Naomba mungu aniponye kifua changu akaachilie utukufu wake kwa damu ya yesu
@FaustinaEmmanuel-b5oКүн бұрын
Ee mwenyezi mungu naomba unisaidie nipone na niweze kuluhusiwa hosptali kesho
@suzanekisangaКүн бұрын
naomba mwezi huu usiishe kwenye familiya yetu kama kunamtu ameweka vifungo vyao katika eneo letu vikatoweke na kumrudia mwenyew katika jina la yesu....
@MariamPeter-tf1peКүн бұрын
Ee mwenyezi mungu naomba nipate mme mweme wakwangu peeke yangu naomba mateso iwe mwisho leo na machozi yangu yakome kwazia leo ukanijibu leo mm irene nateseka kiuchumi na pasito kuolewa naimani leo nimepona kwajina la yesu
@GisèleNyemboКүн бұрын
Gisèle nyembo mungu nifunguwe kiuchumi na nipe mume wangu mipeke