No video

LIVE: DAZ BABA AMPIGA KOFI MTANGAZAJI BAADA YA KUULIZA HILI SWALI ,MACHOZI YAMTOKA JIONEE

  Рет қаралды 112,285

BONGO TRENDY TV

BONGO TRENDY TV

4 жыл бұрын

Hii ndio hali ya msanii mkongwe wa muziki Daz baba Afunguka mengi Tazama hapa
Follow instagram bongo trendy tv
like facebook page bongo trendy online
unaweza kutoa maoni au ushauri hapo chini kwa ku share ku like pia

Пікірлер: 501
@foztz2249
@foztz2249 4 жыл бұрын
Naomba tuwe makini na Daz Baba, hapo kashasema atamuomba MUNGU ampe hela zetu zote sisi, chakufanya ni kwamba tukaziwe tu tigo pesa asije akapewa kweli bure❤️
@hannanommy302
@hannanommy302 2 жыл бұрын
Alhamdulillah 🙏 mungu msimamie huyu mja wako mtoe hapo alipo ni mtihani kwa wazazi tunaumia mola wetu ulio hai tusaidie vizazi vyetu
@kimetawampui7204
@kimetawampui7204 4 жыл бұрын
Kama umesikia Mungu Mama like hapa
@hamadabdallah2992
@hamadabdallah2992 4 жыл бұрын
Kwema hapa kwel lugha hongana daz haelewi
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@blingnetcyber5286
@blingnetcyber5286 4 жыл бұрын
Daz baba namkubali sana enzi zetu from kenya hawa ndo wasanii
@dambwelahiphop
@dambwelahiphop 4 жыл бұрын
Sema Jamaa kazingua, Mtangazaji hua na mipaka ya maswali ya kuuliza na jinsi ya kuuliza za hasa kwa mtu akiwa katika hali ya daz. Nidhamu ni muhimu sana....... Kama ambavyo unge mtrit mama na baba yako akiwa chizi ndivyo unapaswa kiheshimu na watu wengine kwa heshima sana
@msouthlizombe8375
@msouthlizombe8375 4 жыл бұрын
Daz baba shida bang au msanii wake anajalibu kumtetea ila ukweli dazi amna ktu
@halimajamaniamekuwamndeme9617
@halimajamaniamekuwamndeme9617 2 жыл бұрын
Daz baba ni mjanja anakwao Tena kuzuri sanaaaaa, anamjock tuu huyo mtangazaji hana pa kulala Kwa sababu nae .tangazaji anamaswali ya kejeli, Mimi ukihifharau hivyo nakupa teke la nguvu
@TheAdelmarce
@TheAdelmarce 4 жыл бұрын
Naomba hela za watu wote nipewe mimi......Daz ni noma kabisa!!
@maigajohn5828
@maigajohn5828 2 жыл бұрын
Daz baba alikuwa noma kichizi miaka hiyo daz mwl
@OmanOman-hr6cb
@OmanOman-hr6cb 4 жыл бұрын
😀 😀 😀 😀 Dah tangia Zaman hana mwili anaenda kujitwika ulevi bas mtihani sana
@Nuyama1
@Nuyama1 4 жыл бұрын
DaZ BABA, Daz mwalimu....!! (Elimu Dunia)
@maulidkiswaga1906
@maulidkiswaga1906 2 жыл бұрын
Nimekubali daz nyumba nitu nyumba nyeusi
@maigajohn5828
@maigajohn5828 2 жыл бұрын
Daz baba bado anatisha sana kama chid benz salut
@hustlerdunga9098
@hustlerdunga9098 4 жыл бұрын
Daaaaaa my daz baba nyimbo zako mpaka Leo huwa sikosi kusikiliza mwamba
@franciscosulle3605
@franciscosulle3605 4 жыл бұрын
Daz Baba ukweli ni msanii mzur anahitaji msaada mkubwa kumuondoa kwenye hiyo hali
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@edingtonkiwas7050
@edingtonkiwas7050 4 жыл бұрын
Nakukubali sana brother Daz Nunda Big UP🙌
@mpendachakemedia9535
@mpendachakemedia9535 4 жыл бұрын
Daaaah jamaa ana kitu ndani yake anahitaji msaada sana wa kisaikorojia
@surayakhan3955
@surayakhan3955 4 жыл бұрын
Nikimkumbuka daz baba na ferooz dah nakumbuka miaka ya 2005 na kuendelea leo umekuwa ivo 😢😢
@jacksonchoma1217
@jacksonchoma1217 4 жыл бұрын
Kibovu huzaa vibozo ..old is gold lkn haiwez ikawa na thaman sawa na new generation
@abisolomonuyokachaguliwaac4048
@abisolomonuyokachaguliwaac4048 4 жыл бұрын
Daz baba huo sio mwili daaa mzee baba kakonda
@mansourmuhammed1922
@mansourmuhammed1922 4 жыл бұрын
A mtihani ndugizetu mungu atawahidi du
@vibonzotv2342
@vibonzotv2342 4 жыл бұрын
Huyu dazi baba ninae mfaamuuu kweliiiii auuuu
@mariameliasi7001
@mariameliasi7001 4 жыл бұрын
Pole kaka angu mungu akusaidie
@malakimoses6115
@malakimoses6115 4 жыл бұрын
Huyo mtangazaji anamaswali ya nyumi this interview is gold hivi ndo huyu mtangazaji aliyepigwa na amberlutty
@fridakessy3651
@fridakessy3651 2 жыл бұрын
Chombo kimepoteza mwelekeo kabisaaa, hapa ni kwa neema ya mungu tuuu...
