MAKUBWA YA MWANAMKE RUBANI SHUJAA, ALIYESIFIWA NCHI NZIMA, AKASHUSHA NDEGE MBELE RAIS SAMIA

  Рет қаралды 43,093

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@sophiapeter7843
@sophiapeter7843 Жыл бұрын
Mtangazaji angekuwa ndio rubani tungemkoms😢 anajishaua Sana CJAPENDA
@MursalMursal-op3ly
@MursalMursal-op3ly Жыл бұрын
Mwandishi bado hajakomaa kufanya interview kma ingekuwa mimi ndo ananihoji ningemhoji na yeye😂 kazi emeanza lini
@ramadhanidaudihaji2174
@ramadhanidaudihaji2174 6 ай бұрын
Lol 😂😂
@JoshuaMsotejr
@JoshuaMsotejr 6 ай бұрын
🎉pamoja. Dada🎉
@rashidiurio6369
@rashidiurio6369 6 ай бұрын
Mammy hongera sana haswa kwa ujasiri, mwenyenzi Mungu azidi kukupa nguvu na afya njema Maswai.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Huyo rubani ametokea familia yenye uwezo amesoma kenya , Uganda na South Africa Kwa hiyo hajasoma kwenye elimu za kitanzania . Mngewahoji rubani wa kike kama wapo waliotokea maisha ya chini na kuhangaika hadi kuwa marubani yaani humble beginnings! Huyo sio mtoto wa kabwela Kwa hiyo kuwa rubani kwake sio maajabu !
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Жыл бұрын
Mwenye wivu utamjua tu 😊
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@abdallahdataguy unaongea utumbo kitu gani cha kumuonea wivu huyo
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Sio watoto wote waliotoka familia zenye uwezo wanaweza kuwa rubani. Hivyo sio uwezo ni juhudi zake mwenyewe. Tuliopiga msuli shule tunaelewa isivyo rahisi hata kama unapelekwa shule nzuri/ nje ya nchi lazima ukomae eti😮
@BabaTheo
@BabaTheo Жыл бұрын
wengi watashangaa maoni yako lakini mtu akikaa chini na Kuwaza basi atajua Tanzania bado hyu ni mtanzania tuu ila hajapata vtu Tanzania
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@ilovejesus9303 acha uongo tunajua elimu ya ughaibuni na ukisoma shule nzuri ukisoma shule nzuri chances za kutoboa kimasomo ni kubwa mno ndio maana watoto wa matajiri hawawezi kufaulu vyuo vya tz, ila ughaibuni wanafaulu! Angesoma shule za kata na kuwa rubani ningemsifia sana ila hakusoma hata kwenye system ya elimu ya KiTanzania
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Nema hongera dya. Nilifurahi sana siku nimepanda ndege ukatangazwa rubani msaidizi . Nema Swai jina la dada yangu. Wakati nashuka nilihakikisha nimekuona na nikafurahi sana
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Whao bravo madam mungu Akubari Ruban wetu nipo katika fulaa sana kwako 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@malikzafarani172
@malikzafarani172 Жыл бұрын
Mashaallah hongera sana neema 🇶🇦
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Beautiful Neema Swai ❤❤
@NicolausMgosi-sz5qv
@NicolausMgosi-sz5qv Жыл бұрын
Dada mungu akubariki wazazi wako wakufaidi na usimsahau mungu natamani hata Mimi natamani mwanangu joy awe rubani
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Жыл бұрын
Hongera sana dada Neema!! Mtangazaji acha kuiga lugha ya Wazungu!! Umekariri hta lafudhi unailazimisha.
@hamisaLbsi
@hamisaLbsi 6 ай бұрын
😂😂😂 makavu laiv
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Hongera sana mtoto wetu Mtanzania, tunajivunia Tanzania
@agnessevalist8236
@agnessevalist8236 Жыл бұрын
Bravo I liked it🎉
@nereaigogo4442
@nereaigogo4442 Жыл бұрын
Interview nzuri sana
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Hongera dada ulipata wasimamizi bora family na ukatumiya vizuri nafasi na matunda umeyapata hongera sana dada nema
@IddiHussein-g8z
@IddiHussein-g8z Жыл бұрын
A brave lady Neema Swai she's the best.
@AgustinoMtaningo
@AgustinoMtaningo 6 ай бұрын
Wow!!! Neema
@bobrudala3784
@bobrudala3784 Жыл бұрын
Captain Neema na nyumbani mama Neema wauuu HONGERA
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Ongera sana mwanangu,mungu akupe maisha tele wewe na familia yako.
