LIVE: AIR TANZANIA YAWARUDISHA WANAFUNZI WALIOKWAMA CHINA

  Рет қаралды 40,193

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 190
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 4 жыл бұрын
Namshukur munguu kwa kunitoa chaina salama Mimi nilikuwa mmoja wa watanzania walio kwama nchini chaina na tunamshukuru rahis wetu magufuli kwa kazi nzuri alio ifanya baba huyu wa taifa namshukur mungu kwa kunirejesha mapema nimpigie rais wangu kura naamin kura yangu niyamuhim Sana jmn Sina mengi ya kusema zaidi ya kutoa shukran zangu kwa taifa la Tanzania nawapenda sana 💞
@hassanabdalla7644
@hassanabdalla7644 4 жыл бұрын
Hapa ndipo tunapo ona umuhimu wa kuwa na ndege akina lisu wanaona haya magufuli atabaki kuwa juu mawinguni
@nancymsiburu1754
@nancymsiburu1754 4 жыл бұрын
If I had met my president and maghufuli draining and I was told to save one,,,trust me I would run to save maghufuli...this guy is not just a leader its aGod sent...be proud of him...tanzania has now become among the third world countries after along period of time Aiseeeee!!!mi nampenda bure tu for real this is just adad..long live maghufuli. ..nakupenda lucha mi si mtanzania.. .
@jacksonmeena8370
@jacksonmeena8370 4 жыл бұрын
Ongera John pombe Makufuli hii inatia raha sana unapokuwa nje ya nchi alafu chombo chenu kinakuja kuwachukua inatia raha sana
@ama7742
@ama7742 4 жыл бұрын
Hii ndio faida ya kua na ndege yetu. Hata siwaelewagi wanaobeza maendeleo ya Tanzania
@calvinalva3900
@calvinalva3900 4 жыл бұрын
God Bless Tanzanzania proud to be Tanzanian
@rajabmnyimwa3126
@rajabmnyimwa3126 4 жыл бұрын
I appreciate Millard AYO TV, wengine wamelala lkn wewe unakesha kwa kutupatia habari kama hizi. Tufanyie coverage ya mradi mbezi bus terminal, rufiji HEP,
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 4 жыл бұрын
Binafsi ninajivunia uwekezaji huu, watu hatukuona umuhimu lakini wakati wa majanga kama Haya Ndiyo utajua cha mtu mavi, kama tungekuwa hatuna ndege zetu hawa ndugu zetu ingechukua muda mrefu kurejea nyumbani. Kipekee nampongeza Rais wangu kwa matumizi mazuri ya pesa za watanzania. Good Job JPM
@StellaStella-ee9fe
@StellaStella-ee9fe 4 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
Amen
@ababuumwanazanzibar4908
@ababuumwanazanzibar4908 4 жыл бұрын
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1 Air Tanzania Songa Mbeleee
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 4 жыл бұрын
Baadhi ya mambumbu walimtukana Rais ndege ya nini leo tumeona faida kubwa ya kuwaleta ndugu zetu pia na India
@juxjemc5768
@juxjemc5768 4 жыл бұрын
Hata ww ni mpumbavu mbwa mkubwa wee unaita wenzako wapumbavu kwan km wangeamua kurud hao wangeshindwa ??
@vitarismujuni6889
@vitarismujuni6889 4 жыл бұрын
@@juxjemc5768 Ila we jamaa unashukuran za punda sema qer/lisu kawachzsha nyie?