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 4 жыл бұрын
Eti Mungu baba na mwana wamenipa kipaji 😂😂😂 ! Bro jitahid kujiweka fresh
@faustinsirili3480
@faustinsirili3480 4 жыл бұрын
Kalogwa na Nani huyu kajiloga mwenyewe
@othmanomar9725
@othmanomar9725 4 жыл бұрын
Ebwana eeh mngemfanya interview anapokuwa fresh nafikiri ingekuwa poa sana kuliko apoalipo hayuko sawa mnamuinjoy tu
@sylvanuskavindi2756
@sylvanuskavindi2756 4 жыл бұрын
Daaah!! Masikini Daz Baba!!
@nurumaulid2462
@nurumaulid2462 4 жыл бұрын
Bange,Pombe🍺unga ni vitu vya hatari sana😭msanii wa daz baba nae chenga kabisa🤣🤣 Daz baba anahitaji msahada mkubwa sana
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 4 жыл бұрын
Huezi ukumu jameni sote bado tunaumbwa, wewe na mimi pia twaeza tukawa ka yeye, enjoy the interview 🤣kwanza alieirudia x kadhaa anipe like zake so funny
@MRPREDICTION21
@MRPREDICTION21 2 жыл бұрын
hatumii madawa ya kulevya hiyo ni dhahiri pombe lakini bado namuheshimu sana kisanaa hakuna atakaye muweza!! mungu akusaidie bro!
@officialmatambi5550
@officialmatambi5550 4 жыл бұрын
Yaani Daz baba amekonda Amekuwa kama kuku wa kinyonyoke au kuku kishingo
@peterassenga6169
@peterassenga6169 4 жыл бұрын
Dah Bora Chid benz ana nafuu
@mohammedhamisi9335
@mohammedhamisi9335 4 жыл бұрын
Anachezea waya tu daah
@ombennykamwela2516
@ombennykamwela2516 4 жыл бұрын
Duuh anahitaji msaada wa kisaikolojia kutoka kwenye hali hiyo ya ulevi na utumiaji wa madawa.
@bongotrendytv
@bongotrendytv 4 жыл бұрын
🙏🙏
@vibonzotv2342
@vibonzotv2342 4 жыл бұрын
Mmmmm hapo dazi baba mungu amu saidiee mmm
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 2 жыл бұрын
Teariii mdatooo Dazzzz😭😭.. hospital inamuhusuuu ata km awahiweeee uyooo jamaaa as soon as possible
@ummysalimujuma8604
@ummysalimujuma8604 4 жыл бұрын
Daah bangi mbaya sanaaa😂😂😂😂
@elishamutende
@elishamutende 3 жыл бұрын
asema wanalala barabarani tafsiri hiyo mwanahabari, ilmu ya juu
@wanyamasafari2031
@wanyamasafari2031 4 жыл бұрын
MADAWA YA KULEVYA NI MABAYA SANA VIJANA TUYAACHE
@Issa_negro
@Issa_negro Жыл бұрын
Ili iweje?
