрын
Baba lao ni baba lao Simba 🦁🦁🦁🦁🦁 Haujui 🦅🦅🦅 Dangote 🌹🌹♥️♥️🙆🙆🙆🙆
@HeriRamadan-qx2hk
@HeriRamadan-qx2hk Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@maxozone3762
@maxozone3762 Ай бұрын
Mwijaku ni ushoga ndio tatizo
@ramayonline2281
@ramayonline2281 Ай бұрын
Madini🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡✊✊✊✊✊✊✊✊🪐🪐🪐🪐🇹🇿🗺👑🎧
@CamweziKarrashnekov
@CamweziKarrashnekov Ай бұрын
Nachompenda Mond akifanya kitu kinakuwa nembo.hata wskizima mziki ila ukiona dance moja kwa moja utajuwa huyu mond
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Diamond💎 ni kiumbe mwingne ngoja waendelee kujishindanisha 😅😅😅
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 Ай бұрын
Achana na uyo mwijaku kwanza anadaiwa na masud kipanya billion 5 alf anakaa kwenye nyumba ya mkataba
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz Ай бұрын
Unaongea vizuri saaana lkn ujinga upo kwa wajinga
@ShadreckDreck
@ShadreckDreck Ай бұрын
Diamond awamuwezi wantazania acheni chuki Simba Baba yenu
@mrwemaraphael6624
@mrwemaraphael6624 Ай бұрын
Hapo uliposema kuna watu washaona mondi ndo tag wakaamua kuwa kalbu nae na saiv ni wa moto na wanapga exactly ni wala wala kankala,jux na nenga
@user-we7uq1qh7p
@user-we7uq1qh7p Ай бұрын
Acha uchawi ndo nn ss ilo tunataka ngoma acha ushamba
@JimmyMateso
@JimmyMateso Ай бұрын
Kwani miso misondo alipostiwa Kwaku chekesha tu
@ShadreckDreck
@ShadreckDreck Ай бұрын
Fikiri challenge tu ya Chris Brown inazima miziki yote ambayo imetoka hapa karibuni kam sensema yule remix ......
@ChachaMasero-c1g
@ChachaMasero-c1g 14 күн бұрын
Sawa unapenda kuona wasanii wa bongo wanapga hatua je ww n wasanii wangap unawasapot? Kama unasapot wasaf pekee yake broh kaa kmy
@chungabhq6413
@chungabhq6413 3 күн бұрын
Neno moja kumchukia aliye fanikiwa ni kujichosha god kaweka tik wewe nani 😂
@Arrestgptucomedy
@Arrestgptucomedy Ай бұрын
Hizi vitu kawaida bro....yaani mnakua papet ya usa artist
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Mbona wanaijeria wakifanya poa mnashadadia mikundu nyinyi
@NgindoNdingo-nm4in
@NgindoNdingo-nm4in Ай бұрын
Mond
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j Ай бұрын
Chibu
@samsonsimon3138
@samsonsimon3138 Ай бұрын
Kwani chriss brown akicheza nyimbo hiyo inamaanisha kuwa diamond ni msaani mkubwa mbona alirusha miso misondoo wakicheza mbona hamkusema miso misondo ni msanii mkubwa wakti mwgne anatumia nyimbo hizo sababu zimeimbwa kilocal sana
@georgejohny6422
@georgejohny6422 Ай бұрын
Mmmmh😮
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Comasava ina locality gani mbweha ww😮
@pascosalvatory5274
@pascosalvatory5274 Ай бұрын
#Usipo mpamba Boss huli #Ommmmyyyyyy tunajua hilo😂😂
@Khalidniya380
@Khalidniya380 Ай бұрын
Acha upimbi wew we are not talking about boss issues but we are talking about good music Shame on u
@MsalabaniReko
@MsalabaniReko Ай бұрын
Acha umama
@MeshiliTemba
@MeshiliTemba Ай бұрын
Unatombwa
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Wanakukamia wahuni mbwa ww😅
@SadikiOmar-iq6te
@SadikiOmar-iq6te Ай бұрын
Kapostiwa miso misondo wala hatustuki kabsa mbona hamkumpgia promo miso misondo
@saummohamedm435
@saummohamedm435 Ай бұрын
Misomisondo pia sio wakushindana nao tukubali ane na hilo.