@juxjemc5768
@juxjemc5768 4 жыл бұрын
vitaris mujuni bado hujaongea kitu
@chandrasrilanka5785
@chandrasrilanka5785 4 жыл бұрын
@@juxjemc5768sibishanagi na mbumbu Kama wewe
@chandrasrilanka5785
@chandrasrilanka5785 4 жыл бұрын
@@juxjemc5768 wewe mbwa mwitu
@oscarcharles9269
@oscarcharles9269 4 жыл бұрын
Huu ndiyo umuhimu wa kua na Rais JPM. Tanzania oyeee, CCM oyeee, JPM oyeeee.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Pole zao kwa hao watanzania... Mungu aendelee kuwasimamia🙏🙏🙏🙏🙏
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 жыл бұрын
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
Umeongea point kiongozi 👌
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Magufuri hawezi hana uchu wa madaraka
@ezeckiambughi7956
@ezeckiambughi7956 4 жыл бұрын
OK
@msanabukere7835
@msanabukere7835 4 жыл бұрын
Kwa maghufuli cna ttzo sasa ukisema rais afanye bila kikomo wa mda alfu ikapitixhw ivyo mwingn akaingia madarak ikiw ivyo bila kikomo wa mda alfu anataman na hela ya uma itakuaj nasheria ikapitixhw alfu upate watu kam membe, muuongo tibaijuka genge waliyopiga scrow epa wanasema hela ya mbonga tu
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 4 жыл бұрын
Nakuunga mkono ni bora tufanye kama China walivyo mridhia raisi wao hawataki raisi mwengine.
@g_eazmusic1329
@g_eazmusic1329 4 жыл бұрын
Mwambieni lisu agombee tu ubunge rais tunae tayali
@nururaymond5
@nururaymond5 4 жыл бұрын
😂😂😂
@mwanaidyibrahimu8861
@mwanaidyibrahimu8861 4 жыл бұрын
HAHAHAHAH
@HASASON
@HASASON 4 жыл бұрын
Hata ubunge hapiti
@amouramour9712
@amouramour9712 4 жыл бұрын
h
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
Awahi udiwani kama kutakuwa na nafasi coz hata ubunge hapati
@felistasrotich5034
@felistasrotich5034 4 жыл бұрын
Glory to Almighty God 🙏 that they landed safe.
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 4 жыл бұрын
Barikiwa sana rubani wetu kwa kuwafikisha ndugu zetu salama mungu akutunze na azidi kukuweka ktk mikono salama tunakupenda sana
@goodluckkayoka4352
@goodluckkayoka4352 4 жыл бұрын
Baadhi ya watu hawakupenda kununuliwa ndege hizi kwakudai kuwa...! ***Zinatusaidia Nini???*** ila siku zote waswahili wamesema...! ***Usipo jua kusoma angalia hata picha tu utaelewa utajifunza kitu*** DR.JOHN MAGUFULI Raisi wangu kipnz Big up Sana mzee Baba don't give it up sir
@saidamour9861
@saidamour9861 4 жыл бұрын
Tanzania number one
@christinamwambola9329
@christinamwambola9329 4 жыл бұрын
Ahsante Raisi wangu Magufuli umeiheshimisha nchi yetu, sure tumewasindikiza wenzetu nchi nyingine wanaitamani Tanzania coz wapo huku na still hawajui lini watarejea kwao.
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 4 жыл бұрын
Ndugu zeta wamerudi alihamdulillah hongera Anko magu
@henrylugongo632
@henrylugongo632 4 жыл бұрын
Lakini watz.wanasema hawaoni kuwa na faida na ndege
@kambamazig02024
@kambamazig02024 4 жыл бұрын
Asiyekuwa na macho haambiwi tazama. Bila ya hizi ndege vijana wetu wengi na wataalam wetu wa kizazi kijacho wangehangaika na pengine kufia huko ugenini bila ya msaada wowote ule.
@amouramour9712
@amouramour9712 4 жыл бұрын
h
@danieljulius4708
@danieljulius4708 4 жыл бұрын
Hao ni wana chademaaa. Siyo watz kwa ujumla wake.