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 Жыл бұрын
Amina
@EllyMbilinyi-d3e
@EllyMbilinyi-d3e Жыл бұрын
Hongera sana shemeji yangu japo Niko nje ya muda
@georgemakingi3689
@georgemakingi3689 Жыл бұрын
Hongera sana captain unatushawish8 na siw tuwasomeshe mabinti zetu wajw wawe maruban as you god bless u
@franciscassian
@franciscassian Жыл бұрын
Wa kwanza kulike
@PokeaEliau-mf7rx
@PokeaEliau-mf7rx Жыл бұрын
Hongera sana dada neema jitaidi sana
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Dada neema hongera kwa kujielewa na kujibu vizuri masuali yote
@FakihiNapunda
@FakihiNapunda Жыл бұрын
That kagirl asking questions kako very intelligent kongole 🔥🔥such grown mindset
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Жыл бұрын
Education
@MasterChief-Ortiz
@MasterChief-Ortiz Жыл бұрын
anajifaragua tu
@HarunaFursana
@HarunaFursana 6 ай бұрын
Nakupenda had uwez faham dadanikiza naita n'émane ninasaba ila naomba nipewe wengine
@raphaelwegesa1664
@raphaelwegesa1664 Жыл бұрын
Kuanzia primary hadi anakua rubani hajasomea Tanzania.. alafu alipo fuzu kuwa rubani Raisi ka mkaribisha na kumtambua.. hii nchi inahitaji kubadilika elimu ni shida Tubadilike
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Жыл бұрын
Hongera dadaetu
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro Жыл бұрын
Big up #mummy,ni vile tu umeshaolewa😂,, Hongera sana#Captain_NeemaSwai.
@Sociétécoopérativeumojagoldmin
@Sociétécoopérativeumojagoldmin 6 ай бұрын
Oksawa ❤
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 Жыл бұрын
Maa shaa Allah
@wencmbilango8622
@wencmbilango8622 Жыл бұрын
Hongera kwake
@kulthoumkaita2181
@kulthoumkaita2181 Жыл бұрын
Mashaallah!
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Hapa kiukweli siwezi burudishwa na maelezo yake coz kwanza katokea kwa family iliojiweza ila ukweli angetokea kwa akina kabwela kama sisi aiseee ingeniongezea kitu apa ila tu mungu nisaidie kama kweli ndoto zangu hazitatimia zote ila tu mungu anisaidie kwa watt wangu nieatimizie ndoto zao
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Dada neema mcheshi mashallah mola azidi kukulinda na kukuongezeya ujuzi
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Жыл бұрын
Ni kweli. Ongea yake tu siyo ya ujivuni. 😂
@thomasgabriel588
@thomasgabriel588 Жыл бұрын
M.80
@Denis_prudence
@Denis_prudence Жыл бұрын
Hongera dada Neema sway
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn Жыл бұрын
Mmmh sawaaaaa
@Mwinyimkuu-lz8bb
@Mwinyimkuu-lz8bb Жыл бұрын
Safii
@HarunaFursana
@HarunaFursana 6 ай бұрын
Machoz yananitoka kwafuraha dada naomba niwe rrafiki yako dada mimi nimrundi dada nakuomba niwe rafiki mpenz rafiki
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Жыл бұрын
Mtafuteni rubani wa kike aliye kama @hamisamobeto au Paula wa kajala mkimpata ndio mtajua nini namaanisha
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Жыл бұрын
Sio nchi nzima
@devanse9718
@devanse9718 Жыл бұрын
Kingereza cha nini tena dada mtanzania anaekijua huwa hapendi kuongea na mtanzania mwenzake😅
@Robert-p7c1k
@Robert-p7c1k Жыл бұрын
Kwa sababu ni mwanamke tu jamani? Ni fikra potofu tu
@Denis_prudence
@Denis_prudence Жыл бұрын
Umekua hamasa kwetu tunaopenda maswala hayo
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 6 ай бұрын
Wangapi wanawake wazazi wenu wanasumbuka kuwasomesha mkafanya ukahaba leo mnamuonea mwenzenu gare mkiambiwa acheni umalaya mnawaambia wazazi wenu ntajiuwa sasa mtaki kuongea
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
💪🌹
@bobrudala3784
@bobrudala3784 Жыл бұрын
ATCL Ina wanawake 10 ASANTE sana
@bobrudala3784
@bobrudala3784 Жыл бұрын
Mume Rubani mke Rubani hongera
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 Жыл бұрын
Hongera sana Neema unajibu maswali kwa akili sana
@maase2023
@maase2023 Жыл бұрын
Mbn marubani ni wengi duniani jamani eeh! Emirates wana marubani wengi sana wanawake mbn tunakuwa washamba hivi jamani kuwa na rubani mwanamke hapa kwetu? Mmm sisi tujiangalie kwa kweli
@MasterChief-Ortiz
@MasterChief-Ortiz Жыл бұрын
si ndo apo hii ishu imekaa kisiasa sana
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Ka bwela ni kweli nq tukumbuke alikuwa tayari kupata alichovuna na ndo mana.kqfanikiwa
@MaaneML
@MaaneML Жыл бұрын
Duu waandishi wa habari maswali muwe mnajipanga maswali ya msingi ya kuulizia. Kipi kigeni hapa Milard Ayo ukiacha interview mbovu za wengine zilizopita? Nilitegemea Ayo mje na mahojiano mazito zaidi. Mwandish tumia lugha Moja ueleweke.
