Daaah Min Lilian najua umemuelewa vizur sana Goodluck, Mungu akubariki
@revocatusbusia15 сағат бұрын
LILIAN MWASHA YOUR HERO NAKUPENDA SAANA...........wewe n mtumishi kwelikweli without kuangalia upande wowote..... Ubarikiwe saana........Masanja hajawahi tokewa na Jambo la namna hiyo.....huwezi muwazia mwenzio AMBAYO hajawaza
@buharimwanga2845 сағат бұрын
shida sio gari na alipewa na hela jamani alafu good ajaanza kupotea pale jamani good anastress tu yule.
@zakayoghuliku370641 минут бұрын
Masanja hana kitu upande wakiroho
@rachaelmichael16 сағат бұрын
Lilian Mungu aendelee kukuinua viwango vya juu
@fortyyellu997116 сағат бұрын
Kama alipewa gari hadharani.. basi hata kuchoma pia linatakiwa lichomwe hadharani... Msiba kwa mwiba tu
@BeullahBujah-lk3sx19 сағат бұрын
Ubarikiwe Mtumishi Lillian
@lufthansarosemmary16364 сағат бұрын
LILIAN UPO SPIRITUAL....FULL STOP❤❤
@IreneKanje-s8s14 сағат бұрын
Madam Lilian nimekuelewa sana Mungu azidi kukutumia Kwa viwango vya juu zaidi
@JacobSolomon-s9f16 сағат бұрын
Dada Lilian Mungu akubariki sana uko sahihi unacho sema asilimia kubwa watumishi wengi wanazungumza kishabiki na sababu wanatafuta kupendwa na sifa na watumishi wengi pia wapo mwilin so wanatafsuti vitu mwilin My sister Lilian God bless you nami nasimama na Gooduck
@faidhamyovela179Сағат бұрын
masanja takataka tu hajui kit anawaza helq anatamaa sio mtumishin
@shemsewando144416 сағат бұрын
Watangazaji hawa wamezidiana viwango vya kiroho, na liliani yuko juu kiroho kuliko hiyo mibaba.
@PatrickGeraldi-wd1er16 сағат бұрын
Exactly, sister uko sawa.
@Mponzi224 сағат бұрын
Lilian nakukubali kwa sababu unaona vitu wasivyoviona hao akina Masanja na mwenzake nakupenda Lilian❤
@Mponzi224 сағат бұрын
MUNGU akutunze sana dada
@colmanuiso545Сағат бұрын
Masanjaaa ur Bright 💯
@Mamshika18 сағат бұрын
Mi niko pamoja na Goodluck sababu kufikia hatua ya kuchoma gari it means kuna mambo makubwa ya ajabu ameyapitia kuhusu hilo gari
@brunonsungwe838914 сағат бұрын
Natamani mrudi mchambue majibu ya Goodluck. Mungu anamuinua Goodluck kwa viwango vingine kabisa
@buharimwanga2845 сағат бұрын
ngoja tuone bwana mi najua kama alichukuliwa nyota bas hajabadili chochote coz hela bado ajarudisha wala kuchoma
@Thomas-mt1oz4 сағат бұрын
@@brunonsungwe8389 jama mludie Goodluck katoa majibu Tujue mtazamo wenu upo wapi Masanja I hope utakuwa unajifanya kukaa rohon
@MwambireKingi4 сағат бұрын
Mtumishi Lilian is a true woman of God and she understands mambo ya kiroho kuliko hawa wengine wote
@broka_genius361518 сағат бұрын
Ila masanja sio wakuamini 😂 yupo kimkakati afu ishu ya kiroho yupo kimwili
@modestajamada349617 сағат бұрын
@@broka_genius3615 😆😆😆😆😆😆
@everlyneiminza572217 сағат бұрын
Exactly 💯😂😂😂
@FrankAugustino-g2s3 сағат бұрын
Masanja Ana tamaaa sana na miemko ya kidunia
@paulchikira989017 сағат бұрын
Hajafeli Good luck yuko sw fuata Roho mtakatifu anavyosema
@helenarhobi125013 сағат бұрын
Lakini Liliani umeolewa una mume kweli na kama unaye si unamkalia kichwani? Mbona wenzako wanakupa muda ila wewe hutaki kuwasikiliza jamani? Hata kwenye mkutano huwa wanapeana muda sembuse kwenye camera!
