Iko poa sana brother igawa nimechelewa kidogo lakn tuko pamoja brother 👍👍👍
@barakarobert951621 күн бұрын
Daaah mzee huu wimbo uliamua kukaza kamba kweli Daaah 🎉
@immanuelcharles26998 ай бұрын
Video kaliii sound kaliii Songi kaliii dancers wakaliii, big up sana Kisima💪
@mahungujulius17889 ай бұрын
Wewe ni Noma Huna Mpinzani Jamaa Angu, Hongera sana ila Show ya Kagongwa ya MWAKA huu 2024 Ulipiga chini ya KIWANGO sana ndugu yetu Ulituachia njiani Tukabaki tunasubir NZUKI Kumbe ndo show imeisha Pamoja sana
@nzobendogeorgelucas33638 ай бұрын
Hiii Kali kisima🎉
@BaluhyaMagashi8 ай бұрын
Hongera Sana msanii wet uko vizur
@DaudiJipenzu8 ай бұрын
Hatar sana majabara
@MussaKasanzu8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥sana
@littlebloom69109 ай бұрын
Brother nimekuwa kwanza naomba like zangu. Nipo dar tuko pamoja kwa kila hatua kakaangu. Mabula mussa
@MR_RAMSATZ8 ай бұрын
Kaka nipe like zangu
@NkalaliSaka8 ай бұрын
Ww ndo meneja wa kisima
@littlebloom69107 ай бұрын
@@NkalaliSakafikra zako ndo zimekwambia hivyo
@EmmanuelSahani-m6x8 ай бұрын
Hongera sana kisima utatuheshimisha wasukuma jamani hadi raha jamani najifunia kuwa msukuma maraha duh phyumili
@petersegeja20669 ай бұрын
Hongera sana Kaka, Kaz naijua vyema... Zambia one
@ramadhankwilasa23719 ай бұрын
Jaman Bado sijachelewa huyu mwamba ukimtoa kaka bhudagala huyu ndo anatuata kwa sasa hajawahi kutufelisha🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@SospeterGeorge9 ай бұрын
Wew Ni hatarii Sana Ila show ya segese mwaka huu hatukufurahia vizuri kwa sababu ya mvuaa bado tunakutak Tena ujitahidi urudi kwa Mara ya pili
@engjn9tului299 ай бұрын
Hongera sana faza! Kipindi upo kwa kakangu matanga pale salunda umepambana sana
@massanja2219 ай бұрын
Nipende kumshukuru kutoka sumbawanga hadi mtc safar ilikuw ndefu sana video safi 🎉🎉🎉
@BoniphaceSaid8 ай бұрын
Shreck boy hapa nakukubali sana kaka naomba tufanye ngoma
@JumamgemamatogoloMatogolo3 ай бұрын
Moto 🔥🔥🔥 ni ule ule bado naiagalia mda baada ya mda
@benjaminmathayo14659 ай бұрын
Hiz leval za wa kubwa watoto wakae mbali ni unyama Sana huu ,,very talent
@AloyceLuchagula7 ай бұрын
Kisima majabala kipaji chako ni nooma zaidi ya nyimbo za kisukuma ni level za mbali saana❤❤❤❤Mfalme
@MasanjaSamweli-b3r8 ай бұрын
Mim sijaelewa kisima ni dancer au maana amecheza kuliko madencer wote , daaaah ila huyu jamaa watasubir sana make juhudi yake ndio imemfikisha hapa Leo, vile vile makula njooo uchukue 🎉🎉🎉🎉 yako brother
@Pastorymasanyiwa1998tz9 ай бұрын
Nakuelewa xana ❤❤❤❤ malonja no1 2 wew
@jaymansennah30529 ай бұрын
Umetisha sana kisima
@yohanapaul-d6c6 ай бұрын
More bravo kaka hakika unawakilisha vyema sukuma land🔥🔥🔥🔥🔥
@LameckWilliam-f8p4 ай бұрын
The greatest singer in sukuma land tribe hatarii huyu mwamba🎉🎉🎉🎉
@LucaskazarohoKazaroho8 ай бұрын
huyu jamaa anapambana sana kupeleka music wa kisukuma mbele hongera sana brother
@SilimaZelle-no7jr9 ай бұрын
