JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@dorahmushi-we6ts11 ай бұрын
Makonda kijana jasiri, mchapakazi, mkweli mwenye utu... Mimi Ndivyo ninavyomuona,... JASIRI...MKWELI Mungu azidi kumlinda. Makonda + Majaliwa chini ya mama Samia, ... Wanyonge tuna matumaini... Pia ki ukweli Wajane😭 tunadhulumiwa, kuonewa, kukataliwa , na pengine kutengwa
@KankuliNsumbu11 ай бұрын
Yayahh Makonda lazima umurisi Makufuri uwe raisi watanzania
@DemuMuu11 ай бұрын
Samia kweli umepta mtu anaefikisha ujumbe kwa wananchi na kusikiliza kero za wananchi sas moto umewaka
@ClalensiMlelwa10 ай бұрын
Makonda uko vizili sana rais Samia umechangua mtu
@MagembePilipili11 ай бұрын
Ziala iwezuli kwa mwenezi wentu
@kellycom1211 ай бұрын
Mke kuwa kimya namajibu Mabaya hafui hapiki kaama chumba huyo ninini
@batromayoshila569111 ай бұрын
Kuazia leo nakupa jina Magufuli
@jakobongwara303811 ай бұрын
Jaamaani hatamwaposa anajaza Kama unatenda haki hofu yanini chadema haijigambi tulienitu
@wilsonjohn927411 ай бұрын
king luhaga mpina
@kassimmuktarymurji424211 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda umefunika, rudisha matumaini ya watanzania kwa chama chako, mama hajakosea kupatikana wewe,ni nuru mpya kwa chama changu cha ccm