LISSU ALIVYOLIONA GARI LAKE ALILOPIGWA NALO RISASI "Imenipa shida risasi 30, Polisi hawana hilo wazo

  Рет қаралды 95,880

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 46
@ShukraniMahenge
@ShukraniMahenge Жыл бұрын
🎉Huyu ndiye mwanaume ambaye mungu alimsaidia
@JumaMkiji
@JumaMkiji 9 ай бұрын
Mungu ni wakutosha sana waliofanya sijui wanajisikiaje
@SimonMasanja-k1d
@SimonMasanja-k1d 6 ай бұрын
Lissu nishujaa sana anatakiwa awe rais wa tanzania
@ShedrackSilvester
@ShedrackSilvester 3 ай бұрын
Pole SANA shujaa
@azadinzunda4327
@azadinzunda4327 Жыл бұрын
Nasikia aliepiga kisasi Alisha kufa Sasa itakuwaje😂😂😂😂😂😂
@josephmchila6467
@josephmchila6467 Жыл бұрын
Pole
@erasmusgervas2464
@erasmusgervas2464 Жыл бұрын
Iv kweli
@GodsonKajira
@GodsonKajira 2 ай бұрын
Pole baba
@SausiWeitacha-yp5or
@SausiWeitacha-yp5or 6 ай бұрын
Lissu
@ChristineKeney
@ChristineKeney 4 ай бұрын
Mungu mkubwa kama huyu ndiye lissu aliyenyeshewa risasi
@AnastaziaMalle
@AnastaziaMalle 7 ай бұрын
lisu mungu ni wa wote anawaona pia anakuona na ww atawalipa kwa mda wake
@sultanidrissa1097
@sultanidrissa1097 8 ай бұрын
Waandishi wa habari wengineo wasenge tuu
@mwanaidisimoni79
@mwanaidisimoni79 6 ай бұрын
Ndio mana nchi masikini tu mahakama za michongo
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 5 ай бұрын
aliyekupiga risasi sidhani kwamba yuko hai unajua unapofeli isue kama hii lazime ufe kihoro
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 Жыл бұрын
Pole Sana mheshimiwa tundu lisu,tena inatakiwa ukilichukuwa ukalitumiage hivyo hivyo namatundu yake yalisasi kama ukumbusho.
@neemamohammed9176
@neemamohammed9176 Жыл бұрын
Pic
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 Жыл бұрын
Hivi kwa nini serikali wamekaa kimya waliompiga risasi Lissu,yani hajakamatwa hata mtu kweli angekuwa amepigwa risasi mbunge wa CCM au diwani si kingenuka.Sijui kwa nini hii issue ya Lissu ipo kimya tu na mtu alipigwa risasi.
@IssackMsimbangombe-jy3nd
@IssackMsimbangombe-jy3nd 7 ай бұрын
Mda mwingine mazingaombwe muache nikweli ulishambuliwa lakini kusema ulipigwa risasi the thelathin niuongo tena uongo mkubwa c dhani km unawaambia watu wakuelewe na ungeniambia2 ulipigwa risasi na c 30
@pendoKisula
@pendoKisula 7 ай бұрын
Hi
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
duh waliolipiga hivyo risasi walidhamiria kuua serikali ituambie wako wapi? kwani shida iko wapi?ila kwa maombi yaliyofanyika atakuwa amekufa mungu hachelewi majibu ni hapa hapa duniani na bado mtaona makuu
@azadinzunda4327
@azadinzunda4327 Жыл бұрын
Nanyie waandishi wa habari so mtuonyeshe hoi gari nasisi tuhesabu hizo kisasi zilimo pita????
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 7 ай бұрын
Mmh, yani walkua km wanaua tembo
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 Жыл бұрын
Hivi yulw bodigadi wake wa wakati wa kampeni yuko wapi? Lissua anafaa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.
@ambokileosward8850
@ambokileosward8850 Жыл бұрын
Amekosa story 😂😂 Anatafuta attention, Gari ndo imekuwa habariii😂
@jeffhard5773
@jeffhard5773 Жыл бұрын
Siku zote kwenye msafara wa mamba na kenge lazima muwepo
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Жыл бұрын
Kama umekosa cha kuangalia nenda chato ukangalie kaburi, huku hayakuhusu
@emmabrownmissana6996
@emmabrownmissana6996 7 ай бұрын
Bado uongea uongo tu!
@emmanuelbenedicto589
@emmanuelbenedicto589 Жыл бұрын
Hivi mnazijua vizuri risasi? Thelathini Mmmmmmh Tanzania ya mazingaumbwe!
@stevenchitama
@stevenchitama 6 ай бұрын
nandio maana anasfiwa mungu watu wanazjuwa risasi .
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Inataka kubisha? Kwa sio kweli kumbu serikali ya Kenya ndio ilitoa taarifa mapema
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 7 ай бұрын
Tatzo la waandsh wa habar ni vilaza
@LudovickJohn-gb4su
@LudovickJohn-gb4su Жыл бұрын
L
@DamasEmanuel-gw7lj
@DamasEmanuel-gw7lj Жыл бұрын
Hawawez kamwe wewe samehe tu
@YUSSUFPanduYussufYussufp-ej1nn
@YUSSUFPanduYussufYussufp-ej1nn Жыл бұрын
Huu
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Жыл бұрын
Umeongea kweli uzuli ila ulinikasilisha kuungamkono ushoga na wazungu kututawala
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 Жыл бұрын
Acha ujinga wewe hamna hoja akili mgando mmesimamia kutengeneza propaganda zaki jinga,wapi nalini MH lisu aliongea hivyo?acheni ujinga nyie chawa wa ccm nyie.
@eliajimmy95
@eliajimmy95 Жыл бұрын
Acha kuongea mambo yasiyo na ushahidi
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Mbona alioko serikali hajasema chochote kuhusu ushoga na usagaji, na ndie anatakiwa kutamka na maanisha raisi Sami suluhu hasani, huyu lisu kwanini mnpakazia uongo ni wapi alisapot ushoga
@rammykandra2354
@rammykandra2354 Жыл бұрын
Uyu lissu ni Zuzu sana
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 Жыл бұрын
Wewe ndo zuzu,usiyejielewa. Akili huna kaa kimya
@josephmchila6467
@josephmchila6467 Жыл бұрын
Wewe ni zuzu kabisaa
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 Жыл бұрын
Wewe hujitambui namjinga nazuzu,yani kuanzia familia yenu hamna wakulinganisha nalisu hata watoto wake MH lisu uelewa,wewe nitahira na chawa nakupe wa ccm tu .
@eliajimmy95
@eliajimmy95 Жыл бұрын
Na wewe ni nani.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Mpumbafu kuliko wapumbafu wote ulimwenguni chawa wa CCM wewe
@SanareMollel-wg7nu
@SanareMollel-wg7nu Жыл бұрын
🥱🥱
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 18 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 6 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [48]
22:36
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 9 М.
CHATO LIVE: Lissu Amuhusisha MAGUFULI na KUPIGWA RISASI kwake!!!
10:13
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 8 МЛН
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Kalamutz
Рет қаралды 11 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 4,6 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 18 МЛН