Asanteni sana kwa walim wapande zote mbili.mi nilichofaidi kwenye midahalo hii ni kwamba yesu yu hai na yuko mbinguni ,Muhamadi alikufa yuko kaburini sasa mimi natakiwa kumfwata alie hai ambaye anashuhudiwa na vitabu(coran na biblia)kwamba atarudi naye ni yesu kristo.
@ZuhuraHamisi-v2k8 ай бұрын
Munamuhukum Dr sule et kwa sababu ana majini wakati nyienyie kuna yenu amuwezi kuyasema kwa sauti wenyewe mnayajua ,,kila mtu anabeba mzigo wake ww mwenyewe ujui unaenda wap alafu et unasema sure wa motoni kwani we ndo mungu???,,uelewa aupo aisee pambana na nafsi yako acha kusema ya yatu jiulize ww kwanza kabla ujamuhukum mtu🤗🤗
@samxx4118 ай бұрын
Kwa vile mie ni muislam, nna wasiwasi wewe sijui kama muislam...kwasababu Sule hajahukumiwa, sie waislam tumeitwa umma bora kwasababu tunaamrishana mema na kukatazana mabaya...sule amekosea ndio waislamu lazima atarekebishwa, hapa mimi nampenda sule lkn haimaanishi akikosea asirekebishwe..
@nchimbuke72618 ай бұрын
Sule Alijisema Mwenyewe😂😂😂
@JUA-338 ай бұрын
Ati hujui unaenda wapi??? Wewe si muislamu... Soma Quran 19:71-73 waislamu lazima waingie motoni wote hata yule mwupe kama pamba... Mbaka Allah aridhike ndio kisha atawaokoa anaye wapenda na hao ndio wale wachache wengi wa waislamu watabakia mule motoni milele... Yesu naya Johanna 3:16-18 amewaakikishia yoyote sio wakristo tu amwaminie ata pata uzima wa milele ... KAMA UJA SOMA UKO PEKEE YAKO
@elishamwaifugemwaifuge97208 ай бұрын
Sijawahi kusikia popote! Kwa mkristo wa kwel yeyote, et anatetea majini, Pepo wachafu. Ninyi si mnajitangaza kuwa Mna majini!
@samxx4118 ай бұрын
@@elishamwaifugemwaifuge9720 wewe hujui wakristo wanafuga majini, hao mafreemason wanatumia majini, hebu fuatilia mafreemason wengi hasa celebrities wengi ndio hutumia.
@zachariamichael88718 ай бұрын
WAISLAMU ACHENI UTANI HAKUNA MUISLAMH DUNIANI ANAWEZA KUPINGA KIFO CHA YESU ABADAN TOKENI HUKO KWA MAFUNDISHO YA UONGO
@Perfect-migomigo8 ай бұрын
Aiseeh....🙌❤️nakuwa mkristo kuanzia sasa
@elishamwaifugemwaifuge97208 ай бұрын
Karibu sana kwenye Ukristo
@ChidyAbdy8 ай бұрын
Dah jiande na majibu ya kumjibu mungu siku ya kiama mana ukiristo ni jina tuh sio dini.
@ChidyAbdy8 ай бұрын
Mungu akulinde san tuh.
@Zuwenamachela8 ай бұрын
Wewe ni nikafiri tu tangu mwanzo nani aweza acha uislam
@Zuwenamachela8 ай бұрын
Ukafiri ni kitu mbaya Sana
@elishamwaifugemwaifuge97208 ай бұрын
Wow!! Namshukuru Mungu wa Mbinguni Kwa kuona Waislam wanazidi kumtukuza Yesu kristo. 😊😊
@samxx4118 ай бұрын
Hahaha wewe kweli huna unachokijuwa, unajifanya unamjuwa yesu kuliko waislam?? Nyie wakristo mnamjuwaje yesu, hebu nitajie jina la mama yake mariam (mary) alomzaa yesu
@elishamwaifugemwaifuge97208 ай бұрын
@@samxx411 Mr.@samxx411. Hiv unajielewa kwel ww? au unadhan sisi waktisto ni watu wa kubishana. No!! Huwez kusema unamjua Yesu ambaye humtumikii, ww unamjua Yesu Kwa kumsoma! Wengine tunamjua Kwa kumsoma, kumtumikia na kumwabudu maana yupo ndan yetu. Huwez kuniuliza bib yake Yesu et ni Nan! Wakat Sina shida na bib ya Yesu. Mim Nina haja na Yesu mwenyewe.
