Kuna maelexo umeongea facts lakini kusema Simba Kama yatima umeongea ushabiki hakuna team inayotegemea team nyingine.
@SameerMngazija10 күн бұрын
Inamana Simba atashinda mechizote
@selemanmcharazo10 күн бұрын
Mi ni Shabiki wa yanga ila kwa namna ninavyoitazama team yangu nikweli tunawachezaji wazuri kuliko Simba ispokuwa Simba wanajituma sana kuliko wachezaji wetu.