@onesmomassawe6230
@onesmomassawe6230 4 жыл бұрын
daz baba mwalimuuuu
@khamisihilaly7089
@khamisihilaly7089 4 жыл бұрын
Dah.!!!!!!!!! Kweli dazi mwalimu ila amekufaa mwanafunziiii angekula maziwa yaunda sio huo anaokula amekuchiii nusu!!!! . Mungu atukinge namatumizi yavileviiii
@mohamedmsocha3297
@mohamedmsocha3297 4 жыл бұрын
Bangi ya watu inavyosingiziwa sasa,Bob marley hana hata wimbo mmoja wa hovyo na alikuwa anajifukiza bangi😊
@francolazaro8646
@francolazaro8646 4 жыл бұрын
Hii ni Unga sio bangi
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
😁😁😁
@ismailmajala2802
@ismailmajala2802 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@glorymfinanga3400
@glorymfinanga3400 4 жыл бұрын
Chiz karogwa tena uwiiii
@rajabumapunda416
@rajabumapunda416 4 жыл бұрын
Nakumbuka nambanane daz kauwa mbaya kwenye ile ngoma fidi alikalishwa vbaya yani
@pablozuu7446
@pablozuu7446 4 жыл бұрын
Akiwahiwa bado yupo vizuri
@salehabood7140
@salehabood7140 2 жыл бұрын
Namkubali sana huyu mwamba daah sijui mimemsibu Nini
@lirastanley390
@lirastanley390 3 жыл бұрын
Mh. Kweli hii ni waTanzania!!!drugs sio nzur jamani ila big up sana kwa ulichofanya kwenye mziki wa Tanzania
@marianamacha3452
@marianamacha3452 4 жыл бұрын
Daz Baba yuko high, lakini intelligence yake ina surpass uwezo wa mtangazaji. Kamuuliza maswali ya hovyo na Daz akawa anajibu kwa kubalance hovyo na kijanja.Imagine these questions; Mara ya mwisho kuongea na Ferous lini? Fid Q mnawasiliana? B.dozen alikutumia hela? Umefulia?😆😆 mara umefulia kimuziki....😄Wakati mwamba ana album aliachia haijaisha mwaka.... Kwanini wale watu wa mwanzo sasa hivi hawakupi michongo?
@hassaniothumani5501
@hassaniothumani5501 4 жыл бұрын
Dah huyo msanii wake naye ana wenge kinyama 😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🏃🏃🏃🏃
@darwinjason322
@darwinjason322 4 жыл бұрын
😅😅kinoma yani
@darwinjason322
@darwinjason322 4 жыл бұрын
ila bado msafi anafua
@babarama6274
@babarama6274 4 жыл бұрын
Na uyo msaanii wake yupo wenge balaaa😂😂😂😂
@young_mmbaga
@young_mmbaga 4 жыл бұрын
uwiiiiii MB ZANGUUUUUUUUUU😥😰😳😳😳😭😭😭
@bongotrendytv
@bongotrendytv 4 жыл бұрын
😂😂😂 pole 🙏
@young_mmbaga
@young_mmbaga 4 жыл бұрын
@@bongotrendytv LAKINI KOFI SIJAONA PIA
@amanimanase5794
@amanimanase5794 4 жыл бұрын
Duuuh enzi izo za utoton nilkuwa napenda music ya old musicians in Tz Dazz Baba,H baba,Tmk,Mb dog,prof jay na weningine wengine wengi aisee walkuwa hot ile mbaya but now Dazz baba hayuko poa kaabisa kisaikolojia this is real mazee
@sashaqueentz2917
@sashaqueentz2917 4 жыл бұрын
Uyu mtangazaj nae amuoni jamaa kalewa anamuoj anaongea pumba tu mm mbav sina😀😀😀
@alihaji7201
@alihaji7201 4 жыл бұрын
Hahahaha mtihani kweli
@issamgonja3498
@issamgonja3498 4 жыл бұрын
Amida
@sashaqueentz2917
@sashaqueentz2917 4 жыл бұрын
@@issamgonja3498 yes
@issamgonja3498
@issamgonja3498 4 жыл бұрын
@@sashaqueentz2917 nipe no yako plz
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 4 жыл бұрын
Dahhhh mtihani mkubwaa huu ,Daz baba kwisha kazi kabisaaa anahitaji msaada mkubwa
@linusrohomoja8856
@linusrohomoja8856 4 жыл бұрын
bangi mbichi sio nzuri
@darviswantana7669
@darviswantana7669 4 жыл бұрын
Duh!!! Brother anaitajiii msaadaaa
@robertnicodemas5853
@robertnicodemas5853 4 жыл бұрын
Daz baba Ni mdogo wake na asenga
@octaviusnayman3574
@octaviusnayman3574 4 жыл бұрын
Duuuu tusiendekeze sana hivi vyombo vinatulostishaaaaa, aah jembe limekosa mwelekeo!!!!!!
