JOE DAVIE ALINYONYA NYOTA YA GOODLUCK GOZBERT SASA HIVI HASIKIKI TENA KAFA KABISA/ PASCAL CASSIAN

  Рет қаралды 25,362

Gospel Supporters

Gospel Supporters

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 ай бұрын
Nakuelewa sn Mtumishi Pascal❤
@DorcusJustine
@DorcusJustine 2 ай бұрын
Nakukubar sana mtumishi kwa sababu unaisema kweli
@deodatusmugalulamugalula
@deodatusmugalulamugalula 16 күн бұрын
Ni kweli kabisa Nigeria nasikia kunamichezo kama hiyo sana
@sharletowiti7365
@sharletowiti7365 Ай бұрын
Napenda huyu anaenda straight to the point
@mkabesamaashao6805
@mkabesamaashao6805 Ай бұрын
Badala ya kuhubiri neno unahubiri wivu ulio ndani yako. Mmemdanganya Goodluck dhambi yako haisameheki mbona wewe hukupewa ,
@MariamJonasi-m2m
@MariamJonasi-m2m Ай бұрын
Ila jamani ni kweli tangu goodlack ametoka kwa nabii mkuu hajasikika tena
@NoelChambo
@NoelChambo 2 ай бұрын
Geor devie ni Agent mkubwa sana wa Lucifer
@Emmanuel-b4g1n
@Emmanuel-b4g1n Ай бұрын
Exactly 💯
@RoseImani
@RoseImani 2 ай бұрын
Pasta tanakupada sana mungu wambinguni apemwisho muzuri
@RoseImani
@RoseImani 2 ай бұрын
Nikika🇨🇩
@alakomba6830
@alakomba6830 2 ай бұрын
Hawa watumishi wa siku hizi bhana. Hakuna tofauti na wale wavaa vijora wanaosutana
@theemperor8229
@theemperor8229 2 ай бұрын
Badala wahubiri injili wamekalia maneno
@adieljoshua640
@adieljoshua640 2 ай бұрын
ww vp anasutana au anaongea ukweli?
@ChristinaSanga-pl5jm
@ChristinaSanga-pl5jm 2 ай бұрын
Kasiani ameongea ukweli
@bartinkahenga1196
@bartinkahenga1196 2 ай бұрын
​@@theemperor8229 hii ndio injili yrnyewe sasa
@bartinkahenga1196
@bartinkahenga1196 2 ай бұрын
Tulia wewe
@abednego3876
@abednego3876 2 ай бұрын
Waaaambie wasenge hao
@agliventures
@agliventures Ай бұрын
Acha matusi wewe,unatenda dhambi.
@ImanNjogolo
@ImanNjogolo 2 ай бұрын
Msiwe mnaenda haraka jamani.binadamu akili hatufanani.pengine amebarikiwa
@jastinmkoba
@jastinmkoba 2 ай бұрын
Jo,dev ni shetani mwenyewe kabisa........
@photidasfrancis
@photidasfrancis 2 ай бұрын
Nionyeshe ushetan wake.hustahili kumwita NABII MKUU shetan unakosea.
@marthaayuma7065
@marthaayuma7065 Ай бұрын
Kweli kabisa.niliona akipewa gari.since that day sijawai msikia tena.
@selegioelias9076
@selegioelias9076 2 ай бұрын
Ukweli mtupu
@GeorgeIgnatio
@GeorgeIgnatio 4 ай бұрын
Mungu awape mach o ya rohoni
@annettemalechela7543
@annettemalechela7543 2 ай бұрын
Shetani kwanza anaangalia kama kuna upenyo yaani. 1.Tamara ya mali 2.Roho ya kuhaha kile na kile unataka, ndio anaunganisha hivyo nilivyovitaja hapo juu na madhabahu yoyote husika na kama hujaomba kwa dhati utapokea hizo zawadi na you ndio mwisho wako. Na ndio maana Shetani alipomwonyesha Bwana milki yote Yesu alimwambia usimjaribu Bwana Mungu wako Tamara ya mali
@JanetteJanette-g5l
@JanetteJanette-g5l 2 ай бұрын
Mnakosa kuhubiri watu waokoke mnakaa kujadili mtakatifu azidi kutakaswa namchafu azidi kuchafuka
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 ай бұрын
Waimbaji wengi wamenyonywa nyota zao ma'ana elimu hawaitaki Wana nia ya kuimba ndio ma'ana miwigi mihereni milasta saizi misuluali na Mungu atahukumu mia zao wakisoma kapande la kutungia wimbo wanalizika waimbaji badirikeni shauri la Mungu ndilo litakalo simama someni maandiko hubiliweni mfano biblia inasema nywele ndefu ni fahari haijasema wigi.lefu fuga nywele zifike miguuni hii upuuzi wa mawigi Mungu hapendi waimbaji wengi Wana milango ya kuchukuliwa nyota zao waimbaji Tanzania mtakasike nawambia
@zakayomoleli
@zakayomoleli 2 ай бұрын
Kama hujui mtumishi na ukweli alionae nyamaza casino yupo sahihii jodev kwenda kwake ni mlango wa kuzimu
@elizabethkivuruga5351
@elizabethkivuruga5351 Ай бұрын
Nilitamani Sana nimuone huyo nimuonye kijana na Christina shusho wasikubali mtego huo ni hatari kwao.