@elishamwaifugemwaifuge97208 ай бұрын
@@samxx411 Kuwa mpole usibwajebabwaje tu, Njoo ubatizwe uwekwe huru, sio kuteseka na tabu za milele.
@elishamwaifugemwaifuge97208 ай бұрын
@@samxx411 Ukitaka kumjua nitafute nkupe Family tree yote ya Yesu. Usinisumbue tu. Au niseme tu! Alikuwa anaitwa Anna,, sasa usije ukanisumbua Tena kuhusu baba yake, ngoja nikwambia na yeye, alikuwa anaitwa Joakim.
@samxx4118 ай бұрын
@@elishamwaifugemwaifuge9720 huna andika Anna limetoka wapi?? Hamsomi maandiko mnarusha tu maneno kutoka kichwani mweni ikisha mnajifanya mnamjuwa yesu wakati mtihani mdogo umefeli
@richardreuben32228 ай бұрын
Ndacha I salute u brother. Unatisha.
@SamsonHumbe8 ай бұрын
Duuuhh safi sana pst F Ndacha
@HAMIS-ci2vt8 ай бұрын
kikubwa kuitafuta elimu ya haki maana baada ya umauti kila mtu atafarijika na kuhudhunika mwenyewe ko tujitahid kusikiliza pande zote na kuzijengea fikra za kina kisha tufate utakayo ona sahihi . tujitahidi sana ndugu zangu .
@ElijaMwasi8 ай бұрын
Asaaaawntee saaanaaa sheikh wetu Sule Allah akujaalie yote yalo mema
@dieudonnebigirimana80838 ай бұрын
Simama imara Sheikh wetu Dr al hadji sulle❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@AjiaMohamed-rt5pb8 ай бұрын
Shekhe au jini
@halimazubeir8 ай бұрын
@@AjiaMohamed-rt5pbwewe ndio mkuu wa ao majini
@richardchimba38008 ай бұрын
Sule kashindwa kabisa
@bustedislam35788 ай бұрын
Waislamu hawana haya yoyote inayosema Yesu hakufa. Wanasema hawakumuuwa. Lakini hayati Nyerere hawakumuuwa, Moi hawakumuuwa, Mobutu hawakumuuwa. Hiyo haimaanishe hawakufa... Mada imewashinda kabisa. Hata majini ya Sule hayamsaidie. Labda angelinyonga hilo pete...
@Zuwenamachela8 ай бұрын
Ebrania 5:7 mbali na Quran bibilia yenyewe inakataa
@bustedislam35788 ай бұрын
@@Zuwenamachela Mt 26:39-46 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe. Sasa, Mungu alisikia maombi ya Yesu? Kikombe alipewa anywe? Yn 18:11 Basi Yesu akamwambia Petro, Rudisha upanga alani mwake; je! Kikombe alichonipa Baba, mimi nisikinywee?
@StevenPeter-sg7zo8 ай бұрын
Waislamu ndvyo walivyo wakishindwa kwa hoja wanakataa had quran yao., Wamepewa andiko 3:55 Mungu amesema atamuua Yesu .,atamfufua na atamnyanyua kwake lakini bado wanajifanya hawaelewi wanakazania hawakumuua
@bustedislam35788 ай бұрын
@@StevenPeter-sg7zo Hiyo inaitwa Taquia. Inaruhusiwa kutumia uongo kwa kutetea uislamu. Hiyo ni SUNA
@StevenPeter-sg7zo8 ай бұрын
@@bustedislam3578 Dah hii ni hatari kweli yan wanatumia uongo kuitetea dini alafu wanasema wanafata zile amri kumi za Mungu za agano la kale ikiwa "Usiseme uongo pia ipo. Na Yesu anasema ibilisi ndyo baba wa uongo.