Ila weeee kaka kisima basi mungu akupe maisha marefu kwenye kazi Yako napenda Sana ngoma zako Tunasubili Dunia video yake😅😅😅😅
@MalundeMalale3 ай бұрын
Kisima naomba namba yako
@yoshuapaul83009 ай бұрын
Nipo tabora i seee kisima wewe ni jembe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Director Umeua Bonge Moja la Video Aiseee Tupo Na Kisima Kitambo Kwanza Nimefrahi Kuona Karudi Home Tamaduni Yetu Asili (Makula)
@nguluwestudio54309 ай бұрын
We mkali Sana ukazid kuleta vitu vipya mtu Kama nagwa amaby amefany Kaz nzing nawasanii wakubwa Leo yupo kweny asili umetosha 🎉🎉🎉🎉
@josestudio45349 ай бұрын
0 Exponent2 kazi imenyooooooooooooka🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mkemia fumejitahidi 🎉🎉🎉🎉🎉
@WinifridaMasunga6 ай бұрын
Mm winifrida nakukubali sana kisimaaaa One day gospel sure u will sing
@MaheriChristopher8 ай бұрын
Nakubali mno kisima mzee na mfalme wa nyimbo za asili aisee
@MadaaSalala6 ай бұрын
Nakubal sana kaka kisima mm madaha salala
@mjukuuhotelitv77369 ай бұрын
Kisima Mungu akulinde zaidi Hazina yetu wasukuma
@BerthaAmos-x5jАй бұрын
❤❤ u are Songz jaman kisima. God be with you. By sukuma girl a.k.a pautha
@PhilipoSalumu-s4m2 ай бұрын
Kaz nzur San br
@JaphetSimon19 ай бұрын
Napenda Ubunifu wako kwenye Nyimbo zako #MtcTanzania 💪💪💪
@mahungujulius17888 ай бұрын
Kongole kwako The greatest Singer mpe Hai Kanoute namkubali sana Jamaa angu,Namuona Nagwa kwenye Game
@DavidMakomba9 ай бұрын
Ngoma kali sana kissima Morogoro hii imepenya
@MalundeMalale3 ай бұрын
Kisima nakupend sana jamaa nakuomba unitumie namba siyo kwaumbaya kwa unzur
@NgunoSangano-w9s2 ай бұрын
Best music🎶 kisima nice👏
@boniphacemalongo80808 ай бұрын
❤❤❤bro uje mwashilalage kuna maokoto yako kama yote tunakukubali San mashabiki zangu
@GwisuJohn9 ай бұрын
KISIMA unajua kaka napenda sana nyimbo zako
@EdvinarElish9 ай бұрын
Woyoooo kisima is the best fire🔥🔥🔥💯
@shijandobehe49538 ай бұрын
Kazi nzur Sana kaka tutaendelea kuwa nawe
@mbuziwakutaga9 ай бұрын
Hii skutegemea imekuw Kali sana❤❤❤
@Sweya.malando8 ай бұрын
Nizukwa mihayo ya Guku kilela mpena..KISHUSHU uladula ulayelela amabala🎉..Greatest singer in SUKUMA LAND..Dazunije Ngika 🙌🙌
@Lightness-r8r7 ай бұрын
Kazi nzuri hongera kaka
@lucasbusagala40339 ай бұрын
Hatarii sana ongw'a majabara❤
@IkambulaMtunga46708 ай бұрын
Mwamba kabisa Wamoto balaaaaa juzi kati tulikua pamoja kwenye show yako pale Bhunanda nilifurahi mno
@MAYOMBI9 ай бұрын
Nakubari sana brothe
@MsodokiSokoine-k2x8 ай бұрын
Sawa umetisha sana hahaha ❤❤❤
@Pascocharles19978 ай бұрын
Pamoja sana bro, mkal wao majabala 1 íyo iyo
@stanleydaud30038 ай бұрын
Nakukubali sana kisima
@jamesamos45979 ай бұрын
Hahahahaa kwanza nicheke MtC Video xaf Pia ngoma nagwa nimemuona unatishaaa hongelea MtC nawkubar
@EzekielBrasio8 ай бұрын
Ehaha ho bhebhe uleiyeja bendela ya kisukuma nale dar laki adikono bhalejidegeleka nyimbo jako kila aho elibhita kisima ulena ney na kusah
@malambimasele74157 ай бұрын
Axante bro kwa kazi zur
@msomezsaid3 ай бұрын
MTC, king wa new generation, mziki wa asili Tz💯💯
@PauloMashiku-l7y4 ай бұрын
Dj yupo vizuri kwa kushuti
@NdaturuSamwel8 ай бұрын
Uko sawa kijana kawimbo kanaujumbe mzuli sana
@bunzaliyunge83909 ай бұрын
Saafi, kazi nzuri sana ila uache nyimbo zako za ngeelo we tembea kwenye njia yako tu kuelimisha jamii kupitia kipaji chako noubhu ganga loulou ubhupembe isii witinginye, uwe kama ngelela na bahati bugalama hawana mda kabisa wa kumzungumzia mtu japo kila kukicha wanapigwa vita ila wao wanaangalia kazi zao tu... ❤❤❤
@domajosep37979 ай бұрын
Fabolous job👏👏👏
@MjarifuKasala-i3m2 ай бұрын
Nakubali Sana kisimaa
@MwengeMaona8 ай бұрын
Ujawahi kuniangusha❤❤❤❤❤
@PaulHamisi8 ай бұрын
Kaka nakubali sana nipo dar nakubali mwanetu sana
@Alexmagile8 ай бұрын
Hatali saana mungu akilinde kaka
@DangerRecord.s9 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉pokea maua yako master
@samwelsimon68428 ай бұрын
Kisima umejitahidi kucheza sana kwenye huu wimbo kuliko zote za nyuma
@SabuMrama8 ай бұрын
Fundi wamzik hongera sana kisima
@bonifacehamis40889 ай бұрын
Man of the match #KISIMA MAJABALA 🔥🔥🔥
@HassainAdam8 ай бұрын
Sawa ndugu sanaaa ndani ya sanaaa
@kadegeasilitv-zt9bv9 ай бұрын
Tumepeni tu migera maua yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🍎🍇🍇🍇🍇🍎🍎🍎🍅🍅🍅🍅🍅🍅🍒🍒🍒🍒🍒 Ila oni kwa upande wangu Ila.....MIGERA 👉🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@MasanjaSamweli-b3r8 ай бұрын
Kaka mi ni shabiki sana wa mzik wa asili kama wew , lakin wew ni mtu mkubwa Sana kwenye mzik huu na una mchango mkubwa sana kuliko hata mim , maana sizani kama Kuna msanii mkubwa au director mkubwa wa asili ambaye hakujui, kwahiyo jitaid Hoja zako ziwe za maana zaid kulinda jina lako, tupigeni kazi jamani tusikatishane tamaa
@kadegeasilitv-zt9bv8 ай бұрын
@@MasanjaSamweli-b3r one love🌹
@LupigiLugosha8 ай бұрын
😂😂 mwaka huu hamutumalizii bando zetu kwa kiki za Kujuana Kaka Mkemia Yupo 100% Kichwani Na Kazini Au Haujawahi Kuongea Nae Utakuja Nishukuru Nipo Pale Roki Studio
@MasanjaSamweli-b3r8 ай бұрын
Kabsa kaka tusifanye kazi za kujuana tutacheleweshana maana hiz kazi zilikuwepo TU kabla yetu na zilikuwa zinakubalika tu@@LupigiLugosha
@MasanjaSamweli-b3r8 ай бұрын
Mi mgera namkubali Sana LAKINI pia makula ndio kitovu Cha mziki wetu wa asili make ni mda sana , kingine kama msanii kapendelea kufanya kaz na producer Fulani au director Fulani maana ake yeye ndio anajua anachokitafta pengine huenda kikawa ni Bora kuliko alichokiacha😂😂😂😂😂 au pengine alichokiacha ni Bora ila kimemchosha, ila mi nawaomba wapenzi wote wa mziki huu tupende wasanii wetu wa asili , maproducer wetu wa asili, pamoja na madirector wetu na wotee tuwaombee wafanikishe kazi zao kwani wanapitia changamoto kubwa sana Hawa wote, ubinafisi , MAJUNGU na chuki hazitafanya tufikie tunakoendaa wadau.
@jamesdaniel55578 ай бұрын
Broo umetishaa sanaa unakuja lini ten ipililo
@Robertmanyilizu-j2q4 ай бұрын
Kisima nyakanazi unawashabiki lakin inapelekea kusema unajisikia sana unakuwa unapita tu
@IsaacAbelBabyBoytz-yx2nc8 ай бұрын
Kazi zuri sana kaka
@JilyaMachiiya6 ай бұрын
Yup fresh jamaa sahv
@TheresiaMasesa-t3p3 ай бұрын
Bhagoshaaaah ❤❤❤❤😊
@kablajoramndarahwajoram3 ай бұрын
Pokea mau yako brother🎉🎉🎉
@MsobiAmos8 ай бұрын
Kisima Niko Zanzibar imepenya unatisha kaka Angu Mungu Akulinde Zaid unakitu Zaid
@sembiKashepi9 ай бұрын
Kazi nzuri Sana kisima hii albam umeua hasa bhazunije unaniua sana naomba namba ya huyo dogo Eli mc wako Ni ndugu yangu toka ukerewe nisaidie kisima
@sembiKashepi8 ай бұрын
Kaka nitumie namba za dj au mc Eli Ni ndugu yangu kabisa namtafuta nimemuona kwenye hii nyimbo ya madeni nisaidie kaka
@sembiKashepi6 ай бұрын
Namba mc Eri nisaidie Kaka kisima
@djfabbymnyama64548 ай бұрын
Pamoja sana brother am dj fabby senta maria
@EdwinAlex-xn7ii8 ай бұрын
Ww ni noma pga kazi uje na Nzega tumemis show zako
@MahunguJulius8 ай бұрын
Uhakika mwanaume ❤
@maigecharles3018 ай бұрын
ewaaaaaa hiiiii niyamoto sana salute🫡🫡🫡🫡🫡
@NtemiGambishiMageme8 ай бұрын
Kali ya mwaka kaka dunia na maden
@DjzombiMusictz-sb1xk8 ай бұрын
Hapa ni mwendo chombo juu ya chombo sasa mnasemajeee hebu twendeni Na hiii
@makulaextra50843 ай бұрын
Kisima nimefurah kuona umemkumbuka mkemia
@JuliusNyanya-u6r8 ай бұрын
Mfalme wa nyimbo za asili❤
@TemboMabala7 ай бұрын
Ksima mkali atulie tu❤
@Alexmagile8 ай бұрын
Nakuunga mkono kaka kwa huo wimbo
@williamujohn77047 ай бұрын
Nakukubali sana mtu wa nyumbani kabila moja
@masukekihanda3 ай бұрын
Huyu jamaa noma sana
@ManenoPeter-np4rl8 ай бұрын
Nagwa jamn 😂😂😂😂😂 hatar sanaaa
@MeliYaMaweBm9 ай бұрын
Pamoja Sana Mkurugenzi 😂😂😂😂
@MahunguJulius8 ай бұрын
Nagwa kwenye Game hajawahi kufeli,Uchaguzi wako kwa Nagwa hujakosea Uhakika mwanaume
@HassanBakari-um7pt8 ай бұрын
Uko vizuri kaka
@raphaelsimba340212 күн бұрын
Kaka mbona umepoteaaa tumemis Ngoma mpyaaa
@Greatest91419 ай бұрын
Unaupiga mwingi 💪👊
@ndeteleleoizdory22929 ай бұрын
Makali wa mie🎉🎉
@abelmanyilizu98458 ай бұрын
U're the one of the best
@KelvinAmos-ow7pf8 ай бұрын
Acha ufaala sikupendi Yani wewe kisma mana una wivu wew