❤😂Kaka limbu wimbo alioimba kuku maji umeniuma xana nataman nikutane nae nikotayar kumpga 🥷🥷🥷🥷🥷🥷🥷🥷
@ombugamasunga37945 ай бұрын
Dah hatari
@donaldmartin-ps2ig3 ай бұрын
Nelemi kuku maji na ndila mkiijibu hii nawapa hela
@SuzanaManyilizu-dn1zd3 ай бұрын
badudura lhimbo idito
@user-hs5nm1il8jАй бұрын
Bong la mtu
@Director_Kitindi_Complete Жыл бұрын
Pamoja sana
@W_Konk_Tm Жыл бұрын
Duh DJ KONK hapa NAPENDA Sana kazi Kama hizi zenye meseji kali
@kangalooKashinje- Жыл бұрын
Utawauwa kivuluge
@djmusakasekesetz8126 Жыл бұрын
🤜🤛
@user-jm8rj1uy3vКүн бұрын
✌️
@user-hb5st9ps9j Жыл бұрын
Nimezikubali nyimbo zako meanaluchagula
@musasamwel5544 Жыл бұрын
Pasua miamba mwamba waambie hao wehu, tena kama kuku mavii mi simpendi make ni chawa tu na boya tu
@peterjosephnzegatvnzegaasi5681 Жыл бұрын
💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥
@carllucas5575 Жыл бұрын
Nditima ngw'anayunge
@donaldmartin-ps2ig3 ай бұрын
😂😂😂 mwamba anachamba huyu ningekuwa mm ndiyo nelemi ningeacha mziki
@sondolwajilungu19613 ай бұрын
😂
@SuzanaManyilizu-dn1zd3 ай бұрын
Nelemi alale kwanza akiamuka ndo ajipange
@user-is1by5ts6x11 ай бұрын
Hta bariad tumekuelewa
@Mwanafundi5 ай бұрын
Hakuwezi
@user-hy6sw7ih4g7 ай бұрын
❤❤❤
@claverjotheey7237 Жыл бұрын
Goood
@SanduTara Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@evawilliam3828 Жыл бұрын
Libu
@LAURENTCHEREHANI-mm4bd Жыл бұрын
Hizi nyimbo zingekuwa zinaimbwa kumsifu mungu wasukuma wengi wangeokoka sasa unasifu dawa za shetani tu hii ni hatari mno yesu anarudi jamani maana hizo dawa ukizikosea masharti tu unakuwa masikini milele lakinin ukimuamini yesu akunaga kurudi nyuma mizimu haina nguvu msiiamini itawapeleka jehanam
@sondolwajilungu1961 Жыл бұрын
Akili huna
@hillimamagwanji5764 Жыл бұрын
@@sondolwajilungu1961 kweliii
@magidachimija5599 Жыл бұрын
Pumbaaavuu zakoo! Mila na desturi kwanza! Usitake kila mtu aimbe kwaya wewee! Nyie ndio mnaopenda kudharau tunu zenu na tamaduni zenu! Kwani kunadhambi gani hapo jamaa kafanya ameimba vizuri wala hajatukana.... badala usifie vitu vya nyumbani wew unapotosha nyanoko gete
@manyangumashala466 Жыл бұрын
wewe ni fala kabisa,haujui lolote kuhusu dini,unafata kila kitu kilicholetwa na wazungu hadi unadharau vya kwenu,Akili za kuambiwa changanya na zako mjinga wewe
@richardibrahim56099 ай бұрын
Unamjua yesu? Ulimuona?. Dini ni tamaduni ya sehemu, kila nchi ina dini zake. Why mungu asingeleta biblia tz akaipeleka islaeri???