No video

Fursa ya Watanzania Kufundisha Kiswahili Marekani

  Рет қаралды 6,077

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Udhamini wa Fulbright FLTA wa kufundisha Kiswahili katika vyuo vikuu vya Marekani umeanza. Website ya kuangalia maelezo yake ni tz.usembassy.g... na kufanya application
#ebmswahili #ebmscholars #ughaibuni

Пікірлер: 44
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Website ya kupata maelezo zaidi na application link tz.usembassy.gov/education/fulbright-flta/
@pulikisia7963
@pulikisia7963 Жыл бұрын
Asante sana Kaka,lakini sijaona application deadline,naomba unisaidie tafadhali.
@MariethaHaule-hc3ng
@MariethaHaule-hc3ng Жыл бұрын
Sante sana bro.samahan lakn pia batsman kujua jinsigani ya kuandika hiyo CV pamoja na hizo barua??
@wilbartmugheri8258
@wilbartmugheri8258 Жыл бұрын
Nashukuru sana bro. Makulila kwa michango yako unayowasaidia Watanzania wenzetu. Naamini wenye masikio wamesikia na pia wenye macho wataliona jua. Ahsante sana.
@stannydidasy
@stannydidasy Жыл бұрын
Asante Sana kaka Ebm
@lightnessanthony8527
@lightnessanthony8527 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA EBM JAMANI NASHINDWA HATA NIKUSHUKURU VIPI
@michaelkomwiswa7048
@michaelkomwiswa7048 Жыл бұрын
Tunashukuru Bwana EBM
@Raphaelhopes
@Raphaelhopes Жыл бұрын
Thank Mr EBM may God bless you much
@rahimsaid3858
@rahimsaid3858 Жыл бұрын
Kaka ebm naeweza kuomba dv lottery wakati bado NASOMA advance mwaka huuu nipo form 5 navilevle elimu y chin kujiunga jeshi
@samwelipaul9014
@samwelipaul9014 Жыл бұрын
Jibu ni Ndiyo ndugu yangu
@Raphaelhopes
@Raphaelhopes Жыл бұрын
Soma kijana time not yet
@Raphaelhopes
@Raphaelhopes Жыл бұрын
Listen Mr EBM very carefully you will understand just relax and listen to EBM
@rahimsaid3858
@rahimsaid3858 Жыл бұрын
@@samwelipaul9014 nashukuru kaka
@maryjescafrida4331
@maryjescafrida4331 Жыл бұрын
Means mpaka mwakani may utakuwa umemaliza form 6..so yes omba this year mpaka matokeo yakitoka tayari utaweza kuonesha kuwa una high school certificate.
@swalahuomar9654
@swalahuomar9654 Жыл бұрын
Thankss nafwatilia kutoka kenya ur big fan man
@lightnessanthony8527
@lightnessanthony8527 Жыл бұрын
Aki nimefikiwa mie,, Guys tujitahidi kuapply aiseee na tumshukuru Mungu kwa kutupatia EBM km mkombozi wetu
@Swahilijoker
@Swahilijoker Жыл бұрын
Deadline lini
@lightnessanthony8527
@lightnessanthony8527 Жыл бұрын
@@Swahilijoker hajasema kuhusu deadline
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
​@@lightnessanthony8527 naomba nisaidie na mimi nahitaji sana
@theophilrenatus5204
@theophilrenatus5204 Жыл бұрын
God bless you brother
@helenashemndolwa750
@helenashemndolwa750 Жыл бұрын
Nauliza gharama ya kufanyiwa mambo ya hii program ni sh ngapi
@MariethaHaule-hc3ng
@MariethaHaule-hc3ng Жыл бұрын
Sante sana kaka kwamuda wako pia samahan napenda kuomba kujua jinsi ya kuandika CV na barua jinsi wanavotaka wao ili nisiende visevesa
@beingnicoleamor7611
@beingnicoleamor7611 Жыл бұрын
🙏👏👏
@Swahilijoker
@Swahilijoker Жыл бұрын
Kaka Mungu azidi kukupigania kwa kutupa mwanga Nauliza hii program inafunguliwa/imefunguliwa tarehe ngapi kuanza ku apply na deadline li nini Natanguliza shukrani
@bigboys016
@bigboys016 Жыл бұрын
Essay ziko nyingi kaka,zaidi ya tatu
@mohamedialliy1974
@mohamedialliy1974 Жыл бұрын
Ebm kiongozi unaingia lini Tanzania
@MariethaHaule-hc3ng
@MariethaHaule-hc3ng Жыл бұрын
Hi,bro Mimi ni marietha haule lakini natamani kwenda kufundisha kiswahili marekani nifanyaje mwaka 2026 kwakua saiz nipo mwaka wa kwanz nasomea degree adi nitakapo maliza chuo iwerahisi kwangu kupita kwenye mashariti yao??
@zubeirmwaeshu6989
@zubeirmwaeshu6989 Жыл бұрын
Ebm ni kiasi Gani Cha gharama kunifanyia application na pia nili apply green card lottery nipe mwanga hapo
@princessdayana6142
@princessdayana6142 Жыл бұрын
Hello EBM Samahani Naomba Feedback ya application ya Summer Camp Job Je nimepata??
@ChakatuAlly
@ChakatuAlly Жыл бұрын
EBM anavyoongea na jinsi alivyo ni kama Mrisho mpoto,
@safariazizi9064
@safariazizi9064 Жыл бұрын
Kenya vipi are we included in this program
@hildaedgar6242
@hildaedgar6242 Жыл бұрын
Kaka naomba nsaidie sample ya hyo cv jinsi ya kuiandaa
@helenashemndolwa750
@helenashemndolwa750 Жыл бұрын
Gharama ya kufanyiwa application ikoje
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Жыл бұрын
Kaka ivi kuenda America gharama zake ni kiasigani?
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 4 ай бұрын
Bro how do we apply
@christinawalter7954
@christinawalter7954 Жыл бұрын
Nakutafuta watsap kwa namba uliyotaja hamna response
@rosewanjiku
@rosewanjiku Жыл бұрын
Na ya Kenya Iko wapi
@grahamshadeer
@grahamshadeer Жыл бұрын
Kaka mbona nimekucheki WhatsApp na kwenye email yako ujanijibu kitu
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 Жыл бұрын
Sijuwi kama hile Namba Yake Bado kama anahitumiya dada maana namimi nomeisha mcheki lakini hanijibu
@libetztanzania-kiswahilina2845
@libetztanzania-kiswahilina2845 Жыл бұрын
Mimba ha ha
@rahimsaid3858
@rahimsaid3858 Жыл бұрын
Kuapply shingap
@Raphaelhopes
@Raphaelhopes Жыл бұрын
Worry out kijana listen to EBM just relax you will get success through listen Mr EBM relax first
@RachelJohn-hs8jx
@RachelJohn-hs8jx 3 ай бұрын
Naomba email yako
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Naomba contact zako
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 33 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 32 МЛН
Jinsi ya kupata fursa ya kufundisha Kiswahili Marekani
3:30
Durusu Kiswahili
Рет қаралды 452
Unaenda Marekani Unarudi Tanzania???--My Real American Experience
9:34
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 13 М.
"KUTOKA BUKOBA MPAKA ULAYA !! NILIKUA SIJAWAHI KUPANDA NDEGE "PART 1
1:02:55