@JustinaMambo-jb4uj5 сағат бұрын
Lilian be blessed love from Zambia masanja heeeeeeee ogopa sana
@kelvinmasungakilunguja753917 сағат бұрын
True lilian ubatikiwe mali ni vitu vya kupita ❤
@PendoPeter-rr4jk16 сағат бұрын
Lilian nilikuwa nakupenda lkn nilikuwa sikuelew,lkn huwez amin leo nimekuelewa dada angu MUNGU akubariki
@Anactersia4 сағат бұрын
Sister Lilian wewe ndo umeongea kwel na nimependa ukweli wako,, acha na hao mbuzi bado wanauhitaji wa kwenda kwa hyo babu,, af we masanja sio Kila nyota inaibiwa ila zile zenye nguvu tu hao ambao hawajaibiwa nyota zao elewa nyota zao hazifai kuchukuliwa. Lili tulia hapohapo mama❤❤
@teddymoshamosha948215 сағат бұрын
Liani mwasha nimekuelewa sana wewe ni mtumishi wa mungu
@JoyceJoshua-e3l16 сағат бұрын
Huyu ndo liliani ninayempenda sana
@MSWAKIMSWAKIСағат бұрын
Eti unaumia ww ndio umechoma gari .. 🙌 😂😂😂 .. tunawapnda da lil na masanja ... ❤
@NuruHussein-t4f5 сағат бұрын
Da Lilian nimekuelewa sana, masanja ishi katk roho kila mtumishi wa Mungu ameitwa kwa aina yake Godlack alichokifanya kaongozwa na roho na sisi tunaishi kwa kusikiliza roho ambayo ndo inatupa tafsiri ya maisha , alichokifanya na maelezo yake ameona inafaa kufanya ivyo, mawazo yake yaheshimiwe kama mtu yuko rohoni na si mwilini, Mungu stampa vingine.
@yamungungendu48393 сағат бұрын
Lillian Umetisha sana.Sio tu wewe ni Mwanamke mwenye akili siku zote, bali una Uzima wa Rohoni.Wote wanaompinga Goodluck wana uhusiano na Shetani.
@HaarunSaidAbdillahi14 сағат бұрын
Gozbert sio kichaa.Anayopitia anajuwa yeye Lillian yupo sawa.
@olivechinja886117 сағат бұрын
Hamjambo ! Kwa kweli nasikia jinsi mina ongea lakini huu mudada anaongea vizuri kama huu mutumishi wa Mungu alichoma hii gari alipitia mengi kupitia hii gari na njo kwamana ali choma hii gari
@ruthjemson43864 сағат бұрын
Mungu akubariki dada Lilian nimekuelewa sana mtumishi
@JULIETAVICTORSHITUPA15 сағат бұрын
Nilikua nakukubali sana lasanha lakini Léo nakushangaa. Ubarikiwe mtumishi Lilian.
@StansMushi2 сағат бұрын
Wewe dada MUNGU wa mbinguni akubariki sana kwa kuwa unaelewa mambo ya kiroho vizuri, wengi wanajifanya walokele lkn hawaelewi, wasaidie asante sana.
@heriethgodfreyhegoxa55513 сағат бұрын
NAONA MASANJA ANAENDEKEZA HISIA HAPA BADALA YA KUWA BABA MCHUNGAJI😢😂😂LILIANI I SEE YOUR WOMAN OF GOD❤😂😂
@zepinashatibu51492 сағат бұрын
Huyo tena na simu kampigia msaidizi wa huyu nabii wa 😢
@SamwelPima16 сағат бұрын
Ubalikiwe sana liliani heshima kwako masanja anajipendekeza apewe mwehu kabisa
@suzanejacobo691016 сағат бұрын
Shida yako Masanja, haujasikiliza maelezo ya Goodluck, usifikiri kimwili, bali fikiri kiroho
@resha37344 сағат бұрын
MTUMISHI LILIAN UBARIKIWE
@FrankAugustino-g2s3 сағат бұрын
Jmn mm masanja sijawahi muamini kama mtumishi hila Mungu anisamehee tu 🙏🙏🙏
@LucyJMtituСағат бұрын
Na mimi nimeanza kuamini kama wewe. Kupitia anachoongea hapa. Khaaa.
@Graceyusuphh15 сағат бұрын
Lilian kweli wewe ni mtumishi wa Mungu aliye hai🎉🎉❤❤❤
@colmanuiso545Сағат бұрын
Vijanaa Tutafutee Pesaa , tuachanee khaya mamb ya kirohoo walete Hzo Nyokaa Tuishii Nazoo kama Midorii
@BahatiJean-e5f16 сағат бұрын
Mungu akubariki dada unamungu muzima kwakweli
@McBarakaTV-715 сағат бұрын
Mdada yuko right kabisa na Goodluck yuko sahihi kabisa...
