Huyo Juma ayo anawapotezea muda tu, mbona ss tumeelew anataka tu aonekane anachangia,ss tumeshaelewa endeleeni na mjadala mwingine
@KobieMainooDesangare375 күн бұрын
Oya hance kaka haya maneno ya starz ya ugenin inafunga yoyote uta tuponza
@SamsonMwambope6 күн бұрын
Yanga wafungiwe wamemsajili mchezaji mwenyemkataba na timu yake ya zamani
@mwalimually11146 күн бұрын
Hans asitupoteze tunaamin maneno ya singida kwa sabb ndio walikua wamilik wa mchezaji, nahilo swala la kuandika mwigulu hata mim pia naweza kuandika
@anastahiliutawala38799 күн бұрын
Hans yanga hawajatoa hela yeyote. huyo mwigulu ni yanga
@SamsonMwambope6 күн бұрын
Njaa itakusumbua uyo ansi kasomea nn mbona aeleweki
@mwalimually11146 күн бұрын
Hans ni muongo tuu akae pemben kwanza kwahili la yusuph kagoma
@KobieMainooDesangare374 күн бұрын
Mim ule usimb na yang ndo unafany sipend shabikia starz sas leo mad ni mudathir
@mwalimually11146 күн бұрын
Uo ni uongo wakishindwa wanajifanya wamemsamehe kwa maslah, hao ni wahuni tuu 😅😅
@mwalimually11146 күн бұрын
Hilo andiko hata mim naweza kuandika , kwaiyo akiandika mwigulu ndio nan ni yesu??
@mwalimually11146 күн бұрын
Hakuna busara hapo hans, yaan yanga walipe pesa wamsainishe mchezaj alafu watumie musara kumuachia? 😅😅😅 au unataka yusuph kagoma nae aseme hachez yanga ni bora akalime mpunga, kama awesu awesu
@mwalimually11146 күн бұрын
TATZO YANGA WANAMILIK ZAID YA CLUB MOJA, SASA MCHEZAJ AKIIKATAA YANGA WANAANZA KUMUWEKEA MAJUNGU, ET WAMEMSAMEHE KWA MASLAH MAPAANA, WAHUNI TUU HAO
@frankkitomary38789 күн бұрын
acheni kulisha watu matango pori yanga kwa sasa wana jiona wamesha izoa tff kwa nini vibu vyote ambavyo gsm ametia kandarasi ndo maana wachezaji walio sajiliwa na simba kutoka maeneo yalioko chani yao lazama inatokea migogoro apa pana jambo
@k.swamachozi13599 күн бұрын
Jirani km jirani
@salahaljahury29079 күн бұрын
Hans ukibanwa na maswali unakimbilia hizi timu zina mambo mengi Hans wacha ubabaishaji