MCHAMBUZI AMBOKILEE: YANGA HAIJASHUKA KIWANGO/SIMBA TIMU MBOVU WAACHE SIASA WABORESHE/GSM SIO SHIDA

  Рет қаралды 8,557

Scope Media

Scope Media

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk Сағат бұрын
Wewe huwa ni chuma Sana ukijichanganya ni kidogo Sana
@veelmng7746
@veelmng7746 3 сағат бұрын
Salute sana kaka, uchambuzi bora kabisa
@jumongjr5837
@jumongjr5837 3 сағат бұрын
Salute sana Chuma 😅😅😅
@stombagsteel2055
@stombagsteel2055 Сағат бұрын
Kweli kaka
@deuspastory1814
@deuspastory1814 3 сағат бұрын
Wanachotaka wanasimba, GSM aache kudhani timu, ziwe masikini wazifuge kwa urahisi. Mpira ni pesa bwana. GSM anataka maendeleo ya soka. Nakuibua vipaji.
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 3 сағат бұрын
Toa chechee babaaaa,chuma kwa chumaaa anaongea💚💛💪🙏🙏
@NicholausFungo
@NicholausFungo 2 сағат бұрын
Chuma cha mjerumani ni kimoja tuu Brother Ambokile ninakukubali sana.
@petermchami1164
@petermchami1164 2 сағат бұрын
Kaka wewe unajua sanaaa uchambuzi
@PETERENOS-z2n
@PETERENOS-z2n 2 сағат бұрын
Kweli kabsa unasema ukweli
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 3 сағат бұрын
He😮 Umepona lini kichaa
@andrewkitema9838
@andrewkitema9838 3 сағат бұрын
Hukumbuki alikuacha wodini? We ukiwa bado unatibiwa kichaa kwenye wodi ya vichaa, mwenzio alikuwa ameshapona tayari
@FrancisKibona
@FrancisKibona 3 сағат бұрын
Àmbokile safii
@NickJuma-x4d
@NickJuma-x4d 7 минут бұрын
Mmmh! 🤣🤣🤣🤣 eti Makolo nao ni tawi la Yanga!
@lucasmakanza
@lucasmakanza 4 сағат бұрын
Kweli kabisa chuma cha mjerumani
@Pambanyepesi
@Pambanyepesi 3 сағат бұрын
Kwel kaka
@GodfreyBenjamin-y5n
@GodfreyBenjamin-y5n Сағат бұрын
Unatisha chuma Cha kijerumani Simba nitawai letu ao waache kulialia.
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 3 сағат бұрын
Hahahaha 😂😂😂😂 🤣🤣 daaa Chuma Cha mjerumani
@felixluguga645
@felixluguga645 4 сағат бұрын
Umesema ukweli hapo kaka
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 47 минут бұрын
Nkubali ambokile
@LilianBitwale
@LilianBitwale 3 сағат бұрын
Nimecheka et anacheza wapi huyu kibuuu😂😂😂
@BenpeterChatanda
@BenpeterChatanda 2 сағат бұрын
Pia watuambie kama. Mo amekatazwa kudhamini timu
@FrankieFrank-e4e
@FrankieFrank-e4e 2 сағат бұрын
Shikamoo chuma
@michaelmsambusi9287
@michaelmsambusi9287 2 сағат бұрын
Ninachokipenda kwako kama chuma Cha mjerumani siku zote unaongea facts.
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 29 минут бұрын
Wewe dogo jaribu kutunga maawali Yako mwenyewe..usitegemee kusikiliza ujinga wa hao walevi ndo kutuletea kwenye interview Yako...uwe makini
@IddyyFumbwe
@IddyyFumbwe 27 минут бұрын
MAKOLO NDIO waliokataa HELA, GSM aliweka HELA KAMA mzamini mwenza MAKOLO wakagoma GSM akajiondoa, SASA CJUI wanalia NINI? HAWA MAKOLO niwakupuuza TU!
@HassaniKiseyu
@HassaniKiseyu 2 сағат бұрын
chuma cha mjerumani kinaungulumaaa
@Mhabeshi.Madayi
@Mhabeshi.Madayi Сағат бұрын
Panya rodi wote akili za nguruwe pori kila msimu tunawapiga na hatuja wadhamini...Kwa nini wasikomae watupige ndo walaumu wenzao kupoteza..
@MrLiverpool-u7g
@MrLiverpool-u7g 3 сағат бұрын
Huyu bwege kweli
@reonardchatanda6371
@reonardchatanda6371 Сағат бұрын
Ukweli unauma
@kapanikapani5280
@kapanikapani5280 3 сағат бұрын
Inauma ila inabdi kuku Bali Ili tujifunze kitu
@BenpeterChatanda
@BenpeterChatanda 2 сағат бұрын
Chuma cha mjerman kipo kimoja tu hpa. Bongo
@jiimahaba7274
@jiimahaba7274 3 сағат бұрын
ww bana n mtu wa ball kabisa
@HashimMsuya-l7h
@HashimMsuya-l7h Сағат бұрын
Waelimishe wajinga hao wasiojieleea
@HamisaHamedy
@HamisaHamedy 3 сағат бұрын
🥱
@salimdaraie2196
@salimdaraie2196 2 сағат бұрын
Huyu jamaa mpumbavu na sijui kama anajua anachikiongea watangazaji muwe mnawapima kabla ya kuwahoji huyu jamaa kapiga sigara kali ya Tabora
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 Сағат бұрын
Huna hoja pita kule,usimtukane mtu Kama humpendi usiwe unamsikiliza
@songombingo108
@songombingo108 Сағат бұрын
Kumamakoo acha matusi. Mpumbavu ni wewe Dunduka. 😂
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk Сағат бұрын
Anaongea fact huyu Simba hamna akili za kuhoji
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 41 минут бұрын
Yupo sahihi mchambuzi anasema kweli ...mikia mmekufa mara nne mfululizo...GSM na nyie anawadhamini?
@MwaiburuHalisi
@MwaiburuHalisi 37 минут бұрын
Wewe ndo mpumbavu
@kapanikapani5280
@kapanikapani5280 2 сағат бұрын
SEMA chuma uwaponye makolooo🤣🤣
@Ja60_
@Ja60_ 3 сағат бұрын
Mjinga mtangulizi unatakiwa kuanza na maneno yenye maadili,
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 сағат бұрын
Mikolo nyie wajinga ukweli hamtaki
@stombagsteel2055
@stombagsteel2055 Сағат бұрын
Kubalini ukweli acheni ujinga wa kubisha
Каха и лужа  #непосредственнокаха
00:15
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 31 МЛН
BABA LEVO AFICHUA MAISHA YA ROMA AKIWA MAREKANI
17:49
Mbengo Tv
Рет қаралды 2,8 М.