@mercyrushaka20844 сағат бұрын
Thank you Lilian, unajua mambobya rohoni,
@victorcephas361815 сағат бұрын
Well said sister Mwasha mambo ya rohoni ni personal issues between a person with God. Nimesikiliza interview ya Goodluck alichofanya ni maelekezo ya Roho Mtakatifu na kimsingi maelekezo ya Mungu hayapingwi Wala kujadiliwa.
@NeemaPatrick-f8y12 сағат бұрын
Kwel masanja huna akili embu jiskilize unaongea upuuz mambo ya roho hayaendan na ya mwili hat kidog Acheni kutaft Kiki ili mpew misaada , dada lili uciangaike na watu wa mwilini utachoka bure
@GraceLuvanda-g5r16 сағат бұрын
Nimekupenda Lilian wifi yangu katika hili.umeliangalia kwa macho ya rohoni sana.
@relaxationmusicandnature712116 сағат бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi liliani upo sawa
@EdisonMdeke15 сағат бұрын
dada umenena kweliiiii mungu akulinde
@matimfuko6416 сағат бұрын
Nyie watu Goodluck ameongozwa na Roho mtakatifu sana
@AaAa-ue5di4 сағат бұрын
Asante sana dada kweli 👏👏👏👏
@suzanejacobo691016 сағат бұрын
Kumbe Masanja haelewi mambo ya Kiroho
@IsaacBenesia14 сағат бұрын
Haelewi kabisaa,Hawa wanaume hawaelewi mambo y kiroho
@faza40236 сағат бұрын
Anajifanya haelewi
@roseallan601630 минут бұрын
@@suzanejacobo6910 shida sio mchungaji ndio maana
@DevothaMbogela-s8p6 сағат бұрын
Ubalikiwe dada Lili wewe ni jasusi wa mbinguni mungu anakutumia
@PendoNyagwasa3 сағат бұрын
Mwanzoni kabla ya kumsikiliza good luck nilikua sijaelewa ila baada ya kuelewa sasa nimeelewa nini alikua anapitia Mungu atusimamie kwa kweli!
@MariamMwikongi-go2dj2 сағат бұрын
Hongera mtumishi, kwaufafanuzi mzri, Dada Lilian.
@broka_genius361518 сағат бұрын
Mnataarifa masanja leo kampigia nabiii kumtia moyo 😂 yn masanja yupo kimkakati
@nataemsuya16 сағат бұрын
@@broka_genius3615 Yao, chezea pesa wewe
@Graceyusuphh15 сағат бұрын
Nimechoka qaqel😢😢😢
@HappySumia16 сағат бұрын
Dada Lilian wewe ndo uko rohoni,na hakuna anaemjua Mungu sisi wote kila siku tunajifunza
@ernestezekiel717317 сағат бұрын
Madam uko vizuri
@wasemavyotv773618 сағат бұрын
Paster Masanja liliank yupo sawa let me give u guys one example vipi Kama mtu alienda kwa mganga zen akapewa vitu VYA kichawi umeelewa vitu VYA kichawi? Zen Mungu anakupa maelekezo kuhushu vitu VYA shetani je utasema unaviombea tu na unaendea kuwa navyo? Mwambie Masanja ajifunze kuhusu mke wa Yakobo vitu alivyokuwa navyo.mwambie Masanja aka some hiyo habar ........ya mke wa Yakobo
@pena_tz17 сағат бұрын
goodluck ni utoto tuu. angejua hao wanaoandaa matamasha mambo yao ya behind the scene, na yeye anapanda on stage. wengine walitajwa mpaka kwenye mautapeli ya viwanja mwaka jana.mimi nafikiri ni drama za kufungulia kanisa au anakaribia kupewa pindi la jumapili kwenye media moja wapo sasa wanamtesti kama ana upepo wa kukamata trending na amefaulu kwa hilo.
