Maasha Allah. Mwenye enzi Mungu awabarikie awape siha na afya masheikh watuelinishe na mwakani insha Allah
@mohamedjehaidi56937 ай бұрын
MashAllah tabarak Allah
@JumaMrutu-qb5ei7 ай бұрын
Mashallah tumenufaika na busati la mtoro
@husseynomar95237 ай бұрын
MashaAllah 🎉❤
@HasinaKungulilo7 ай бұрын
Pamoja na mazuri yote na Dua alizotuombea bado wametafuta kosa. Mwenyezi Mungu atuswamehe
@duatvtz7 ай бұрын
Ameen
@HasinaKungulilo7 ай бұрын
Mashallah
@shenjamamzingi79507 ай бұрын
🤲ALLAHUMMA ameen👂🤲
@kanoa6457 ай бұрын
Alhamdulillah
@kanoa6457 ай бұрын
Yaumu shaka.......!!!!
@MwadawaFariala-ki8wt7 ай бұрын
Msameeane
@aishaMakungi7 ай бұрын
Nice
@duatvtz7 ай бұрын
So nice
@abdallahabeid85407 ай бұрын
29 na 30 zote ni yamuu shaka
@duatvtz7 ай бұрын
Sheikh Abbas alishalitolea maelezo afuan
@banihashim53477 ай бұрын
WEWE NDIO ULIOZINDUA WATU KUHUSU KOKOSEA KWA MUFTI. WATU HAWAKULIONA HILO
@kanoa6457 ай бұрын
Hajakosea
@banihashim53477 ай бұрын
@@kanoa645 Kwanini asikosee ? Sibinaadam yeye!
@mohamedlali42297 ай бұрын
Muft hakukosea, sheikh Othman ndyo amekosea, akasome sana. 29 ndyo shaka, hakuna shaka ya 30. Shaka ni 29 kwa Sabab haijulikan kesho ni 30 au 1
@intel40837 ай бұрын
@@mohamedlali4229 mufti kakosea Haki iitwe haki wasipambe maneno ilikuwa aje mufti kakusudia kilugha si kisheria??? Akiteleza mtu na arekebishwe na akubali kateleza si kupamba maneno ati kakusudia kilugha si kisheria
@AdamDaudy7 ай бұрын
Yaumu shakk huwa yaumu thalathiyn ndivyo vitabu vinavyo sema.