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
@@kambamazig02024 wangeishia kufagia barabara huko china
@yassiniferuzi2867
@yassiniferuzi2867 4 жыл бұрын
CHADEMA na ZITTO mnaona hiyo mnasema Ndege za nini Mazwazwa nyie mkapige pasi
@n.y.smedia4145
@n.y.smedia4145 4 жыл бұрын
Ni vizuri sana
@joshuakalinga344
@joshuakalinga344 4 жыл бұрын
Karibuni ndugu zetu waaaooooo!!😂😂😂 Poleni nasafari mwee nimeumia Sana'a kusikia mulikwama kwamda mrefu lakini kumbukeni tuna mtu jembe magufuli wetuuuuu umeisomaaa iyooo babu yaani imeandikwa hapa kazi tu imetuludisha kwe2 tZ MUNGU akubariki magufuli niwetu kula zoooooooooteeeeeeeeee! Win.👆
@naimaabdul142
@naimaabdul142 4 жыл бұрын
Hongera...Tanzania itakuwa juuu
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Asante MUNGU kwa kuwarudisha salama watanzania wenzangu🙏🙏
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
Amen
@g_eazmusic1329
@g_eazmusic1329 4 жыл бұрын
Mwambieni lisu ogombee ubunge
@abdallhaibrahim3816
@abdallhaibrahim3816 4 жыл бұрын
Mashallah hakika tunamshukulu mungu kuwa saidia ndugu zetu wameludi salama
@charlesotwalo9335
@charlesotwalo9335 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote, hongera sana Air Tanzania, na Taifa kwa ujumla
@josephthabit4193
@josephthabit4193 4 жыл бұрын
Safi sana ila tu ningependa sana kuona ndege zetu zikiwa very active na competitive has kwenye regional flights. Kuna wasafiri wengi sana wanaokuja tanzania wakipitia Ethiopia. Kama tukiperform vizuri, thuinaweza kuishare markeet hiyo na Ethiopian
@januarylonga8864
@januarylonga8864 4 жыл бұрын
Watanzania wenzetu tungewaludisha kwa usafiri gani watanzania tuache siasa zisizo za faida kwenye pongezi tuache majungu raisi tumpe pongezi sana
@jinaali4370
@jinaali4370 4 жыл бұрын
Allah ainawirishe Tanzania milele!!!
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
Amen 🙏🙏.
@sophiakatogoro2234
@sophiakatogoro2234 4 жыл бұрын
Amiin
@ahmedmahamudu4140
@ahmedmahamudu4140 4 жыл бұрын
Amiin
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 4 жыл бұрын
Nimewaona wajumbe jna wakikwenda kumpokea roporopo na akijiona kashinda urais sasa atambue pale airport jna waliokwenda kupokea wachache walikuwa chadema lkni wengi wao walikuwa wajumbe atakiona October faida ya na hasara za wajumbe
@joshuakalinga344
@joshuakalinga344 4 жыл бұрын
Bora nife c.c.m nambari 1
@mdzainb3722
@mdzainb3722 4 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania mbariki Mh,,John Pombe Magufuli 🙏🙏🙏
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
Amen
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Najivunia kuwa mtanzania halisi, Mungu ibariki tz yetu,
@felistasrotich5034
@felistasrotich5034 4 жыл бұрын
God bless Tanzania
@Fabulousmom509
@Fabulousmom509 4 жыл бұрын
Tanzania Oyeee!
@zinbormdan9813
@zinbormdan9813 4 жыл бұрын
Mungu amsaidie rais wetu ampe nguvu
@musemakweli63
@musemakweli63 4 жыл бұрын
Hii hatua inapatia uraia wa Tanzania maana zaidi...nchi nyingi za kiafrika hazina moyo na uwezo wa kufanya hivo...hongera kwenu..waTZ..
