Tunaomba hili busati la Mtoro liendelee muda wote sio mwezi huu wa ramadhani tu. Tumeelimika sana. Hivi kuna namna ya kujifunza na kuswalisha kwa kiswahili. Hongera sana waandaaji wote wa vipindi hivi
@hermescash94638 ай бұрын
Ma Shaa Allah, Shekh Katumia Dakika 20 kuelezea Hijja ki-Lugha. Hakutaka Kuanza Kisheria.. Tumeelewa Zaidi Sanaaaaaa.
@FarajiAbdallah-yw2wn8 ай бұрын
بارک الله فیکم
@adnanabdallah62828 ай бұрын
Baaraqal llaahu fiiq sheikh Twaha
@fatumatsopa39418 ай бұрын
Assalam alaykum.Sheikh nauliza ,je inafaa kutumia pesa ya retirement kuenda hijja?