MaashaaAllaah shukran shekhe kumbe unajua kuongea kiswahili vizuri unaeleweka kwa nini unatusumbua na kiarabu hatukielewi na mawaidha yako tunayapenda sana shekhe wetu
@ahz69077 ай бұрын
Si unamuona baadhi ya misamiati anauliza hapo kwa sheikh kama hana uhakika.kwahyo hana ufasaha ktk kiswahili kuliko kiarabu.
@S.SWarfa7 ай бұрын
Ma Sha Allah sheikh unaongea Kiswahili vizuri.
@duatvtz7 ай бұрын
Alhamdulilah amen improve ma sha Allah
@hodaneymujib66217 ай бұрын
Asalam aleykum Shekh abbas kuna mambo ya benki ya kiislam tunapata shida je Ni mwenendo za hz benki Ni sawa tunaweza kukopa
@HashimSalim-h8e7 ай бұрын
Assalaam alaikum wa Rahmatullah. Naomba kuuliza kwamba, ikiwa mama anaendesha biashara kwa mkopo wenye Riba .je akimlipa mfanya kazi nae atakua anakula Riba?
@ashaahmada93227 ай бұрын
Asalaam aleikum, mirathi ya mwanamke ambae watoto wake hawahusiani na ndugu wa baba,yaani baba aliwatelekeza watoto halafu wote wa kike,mama kalea mwenyewe bila hata ndugu wa baba kutafuta watoto wa ndugu yao.pili mke anaweza kutoa zakat fitir ya familia nzima kama mume hana uwezo?
@jumadinya37967 ай бұрын
NAULIZA KUNA HAWA WAISILAMU WANAENDESHA TIMU ZA MPIRA NA WAMEFUNGA SHERIA INASEMAJE JUU YAKUTOA PESA KWAKUSAPOTI NA KUENDESHA TIMU ZA MPIRA
@jumadinya37967 ай бұрын
Hawasupui rekebisha swali lako hii ni dini kuongea kiarabu ni sahihi kabisa kama hujui kiarabu usiseme anakusupua sema hujui ambo masheikh wakutafusirie
@AbdulIssa-o7e7 ай бұрын
Shekhe huyu,kilasiku yupo na masuffi anaitikadi za sunna lakini sunna yake ya kuwalainisha masufi na bidaa zao.
@mohamedlali42297 ай бұрын
Uzuri ni kuwa ww Huna elim kumshinda huyo lkn pia hakuna ubaya kuwa karbu na masufi kwa sabab sio makafiri
@ahz69077 ай бұрын
Hata maswahaba na maimam walitofautiana/kukhitilafiana ila hawakutengana.tuendelee kujifunza.