Nimepokea Baraka kwa uwezo wa mungu nimepokea mume wangu kutoka kwa mungu nimepokea kazi yangu kutoka kwa mungu nimepokea nyumba yangu kutoka kwa mungu nimepokea gari yangu kubwa haría kutoka kwa mungu
@evelinakambanga512211 минут бұрын
Mungu awalinde wanangu wanaenda kulipoti shule
@Nyinawabera-cy4be37 минут бұрын
Najiunganisha na comboa familia naomba mungu nipone shingo nakichwa kiurahisi
@YumbuKacheyekele24 минут бұрын
Eeee we yesu naimba kanikabizishe Kwa mtumish wako anibarik nami
@MariaChambuya20 минут бұрын
Napokea kwa jina la YESU
@SergeWisdom42 минут бұрын
Namini yakwamba mwakau nitafika america
@KeciaChaula-z3s49 минут бұрын
Nimepokea
@YumbuKacheyekele27 минут бұрын
MUNGU kupitia maombi na ushuhuda huu naimba NAMI uni tendee NAMI siku Moja nikawe mja ya watoa ushuda kwenye mazabahu hii ,nifanikiwe kimaisha