TUNDU LISSU: NINA MAKOVU YA KUTOSHA/ UTAKIMBIA/ NINA KIRAKA KWENYE 'KALIO'/ HUTATAMANI KUONA

  Рет қаралды 116,658

Dar24 Media

Dar24 Media

Жыл бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#tundulissu #samia #magufuli

Пікірлер: 87
@francisrobert9652
@francisrobert9652 Жыл бұрын
nakukubali sana mwandishi unamaswali tenchical big up
@mjukuumoraa8491
@mjukuumoraa8491 Жыл бұрын
Mungu nimwema Aka amepigwa risasi 1 kafa huyu zote hizo doh! Mshukuru mungu sana mkuu
@graceanalukinga7551
@graceanalukinga7551 Жыл бұрын
Dah.... ni mkono wa Mungu tu kukuweka hai mpaka leo,mshukuru sana
@loishiyemollel8071
@loishiyemollel8071 Жыл бұрын
Mungu ana kusudi na maisha yako Utukufu kwa Mungu
@lemausontz3513
@lemausontz3513 Жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu Alie juu
@daudndunguru2856
@daudndunguru2856 Жыл бұрын
Pole sana
@user-yo1uh8kg6l
@user-yo1uh8kg6l 3 ай бұрын
Pole sana kaka
@stellakagemlo8095
@stellakagemlo8095 Жыл бұрын
Pole sn naomba umrudie mungu achana na siasa
@BarakaGilbart
@BarakaGilbart 2 ай бұрын
Pole sana mwamba
@vitalgiddy04
@vitalgiddy04 3 ай бұрын
Nairobi hospital ni hospitali nzuri sana.Hapo ndipo Magufuli alipofia.Wadanganyifu waliosema alifia Zena
@fredyshirima8594
@fredyshirima8594 Жыл бұрын
Kumbe ni bora umtakie mwenzio maisha marefu kuliko kumtakia u mauti, sasa alietaka lissu afe kafa yeye, kweli mungu ni wa people's ✌
@Muda27
@Muda27 Жыл бұрын
Pole sana maana upo kizani.
@fredyshirima8594
@fredyshirima8594 Жыл бұрын
Ni vigumu kueleweka
@CalsonMbisha-iw4co
@CalsonMbisha-iw4co 5 ай бұрын
Kizur akidum ona mzalendo kaondoka msalit pamoja nakushambuliwa Bado afi
@mjungatv8172
@mjungatv8172 Жыл бұрын
Daah mungu ni mwema sana mzee wangu Allah azidi kukupa Afya njema
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 Жыл бұрын
Lisu. Unanifulahisha sana mungu akupe miaka mingi sana hata ukifa usioze
@maigathomas2353
@maigathomas2353 Жыл бұрын
Polee sana lisu
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 Жыл бұрын
Pole San kaka yangu Mungu mukuuu eveee.
@fiudikasitu3560
@fiudikasitu3560 Жыл бұрын
Pole sanaaaaaaaaaa Alie kufanya Ivo alishakufa mkundu yuleeee
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq Жыл бұрын
Allah atazidi kukulinda. Mh Lissu
@lenardwanjala4836
@lenardwanjala4836 Жыл бұрын
Glory belong to the Lord
@saidkanji9882
@saidkanji9882 Жыл бұрын
Pole
@officialkinghimself2637
@officialkinghimself2637 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe kwa kumponya mweshimiwa tundu lisu
@user-oh4ur6lt6d
@user-oh4ur6lt6d 4 ай бұрын
Hakika mungu nikuuu kuliko kituchochote ulinzi wake ni waajabu sana
@BARAKARNDEPESIMUIMBAJI-zj7fo
@BARAKARNDEPESIMUIMBAJI-zj7fo Ай бұрын
Kweli mungu ni mungu
@emanuelbukhay8790
@emanuelbukhay8790 Жыл бұрын
Maisha,yapomikononi mwa muumba yeye pekee ajua mwisho wetu si wanadamu
@zuwenaomar4201
@zuwenaomar4201 Жыл бұрын
Alietaka ufe mungu amzidishie laana na adhabu huko Alipo popote
@tabithasalimu3617
@tabithasalimu3617 Жыл бұрын
Pole sana mheshimiwa
@daudimhoha320