@Agoodservant8 ай бұрын
Yesu asifiwe
@HONJEB8 ай бұрын
Aisee ndacha ni 🐐 🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐on 🔥🔥🔥🔥🔥
@shaddrackshipala28022 ай бұрын
Yesu anastahili
@AllyMuawiyahMuawiya8 ай бұрын
CHA AJABU MADA YA JANA WALING'ANG'ANA YESU MUNGU..MADA YA LEO ETI MUNGU HUYO KAFA MSALABANI NI MAAJABU SANA AKILI MUNGU KAWAPA JITAFAKARINI SANA
@SaadiaHassanAbdullahi8 ай бұрын
sheikh mungu akulindi na mahasad
@rahmasuleiman86888 ай бұрын
Dr Sule wewe ni shujaa jana umeshinda kwa hoja na leo tunatarajia utashinda kwa hoja inshaallah Allah yupo pamoja nawe Allah atakusimamia
@richardchimba38008 ай бұрын
Sule kashindwa
@jamesmusonda19148 ай бұрын
Waislam hawana hoja yotote bali ni ubishi ubushi tu bila majibu
@albashakluninshaah37278 ай бұрын
Ndacha hana uwezo wa kujieleza. Shida tupu. Kubali kusilimu ingia katika dini ya uislaam
@HONJEB8 ай бұрын
Kwani we unaushahidi gani kua YESU haakufa
@richardchimba38008 ай бұрын
Sule kashindwa waziwazi yeye mwenyewe kamaliza mada
@JamesMoses-jd1yq8 ай бұрын
mbona usikubali kumkubali mwana wa mungu uwachana za mashelk waongo
@AshaAshim-gy6jm8 ай бұрын
Mwenyez mung akulinde xhekh wetu, wafundixhe watakuelewa
@richardchimba38008 ай бұрын
Sule kashindwa waziwazi
@nomar37088 ай бұрын
Hawa wakristo wa Africa vichwa vigumu hawaelewi. Wenzao wazungu washaacha zamani hiyo dini
@eliasmajambomwinyihaji13358 ай бұрын
Kwenye huu mdahalo nataka kuuliza hili swali na majibu yake siyapati ,swali Hilo lipo inje ya mada hii ,kwanini mitume (prophet )wote waliletwa kwa njia ya uarabu ? Ama watu Hawa warabu walikua wanafanya mabaya mengi kukithiri,walikua waovu Sana ?,sielewi kabisa viongozi au mwenye elimu ya juu anijuze kwanini wao na huku Africa Bado.
@jjtm1648 ай бұрын
Amekuuliza jibu tuone toa Aya yesu haakufa
@OmaryMsuya-km3cj8 ай бұрын
Ndacha si alisema jana yesu ndiye huyo mungu Leo vipi anamtenganisha yesu na mungu mala yesu mtoto wa mungu nachanganyikiwa kwakweli
@ShakurAKBAR8 ай бұрын
ALLAH AKBAR hata introduction inayoanza inaeleweka kuwa hali iko wapi hoja nzito kbs ambyo wakristo hawafikii hata kidogo
@jjtm1648 ай бұрын
Ntakufisha Allah akamwambia
@claverirambona60688 ай бұрын
Mimi sija skia yesu hakufa
@aishahazary40978 ай бұрын
Hakika umeutendea haki uislam.Umemchemsha Ndacha vya kutosha.Umeuziba mdomo wake kimyaaa
Takbirrr huyu ndo doctor sule😊Allah akueke miaka mingi
@richardchimba38008 ай бұрын
Sule ameshindwa bhana
@DININIKRISTO8 ай бұрын
ANDIKO YESU HAKUFA LITOKE SIO HAWAKUMUUA WALOKUWA WANADAI KUMUUA HAWAKUMUUA MUNGU NDO KAMUUA
@faridfrefre358 ай бұрын
Alikufa kwa ugonjwa gani
@ismailsoud36348 ай бұрын
Yesu hakufa, wewe unaye se ma alikufa UMELIWA.
@alexandertembea59408 ай бұрын
Wengi ni weslaam hum. mmejaa kweri. Mbona inajulikana mnajifanya amjui.