@RhodaLema-z8w5 сағат бұрын
Naona hiki ni kipindi cha mashuhuda waongo kuabishwa na kufedheheshwa maana Baba wa mbinguni muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyopo anaona Lusfa ameteka duniani mwacheni huyu God lucky yeye anajua yanayomkuta
@doreenlema33886 сағат бұрын
Masanja nilikua nakuheshimu sana ila Leo you have proven to have spiritual immaturity..sikutegemea🙄
@relaxationmusicandnature712116 сағат бұрын
ROHO Mtakatifu ndiye anaye toa maelekezo binafsi kwa mtu kwahiyo goodluck amsikilize Roho mtakatifu na sio watu
@PlickaChacha16 сағат бұрын
Masanja hayupo rohoni liliani yupo rohoni mambo ni moto giza ni nuru
@IsaacBenesia14 сағат бұрын
Huyu masanja siyo mwabudu mungu .huyu Bure kabisaa 😂😂
@evelyneurassa599622 минут бұрын
Lilian ua so blessed nakupenda sanaaaa
@delilahramadhani604918 сағат бұрын
Hii mada ingezungumzwa miaka 3 nyuma ningekuwa upande wa Lilian, ila kwa sasa nipo upande wa masanja, Bwanaa tujaze maarifa. Asante mt bashando kwa neno la tusijinajisi.
@mussamaganga276415 сағат бұрын
@@delilahramadhani6049hayo nimambo ya rohoni mungu ndio hakimu kwani baibo inasemaji naomba tusimuhukumu yeyote maana hata nyinyi niwatu kama wao mbona hata nyinyi hatuwaamini
@Sarah-g9v4w3 сағат бұрын
@@delilahramadhani6049 Same here, niko na Masanja
@florabuzoya3948Сағат бұрын
Good Lilian,Mungu anakutumia Sana Sanaa
@japhetdaudmaneno844015 сағат бұрын
Masanja yeye ni,"Comedian's shepherd,lazima a support,huyo mgawa zawadi,hayo mambo ya rohoni ni ya wachache,si wote wanayaweza🔥🔥🔥🏹📖
@youngMaster66610 сағат бұрын
@@japhetdaudmaneno8440 hauna akilii
@wanejohnmsukwa659017 сағат бұрын
1 Kor 6:12-14Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote. Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili. Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa uweza wake.
@faithlucas172315 сағат бұрын
Lilian huwa nakupenda sana ,nakuelewa
@calvintarimo363222 минут бұрын
Dah lilian dada fungua kanisa mm ntakua muumini wako wa kwanza....kama tunamkubali lilian gonga like 👍
@salomenashon586416 сағат бұрын
Asante Lilian umeongea vyema ubarikiwe sana
@essahsaimonmwalwega6097Сағат бұрын
Kumbe Masanja bado sana.
@brunonsungwe838914 сағат бұрын
Thank you God for our Lilian
@TrustJoshua-o3f54 минут бұрын
Lilian anatumia logic kwenye mambo ya roho wew umeokoka muombe mungu shetan aondoke kwamba shetan amemzid mungu wa goodluck nguvu masanja Yuko sahihi
@jacksonmagola18245 сағат бұрын
Masanja sijui kama unaufahamu ulimwengu wa rohoni..
@cephasalphaxard30431 минут бұрын
Min Lilian you are blessed To the one reading this, let's be wise in the application of scripture. Finding a verse that supports your agenda does not guarantee your right standing with God
@GraceLuvanda-g5r16 сағат бұрын
Bashando hajui kuwa ukikosea katika mambo ya rohoni unaweza kurogeka vizuri hata kama una Yesu....ulinzi wa Mungu unategemea ni jinsi gani upo na Mungu.
@silaskonga55756 сағат бұрын
Mtumishi Lilian naona uko sawa sana katika hili.
@Atu-o6h3 сағат бұрын
Uko sahihi kabisa dada aliyopitia hatuyajui ila kumtegemea Mungu kuna faida kubwa
@veronicamnico47733 сағат бұрын
Liliani ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU nakupenda sana 🎉🎉
@jamillahkheir65369 сағат бұрын
Kuchoma gari bure bure sio kitu rahisi kbisa kuna ktu kikubwa sana goodluck alikuwa anapitia
@PromiseJosamСағат бұрын
Nimwkuelewa sana lilian❤❤
@zenachristopher559615 сағат бұрын
Masanja hujitambui katika mambo yakiroho....😅
@PericyKiko14 сағат бұрын
Ulinzi wa Mungu uwe pamoja na wewe mjakazi wa Bwana sisy Lilian
@heriethgodfreyhegoxa55513 сағат бұрын
MASANJA WATU WAZAMANI KWENYE BIBLE WALIKUWA WANAISHI MIAKA MINGAPI!??! MASANJA MBONA MASANJA ANAONGEA KAMA SHABIKI😂😂😂😂😂
@RhodaKibona-w9j6 минут бұрын
Uko sahihi dada,ukosahihi kabisa Mungu wa mbinguni akubariki sana,
@ChristinaMsongole-v7i2 сағат бұрын
Lilian ni mtumishi kwerkwer uko vizur mamaang yesu akubarki sana kwa utumishi wako
@lazaroonyango15683 сағат бұрын
Safiiiii hongera dada mamba ya rohoni ni ya mtu binafsi mtu akihoji point yako hana akili nzuri ubarikiwe mtumishi.