@enockmlyuka6475
@enockmlyuka6475 2 ай бұрын
A weak person deals with people and not issues! Preach the gospel and not the people!
@abednego3876
@abednego3876 2 ай бұрын
Unabakwa acha wa2 wasemwe ukweli
@ChambaliChambo
@ChambaliChambo Ай бұрын
Seems baba 2pone!
@AzorinChizoza
@AzorinChizoza Ай бұрын
Nakubari sabab kweny ukwer huwa huogopi kusema yote nia nzr watoke seem isio sahih na waje seem iliy sahh mtumish mwnjrixt niko na wewe
@LongututiTajiri
@LongututiTajiri Ай бұрын
Aliye nyonywa ni mtu mwingine ww unakuuma Nini unatumia muda mwiiingi kuzungumzia mwenye amekizidi kila kitu hii time ungetumia kuwafundisha waumini wako namna ya kutoka kwenye umasikini 😅😅😅
@kaayaester9739
@kaayaester9739 2 ай бұрын
Huyo Ana wivu sana
@AishaswalehAishaswaleh
@AishaswalehAishaswaleh 2 ай бұрын
Siwivu .anasema ukweli amiin mungu usiamini binadamu
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 ай бұрын
kwAnza watumishi wengi wanazimishwa huduma zao kwA kupewa vitu yeye Mungu anatakiwa utafute upate kadri itakavyokuwa unaendelea kumtafuta Mungu anaendelea kujitubia kwako sasa ukipewa ndoto zako zinazimwa watu biblia hawasomi imeandikwa injili ni jukumu.tulilokabidhiwa lakini kila mtumishi anataka alipwe tuangalie nia zetu tunania nn unahubiri wanakulipa mafreemason tayari unanaswa na hela zao unaanza huduma ya mazoea ko wewe kukusanya hela nakuhubiri mwisho wa siku utadhalilika na Yesu atasema sikujui
@AfricanizationProgramme-hq4gt
@AfricanizationProgramme-hq4gt Ай бұрын
Kinachosemwa ni ukweli mtupu maana sio goodluck peke yake hata shusho pia tumeona anayekataa aseme sasa
@MusokeDios
@MusokeDios 2 ай бұрын
Acha ainyonye,si alikwenda mwenyewe,
@LadislausyStanislausy
@LadislausyStanislausy 2 ай бұрын
Acha azinyonye
@HappyAirplane-yg1qg
@HappyAirplane-yg1qg Ай бұрын
Embu funga domo wewe umekosa cha kuhubir unatafut kik kupitia nabii mkuu. Mungu akusamehe ujui ukiongeacho kwendra
@WiliamElibariki
@WiliamElibariki Ай бұрын
VIP umelewaa au unatafta chakula Chakula hivi umeishia darasa langapi?maana mmmmh unaongea porojo mnoo
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 2 ай бұрын
Bila sababu yyt mtu akupe gari
@MarthaChuwa-o6b
@MarthaChuwa-o6b 2 ай бұрын
Ni kama kweli hivi jamani
@Joppa555
@Joppa555 2 ай бұрын
😮😮😮ebana hii kama kweli..mwanetu tangu akabiziwe chuma ndo basi tena
@kaayaester9739
@kaayaester9739 2 ай бұрын
Pascal acha uongo unachukia Manabii ulipigwa nawe mkutano wako Wala ukupata watu Unawahukumi Watu wa Mungu ulimtukana Nabii ukamsema amelaaniwa wewe ndo una laana sura Kama mwizi mwache Nabii Awabariki Watumchonganishi wewe utabeba Tena magongo
@Franklajifanuel
@Franklajifanuel 2 ай бұрын
𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒌𝒖𝒍𝒆𝒋𝒆𝒔𝒉𝒆𝒆 𝒇𝒂𝒉𝒂𝒎𝒖 𝒏𝒂 𝒉𝒆𝒌𝒊𝒎𝒂 𝒚𝒂 𝒍𝒐𝒉𝒐𝒏𝒊.𝒖𝒑𝒂𝒕𝒆 𝒌𝒖𝒐𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒋𝒊𝒍𝒂 𝒕𝒖𝒍𝒊𝒚𝒐 𝒏𝒂𝒚𝒐 𝒌𝒘𝒂 𝒔𝒂𝒔𝒂 𝒎𝒐𝒚𝒐 𝒘𝒂𝒌𝒐 𝒖𝒔𝒊𝒆𝒏𝒅𝒆 𝒎𝒃𝒊𝒐 𝒌𝒖𝒇𝒊𝒌𝒊𝒓𝒊𝒂 𝒊𝒏𝒋𝒊𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒐𝒏𝒚𝒐 𝒏𝒊 𝒌𝒖𝒉𝒖𝒌𝒖𝒎𝒖 𝑴𝑨𝑻𝑯𝑨𝒀𝑶 24:9
