Chadema ni dhahabu inayopitia motoni,ili itoke safi🤔
@EssauMahundi15 күн бұрын
Katiba itende haki Kama inaruhusu kugombea yoyote.mruhusu pengine kunaweza kutokea mabadiliko zaiidi na lisu mshikilie Sana akitoka na chama kitakufa MS hangae mwakajuzi 1995 kunachama kikubwa kilivuma Cha upizani nccr mageuzi wakati was agustino lwatonga mrema uliza Leo Kiko wapi?sembuse chadema ndomaana natoa ushauli fuateni katiba yenu inasemaje Kama inaruhusu mwanachama kugombea ruhusu kwa ajiri ya amani
Kuna uchaguzi wa haki hata tuseme wapinzani wanashindwa.
@edsonmaguru540515 күн бұрын
Mh Mbowe Archie ngazi ili chama kisionekane cha wa haha peke yake amwachie Lisu na Heche
@Aggreymbugano13 күн бұрын
Nah imani kwa Chama imepotea kabisa wananchi walikua wana Kauli uchaguzi wa mwaka 2015 na tatizo lilianzia pale walipo mpitisha Lowasa agombee uraisi wakaona haitoshi wananchi walimpigia mzee Lowasa kura na alishinda na bado Lowasa akusema kitu juu ya lile, CCM iligombea mara 2
@edsonmaguru540515 күн бұрын
Chama cha demokrasi kisichofuata democracy ndani yake
@EmmanuelMlowe-u1v11 күн бұрын
Lisu anavuna alivhopanda atuambie kwann walitoa ukomo.ilikuwa nikuwafitin wale wote waliokuwa wanataka kugombea uenyekit leeo wewe unataka wewe kuhombea wakati halafu hutaki mbowe agombee kwann?
@FatmaAli-i8g15 күн бұрын
Ni zamu ya Lissu bro usipayuke, tulia dawa iingie 🤣🤣🤣
@hashimkassim704315 күн бұрын
Mchambuzi feki huyo sasa hv ni zamu ya Lisu Mbowe alizike na alipokula
@IbrahimKasambala-ts8re14 күн бұрын
Mbowe na kundi Lako mkijalibu kumwengua lisu mtavuna mtakachopanda mnyika chonde