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 Ай бұрын
Sawa siyo wakushindana nao lakini bangi na kikohozi syo za kushndana nazo
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Diamond anatutesaaaaaaaa😅😅
@pascosalvatory5274
@pascosalvatory5274 Ай бұрын
Mmemchochea kwenye Mitandao acheze na akacheza acheni kuona mbongo zetu mbovu kaka #Omiiiiiiiiii....😂😂
@Khalidniya380
@Khalidniya380 Ай бұрын
Na nyie nendeni mkamchochee stop that kind of stupidity dude wew ni mwanamme Acha umama
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Wee n mwanamke hata kama una kibamia
@GabrielSky64
@GabrielSky64 Ай бұрын
😂kisa ka post Chris brown. Mbona hata ya Misso misondo alipost na hata hawaringi
@user-rw4qn6zh6n
@user-rw4qn6zh6n Ай бұрын
Ndo kitu wabongo tunaweza😂😂😂😂😂😂😂
@startwithginegine1891
@startwithginegine1891 Ай бұрын
​@@user-rw4qn6zh6n kuna tofauti ya msanii kuifanyia ngoma challenge na kuipost kwenya account yake na kupositiwa inster story. Usi hate bro sio kitu kidg icho
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 Ай бұрын
Kichwa kischo na akili ni mzgo kukibeba kama una D mbili utanielewa
@esthermatisho2604
@esthermatisho2604 Ай бұрын
Misso Misondo huenda hakupenda kuringa,ila Diamond platnumz ❤ kaamua kuringa. How about that??😅
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt Ай бұрын
Sijui kama unamjua komasava inavozungumzwa ndyo inazidi kuuza ndugu yangu sawa 😢😮😅
@user-sj1rf8ij7f
@user-sj1rf8ij7f Ай бұрын
UYO SIMBA AMSHAZEEKA, HANA KIPAJI ANA FORCE VITU KWA KUTUMIA PESA TU. YEYE NI KUNUNUA MAKOLABO TU, SIKUMBUKI MARA YA MWISHO KUIMBA MWENYEWE NI LINI. WENGI WANAOMSIFIA NI MACHAWA TENA WALIOTOKEA MKOANI.
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Ambao hawajazeeka waemefanya nn shoga ww..Collabo unafikiri zinaleta impact gan bila ubunifu na uwekezaji😮😅
@HeSo50
@HeSo50 Ай бұрын
Lily unatetea co upo wasafi huna ishu
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 Ай бұрын
Akili kisoda mbumbumbu
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Unateseka ukiwa wapi😅
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 Ай бұрын
Kweli mabogazi wengi kama huyu mtangazaji wenu chawa
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Mmenyooka mbwa nyinyi
@vyaduoj
@vyaduoj Ай бұрын
Tanzania acheni ushamba Chris brown kucheza wimbo ni kawaida yake coz ni business yake , pia nikitu cha kawaida tu ila Tanzania sababu amna wasani ndomana mnastuka Chris kucheza
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Sawa hatuna wasanii ila tuna muongoza njia diamond 💎 na mziki umewafikia how's that😅
@vyaduoj
@vyaduoj Ай бұрын
@@afterfull-time1348 yo bro don't say that diamond sio msani mkubwa coz bila hizo media's hapo tz diamond atuwezi mfahamu sababu hata akija hapa marekani nimsani wakawaida sana tena sana only Nigerian ndo wakifika huku watu Wana stuka na mziki wao unaenda world 🌎 nzima bila machawa
@lazokmusictopic4855
@lazokmusictopic4855 Ай бұрын
What about, Miso misondo, and is underground? Kwa nini amkupa mauwa yake? Don't be stupid goys, ao ju ni boss wenu 😂😂😂😂
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 Ай бұрын
Hayo maua ya misomisondo mpe wewe inatosha au ukmpa haujulkani hataskika ety, Kchwa bila akili n sawa na punda aliebebeshwa mzgo mzto ambao hauna faida kwake
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw Ай бұрын
Mkumbushe cris awapost tena... Tutawasifia tu kaka yangu usiangaike
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
💎Diamond anawatesaa😅😅
🔴LIVE: JANA NA LEO NDANI YA WASAFI FM- 31JULY,2024
Wasafi Media
Рет қаралды 222
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 6 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 486 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
CHID BENZ HAJAWAI KUONGEA HAYA! Ruge, Sio Marehemu, Bado yupo!
23:02
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 18 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 28 МЛН
Waka Waka 😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 26 МЛН
ToRung short film: i sell watermelon🍉
0:38
ToRung
Рет қаралды 20 МЛН
БАТЯ И ТЁЩА😂#shorts
0:58
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 5 МЛН