@mwamibukulu7745
@mwamibukulu7745 4 жыл бұрын
Mtangazaji umepoa sana endelea kujiendeleza zaidi kishule
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
Wow mashaallah 🤗🤗Asate rais joni makuful 💋
@japhetpeter1692
@japhetpeter1692 4 жыл бұрын
aysee magufuri tena 2020
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
TUNASHUKURU SANA MUNGU AMEWARUDISHA NDUGU ZETU WATANZANIA WETU NYUMBANI SALAMA. AMINA
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 4 жыл бұрын
No one like JPM ..alhamdullilah yarabi
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Hongera sana
@konceptualagency4837
@konceptualagency4837 4 жыл бұрын
Sasa nimeelewa kwanini Zambia na wao wamewafungia wa Kenya kumbe sisi tuliwasaidia
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Chadema na Dada yenu Mangekimambi mtuache kwa na magufuri wetu, gombeeni ubunge na udiwani huko,
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
MAGUFULI ANA AKILI ZA HALI YA JUU SANA SANA. SIJUI NIMFANANISHE NA MANI HAPA DUNIANIA. SIONI KABISA.
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 4 жыл бұрын
Zito aliwaambia wananchi wa kigoma wakija wakiwaambia tumenunua ndege msiwasikilize maana nyinyi hampandi hizo ndege zao, siasa za majita taka zimewafanya kuwa wachonganishi wa serikali na wananchi.
@peterkailembo4101
@peterkailembo4101 4 жыл бұрын
Ni uzuri wa kuwa na usafiri wako mwenyewe, kama Rais alijua kuna tatizo la Corona linakuja
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
Kumbe hata Oman ndege zetu zinaweza kuja kutuchukuwa tusiomudu gharama kubwa za tiketi za Oman air kwa sasa. 🇹🇿🙏
@ameenasur656
@ameenasur656 4 жыл бұрын
Tena waje oman mim nimesubil MAGU baba tufikilie na sis
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
@@ameenasur656 kwakweli tunaitaji uo msaada
@CarosKitchen
@CarosKitchen 4 жыл бұрын
Oooooooh
@joshuakalinga344
@joshuakalinga344 4 жыл бұрын
Magufuli hakuna mwingine tanZania uyo nikiboko yamaendeleo kama ulaya lisu kafie mbele wabongo kula c.c.m tunanema tZ fahari yetu hao waliotumwa namabeberu eti lisu nim2 gani uyo tukiwapa uongozi hawwa watapiga mnada Mali zote fyng over magufuli nchi imetakata Sana'a aaaa hapa kazi tu.
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 4 жыл бұрын
Ifikapo uchaguzi wa rais kura yangu achukue magufuli sina neno juu ya huyu baba akika ni baba wa taifa na nchi za njee wanataman Sana wangekuwa na rais Kama huyuu ee mungu mtangulie rahis wetuu awe katika mikono salama🙏
@khalidkaijage8264
@khalidkaijage8264 4 жыл бұрын
Kaz nzur
@shairanadam1443
@shairanadam1443 4 жыл бұрын
Dah kwhy sisi kwnde unyemwezin nd bas tn😢
@jssaa4733
@jssaa4733 4 жыл бұрын
yan nadhan had baadae san
@shairanadam1443
@shairanadam1443 4 жыл бұрын
jᎬssᎬ ʍǟɖǟ daaaah! Aseeeee mung atusaidie airport zifngliwe 😭😭😭😭😭
@kyaro5945
@kyaro5945 4 жыл бұрын
is this live?
