LIVE: Hapa Juma Nature Pale Inspector Haroun | Mikwaju Yote Mikali ya Zamani Inapigwa Live XXL

  Рет қаралды 30,827

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@deusmallya6932
@deusmallya6932 Жыл бұрын
Nature nimekuelewa Mungu ndo kila kitu🤝🤝🙏🙏
@mohammedathman5816
@mohammedathman5816 Жыл бұрын
Show nikali kinyama blessed 👊👊 ni Mohammed from Kenya
@swalehjuma9769
@swalehjuma9769 Жыл бұрын
Inspector ni smart,anajua kujieleza.Hawa ni legends of all time kwenye game ya bongo
@chemstry409
@chemstry409 Жыл бұрын
Your right bro'.........
@goodluckkanza6801
@goodluckkanza6801 Жыл бұрын
Na katika kitu industry ya bongo wanazingua ni kutokuwa na tuzo za heshima kwa hawa watu ase....
@mikasayote4728
@mikasayote4728 Жыл бұрын
Asante kwa kutukumbuka wahenga
@saidlindukwa6288
@saidlindukwa6288 Жыл бұрын
Nawakubali wote hao ule wakati ulikua ni wakati wetu tuli enjoy sana music yao,nashangaa kwa nini wasianze upya kuimba ile music yao nina imani itatrend tu.4rm kensington south africa
@bama9271
@bama9271 Жыл бұрын
Big up guys CMG,I’m following you all the way from United States!!!!
@Dr.zaidi4
@Dr.zaidi4 Жыл бұрын
Mbona Mombasa tuliwapenda hawa mabwana? Watanzania ni kama wanafunikana yet they hv a variety of superb talents both old and new
@abdouljb
@abdouljb Жыл бұрын
I wish bongo Flava ingebaki na hii Flava, niliwakubali sana aisee,... #natureeee #inspekta harum,... CITIZEN RADIO 📻 NA WILLY M TUVA respect Mzazi
@shijaenock7638
@shijaenock7638 Жыл бұрын
Yaan saut ya nature kwa kuongea mbaya mbaya haitamanishi lakn kwnye michano inachukua namb 1 mungu anamaajabu
@olobikoomollel3898
@olobikoomollel3898 Жыл бұрын
Mr. Nature umetumaliza .... chemistry....hapo tu...
@theosaimon6933
@theosaimon6933 Жыл бұрын
Hadiii nasisimka ??yaani hiiii miambaa basiiiii tu??what? a memories
@josephmushi7273
@josephmushi7273 Жыл бұрын
Hatari sana hawa watu
@asl6295
@asl6295 Жыл бұрын
JUMA NATURE (DANCE WITH ME) 🔥🔥🔥🔥
@mansourmkanakuta6641
@mansourmkanakuta6641 Жыл бұрын
Haroun bado Yuko vzur kwenye kuongea na bado Yuko fresh Sana kichwani
@meedyshow8807
@meedyshow8807 Жыл бұрын
Tunaelewa sana tunaelewa sana
@tiganahussein8914
@tiganahussein8914 Жыл бұрын
Safi sana!!.. tunawapokea
@rajabuuondo4924
@rajabuuondo4924 Жыл бұрын
Daa safi sana kitambo sana kk zetu awoo walete mibweshuna mingiiii
@twahaissa6914
@twahaissa6914 Жыл бұрын
Nawapenda sana awajamaaa wanajua atare
@dottowache5149
@dottowache5149 Жыл бұрын
Yes babu kubwa majitaaa exspta jey nuture
@kelvinjeremia8763
@kelvinjeremia8763 Жыл бұрын
Hawo watu wawili ndio walinifanya nikapenda bongo fleva nawakubali mbaka kesho
@saidhamza5318
@saidhamza5318 Жыл бұрын
I grew up through tha age music
@DeBoy-oy2jg
@DeBoy-oy2jg 7 ай бұрын
Watoto wa 19z hawataelewa nyimbo za hawa wasanii zinamaanisha nini,
@kephawaziri9553
@kephawaziri9553 Жыл бұрын
Pamoja na kuwa ngoma zao zina muda, ukiwapa nafasi kwenye tamasha wanasepa na kijiji 😂😂
@shariffshaffii3299
@shariffshaffii3299 Жыл бұрын
Kama mtu wa vikali mimina ukate kiu@inspector haroun
@franciskianga9950
@franciskianga9950 Жыл бұрын
nawakubali sana ma fazaa
@rachelndaki5642
@rachelndaki5642 Жыл бұрын
Mbona kama juma kalewa jamn mh
@saidlindukwa6288
@saidlindukwa6288 Жыл бұрын
