HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA BARIADI - 08/09/2018

  Рет қаралды 43,080

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Rais John Magufuli ametembelea wilaya ya Bariadi jimboni kwa mbunge Andrew Chenge na kuweka jiwe la msingi la mradi mkubwa wa maji wa Lamadi sambamba na kufungua barabara za Mji wa Lamadi katika Wilaya ya Busega.
Pia katika ziara hiyo Rais Magufuli amefungua jengo la wagonjwa wa nje (OPD) la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, na ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwango cha lami wa barabara ya Maswa - Bariadi.
Rais Magufuli alikaribishwa na mkuu wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka ambaye pia alimmwagia sifa za kuwa Mkuu wa Mkoa bora zaidi miongoni mwa wakuu wa mikoa wote kiutendaji.
Hii hapa hotuba yake nzima aliyoitoa kwa wananchi wa Bariadi na taifa zima.

Пікірлер: 16
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 2 жыл бұрын
Mungu akupe pumziko la milele jpm Wetu
@godfreyzachariagodfreyzach5934
@godfreyzachariagodfreyzach5934 3 жыл бұрын
Akumbukwe daima
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 жыл бұрын
Mungu akupokee katika ufalme Wake.tunakuoenda hata kama haupo,kiroho uko nasisi.kimwili tumetengana.
@matokefaustine2205
@matokefaustine2205 2 жыл бұрын
Amina
@matokefaustine2205
@matokefaustine2205 2 жыл бұрын
Amina kazi iendelee
@felfel6632
@felfel6632 2 жыл бұрын
I love anko magufli and rest peace
@likalwenyaomungonya7776
@likalwenyaomungonya7776 3 жыл бұрын
Mungu aweke roho yake Raisi Magufuli Pema paradizo
@ruginaolympe5587
@ruginaolympe5587 2 жыл бұрын
Tanzania has lost its unique and incomparable son named J.P.J.Magufuli.R.I.P dear excellence President.
@josephjila957
@josephjila957 2 жыл бұрын
Umetufundisha neno
@prospermakundi2787
@prospermakundi2787 6 жыл бұрын
Azam tv mko vizuri 👍👍
@kinigarm8239
@kinigarm8239 5 жыл бұрын
Maji ya ziwa Victoria yanafika lini?
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 2 жыл бұрын
Jemedari Wetu rais Magufuli tumekumiss sana nchi ilikuwa unaenda kasi sana ,umetuacha yatima , sasa hivi hatusikii maamuzi magum kwa watumishi wasio wajibika ,mfano sasa hivi umeme umekuwa wa mgao, Maji bili juu, nondo milimita 12 ,inauzwa 27000 Kahama , wafanya biashara wanajipangia bei wanavyo taka za bidhaa ,Sabuni b29 inauzwa 600, kipande cha Sabuni ya poa, 200 yani kila kitu kimepanda lakini hakuna tamko lolote juu ya wafanya biashara wanaopandisha biashara na kama bidhaa ya tz zinaonekana Kuwa vigum kuzalisha bidhaa za kutosha ,ni bora kuruhusu bidhaa kutoka nje wawasaidie bidhaa nyingi za tz ziko juu , bati tu Kahama laki 4 tunakwenda wapi ,viwanda vya ndani vinatuangusha bati la msauzi la tz Rangi wanayo weka inapauka mapema sana, ni tofauti na Rangi ya bati la nje.
@athumanomary1438
@athumanomary1438 6 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoza raisi wetu
@charlesmasunga8710
@charlesmasunga8710 6 жыл бұрын
Hakuna rais mwingine Kama huyu afrika mashariki mwingine labda uongo tu nakutakia maisha mema rais wangu wa tanzania
@daudimzawa5725
@daudimzawa5725 2 жыл бұрын
Wewe mbona mvua hazikunyesha ee kunautumbo unaendelae acha kuficha
@happysulle6239
@happysulle6239 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA MEATU - 08/09/2018
1:10:38
Azam TV
Рет қаралды 19 М.
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
1:23:49
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 6 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,3 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 78 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA MUSOMA - 05/09/2018
1:08:30
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
HOTUBA YA MAGUFULI KWENYE MKUTANO NA WADAU WA MADINI      22/1/20199
1:12:14
LIVE: MAGUFULI AMKATAZA MKURUGENZI KUONGEA KIINGEREZA "NITAKIFUNGA"
23:26
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018
59:24
Azam TV
Рет қаралды 807 М.
KIPINDI MAALUM CHA ZIARA YA RAIS DKT MAGUFULI BANDARINI SEPT 26,2016
34:35
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 6 МЛН