@SubiraMussa-wy1ul8 ай бұрын
Acheni sule atangaze dini ya Alla msikejeli ikiwa anajini ikiwamganga yote anajua.mungu na ndio mwenye hukumuzake
@richardchimba38008 ай бұрын
Sule kashindwa waziwazi bila kupapasa
@Zuwenamachela8 ай бұрын
We kafiri huna akili yesu hata siku ya hukum haijui atakuwaje hakim 24:36 mathayo
@callennyabonyi55808 ай бұрын
Waislamu wana changamoto ya kuelewa
@richardchimba38008 ай бұрын
Sule ameshidwa waziwazi
@claverirambona60688 ай бұрын
Waislam wana shida ghani
@HONJEB8 ай бұрын
Ndacha anawazweza mashekhe wote
@Saidfadhil-o3o8 ай бұрын
Mungu anakufa jamani
@DishaniDisha-zm2gm8 ай бұрын
Kazinzuri sana
@hamadsalum17918 ай бұрын
Laaana ya taurati ndio ipi
@JanethAnton-fx1mk7 ай бұрын
Waislamu tatizo mnasikiliza kwa kuwa tayali kupinga sio kujifunza kwani maneno hayo si yanasomwa kwa vitabu au anatunga acheni ushabiki bahna fungukeni macho
@hamadsalum17918 ай бұрын
Ndacha Acha kuichafua Quran kwa makusudi ili kufurahisha watu
@fezabeauty8 ай бұрын
We slam mnahamini sana kimwili kuliko kiroho jamn😂😂😂😂
@AssdfAssd-g3y8 ай бұрын
Alafu ndacha huna jipya kabisa yni sikuelewi unachokitetea kitugani hpo soma quran na uache kuipotosha na maandiko ya bibilia bora usilimu uwe ndugu katika iman acha kufundisha watu uongo kila siku
@richardchimba38008 ай бұрын
Sule ameshindwa waziwazi bila kupapasa
@AssdfAssd-g3y8 ай бұрын
@@richardchimba3800 chenye kimeshindwa Dr sule sija kiona huwezi kuchafua qoran na bibilia hata ww wasubiri kuunga mkono hoja za ndacha yn Kwa kweli shetani anawapamba mpk kuisoma bibilia na kuielewa mnashindwa ndacha ndio awasomee upuzi
@AdamuMkimbu-x1q8 ай бұрын
❤❤❤
@mudrikramadhani328 ай бұрын
Dr sule akili kubwa sana
@omarsaid6738 ай бұрын
Ndacha bora asilimu ataweza kuwa mzuri maana yeye hodari tatizo kasimamia kuti sio nguzo akikamata nguzo atakuwa na nguzu
@richardchimba38008 ай бұрын
Sule ameshindwa waziwazi bila kupapasa
@Zuwenamachela8 ай бұрын
Mada imeisha maana wanasema yesu ni mungu kisha huyo huyo yesu kafa msalabani hiv mungu aweza kuwamwanaumNdacha chemsha umechemsha
@shukuruiddi828 ай бұрын
ndacha kachochora sana yaani anawapeleka wenzie mbele anawarudisha nyuma , ngoja apigwe spana asilim huyu
@Zuwenamachela8 ай бұрын
Ndacha acha uongo wa kuunganisha maneno aya ipi et yesu alikufa siku 3
@BarakaZabron-py2fz8 ай бұрын
Hoja za ndacha siku ya kiyama zitawahukumni. Ikiwa Dr anashindwa hoja na standard seven dropper kuna nani sasa wa kuutete uislamu?
@Ochiengochieng-qc8dw8 ай бұрын
Kashinda kwa hoja gani?
@shukuruiddi828 ай бұрын
ukijiuliza kwa akili za kawaida tu mungu amekufa wenyewe tulikuwa tunajifanyia dhambi na ibada halafu kesho hizi siku tatu si tutamkatalia mungu kuwa ulikufa halafu unatusingizia hizo kesi na tulivyo wanadam zile siku tatu mungu kakata mbn moton huendi hiyo ligue yake
@ShakurAKBAR8 ай бұрын
Jamani wakristo hawana hata hoja mwanzo ilikuwa yesu kafa akafufuka hapo unawambiya watu kiyama cha mauti sio tena kifo hapo iko je ? ALLAH AKBAR jamani karibuni ktk Uislamu Ni Free hujatoa hatujasikiya and iko kutoka ndani ya Biblia
@AbubakarAlly-th6op8 ай бұрын
Huyu sure ni mbaya zaidi kuliko kafiri kwasababu kafiri tushamjua hatusumbui ila sure anajifanya anatetea uislamu kisha anawalingania waislamu wamshirikishe Allah, na kuwapandikizia itikadi waislamu waabudu majini nakuamini pete kwamba ndio itatoa baraka enyi waislamu wenzangu jiepusheni na huyu mtu
@halimazubeir8 ай бұрын
Wewe nae unaongea nini hujui ulitendalo sikiliza mada ayo mengine apa sio pahala pake
@johnngenga13208 ай бұрын
karibu ukristo
@petermatabwa21338 ай бұрын
Kwani ni doctor wa nini?
@Kujason128 ай бұрын
Samia Dr wa nini
@richardnganya23118 ай бұрын
@@Kujason12swali NI Kwa Sule. Huyo Samia kaingiaje ? Hii ndio inaitwa NJE YA JAMBO !!
@hamadsalum17918 ай бұрын
Halafu haiingii akilini eti Mungu ambaye ndiye mwenye madaraka ya kila kitu eti amuuwe mwanawe ili awasamehe nyinyi
@clarencepeterbugi28628 ай бұрын
Mie nnavyowajuwa Waislam huwa makusudi hawataki kuelewa
@jeanninemunezero64698 ай бұрын
Roho mtakatifu anafanya kazi hiyi mithaharo nishaidi Tosha wenye kusikiya watasikia wenye hawapendi kusikiya shauli yawo bira unafiki aushabiki hapa ukweri unapatikana Kati ya sule na ndacha kuna ukweri we kuwa makini 😮😮😮😮
@JamesMoses-jd1yq8 ай бұрын
Kawaroga Nani waislam 😢
@jjtm1648 ай бұрын
Huwezi jibu hoja kama nikuubiri uslamu mbona ukamwita ndacha
@barakaharony43968 ай бұрын
Mhahahhaha waislamu kweli hoja hawana jaman
@SaadiaHassanAbdullahi8 ай бұрын
sheikh wewe ukona elmu kuliko wengi so endelea kuubiri laaillaha illa Allah
@richardchimba38008 ай бұрын
Wakati shekhe kashindwa bhana hajibu hoja😂
@hamadsalum17918 ай бұрын
Acha janja zako
@mohamedcade24218 ай бұрын
This is just a business.it is 2 persons agreed to do business using KZbin channel.
@BarakaZabron-py2fz8 ай бұрын
After your imam loosing woefully the debate now you are down talking it. Shame on you
@EmmaMtusi8 ай бұрын
Dah ila ndacha ni master
@aliraalira85368 ай бұрын
Hana umaster wowote
@HASSANBAKARI-q9c8 ай бұрын
ila ndacha😊
@faridfrefre358 ай бұрын
Eti mungu anakufa
@albashakluninshaah37278 ай бұрын
Wakristo amkeni jamani. Usife ukiwa kafiri.
@richardchimba38008 ай бұрын
Sule ameshindwa waziwazi na Quran inasema Yesu amekufa
@JamesMoses-jd1yq8 ай бұрын
mkiwacha kuwa watumwa wa Muhammad Kisa waarabu ntakubaliana nanyi
@سعدياقوت-ت2خ8 ай бұрын
Sasa huu ni mdahalo au ni ushabiki tu
@kelvinmurithi72558 ай бұрын
Doctor wewe ata utetee uongo mwisho wa siku kitaeleweka
@AidanoSilvestreSabiniSabini8 ай бұрын
Ndacha, ta falar a verdade que esta escrito na biblia,
@hamadsalum17918 ай бұрын
Aya inakusudia vyengine wewe unaipeleka vyengine
@KevinMayengeАй бұрын
wewe sulle jenga hoja bwana wacha kubambanya bwana
Qur an haijasema kuwa hakufa bali ilifafanua madai yao ndio maana ikaanzia walipoishia wao.tuwasikilize hawa walim(ndacha na sule)kisha tutafakar kielimu sio kiushabiki.
@jjtm1648 ай бұрын
Hata sule kasema hakuja kujibu hoja Bali kuhubiri uislamu ina maana hawexi na ameshindwa
@princematumbo8 ай бұрын
Acha upumbavu wewe mjaluo pastor, Musa anatokea wapi, pumbavu umeambiwa Muhammad na Yesu, msenge wewe
@JamesMoses-jd1yq8 ай бұрын
Waislam hipo mtujua kuwa Muhammad was false prophet
@HAMIS-ci2vt8 ай бұрын
@@JamesMoses-jd1yqmkiweza kudhibitisha hilo itapendeza sana tutaritad kuwa wakristo kwanin tusifate haki ikidhihiri ikiwa kila mtu anahitaj kuwa salama baada ya umauti .
@HAMIS-ci2vt8 ай бұрын
kikubwa kuitafuta elimu ya haki maana baada ya umauti kila mtu atafarijika na kuhudhunika mwenyewe ko tujitahid kusikiliza pande zote na kuzijengea fikra za kina kisha tufate utakayo ona sahihi kwa manufaa ya nafsi zetu wenyewe.