@abdulsalum9520
@abdulsalum9520 4 жыл бұрын
💕
@evadotv9528
@evadotv9528 4 жыл бұрын
Safi sana
@slyvesternzogera5340
@slyvesternzogera5340 4 жыл бұрын
Milard ayo saiv video zenu zina shida nyingi tutawakimbia,lekebisheni wahusika ili tufurahie subscribe zetu
@fadhilhaule9618
@fadhilhaule9618 4 жыл бұрын
Abuu karibu Tz tupige nyungu kaka
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 4 жыл бұрын
Haya Sasa hapa kazi tu
@goodluckulimboka8398
@goodluckulimboka8398 4 жыл бұрын
KWELI JPM AMEJUA KUTUHESHIMISHA WATANZANIA....BILA NDEGE ZETU HAYA YASINGEWEZEKANA.... MAGUFULI ANAMAONO YA MBALI SANA .....IKIWEZEKANA KATIBA ITULIE KIDOGO KUHUSU RAISI JPM ATUONGOZE HADI 2035
@boyjopar8717
@boyjopar8717 4 жыл бұрын
Hivi kuna mtu aliwasili leo Ayo Tv hamkutupa info
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Tanzania kwanza mbwembwe zingine baadae, na hao wapiga kelele eti ndege za nn hivi sijui wanakuwa na akili gani,
@januarylonga8864
@januarylonga8864 4 жыл бұрын
Iyo ndiyo faida mojawapo ya nch kuwa na ndege binafsi watanzania tujifunze kupitia matukio kama ayo maana wengiwetu walikuwa wakimraumu Sana raisi kuusu kununua ndege ayo Ni majibu
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 4 жыл бұрын
Bora mmerud aiseee
@habirrashdi81
@habirrashdi81 4 жыл бұрын
Msimulizi wa habari hayuko sawa anatafuna maneno
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumbani
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 4 жыл бұрын
Tusingekuwa na ndege hawa ndugu zetuwangesota sana huko China
@k_boy4236
@k_boy4236 4 жыл бұрын
Wow
@yolamuyolamu8666
@yolamuyolamu8666 4 жыл бұрын
SHukurani.zimwendeye.raisi.mwenye.maono..ssm..ju.u
@amirikoshuma3039
@amirikoshuma3039 3 жыл бұрын
Rip magufuli
@chuimnyama9074
@chuimnyama9074 4 жыл бұрын
Magufuli ni habari nyingine V12 petrol BABA lisu kavaee shanga tuuu
@TheMandela21
@TheMandela21 4 жыл бұрын
Huyu mwandishi anaweza akawa hawafanyi safari wakati anajua wamefunga aha zao
@abdallahmuhammed2279
@abdallahmuhammed2279 4 жыл бұрын
wawekeni karantini jamani
@abdallahmuhammed2279
@abdallahmuhammed2279 4 жыл бұрын
hawajielewi hao wanaobeza maendeleo yatanzania hawana akili
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
Tuwaombee kwa Allah awafungue ufaham wajionee mazuri yanayofanywa na serikali yetu
@gastonestor9408
@gastonestor9408 4 жыл бұрын
oya bbn 😁😁😁
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 4 жыл бұрын
Nimefurahi kuona ndega zetu zipo kazini
@abdallahmuhammed2279
@abdallahmuhammed2279 4 жыл бұрын
acheni ujinga kwani mukiwa nacosta kwenye familia ikitokea safari hamutowi pesa kwenye sarfari hiyo kwakua gari ni yakwenu
@arnoldluwibwakila3458
@arnoldluwibwakila3458 4 жыл бұрын
Haifanani na gari ya kukodi au kuazima inaweza kuchelewa au isiendana na mahitaji unayotaka kubeba,Cha kwako ni chako tuu.
@TheMandela21
@TheMandela21 4 жыл бұрын
Nabadilisha huenda ana akili sana au kilaza flani huyu journalist au ana akili kupita kiasi...
@sakinabakari9813
@sakinabakari9813 4 жыл бұрын
Ewe rais wetu mheshimiwa wetu magufuli tusaidie hata sisi tuliopo omani tumekwama huku mabos wetu hawataki kutukatia tiketi kwa kuwa nauli iko juu sana ewe baba mwenye huruma tuhurumie tumeikumbuka Tanzania yetu tumemaliza mkataba lakini tatizo ndo hilo
@ameenasur656
@ameenasur656 4 жыл бұрын
Jaman nilizan ni mm tu ambae bos hatak kunikatia tiket tena ukimgusiatu anakua mkali na kashaniambia nitakaa adi siku tiket iwe km zaman sasa nimiez 3 tangia nisubul MAGU baba tusaidie
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 4 жыл бұрын
Lisu amerudi kwa ndege ipi?