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Mungu.ni.mkuu.sana.alikutunza.kwanamna.yaajabu.naaendelelee.kukutunza.milele
@faustinejemsi1488
@faustinejemsi1488 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@swadatimmbaga7435
@swadatimmbaga7435 Жыл бұрын
Mungu akutunze na Aliokusudia mungu Amsamehe Tu.
@msafirizakayo539
@msafirizakayo539 Жыл бұрын
MUNGU ni mwema kila wakati
@mamaabduly
@mamaabduly Жыл бұрын
Mchukua camera unamshoot Sana mtangazaji.. Why
@seifali780
@seifali780 Жыл бұрын
Unatakiwa umkumbuke mungu sana maana wengine risasi mmoja tu.unarudi kwa mungu wako
@rodgersashioya3710
@rodgersashioya3710 Жыл бұрын
Rais wa Kiimla John Pombe Magufuli alitaka kuua Tundu Lissu. Demokrasia ni muhimu kwa kila nchi.
@rebecashumbi3450
@rebecashumbi3450 Жыл бұрын
Pole kakaangu sisi tulikuombea dunia iliomba
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
Mungu ni mwema.
@aminatasaid8531
@aminatasaid8531 Жыл бұрын
Pole Xn Mungu Atawalaani waliofny kitendo hicho
@zephaniamoson3632
@zephaniamoson3632 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@azuwaniriziwani2695
@azuwaniriziwani2695 Жыл бұрын
pole sana
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Pole Sana lisu ila wore waliotekeleza wamelaaniniwa na familia zao Tena wafe
@leonardsasita4634
@leonardsasita4634 Жыл бұрын
Duhhhhh!!!!
@andrewshustle1331
@andrewshustle1331 Жыл бұрын
GOD is Great ✨
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu 3 ай бұрын
Mungu mkuu
@user-yo1uh8kg6l
@user-yo1uh8kg6l 3 ай бұрын
Mungu mkubwa kaka
@jasminehaland-ko4qs
@jasminehaland-ko4qs Жыл бұрын
Mungu nimwema 😮😮
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 Жыл бұрын
Upo hai kweli tunamshukuru MUNGU
@user-zo4te6fn6l
@user-zo4te6fn6l 4 ай бұрын
Camera. Man crazy
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 Жыл бұрын
HUYU SIASA ZAKE ZA KIBWEEEGE TUPE MIKAKATI ACHA MASTORY YAMEOITWA HAYO ... UNAJIOYA GANI LA MARNDELEO TUKUSIKILIZE?
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын
Ungetibiwa na madoctor wa heshima wa bongo tungekusahau.
@hamzaabdallah8637
@hamzaabdallah8637 Жыл бұрын
Kidonda Cha kuingiza mkono halafu upone,ACHA siasa Mzee.
@CalsonMbisha-iw4co
@CalsonMbisha-iw4co 5 ай бұрын
Wange kuua kabsa msalit wataifa ww sema kitukibovu akipotei
@zachariakishaluli4234
@zachariakishaluli4234 Жыл бұрын
Duh!
@fatamaaktar2359
@fatamaaktar2359 Жыл бұрын
QR 😭
@shabanisudy6493
@shabanisudy6493 Жыл бұрын
Duh
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
Kikulacho unakijua, Wenyewe huko chamani mnajuana...
@tullyseth
@tullyseth Жыл бұрын
Ndo uokokeee
@BON357
@BON357 Жыл бұрын
Ilo tako kwenye kava mzee
@ismailyaru679
@ismailyaru679 Жыл бұрын
Sasa kwanini.unaupenda ushoga.unasapoti
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu Жыл бұрын
Maumivu uko nayo ndio mpka sai uko na asira.2baridi ikija lzima usikie
@kiboshokibosho-ou6um
@kiboshokibosho-ou6um Жыл бұрын
Msifufue mambo tena
@frankmbwilo
@frankmbwilo Жыл бұрын
TAYARI
@danielmgeni1703
@danielmgeni1703 Жыл бұрын
Itoahe kusema mungu ni mkubwa Na mungu ni Fundi
@ayubufumbuka3233
@ayubufumbuka3233 Жыл бұрын