@expert5898
@expert5898 4 жыл бұрын
Hahahahahaha!!!! Inasikitisha sana. Unga mbaya mno
@samxx411
@samxx411 4 жыл бұрын
Kama ni mvua ni masika, tope tupu !!!!!
@blackerblacker-kl7tm
@blackerblacker-kl7tm 11 ай бұрын
Mtangazaji kuma
@jamesshayo9187
@jamesshayo9187 4 жыл бұрын
Katulizwa katulia
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 жыл бұрын
Mungu bwana kamchukua shammy kamuacha Daz baba kweli Mungu mkali
@wafaidaconnection6737
@wafaidaconnection6737 4 жыл бұрын
Hacha ujinga wewe kila mtu atakufa kwa mda wke. alafu usijione uko Sahihi kuliko mwenzio hujuwi mwisho wako utakuwaje sawa???! Unaeza mzinguw huyo ulie nae kwenhe Mapenzi akakuroga ukawa chizi C wa Nyumbani c Wamilembe we ni majalalani tu hd kifo chako. USIMTABILIE MABAYA MWANA WA MWENZIO MWANGA MKUBWA WEEEEEE.
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 жыл бұрын
@@wafaidaconnection6737 kweli
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 жыл бұрын
Doh..!...MADAWA noma sana...!....Na Sasa yamekuwa ADIMU basi wavutaji wamekuwa kama MAZOMBI...!...Yaani Upo TIKATIKA ‘ .! ....POLE SANA DAZ...!
@nackplankton1669
@nackplankton1669 4 жыл бұрын
Daaah mnachkulia poa sana lkn hii inauma aisee, Daz baba hakuwa mtu wakawaida aisee simuoni wakufanananae kwawaliopo kwenye game
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 жыл бұрын
Kweli alikuwa noma sana
@frankchamba8894
@frankchamba8894 4 жыл бұрын
Kweli kabisa bro
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 2 жыл бұрын
Tukubaliane Daz hayupo sw
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 жыл бұрын
Niko hapa daz dem umenipata
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 4 жыл бұрын
mbn unamhoji mtu ambye hayupo sawa unataka aongee nini. unamzalilisha bna.
@amouramour1256
@amouramour1256 4 жыл бұрын
Upo sawa
@amosmahona433
@amosmahona433 4 жыл бұрын
Unga Ni noma tupige Vita Sana.
@agun_machine
@agun_machine 4 жыл бұрын
Mtangazaji uwezo mdogo kiakili!
@mohamedugama2522
@mohamedugama2522 4 жыл бұрын
Dah! Huruma sana, sio poa
@moshiomarymnyeda8907
@moshiomarymnyeda8907 4 жыл бұрын
Nyundo zimekata, konkii konkiii konkii master huwa anaongea sana mambo mengi yanayohusiana na gemu hili daaah hatarii sana Chombo kimepoteza mwelekeo 😢😢😢
@danieljustinodaniel8306
@danieljustinodaniel8306 4 жыл бұрын
Andaeni interviews zenu, sasa unamshtukiza kumhoji mtu ndio maana unamkuta na stim zake hupati kitu apo zaidi ya kuwaaibisha ma legend..bongo trend mmezingua
@jamilaathumani9004
@jamilaathumani9004 4 жыл бұрын
Anahitaji msaada
@msafirlaizer2368
@msafirlaizer2368 4 жыл бұрын
Daah!! Bro hii powder aisee
@chandadascout602
@chandadascout602 4 жыл бұрын
Kwann ubakee weeweeee kwann ubake Anaimba ka #BI KIDUDE
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 4 жыл бұрын
😂😂
@akilihabibu4203
@akilihabibu4203 4 жыл бұрын
Daa! Daz baba jamani msaidieni tumemmisi sana
@sakoson957
@sakoson957 4 жыл бұрын
Sanii wa daz, ka young dee iv
@officialmatambi5550
@officialmatambi5550 4 жыл бұрын
Hata huyu Msanii wa Daz baba Naye Akiri zimefanana na Daz baba Wote Madish Yameyumba
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 жыл бұрын
Tatizo sio bangi huyo katumia madawa alafu hazingatii msosi wa kutosha alafu anachanganya na mapombe
@zainabubakari8489
@zainabubakari8489 4 жыл бұрын
😆😆😆nacheka km mazur aiseeeee daz baba huyu nimjuaye mie eeeeeh mungu msaidie tyuuuuu
@msatijunior6304
@msatijunior6304 4 жыл бұрын
Dah sjui ametumia bangi ya wap broo mzki wotee umepotea sasa
@msatijunior6304
@msatijunior6304 4 жыл бұрын
Swali jengine jbu jengine ad anpolala apajui duuh pombe co soda
@johel882
@johel882 4 жыл бұрын
Mtangazaji pia msenge kweli...unaforce..hujui
@athumanichato9644
@athumanichato9644 4 жыл бұрын
Daz mwalimu
@Kidotii
@Kidotii 4 жыл бұрын
Soo sad , the brother was cool! Jamanii!