@maatumkadhi1760
@maatumkadhi1760 4 жыл бұрын
🤣🤣amerudi na ungo
@amouramour9712
@amouramour9712 4 жыл бұрын
h
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
Ethiopia airline
@carolinemahatane4431
@carolinemahatane4431 4 жыл бұрын
Magufuli aendelea mpaka Miller MUNGU ample afya njema
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Muripambana kweri
@kholaalmahrizi8525
@kholaalmahrizi8525 4 жыл бұрын
kwani wamerudishwa bure hapo kila mmoja katowa ticket mwenyewe
@mwanaidyibrahimu8861
@mwanaidyibrahimu8861 4 жыл бұрын
@Change Mindset Ahahaahaa dah watu mnamajibu
@officialjohanesmkandara4301
@officialjohanesmkandara4301 4 жыл бұрын
Kama nauli waliku nayo si wangepanda zingine wakaunganisha unganisha mpaka wakafika
@ashurahussein9748
@ashurahussein9748 4 жыл бұрын
Sawa wamelipia ila gharama ya chini, nauli ya ndege kutoka China hadi bongo sasa ni ghali sana
@amouramour9712
@amouramour9712 4 жыл бұрын
h
@juxjemc5768
@juxjemc5768 4 жыл бұрын
Hahahaha anaenda kutoa ushamba usishangae akapiga pcha zaid ya 50 akapost zote fb na Instagram
@jssaa4733
@jssaa4733 4 жыл бұрын
😀😀😀
@TheMandela21
@TheMandela21 4 жыл бұрын
Kabisa huyu jamaaa the Journalist he lacks knowledge...seems unprofessional and unprepared....he lacks energy and asks the same questions repeatedly!!!!
@bongo255tv7
@bongo255tv7 4 жыл бұрын
Uyu mtangazaji hanakera sana
@officialjohanesmkandara4301
@officialjohanesmkandara4301 4 жыл бұрын
Ata me simwelewi aisee
@judaspantaleo9779
@judaspantaleo9779 4 жыл бұрын
Kwa lipi
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 4 жыл бұрын
Pia kenya kuna wa tz wenzetu wamekwama huko🤣🤣🤣🤣watumiwe ndege
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 4 жыл бұрын
Tutawatumia mabasi
@jssaa4733
@jssaa4733 4 жыл бұрын
@@abdallahmuttaq7306 😀😀😀😀😀😀😀😀😀dah kenya ni kama nchi moja na tz hao watumiwe daladala tu
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
@@jssaa4733😂😂😂😂😂😂😂hata kwa mguu wanakuja mdogo mdogo wakipiga story
@jssaa4733
@jssaa4733 4 жыл бұрын
@@johnmlay4759 😀😀😀😀😀😀😀😀😀 na watawah kufika c unajua mkitembea mnapiga story inavyokua😀😀😀
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
@@jssaa4733 😂😂😂😂😂kabisa ujikutaga ushafika unapoelekea bila hata kujua umefikaje unabaki mkijiuliza kumbe tushafika mbona tuliona ni mbali?
@pauldaniel5685
@pauldaniel5685 4 жыл бұрын
Bado reporting yako si nzuri
@TheMandela21
@TheMandela21 4 жыл бұрын
Kabisa huyu jamaaa the Journalist he lacks knowledge...seems unprofessional and unprepared....he lacks energy and the same questions repeatedly!!!!
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 4 жыл бұрын
Ndege inawekewa vigingi au??
@happyjohn5882
@happyjohn5882 4 жыл бұрын
Yeah zinawekewaa sio hyo tuu,kuna mazingira wanawekaa kwa taadhal
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 4 жыл бұрын
@@happyjohn5882 haina hand break au??