@javanmathias5578
@javanmathias5578 2 ай бұрын
Upo sahihi
@photidasfrancis
@photidasfrancis 2 ай бұрын
Tumechoka na mafundisho yenu ya ovyo
@Yana_queen1
@Yana_queen1 2 ай бұрын
Ndo wakome wanapenda vya bure sn😅
@judyngowi391
@judyngowi391 2 ай бұрын
Nendeni mkapakwe mafuta
@dailantz4073
@dailantz4073 2 ай бұрын
Una tafuta kiki wewe nina una hukumu watu wewe una ushilika na mungu kwaiyo na walio.potea ote walienda kwa nabiii mkuu hau umekosa chakusema bado uja sema tujibu na boni mwetege na yeye alienda kwa nabii hau 😂😂😂😂😂
@AishaswalehAishaswaleh
@AishaswalehAishaswaleh 2 ай бұрын
Hamtaki kukubali mushazoea kudanganywa Kaa chini jiulize mbona apewe yy cheo usipewe ww hayo mambo ya shertan kutumikia watu muabudu mungu utaishi kwa aman
@AsheryShadrack
@AsheryShadrack Ай бұрын
Kiki wapi utakufa bado hujapoķea kwelii sematumish
@DereckErwin
@DereckErwin Ай бұрын
Pima sana maneno kabla ya kuongea mbele za watu.kumbE .hata wewe unajua ni nabii.mkuu acha.wivu
@theemperor8229
@theemperor8229 2 ай бұрын
Mhubiri Yesu hakuna muda wa kuhubiri watu. Hubiri injili, Upendo wa MUNGU, neema ya KRISTO YESU Aliye BWANA na zawadi ya ROHO MTAKATIFU. Kujua ubaya wa mtu kunasaidia nini? Wema wa MUNGU ni mkuu mno na mpana mno kuliko yote tunayoweza kuhubiri
@dennissiriwa2233
@dennissiriwa2233 2 ай бұрын
Enzi za Yesu alihubiri kila mara tuepukane na chachu ya mafarisayo na masadukayo iitwayo unafiki, kwahiyo alipoteza muda Yesu kuhubiri habari za watu wengine na kuacha hbr za injili ewe usiye na ufahamu??
@osanamgallah4297
@osanamgallah4297 2 ай бұрын
Lazima uelewe nn maana ya INJILI acha kukariri ..Funguka AKILI Yako ewe uliye mjinga
@theemperor8229
@theemperor8229 2 ай бұрын
@@dennissiriwa2233 ilikuwa ni injili ile, kwani sasa hivi wanahubiri nini?
@theemperor8229
@theemperor8229 2 ай бұрын
@@osanamgallah4297 ujinga wangu ni zaidi ya akili yako yote katika ubora wake. Injili ni ya Yesu Kristo
@theemperor8229
@theemperor8229 2 ай бұрын
@@osanamgallah4297 injili ni ya Yesu Kristo, kwa hiyo Ulitaka ajihubiri? Alitupa sisi kazi ya kumhubiri yeye
@ericosambi2736
@ericosambi2736 2 ай бұрын
Usilo lijuaa ni usikuwa gizaa
CASSIAN AMUONYA NABII  IPM  NAMKEWE WANAVYO UWA NAKUTOA KAFARA EV PASCHAL CASSIAN
1:27:51
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 18 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Goodluck Gozbert - Usinipite (Official Video) SMS SKIZA 6983633 TO 811
6:05
Gozbert Ministries
Рет қаралды 347 М.
DR IPYANA : WATU WANAHANGAIKA KUTENGENEZA WINGU WEWE UNAFANYA UCHAFU MADHABAHUNI.?
11:18
MASHARTI YA FREEMASON KWA MARTHA KUMBE HAWA NI WAPENZI SIO MTU NA MAMA YAKE?
18:43
Salama Na Goodluck Ep 31 | WASTAHILI SIFA Part 1
31:43
YahStoneTown
Рет қаралды 92 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 499 М.