Asnt shekh xx naelew kwann rais wetu wa tanzania anaangalia videos zako kupata fatwa
@Aus_ghazraj7 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullah wabarakaatuh Sheikh Naomba unijibu hili kwenye darsa ya kesho in shaa Allah Wanaume sisi peponi tutapewa wake waliotwaharika jee vipi kwa wanawake ambao hawatakuwa na waume zao wao watapewa nn
@fatihaal-amoody63087 ай бұрын
Asalam Aleikum ustadh ulisema mamako akikuita kama waswali swala ya sunna uvunje ni kila mwito jee kama akuita muangalie tv
@AliMohamed-pj1sb7 ай бұрын
Wanawake watapewakati ya wauminii wa peponi
@AliMohamed-pj1sb6 ай бұрын
Nj
@a.8567 ай бұрын
Jazakallah khayran
@MwanamisiNassir7 ай бұрын
Nlikua naulize sheikh je Ina ruhusiwa mtu kuolewa katikati ya Ramadhan?
@MariyaM-p9e7 ай бұрын
Je niruhusa kuswali na nikabu
@AliMohamed-pj1sb7 ай бұрын
Kuolewa hakuna siku maalum ,kama kuna amali ambao haifai kuchelewesha moja ni ndoa kwa wanandoa