@mwanzugitv8270
@mwanzugitv8270 4 жыл бұрын
. D . .cvv X . Vp
@justinmmoko6060
@justinmmoko6060 4 жыл бұрын
Mmh huyo msanii au msukule wa Daz kibabu . Daaa inauma Sana mziki huu ukiuletea usanii Sana unakugaragaza . Ila mwandishi inaonekana ndyo ulikuw unaanza kazi. sjui mlikuw wote mnapasiana kupata stimu na Daz kibabu
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣huendi mbinguni umenichekesha walai eti msukule
@kassimmdk9834
@kassimmdk9834 4 жыл бұрын
Unga ni mbaya sana walai
@japhettobisha5481
@japhettobisha5481 4 жыл бұрын
hv huyu ni mtangazaji mwenye professional kabsa???unawezaje kuuliza maswali ya kejeli tna kwa mtu aliye ktk hali km hyo??aiseeee taaluma imevamiwa
@espoirwatona2858
@espoirwatona2858 Жыл бұрын
Bangi mbaya
@rajabumapunda416
@rajabumapunda416 4 жыл бұрын
Duh, nimetoa machoz kabsa
@shazilchief1147
@shazilchief1147 4 жыл бұрын
Daaah hata Huyu msanii wa daz baba na yeye chenga aysee marijuana zimemjaa tu 😂😂😂 daah
@hamisihassan2620
@hamisihassan2620 4 жыл бұрын
Mmmmmmh unga hauwachi mtu salama daz baba
@sharpaliofficial7455
@sharpaliofficial7455 Жыл бұрын
Daa Daz kachziizii 😂😂😂😂
@erickmwangonda7814
@erickmwangonda7814 4 жыл бұрын
Nimeoma ii video nmeumia sana ukichukua wasanii wa kitambo ambao waliufanya mziki wa bongo flever upendwe uwez kumuacha daz baba pili nilinunua ablam yake ya kwanza kila ngoma ilikua kali jamani vijana wenzangu turuke sarakasi zote ila madawa tusisubutu hata kidogo
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 2 жыл бұрын
Atali sana
@yumna128
@yumna128 4 жыл бұрын
Maskini hata kuongea domo limesha kuwa zito duh mangi mbaya Daz baba umesha potea ww
@victorsir-nga7708
@victorsir-nga7708 4 жыл бұрын
Jamaa kambonyeza daz baba asiharibu afu na yeye mwenyewe kaboronga eti ana watu wengi dark master, profesa j, sugu 😀😀
@hussainkarim7113
@hussainkarim7113 4 жыл бұрын
Big bro
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 4 жыл бұрын
Dazbaba dishi linayumba kinyamaaaa
@francolazaro8646
@francolazaro8646 4 жыл бұрын
Hii ni unga wa ulezi uliotumika.. Sio Unga mweupe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🦅
@nurudaud3993
@nurudaud3993 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣 aisee hatari na nusu
@Chombezaflava
@Chombezaflava 4 жыл бұрын
Ana watoto 1000
@manjalejuniorlg7024
@manjalejuniorlg7024 4 жыл бұрын
Huyu jamaa kapoteza kinoma noma kwakweli huyu jamaa anahitaji msaada ili aache madawa
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 14 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 35 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
daz baba nipe tano
4:06
DazBaba Tanzaniano
Рет қаралды 168 М.
MTOTO YUSUFU AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUKUMBUKA HAYA.
39:01
BONGO TRENDY TV
Рет қаралды 366 М.
DAZ BABA - Full Interview na Bongo Project
1:20:51
Bongo Project
Рет қаралды 899
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 14 МЛН