LIVE_HAJJ OMAR KHEIR ARUDI KWAO NA MACHOZI

  Рет қаралды 3,965

ZINJIBAR TV

ZINJIBAR TV

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge 3 ай бұрын
Wanafanya mambo Yao ya ucha😛😋🤤😭
@abdallamohdhiyonineematush408
@abdallamohdhiyonineematush408 3 ай бұрын
Haji anapedwa Sana na jamaa zake sio mchezo
@kassimsuleiman6720
@kassimsuleiman6720 3 ай бұрын
Mawahabi kwani simnyamaze mnataka nini
@JumaOmar-s4m
@JumaOmar-s4m 3 ай бұрын
Japo kuwa huna Cha kuandika lazima uandike? Somani kwanza.
@FaudhanMuhamad
@FaudhanMuhamad 2 ай бұрын
Kwan ww umeyatowa wap ulyoo soma et kooulko soma siutusomeshee
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 3 ай бұрын
Huyu barzanji katuletea balaa kubwa duniani majahili wakubwa nyie
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 3 ай бұрын
Tafuta cha Ushahidi cha kumjibu Allah kwa kumtia khatiani BARZANJI bila ya kujua Hekima na Elimu Alotumia kitunga mashairi haya ya Kuisfia REHMA YA ULIMWENGU.. Huko kutakuwa hakuna Ushabiki ni wewe ALLAH na BARZANJI ulomuhukumu...
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 ай бұрын
WEWE UMI, ALIYELETA BALAA NI SHEIKH LENU MUHAMMAD ABDULWAHAB AMBAYE ALIIVAMIA HIJAZ NA KUUWA WAISLAM WASIOKUWA NA HATIA KTK MIJI MITUKUFU YA MAKKA NA MADINA NA AKAKIPINDUA KIZAZI CHA MTUME MUHAMMAD (S) MADARAKANI NA NA KUUSIMIKA UKOO WA ALSAUDI MADARAKANI NA AKABADILUSHA JINA LA NCHI HIYO NA KUIITA JINA LA UKOO WAO, NA SASA INAJULIKANA KAMA SAUDI ARABIA BADALA YA HIJAZ, AKAENEZA MAFUNDISHO YA CHUKI NA KUFARAKANISHA UMMA WA KIISLAM DUNIANI. LEO MUISLAM WA PALESTINA ANAUWAWA NA MZAYUNI SERIKALI YA SAUDI INASIMAMA NA WAZAYUNI BADALA YA WAISLAM WENZAO NA MBAYA ZAIDI HATA MASHEIKH ZENU KINA KASIM MAFUTA WANAHALALISHA MAUWAJI YA ISRAEL DHIDI YA WAPESTINA NA NYINYI WAFUASI WAO MNASHANGILIA KUUWAWA WAISLA WENZENU. JIULIZE ALIYELETA JANGA HAPA NI NANI?!
@ZubeirHamada
@ZubeirHamada 3 ай бұрын
Jahil unamjua wewe?
@HijaMussa-v5r
@HijaMussa-v5r 3 ай бұрын
Ridhia msimamo wa mwenzako kama wengine wanavoridhia msimamo wako, lugha mbaya hazitatusaidia chochote katika dini yetu, sote tunasubiri hukmu ya M/Mungu siku ya kiama. Allah atujaalie mwisho mwema.. Aamiin.
@Sheba4651
@Sheba4651 3 ай бұрын
​@@KS-iw7qvHayo mashairi miidam si Quran lazima itakua kuna upungufu na makosa, mtu hatungi kisha likosekane kosa, barzanji si Quran.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Peaceful Soft Quran For Deep Sleep, Stress Relief, & Healing ✦ NOOR
2:28:59
NOOR - Holy Quran
Рет қаралды 818 М.
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
arkas online tv
Рет қаралды 219 М.
SIFA ZA WACHAMUNGU  JEE NA WEWE UMO ? // SHEIKH OTHMAN MAALIM
53:20
arkas online tv
Рет қаралды 54 М.
"BINGWA WA ISTIGHFARI" KAMA WEWE UNAMADHAMBI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
38:04
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 127 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН