LIVE FULL SHOW! FEROOZ NA DAZ BABA BONGOFLEVA HONOURS "DAZ NUNDAZ....

  Рет қаралды 4,346

Bongopods

Bongopods

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@Dimoraizer
@Dimoraizer 5 ай бұрын
Bigup sana Mr sugu Kwa kutuletea malegend waasisi Wa bongo fleva tumeinjoi sana na mzk mzuri kutoka kwao tunaomba iyo live show Yao irudiwe tena nazani hao jamaa wakpata tena nafasi watauwa zaidi ya hapo 🙏 Kaz nzuriiiii nmekumbushwa V2 vyambal sana na hao jamaa
@charlestobby6031
@charlestobby6031 5 ай бұрын
Old is gold mmetukumbusha mbali sana wahenga wenzenu daah bless up friends 😭❤️❤️🔥🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾
@bongopods
@bongopods 5 ай бұрын
Thanks for the comment...
@McT-q6i
@McT-q6i 2 ай бұрын
Safii sana mziki umerudi bongo be up daz nudaz feruz mzk umerudi tena fathers fela leo ulikua na ndoto kam zangu nlikua naongea kila sku Tanzania 🇹🇿 ltamka lini dingi sugu leo ♌ Tanzania imeamka upya so , seson hii bongo flaiva kama singer na singer kama labda solo mamba na manfongo zilizo Baki zote ushubwada jazz bendi
@Modo-jrtv
@Modo-jrtv 5 ай бұрын
Kazi nzur
@JimmyKwakweli
@JimmyKwakweli 5 ай бұрын
Show kali
@tgeofrey
@tgeofrey 5 ай бұрын
Wapi Nipe tano
@davidmunkyala8768
@davidmunkyala8768 4 ай бұрын
The real meaning of talent
@NjenjeTv
@NjenjeTv 5 ай бұрын
Ongezeni umakini kwenye sauti kazi nzuri
@ChenxonJombiii
@ChenxonJombiii 5 ай бұрын
Nakubalii kinyamaaa ma br
@bongopods
@bongopods 5 ай бұрын
Thanks for the comment...
@McT-q6i
@McT-q6i 2 ай бұрын
Aslam alaykum Tanzania 🇹🇿 wap mtazamo afande sele
@MkilemaPantaleo
@MkilemaPantaleo 4 ай бұрын
sound haipo sawa imezidi bass halafu sauti za vyombo zipo juu kuliko wasanii wetu
@hansonlz
@hansonlz 4 ай бұрын
band hatariii
@stephenwainage2523
@stephenwainage2523 5 ай бұрын
Mic mbovu utadhani wanaimba kwenye Holly
@Philosophy219
@Philosophy219 5 ай бұрын
Hapana sound Engineers ndo hatajafanya settings vizuri alafu Cha pili anaye record hiyo video anachukua sauti ambayo tayari imeisha sambaa kwenye ukumbi
@ahmedkambona663
@ahmedkambona663 5 ай бұрын
Bonge la Show 🔥🔥🔥
@lwambofrancomakiadi9888
@lwambofrancomakiadi9888 5 ай бұрын
oooh hatari sana, huu ndo mziki halisi
@salimmwinyihaji7172
@salimmwinyihaji7172 5 ай бұрын
Unakosea apo kwa headline, umetaja watu wawili pekee, ungeandika Bongo honors Daz Nundaz
@bongopods
@bongopods 5 ай бұрын
Tunalifanyia kazi hilo...
@BarakaIbihya
@BarakaIbihya 5 ай бұрын
nimependa mavazi yao wamejistiri
@bongopods
@bongopods 5 ай бұрын
Thanks for the comment...
@McT-q6i
@McT-q6i 2 ай бұрын
Tmk wnaume family hap wangeamsha popo miksa majan ding nature mzk umerudi leo historia kubwa
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 5 ай бұрын
Sauti hazisikiki,nadhani vyombo ni tatizo
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 5 ай бұрын
Aliyerekodi ndio aliharibu sound quality. Ila ukumbini dundo lilikua baab kubwa
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
MBOSSO - YAMAHA COME TOGETHER CONCERT SERIES | 11TH EDITION
54:30
Daz Baba   Elimu dunia
5:03
adow9 musictz
Рет қаралды 119 М.
Ibraah Feat. Billnass & Whozu - Tubariki (Official Dance Video)
4:49
ISSA MATONA   JAMVI LA WAGENI
8:11
MC RAJNU
Рет қаралды 674 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН