Ommy io inaweza kua ndo intervew bora ya mwaka na pia inaweza kua bora kuliko zote ulizofanya na waschana wenye rika la lulu. Sio kichwa maji alimradi kujibu au sio jibu zuri tu kisa limezoeleka lakin ni majibu yanayoonesha mtu mwenye upeo au muamko mkubwa sana. Big respect. Na aweke tu COSECTION🤣🤣 yake kama steve nyerere mzee pull neck
@bulaloalindamtobesyaofficial6 жыл бұрын
Hongera sana lulu, very intelligent, yaani nimefurahi sana uwezo wako wa kujibu maswali hasa ya kimitego na kimaendeleo, Mungu akujalie naamini siku utafanya mambo makubwa sana. Big up sana.
@dkensmopainvevo36836 жыл бұрын
She is very smart Such a talkative gal 👏👏💪
@Yesuniwokovu6 жыл бұрын
Safi sana Lulu uko vizuri ni kweli mpendwa hayo unayozungumza yani ujumbe umefika wanatakiwa wajue maisha ya kuishi ili waweze kuishi mahali popote
@annastaziaprudence73336 жыл бұрын
I really love her because she is always Elizabeth I used to know. Unajielewa always 🥰😍
@floraabiero88765 жыл бұрын
Safi sana Lulu .mungu azidi kukupigania katika shughuli zako za kila siku..
@frolahmathew86346 жыл бұрын
Nakupenda sana Lulu I like your life stile
@mzurindege78906 жыл бұрын
Nothing to say🙌🙌🙌🙌🙌 Your grown lulu Go girl😘😘😘😘
@marlyne25426 жыл бұрын
I so love her...smart upstairs 👊
@nancykayomvi2916 жыл бұрын
Lulu yuwajua kujieleza sana. Nice interview.
@ashuramamaashuraaachekuvaa77986 жыл бұрын
Lulu anakiili sana mjomba magu naomba lulu awe mkuu wa mkoa sumba wanga kama joketi kisalawe
@mariapialakanje34463 жыл бұрын
Jamani lulu nishampenda zaidi ata ya Nandy ,dah ana hekima ,busara na akiki ndefu ,anajielewa sana nmpenda anavyojibu kwa akili majibu yake safi sana Dada lulu hlfu tunalingana nafirahi sana 🥰🥰❤️💓
@daisybankika91116 жыл бұрын
Lovely interview with lulu
@winnynjau33046 жыл бұрын
lulu jaman nakupenda mpenz
@ackimkasanga70972 жыл бұрын
Fantastic and powerful girl big up
@hopedaniel73606 жыл бұрын
ntaachaje kuendelea kumpenda eliza daah my all time role model
@michaellagwen81982 жыл бұрын
Mtu anayemfanyia interview Lulu anatakakiwa awe kamili kiakili kwa kweli
@energytvtz91996 жыл бұрын
Hii interview is the best yaani presenters wotee ni mootoo na anayejibuu ndo fireeee kabisaa yani i like it.
@bimaisarankamia41536 жыл бұрын
Kunavitu vinakuja kwenye maisha ili mtu ujifunze Lulu umekuwa mashaallh
@janengowi30116 жыл бұрын
Unajua kujibu vizuri hauchoshi
@mtaanitv39916 жыл бұрын
hongera unajua kujieleza mshike sana mungu
@sylviesylvieleonardoliveas61385 жыл бұрын
Una mawazo ma zuri saana mungu akupe iyo hekima Mara dufu
@bimaisarankamia41536 жыл бұрын
Mashaallh unajibu maswali vzr sn Lulu
@naimakweyamba53406 жыл бұрын
Umekuwa Dada twna uko vizuri sanaaa
@martinkinyua76504 жыл бұрын
Very good lulu
@jacqulinemushi58496 жыл бұрын
Big up girl u hv changed positively
@norahkweka76654 жыл бұрын
Namkubali sana huyu binti na nampenda sana.....ana akili na uelewa wa hali ya juu. kweli ukiomba hekima Mungu anakupa
@tumainmapoma46396 жыл бұрын
Nakupenda Hadi naumwa nazidi kujifunza kupitia wew
@OmanOman-mc8uq6 жыл бұрын
Najifunza kupitia lulu
@helgerthadeus11394 жыл бұрын
Love her hair
@irenejerrylugose9966 жыл бұрын
Lulu mrembo natural no weave makeup 0unit nakupenda bure
@annaupendo47686 жыл бұрын
Nirisemaga huyu mtoto akifunzwa na dunia ndiyo atakuja kujielewa safi sana Lulu urishindwa kufunzwa na wazazi sasa dunia imekunyoosha 👍👍
@claudialupimo44686 жыл бұрын
Haahhaa.. Jmn
@lilianpalanjo24445 жыл бұрын
😀😀
@VeronicaPeter-rm7ky3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂mbn wamuonea mwnzak
@naomimmary38856 жыл бұрын
Lulu anapenda mambo ya mungu mmmh anaongea mpk anatoka kwenye maic anaona kama uyo dada hamwelew ivvv
@evasonedger8526 жыл бұрын
unajielewa sana lulu hongera
@sherrynjoroge54676 жыл бұрын
I love this girl sooooooo much God Bless you always
@mackrinakayombo61366 жыл бұрын
She is very smart
@dominashirima8736 жыл бұрын
Natamani usingekua ,nakupenda zaidi ulivyokuwa mtoto mdogo!😃😃
@asifiwekitunga18365 жыл бұрын
Hata mie jamani
@dianamourice91175 жыл бұрын
nice interview ur very smart Girl
@jannestarhkipesile90835 жыл бұрын
Diana Mourice nice
@salomebahati88246 жыл бұрын
Lil Ommy unajua sn, napenda the way unalink matukio.. i nanifanya nipende kufuatilia interviews zako
@jacklinevenance50046 жыл бұрын
Nakupenda sana lulu
@awadhsalim6466 жыл бұрын
Hii interview nzuri..
@hjhj62305 жыл бұрын
Nampenda lulu 😙
@pendomassawe5036 жыл бұрын
Kweli umekua lulu!
@mashallahayoub86266 жыл бұрын
Pendeza sana lulu wangu
@fredinandonde32926 жыл бұрын
Good
@keyvogad14216 жыл бұрын
Kizazi sana
@annierosse16396 жыл бұрын
Good girl
@rumaantvonline64866 жыл бұрын
Lulu unajua kuongea vzr
@wawukweliaisha84146 жыл бұрын
kizazi sana
@kingflavour10276 жыл бұрын
I like this girl more than other girls
@TRAVELANDTASTETANZANIA6 жыл бұрын
#savemyvalentine
@emilynzenga17236 жыл бұрын
big up
@firmindevota14886 жыл бұрын
nakukubali sana lulu
@joyceemanuel85466 жыл бұрын
Firmin devota oy
@zainabumohammed66966 жыл бұрын
Mashallah mola akujalie lulu wang... Ommy big up
@zuweinaally13476 жыл бұрын
Best interview
@winniedaudi46706 жыл бұрын
Akili nyingiiiiiii
@veronicalelo3326 жыл бұрын
The smartest gurrl ever I love you
@hadijapazia6846 жыл бұрын
Lulu saiv ana akili sn,I like that😍😍
@irenepreciousy73656 жыл бұрын
Kitoto kizur zur lulu💕💕💕
@nancyangelnsekela22776 жыл бұрын
Lulu😙
@happinessmtitu44855 жыл бұрын
Lulu nakupenda aisee wewe mtoto daah upo smart sana.😍😍❤❤❤❤❤❤❤
@djermajid8356 жыл бұрын
the girl I love
@oswardmgawe30096 жыл бұрын
mmh miwivu tu kwani mlisikia hajafunzwa na wazazi wake huyu
@azizamkindi17846 жыл бұрын
Kwel umefunzwa na ulumweng umekua sasa
@waleoofficial68166 жыл бұрын
Kusikiliza nyimbo zitakazokupa nguvu na kutokata tamaa kwenye mahusiano ya kimapenzi, maneno matam na mapya ya kumtamkia mpenzi wako na kufahamu mengi kuhusu MAPENZI .gusa picha yangu twende sawa
@merimeri78686 жыл бұрын
jmn lulu nakupenda una ni ispir mnoo
@glorygoodluck71256 жыл бұрын
Lulu bado mdgo sana bt mrembo piah unaakili sanaaaaaa nakupenda mnooo huna majivuno mambo ya kijinga kijingajinga uko bomba
@wensleygeorge95895 жыл бұрын
Tupo kapuni
@mvungigaming6 жыл бұрын
Nahitaji like zenu nimepata...soko kwa kuziuza....kwa bei poa...
@salomebenson44916 жыл бұрын
Kaka unaziuza?maana meno yangu yamekaa mbalmbal nataka yabane
@mvungigaming6 жыл бұрын
Salome Benson nimeku PM tuzungumze biashara.....
@abassking82966 жыл бұрын
Lulu diamond fid q janjaro young killer f.a ay hawa watu wakifanya interview n.a. lil ommy zinakuwa za kizazi kabisa
@derrickmatenga48046 жыл бұрын
Umeongeya point sana bro🙏💪
@tanaelmwaigoga11366 жыл бұрын
Lulu umekuwa very Craver kwny kujibu maswali keep it up na iyo discipline
@ashwajeshi15586 жыл бұрын
*clever***
@jacquelinejared67506 жыл бұрын
Kingeee...
@dominashirima8736 жыл бұрын
😍
@Benshaffie6 жыл бұрын
Sio vizur wakati unaenda interview concentration inakuwa kwa cmu
@lynalyna39686 жыл бұрын
Nani aliyesikia sijui coffee sjui kahawa🤣🤣🤣
@maidahamisi31486 жыл бұрын
Mimi nimeskia consetion wakat ni concentration
@annastasiakavishe74966 жыл бұрын
Consetion😂😂😍❤
@lynalyna39686 жыл бұрын
maida hamisi 🤣🤣🤣🤣
@naymahh35046 жыл бұрын
Nime kuwa4 comment
@sophieaden53676 жыл бұрын
Mtoto mrembo sana
@lilianjeremia10246 жыл бұрын
Shida zote za nini unakula vyakul vilain kisa meno bora nibaki nilivyo
@mitchamitcha94046 жыл бұрын
Hahaha
@maryamsalum18306 жыл бұрын
BinT makinii LuLu❤️
@azzamahamdu70396 жыл бұрын
Anajielewa mno.lulu mdgo akil ka nyumba sion kina oflylnn.uzur wa bure akil sfuri
@tausak45686 жыл бұрын
Azza Mahamdu 😂😂😂😂😂😂😂
@luckyvenance45766 жыл бұрын
Zinauzwaje lulu ninunulie na mm
@sammyaron38186 жыл бұрын
Kama unapenda kuwa producer wa muziki gusa linki apo chini kzbin.info/door/kF-GlynTbGCTQn3qgoOv3g
@nziegamaleys31444 жыл бұрын
Kwani bra ya Lulu mkono ni loose
@sylviemutwale95276 жыл бұрын
Lulu shikamo baba
@jaypili99556 жыл бұрын
waachieni wa rangi rangi tu meno ya bandia
@antoinettedjumapili25226 жыл бұрын
jmdadila tv online kwani haujuwi kazi za hizo vyuma kwa meno? kama haujuwi uliza halafu utaambiwa
@kristie6550double6 жыл бұрын
wewe nitapita na wewe..
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Atari
@irenepreciousy73656 жыл бұрын
Lulu uzungu mwing cku iz
@hamadharerimana81876 жыл бұрын
labda masomo kaingeza....mtu akisoma sana lazima utachanganya languages na sio kwa ubaya