Bora wewe ulipona je ulowasababishis mauaji Zanzibar huna hakili wewe kibalaka wa mabebelu
@samweljikxo9259
@samweljikxo9259 Жыл бұрын
Afrika iko wapi tanzania amka dah! Mzee huyu anaongea ujinga gani na watu wanamuamini , elimu elimu elimu hatuna ndo mana mmefungwa akili zenu,
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 Жыл бұрын
Hayo yameishapita! Lete sera zako za kujenga nchi. Umebakia kulialia tu na kutafuta huruma kwa watanzania. Huu ni ubinafsi ambao unazaa wizi na ufisadi.
@husseinmillinga
@husseinmillinga Жыл бұрын
Fara sana kuma la mamaako
@boniphacewambura1427
@boniphacewambura1427 Жыл бұрын
Kwakuwa huna roho ya huruma na kibinadamu Ila ingekuwa ni wewe ungesahau kusimulia anvyosimulia lissu
@faustinejemsi1488
@faustinejemsi1488 Жыл бұрын
Kuwa na huruma je ingekuwa wewe je au familiya yako
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Жыл бұрын
Si anajibu anachoulizwa mwandishi amemuuliza hivyo yeye ajibu sela wew mwenyewe tena utasema hajielewi
@hashimuntunda7405
@hashimuntunda7405 Жыл бұрын
Kwanini viongoozi mnategemewa nauma halafumna mnapenda kuzungumzia uzaifu mlionao wananchi tunawatengemeanyie
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 Жыл бұрын
HIVI WEWE MATREND YOOOTE YALIYOTOKEA BONGO WEWE BADO UNARUDIA HAYOHAYO KILA SIKU... EBU ONGEA VITU VYA KISASA HAYO MAMO ZAKO HATUZIPENDI NA WALA HATUKUONEI HURUMA ...TUNATAKA SIASA ZA MAENDELEO SIO MAKELELE NA MARADHI YAKO KAMA VILE MTU SPECIAL ACHA HIZO TUFANYE MAENDELEO. KIFUPI HATUTAKI MARADHI YAKO.
@mohamededdi7527
@mohamededdi7527 Жыл бұрын
Mjinga wewe usiokua na utu wala ubinadamu. Wala hujielewi.
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester Жыл бұрын
Umelaaniwa hekima na busara omba Sana hekima
@faustinejemsi1488
@faustinejemsi1488 Жыл бұрын
Wewe hujitabuwi
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@faustinejemsi1488 wewe unaejitambua tueleze atasimulia hadi lini ili tusubiri sera tusimalize mb kwa historia
@faustinejemsi1488
@faustinejemsi1488 Жыл бұрын
@@mamboshepea8888 wewe unataka sele zipi hama poiti zake huzielewi ana kisema utajuwa kipi
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 Жыл бұрын
Pole sana
@nzaukavutu9177
@nzaukavutu9177 Жыл бұрын
Pole sana
@selinalawala2270
@selinalawala2270 Жыл бұрын
Pole sana shujaa wa watatanzania na dunia Kwa ujumla, Mungu akutunze zaidi, wewe ulikuwa mtetezi wa wanyonge, Mungu hasahau kazi ya mtu, atakuinua zaidi.
@lwitikomusa1712
@lwitikomusa1712 Жыл бұрын
Mungu amekutetea lisu
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 78 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 25 МЛН
Umewazidi Wote | Bahati Bukuku | Official Video
7:02
Bahati Bukuku
Рет қаралды 19 МЛН
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 301 М.
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
Aliyepona KICHAA, AELEZEA ALIVYODHULUMIWA Mjengo MBELE ya WAZIRI
21:35
Global TV Online
Рет қаралды 392 М.
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
DW Kiswahili
Рет қаралды 757 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 78 МЛН