@scholamodestus93864 сағат бұрын
Kwani mashanja umesikiliza interview ya goodluck?
@suzanejacobo691016 сағат бұрын
Lilian ww ndo una Roho mtakatifu, sio roho mtakavitu
@AsifiweJoseph3 сағат бұрын
Mungu yupo kazini na anajibu kwa wakati aupendao sasa niwakati wa mungu umefika lilian uko sahihi kuna kuanguka na kuinuka sasa ni muda wa kuinuka kiroho umefika
@edigarsanga554916 сағат бұрын
Masanja unaweka utani zaidi kuliko kuongea mambo kwa uhalisia na utendaji kiroho, na majadiliano yako yamebezi sana kupingana na watu wa mitandaoni. Asante madame Lilian Mwasha
@starlily0716 сағат бұрын
Huyu masanja mpuuzi sana, anakera sana
@angela-kd2iz3 сағат бұрын
We Lilian ulivyokujaga ngurumo ulisema Nabii mkuu Dr GeorDavie alikutamkia kuwa anakuona kwenye tv na Leo kweli upo kwenye tv Leo unataka kusema kuwa eti Goodluck kaibiwa nyota ....... Kenge wa mabakabaka Kwa nyota ipi mfyuuuuuuu
@daudidaniella251415 сағат бұрын
Lilian ongea kirohon please. Tupe maandiko
@TinaGodfrey-pb9op6 сағат бұрын
Nimependa Sana madam umejieleza vizuri ❤
@selinamrikaria61435 сағат бұрын
Masanja ni wale wale! Ndio mana ukaposti salamu za kumtia moyo godavi. Mnajuana kwa vilemba.
@AntoniWerema3 сағат бұрын
Lillian ana upeo kuliko hayo mapimbi kama limasanja 😅😅😅😅😅
@richardtom384 сағат бұрын
Masanja na huyo mwenye suti hawajielewi
@SarahMwakalebela16 сағат бұрын
Nakuelewa sana Lilian
@PreciousGabriel-g3v5 сағат бұрын
Ndo hayo sio Roho wa Mungu kabs ni mchanga ni msanii km diamond tu
@HappySumia16 сағат бұрын
Mambo ya Rohoni hutambulika kwa jinsi ya rohoni
@ljk40065 сағат бұрын
Dah aise nmesikitika kuona mawazo ya Masanja maana Sasa huo n ubabaishaji wa neno Jmn like how do you get the courage to question God et? Me nachojua Mungu akisema jambo linabidi lifatwe either umeelewa au hujaelewa anamaana gan coz God's always right,,na ndio maana Abraham alipoambiwa amtoe mwanae Isack,, he never questioned Na Kwa Goodluck n hivo hvo,,kama saut ya Bwana ilimwambia aachane na hyo gar Wala asiigawe cause Mungu ajapendezwa nayo ,yeye n nan had akatae,,,mbona zawadi nyngne zinachomwa,, Atuangalii thaman ya kitu,,,hata kama huo ungekua mgodi ulojaa dhahabu,,Mungu akiamuru kitu ni sharit, Na wa kusikilizwa pekee n yeye,sema bas tu binadamu wengne tunakua na midomo sana ya kujifanya tunaelewa sana mambo ya rohon zaid ya Mungu Haya bas mtuambie Kwa nn Mungu akumuua shetan na badala yake alitupwa huku chini audanganye ulimwengu Au Kwa Nn Mungu akumuzuia shetan Wala hakumuonya Ayubu Hila aliruhusu mabaya yamkute!! Mungu yuko na Siri Kubwa jmn maana hata shetan mwenyewe anaripoti Kwa Mungu kupeleka mashtaka Tuelewe kwamba kila kitu Kina majira na wakat wake na ule ulikuwa wakat wake Sasa umeisha ufunuo umepatikana life goes on, Mambo mengne Mungu anayaruhusu ili tujifunze na utukufu ubaki kwake
@AnnaJayden-k4m2 сағат бұрын
Ubarikiwe
@EnthusiasticFencers-rg2td14 сағат бұрын
Lilian Mungu akulinde na akupe hekima zaidi
@tundaisabelle32189 сағат бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu Masanja from Canada 🇨🇦