@TheMandela21
@TheMandela21 4 жыл бұрын
@@dintazdintaz7311 machine nzito hiyo vigingi vinahusika
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 4 жыл бұрын
@@TheMandela21 ckua najua kabsa maana hizo vtu hua tunaweka kwenye fuso zetu ambazo brek ni ya kugushi mzee
@mustapharama4063
@mustapharama4063 4 жыл бұрын
Watuletee ubunifu sio story
@burudanitv874
@burudanitv874 4 жыл бұрын
Untka ubunifu eneo gan
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
Alafu kuna Majitu yaliwahikusema ndege za nini?? (HÖNIG IM KOPF)
@emmanuelmtingwa4838
@emmanuelmtingwa4838 4 жыл бұрын
Manche Leute reden nur Müll ..
@nancymsiburu1754
@nancymsiburu1754 4 жыл бұрын
Magufuli tosha.....kenya tuko kenyan airways nyinyi lakini hawawezi saidia wakenya kazi ni kuongeza idadi ya watu wako na mafua ati ni corona
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 4 жыл бұрын
Ndio mana mimi nime toka huko kwenu kwasasa niko kwetu raha sana
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 4 жыл бұрын
Poleni Sana Sana ndugu zangu, Kweli tunamshukuru Mwenyezi Mungu nchi yetu inasonga na jemedari wetu hatikisiki, tunajua Covd19 ipo na tunaamini turaishi nayo, Hivyo ni lazima maisha yasonge
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
Sisi watz tunamwamini muumba wetu aliyejuu na kasema Corona tz mwiko na kweli ni mwiko tunamshukuru Mungu kwani hashindwi na lolote ukimuomba, alisema ombeni nanyi mtapewa
@nancymsiburu1754
@nancymsiburu1754 4 жыл бұрын
@Change Mindset uhuru ni corrupt guy kazi ni kukopa madeni China ndio maana wengine wetu tumehama kenya hustling in different world....I just hate my country....for real maghufuli is the best if I was tanzanian walai I could vote for him
@nancymsiburu1754
@nancymsiburu1754 4 жыл бұрын
@@kacherosimba5762 kenya is not a county to live...that is aliving hell
@kisulaabas2614
@kisulaabas2614 4 жыл бұрын
Hivi ndio hawa alikuwa anapost bongo bahati mbaya
@abdallahmuhammed2279
@abdallahmuhammed2279 4 жыл бұрын
inaendea maji itakuwa au lazima utowe mchango wamafuta acheni ujinga wenu
@iwenikigodiiwenikigodi4817
@iwenikigodiiwenikigodi4817 4 жыл бұрын
Inge kua haipo hayo mafuta ungeweka wapi?
@burudanitv874
@burudanitv874 4 жыл бұрын
Pimbi mmoja aksema inaenda n.a. maji
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 жыл бұрын
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@joshuakalinga344
@joshuakalinga344 4 жыл бұрын
Magufuli hakuna mwingine tanZania uyo nikiboko yamaendeleo kama ulaya lisu kafie mbele wabongo kula c.c.m tunanema tZ fahari yetu hao waliotumwa namabeberu eti lisu nim2 gani uyo tukiwapa uongozi hawwa watapiga mnada Mali zote fyng over magufuli nchi imetakata Sana'a aaaa hapa kazi tu.
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 10 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН
VIDEO: NANDY ALIVYOMPIGA BUSU BILLNASS JUKWAANI
5:25
Millard Ayo
Рет қаралды 234
Kutana na rubani wa kwanza mwanamke wa Zimbabwe
1:14
DW Kiswahili
Рет қаралды 13 М.
The Mathematician Who Discovered Math's Greatest Mystery
12:21
Newsthink
Рет қаралды 220 М.
The Destruction of Madinah and The Greater Israel | Ustadh Wahaj Tarin
51:59
OnePath Network
Рет қаралды 1,4 МЛН
CHUO KIKUU CHA KWANZA CHA URUBANI TANZANIA KUJENGWA KIA
1:26
Millard Ayo
Рет қаралды 9 М.
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20