Hao walikua vichwa kwa wale walikua watt kipindi kile hawataelewa lkn km wakisema waimbe achana nao na temba wao tusimsahau walikua moto hao watu.ukweli wanajua sana hata waanze leo watatrend bila shida.4rm kensington south africa
@MikeMakame
@MikeMakame 5 ай бұрын
Nawakubal sana hawa watu
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 Жыл бұрын
Da kumamaake walahi hi ndani yapamba nyepesi mwanangu ilikuaga noma
@ogastasteven4659
@ogastasteven4659 Жыл бұрын
Dash nature bwana😂😂😂 eti Mungu ndio star kuliko anord shwaznigar
@byokatz
@byokatz Жыл бұрын
Tunaomb uwanjani DJ davizo
@slimmtani8236
@slimmtani8236 Жыл бұрын
😀😀😀good memory
@iddykivu050
@iddykivu050 Жыл бұрын
Manduna wa Bongo flavor
@asl6295
@asl6295 Жыл бұрын
Hili Gem🔥👍
@diamondplatinum3708
@diamondplatinum3708 Жыл бұрын
Ilikuwa hatari na nusu👏
@mansourmkanakuta6641
@mansourmkanakuta6641 Жыл бұрын
Inspector haroun
@saidlindukwa6288
@saidlindukwa6288 Жыл бұрын
Hao watu achana nao wanajua hao ni wabunifu walikua acha mchezo,walikua na maneno yao fulani hivi ktk nyimbo zao utafurahi sana.nyimbo zao pia zilikua na mafunzo mno.
@meshachkigumbi
@meshachkigumbi Жыл бұрын
oten ndani ya pozi
@dottowache5149
@dottowache5149 Жыл бұрын
Mtoto Sonia tu
@dudumankidume3046
@dudumankidume3046 Жыл бұрын
Kali
@saidlindukwa6288
@saidlindukwa6288 Жыл бұрын
Inspector mwana wa kahena huyo lituhi,matandu na muwale streets maeneo yake hayo mwana wa kitaa huyo anajua mziki naimani akisema aanze tena ataibuka naimani sana.
@adamlipau8858
@adamlipau8858 Жыл бұрын
Hawa jamaa nawakubali sana, na walitupa radha tatizo muziki wa bongo una fitina sana, haiwezekan hadi leo Kofi Olomide anahit alafu hawa wamezimwa kabla hata hawajawa wazee
@tatudunia5537
@tatudunia5537 Жыл бұрын
Tisha
@manuchela9994
@manuchela9994 Жыл бұрын
Wakulungwa 👊
@shabanimarima6127
@shabanimarima6127 Жыл бұрын
MR T . TOUCH anacheka sana
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 Жыл бұрын
Nature haongei Sana lakini wote walikua inspired na naye.
@twahangamba3082
@twahangamba3082 Жыл бұрын
Hawa wote magwiji hakuna mwamba kati yao walitugawa sn wana TMK bifu lao walituumiza
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Жыл бұрын
@@twahangamba3082 Kabla ya TMK Nature na Inspecta walikuwa maadui kitambo sn kipindi Cha kina ZayB
@bakariabdallah8702
@bakariabdallah8702 Жыл бұрын
wakwenge wamerudi
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Wenye rap yao
@nackamnchimbi6616
@nackamnchimbi6616 Жыл бұрын
Hawa jamaa ukitaka kujua ni hatari wasikilize kwenye track mbili walizoshirikishwa na mandojo na domo kaya. humo ndimo utashindwa kujua nani ni mtu bingwa
@sultanmsoloni8635
@sultanmsoloni8635 Жыл бұрын
Hata kwenye mzee wa busses remex au npo gado ya zay b original alikuwa Babu na remix kasimama nature
@rajabuuondo4924
@rajabuuondo4924 Жыл бұрын
😂😂 nakubar San kiroboto mungutu kwer
@tatudunia5537
@tatudunia5537 Жыл бұрын
Tisha
@mwalimuali1850
@mwalimuali1850 Жыл бұрын
Juma nature ni tupac wa Africa 🥰
@waziriathumani4940
@waziriathumani4940 Жыл бұрын
balaa
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
TAJIRI YANGU HUYU HAPA 🤑‼️ CHIEF GODLOVE
7:35
CHIEF GODLOVE Fan Page
Рет қаралды 1,3 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН