Bado sijaelewa nini kuna endelea CHADEMA, lkn Watu hawa wawili nawaheshimu Ila Naombeni sana Mbowe achaguliwe aendelee kukalia kiti, Mbowe ni shujaa na mwana dipromasia. Mungu endelea kusimamia CHADEMA.
@apostelgodwin2 күн бұрын
LISU Hongera pia pokea Kura nyangu na mm ifikie asilimia 81.. LISU Nilikwambia kuna wizi WA Kura Mboye anawatu wake ...🎉🎉 Ana umuhimu lkn CHAMA ndicho kimempatia pesa ... Za kufanya BIASHARA huo ndio ukwel .. MBOYE ABAKIE MSHAULI TU NA MTUNZI WA CHAMA AACHIE NGAZI
@samwelmatemu88732 күн бұрын
Wewe ni chadema hiyo kura yako Haina faida yoyote.wenye kupiga kura wapo na ndio went chama chao .wanajua gerezani ,police na kupigwa sana.wewe ulishapoteza nini.huyo lisu resasi zake hazihusiani na chama ni uropokaji wake tuu
Mbowe ata shinda uchaguzi mapema, lkn makamanda kwa namna yoyote simameni na cdm msikigawe chama.
@lucymsheshi58712 күн бұрын
Acheni ukenge
@FellaMbogela2 күн бұрын
NDIO MAANA huwa mnagaragazwa SANA na CCM kikatiba UCHAGUZI haufanyiki mtatandaoni c mnamfariji TUNDU baadaye akishindwa aseme ameibiwa
@stewartdyamvunye-wz6rn2 күн бұрын
Fella. Ni kwamba dunia ya leo, mitandao ya kijamii, media makini au mashirika binafsi yenye kazi au ni wadau katka mwenendo wa kisiasa sehemu mbalimbali wana haki ya kuendesha kura ya maoni kimtandao au vinginevyo! Kura hizi zinapima joto la kisiasa na utabiri wa yajayo. Si kura halali. Angalia usijekuwa nawe ni chawa wa CCM!
@BennymwangazaКүн бұрын
Mwambie 🎉@@stewartdyamvunye-wz6rn
@antonymomba8185Күн бұрын
Lisu mbowe akipita nachoma kadi na kula siludi kupinga
@simonsadala23862 күн бұрын
Hao walio piga kura huko kwenye mitandao sio wapiga kura wa kura za kawaida labda kama chama kitaongozwa Kwa mifumo ya ki mitandao otherwise Tundu LISSU hawezi kabisa kushinda
@EliasBamanyisa-uu7og2 күн бұрын
Nampa taarifa Simon sandara kwamba kura hizo ni ramri au ni kubeti kwa asilimia kubwa sana ya kuonesha kwamba AnTiPasi tundu ni mshindi dhidi ya Mr Aikaheri mbowe
@simonsadala23862 күн бұрын
@EliasBamanyisa-uu7og amka ww bado upo kwenye usingizi mzito Tundu hawezi kushindaaaa
@JumaOmar-s4m2 күн бұрын
Wote wawili hawafai Lissu na Mbowe,kutokana na hitilafu hii kwao,ni bora kujitekeza mgombea mwemgine atapewa hiyo nafasi ili kuondoa mzozo wa baadae. Akili vichwani mwenu
@SaraSara-i1lКүн бұрын
Mama ako ndio anafaa😂
@MarryRobertMassanjaКүн бұрын
Llsu
@SubiranTimo2 күн бұрын
Lisu tafuta watu makini wakukusaidia ww pia andaa jeleta liwepo pemben zikizimwa yule ya jereta Kae hapo aunganishe mapema ndo alishinda laisi wa zambia sata
@SaruniKutandawa2 күн бұрын
Lisu mkombozi wa chsdema kurazote apewe
@rugemalilalucas45332 күн бұрын
Nyie ni mabwege sana ni dalili zenu za kushindwa.
@CharlesBoy-l8dКүн бұрын
Tundulisu anafaa kua raisi
@AbdulhalimHafidh-s2m12 сағат бұрын
Mboe gombania chengine sisi tunamtaka lissu mtu ambae alikufa na akafufuka anajua uchungu wa eatanzania nchi tajiri duniani lakini wananchi wake maskini
@JuliusMallya-q5i2 күн бұрын
Conspiracy theory akishinda lisu,chadema kwaheri
@MwakaHappy2 күн бұрын
Lisu mwrnyekiti
@LeahMgunda-l8c2 күн бұрын
Uchaguzi uko lini?
@ZawadiMgaya-x1vКүн бұрын
Mbowe amwachie mwamba tundurisu
@MwakaHappy2 күн бұрын
Hata sisi wanachama tumetoa mamia ya pesa ishu mbowe apumzike hatutaki ubabe
@adamsanga062Күн бұрын
Lieu anastaili
@NungulaRais2 күн бұрын
Hii
@samwelmatemu88732 күн бұрын
Hao ndio wapiga kura wa mkutano mkuu au mijitu ya mitaani ambayo hata ukiwaambia maandamani ya hatua mbili hayawezi
@mangashajunior2422 күн бұрын
Ongezea kura yangu😂😂😂😂😂😂
@stapinuswilliam8602 күн бұрын
@@mangashajunior242 ✌️✌️
@patrickmkiriti7472 күн бұрын
Acha na nyie Usha wapiga kura wapi 1200 wengine chawa
@ahmedalkiyum75922 күн бұрын
Tuwekeni kura ya mtandao kwa znz tunataka kuona😂
@rashidissa58872 күн бұрын
Maoni yalikuwa kwa Tanzania nzima, kwani Zanzibar haikushiriki? Au una agenda tofauti? Hapa tuko Chadema yakhe
@JamesMichael-y8l13 сағат бұрын
Niwape mfano mmoja ukiwa na biashara unafanya mko katika partnership na mchaga yeye atqpendezwq na kuwa mtu qmbaye ana hold pesa non otherwise In short kwa rejea zote za conferences zilizofanyika na nqmna ambayo tunawafaham watu hawq mpinzan ni lisu huyu mwingne ni popobawa
@rajeshndola2 күн бұрын
THIS time is Lisu
@stapinuswilliam8602 күн бұрын
@@rajeshndola ✌️✌️
@CharlesMasese-r9l2 күн бұрын
Uchakuzi haufanyiki mtandaoni , Kama mbowe kasaidia chama kwa muda mrefu wewe kwa spande wako umekisaidiaje chama?
@mangashajunior2422 күн бұрын
@@CharlesMasese-r9l mbowe pia kasaidiwa na chama kumbuka ruzuku anazopokea na michango ya wanchama ikiwepo tozo za kadi....
@masijamajogoro7231Күн бұрын
Ukikisaidia muda mrefu ndio waranti ya kuwa raisi wa maisha. Ebo
@bonnymakuke3153Күн бұрын
Kunamtu katoa damu yake na roho yake kwa ajili ya chama lakini mungu akairudisha iendee na mapambono Sasa unataka mchango gani zaidi ya huo wa lisu😂😂😂
@ismaelgadiye44882 күн бұрын
Kama Hali ni hiyo mngekuwa meshika Dola mkawa na bunduki nini kingetokea