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 Жыл бұрын
Wandishi Amna habari
@nusragulumo-hg5oe
@nusragulumo-hg5oe Жыл бұрын
Nilitaka kushangaa usome bongo afu uwe rubani
@rajabumsangi2885
@rajabumsangi2885 Жыл бұрын
Chuma hicho
@daffagunda-rm3hj
@daffagunda-rm3hj Жыл бұрын
HAKIKA NENO LIMETUAMBIA KWAMBA TUMSHIKE SANA ELIMU TUSIMUACHE.
@ladooladoo1285
@ladooladoo1285 Жыл бұрын
Kwani haya mahojiani ni ya kiswahili? Mbona mtangazaji unachanganya wasikilizaji,
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Eh bado mko naye tu
@ibrahimjmasoudfundikila6361
@ibrahimjmasoudfundikila6361 4 ай бұрын
Mtangazaji jivunie lugha yako iyo unaemuhoji kasoma kuliko wewe lkn achanganyi lugha
@اللهأكبر-ذ7ث3س
@اللهأكبر-ذ7ث3س Жыл бұрын
Kijana hajasoma TZ
@lucasbartazari7797
@lucasbartazari7797 Жыл бұрын
Nchi hii hatuna ya kushangilia, sasa tunashangilia hata rubani! Vipi kama angegundua Ndege? Tunamfanya aonekane kafanya la ajabu, kwani Punda kuvuta mkokoteni au nguruwe kukamata madawa haramu ni ajabu? Si kafundishwa?
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Жыл бұрын
Acha wivu. Hii Tanzania nchi inayoendelea wewe kuna mengi tuko nyuma 😊
@adrianbloodjesus6067
@adrianbloodjesus6067 6 ай бұрын
Milioni 80 hadi 100 unadhani huyu ni mtoto wa kabwwela mmmh?
@zahakiosward1575
@zahakiosward1575 Жыл бұрын
Kwani mbona walianza kitambo
@Moon-146
@Moon-146 Жыл бұрын
Congrats to our Pilots
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Zamaradi uko wapi kufanya mahojiano yaliyoenda shule? Au muelekeo wako uko kwa Paula? Unapitwa
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
UMEONGEA NINI WEWE MUANDISHI MWAZO NA MWISHO HUE LEO USIMULIZE MUENDESHA AU DEREVA YOYOTE KUUSU UOKOPI KUFA NDIO NINI WEWE KWALI UMESOMEA HIYO KAZI YAKO???MIMI CAPTAIN WA MELI MTU AKINIULIZA UOGOPI KUFA NAMUONA NUKSI WA MAISHA🇹🇿🇬🇷🛳
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Milady mwambiye dada atumiye lugha moja tu mara nyingine
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Жыл бұрын
Mtangazaji ana mashauzi sana. English nyingi wakati anawalenga waswahili wafuatilie
@robertmosha6801
@robertmosha6801 Жыл бұрын
Uyo mwandishi arudi tu shule kaharibu interview haivutiii
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Жыл бұрын
Sasa nyinyi endeleeni kuwapaka watoto zenu wa kike make-up Ili waje kuolewa na kina diamond
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 nimechekaa
@HusseinMohamed-jq7hu
@HusseinMohamed-jq7hu Жыл бұрын
Hahahaha
@daudimwidini443
@daudimwidini443 Жыл бұрын
Work on your sound Millard so poor
@HarunaFursana
@HarunaFursana 6 ай бұрын
Machoz yananitoka kwafuraha dada naomba niwe rrafiki yako dada mimi nimrundi dada nakuomba niwe rafiki mpenz rafiki
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
Mmoja wa wahandisi wetu wa kike Nadhifa Zuberi Hassan akizungumzia kuhusu Kazi yake.
14:56
Air Tanzania Company Limited (ATCL)
Рет қаралды 9 М.
EXCLUSIVE: MWANAMKE WA KWANZA TANZANIA KURUSHA NDEGE VITA
9:32
TBConline
Рет қаралды 3,7 М.
Rubani wa miaka 16 atua Kenya baada ya safari ndefu
2:47
NTV Kenya
Рет қаралды 67 М.
#EXCLUSIVE: MAHOJIANO NA RUBANI ASENGA || ajali za Ndege
28:07
Mwananchi Digital
Рет қаралды 14 М.
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН