#live

  Рет қаралды 6,360

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@LilianBitwale
@LilianBitwale 3 сағат бұрын
Duuuuuu😂😂😂😂😂 kaz kweli kweli
@namfukamaismailna8203
@namfukamaismailna8203 3 сағат бұрын
Yanga hawajashuka ila wapinzani wameimarika
@DanielNsekela-d7o
@DanielNsekela-d7o 2 сағат бұрын
Jamaaa zizu ameweka utambulisho game ngumu ndo anafanya maajabu
@amadecassamo1606
@amadecassamo1606 2 сағат бұрын
Hapo kwa lomalisa ujakosea🎉
@LilianBitwale
@LilianBitwale 3 сағат бұрын
We ambokire mda mwingine uwage na kumbukumbu, juz umetoka kusema et fadru ni bora kuliko gamond tena ukaenda mbali ukasema kama tunataka kuamin hivo fadru aje yanga na gaamond aende simba sasa leo tena et fadru anajifunza simba 😮😮😮😮 mda mwingine uwage na kumbukumbu ya maneno yako, unaendaga na upepo mda mwingine
@fredylucas2484
@fredylucas2484 2 сағат бұрын
kuna msemo unasemaga "Mtu anayesema ukweli hana haja ya kukumbuka nini alikisema lakini mtu msema uongo anatakiwa awe na kumbukumbu ya nini alisema"
@LilianBitwale
@LilianBitwale 2 сағат бұрын
​@@fredylucas2484huyu mwamba mda mwingine anazingua Sana
@JamalYahaya-xv7mu
@JamalYahaya-xv7mu 2 сағат бұрын
Ananunuliwa uyo matako
@emanuelpetro9591
@emanuelpetro9591 2 сағат бұрын
Dada yangu mpenzi watatuumiza vichwa hawa wajinga hakuna wachambuzi hapoooo,kuna Ambokile,Mkalaboko,na mwingine hujiita friji bovu ni vijinyonga haooo
@fredylucas2484
@fredylucas2484 Сағат бұрын
@@JamalYahaya-xv7mu hakuna wa kununuliwa hapo ila wanaendaga na upepo. Yaani bora Miraji wa Simba na Mzee Said wawe wachambuzi kuliko hawa viumbe. Mchambuzi wa kweli ni Ambangile wa Wasafi waliobaki ni tia maji tia maji
@veelmng7746
@veelmng7746 Сағат бұрын
Hawa ndio wachambuzi wenye sifa za kuwa hapa, lakini BentTv muda mwingine unaleta wachambuzi wa mchongo wanaongea umbea badala ya kujadili mpira
@MwajabumzeeMtitu
@MwajabumzeeMtitu 2 сағат бұрын
Namkubari sana ambukire anaongea vizuri
@BenpeterChatanda
@BenpeterChatanda 14 минут бұрын
Mm. Binafs kukaa benchi kwa faridi musa ..kibwana..na sure boy ...ni roho mbaya ya kocha ila siamini kma hawatishi kwenye kikosi ...ila bado wako vzr sana
@EmmanuelMligo
@EmmanuelMligo Сағат бұрын
Analopoka tu kama hajui mpira hivi simuelewi eti, kusema simba hawana uwezo wa kumsajiri pacome , unaijua accont ya simba au mo , kuna wakati unajitahidi kuna wakati kama unaichukia simba
@rifatijumanne8445
@rifatijumanne8445 2 сағат бұрын
Tujifunze kuuliza maswal
@LilianBitwale
@LilianBitwale 2 сағат бұрын
Unamkosea adabu shedrack boka, ila utarud hapahapa kumsifia siku si nyingi make huwa unaenda na upepo
@kasimuhamidu8467
@kasimuhamidu8467 2 сағат бұрын
Ambokile unaniangusha
@MussaWambura-t9l
@MussaWambura-t9l 2 сағат бұрын
We nae unendagaendaga tu ata ueleweki
@robertphilip385
@robertphilip385 3 сағат бұрын
Chuma cha mjerumani ukovizuri
@fredylucas2484
@fredylucas2484 2 сағат бұрын
Huyu ni tapeli kama wenzake anaenda na upepo
@robertphilip385
@robertphilip385 2 сағат бұрын
@@fredylucas2484 haa haaaa 😂 nakweli ukweli unauma
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 130 МЛН
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
BeatboxJCOP
Рет қаралды 29 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 130 МЛН