Ni Hyline kutoka Kenya mungu amenitoa Kwa stress kupitia mtumishi barikiwa Sana na familia yako David.
@lilianeerica33182 ай бұрын
Ameeeen nimebarikiwa na mahubiri haya Mungu akubariki sana mtumishi🙏🙏🙏 tangu Mungu alipo nikutanisha na channel hii nikakufahamu nimejifunza mambo mengi sana pia imani yangu inazidi kuongezeka Mungu akubariki sana na azidi kukutunza Ameeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@SusanMburu-pi1bo2 ай бұрын
Nipee imani,,,,,,bwana nipeee uvumilifu
@user-xu5iu2fy4f2 ай бұрын
Jambo muchungaji kumbe mwaka huu ume ahirisha Ku ende inje ya inchi tulikuwa nakusubiri kwa hamu Congo tuna barikiwa sana na mahubiri Mungu azidi kukuzidishia hekima na maarifa
@shaniachanceline27512 ай бұрын
Amen, Asante Sana nabarikiwa na Mahubiri TV❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jannykomu53452 ай бұрын
Pastor Mmbaga lini unakuja Bukoba? Mungu akubaliki kwa mahubiri Yako mazuri tangu nimeanza kukusikiliza nimebarikiwa sana
@scolastikapeter58922 ай бұрын
Nimebarikiwa na mahubiri mchungaji, Mungu akupe zaidi maarifa haya ili yatufae
@ngiksfood2 ай бұрын
Ameen
@annettegeorge24242 ай бұрын
Nakuombea Mungu aendelee kukutumia Pastor Mmbaga . Balikiwa sana na familia yako.
@MahubiriPrMmbaga2 ай бұрын
Amen
@freddyvyambwere74042 ай бұрын
Amen... Amen🙏🏼🙏🏼. Asante sana Mchungaji kwa mahubiri haya, nimesha barikiwa kiroho pia kimwili. Mungu akubariki sana.
@Vincentsamorasudi2 ай бұрын
Naiweivyo, Mungu wetu atukuzwe milele Mchungaji ni kweli uchoyo austahili kwa wana wa Mungu.
@ghvb94212 ай бұрын
Asante Yesu tenda yaliyoyako kwetu kwautukufu wako amen
@user-jg3yy3tj2v2 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu uhishi milele kwamaana nimebarikiwa n'a ninaamini kabisa Yesu amanitosha katika haliya kuzarauliwa kwakikakitu👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
Amen Amen mjungaji mafuzo yako yanabadirisha maisha yetu growly to JESUS
@virginiav45952 ай бұрын
Barikiwa.sana.pastor
@LucyMgallah-bb1nl2 ай бұрын
Karibu tunduma tunakusubiri Kwa hamu
@Brayanikerisa18 күн бұрын
Ubariikiwe sana mtumishi
@DeboraMwanduteАй бұрын
MUNG akulinde siku zote asantee kwa kuwa MUNG anakutumia vema
@upendomaduhungalula66412 ай бұрын
Mungu akubariki Sana Mchungaji, Somo la Leo limeniongezea Imani. Ninazidi kumjifunza Mungu Mkuu wa Mbinguni. MUNGU AKUTUNZE NA FAMILIA YAKO
@FurahaGisele-wz1mb2 ай бұрын
Que Dieu te bénisse mon pasteur préfère nous t'aimons beaucoup
@KipembeNsajigwa2 ай бұрын
Ubarikiwe sana pr David nasonga mbele kwa imani.
@natihaikamjema61302 ай бұрын
Nataman na mm kuchangia katika huo mkutano Pastor.
@metrinenyongesa77572 ай бұрын
Ameen mungu akutie nguvu pastor.... Umenijenga kiroho zaidi
@user-qb1uq1eo5t2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi hii ni kweli kabisa
@user-ny1zs8hd2o2 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@user-rv7nm5ep4p2 ай бұрын
Bwana YESU asifiwe mtumishi wa Mungu, naitwa Aziza Shaban nilikuwa naomba nami nishiriki baraka hizo, Kwa chochote nitakachokipata, nipo nje ya nchi.
@foncetecelectricalandelect342 ай бұрын
Mungu akubariki
@user-rv7nm5ep4p2 ай бұрын
Namba naipataje?
@carolinemwango59672 ай бұрын
Mungu atukuzwe kwa mambo makuu
@JanetBosibori-ww3cf2 ай бұрын
Mungu apewe sifa mikutano hiyo ya nchili.
@mlishohadija69232 ай бұрын
Amina mungu akubariki PR
@user-dn4bj2xl5k2 ай бұрын
BWANA YESU ASIFIWE, KWANI TUKO PAMOJA, NDUGU WENU MKENYA BALI NIKO INJE YA NCHI NAOMBA NUMBER INAYOYUMIA M-PESA, HATANAMIE MKONOWUNGU UFIKE KWA AJILI YA KUTUNZA WAGENI WETU 🙏🙏