Mashallah mungu akuzidishie ilmu kweli kabisa kipaji mungu amekupa mashallah tabaraka llah
@haarunsaidabdillahi40822 жыл бұрын
Tunawafuatilia from Netherlands. Shukran, munatuelimisha sana.
@moonathansania61433 жыл бұрын
Subuhanalla maneno sahihi shekhe hasidi sio nzuri mimi mwenyewe siko pamoja na watu mahasidi yaani mtihani mimi mwenyewe nilijipaka poda ya uso tuu basi imekua sababu ya kupata mabalanga ya uso
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Inaeza kua ili expire au imetengenezewa kitu ambacho kimekusabbishia allergy.
@habibaidriss44803 жыл бұрын
MAshaallah allah bareek masheikh zetu allah akupeni jannat Firdaus niko Dodoma kuli Neema mahsud twaombeni dua zenu sana hasadi ni mbaya sana .
@jumahadidja939510 ай бұрын
ndio ❤❤❤❤❤❤
@husnaomar8033 жыл бұрын
InshaAllah Allah s.w awapeleke salama Murudi salmin ALLAH UMMA AAMIIN YAA, RABB SWALEHAHMED MSA KISAUNI BAKARANI
@samiraaljabri49213 жыл бұрын
Mashallah jazak Allahu heri Mungu atuhifadhi na HASADI
MashaAllah MashaAllah sheikh wanyooshe wanyooshe mwisho wa siku wataelewa ty😂😂😂,nakupendeni kwa ajili ya ALLAH
@tumajunior60803 жыл бұрын
Mashaallah shukran nafurahi Allah akuhifadhi ww na ss inshaallah 🤲🤲🤲
@fatmakhatib84443 жыл бұрын
Mashallah sheikh Salum umewatumbuwa mahasidi kama hawajatubu wafe tu
@salminasalim56303 жыл бұрын
Mashaallah Tabarak Allah Sheikh Allah akupe mwisho mwema In Shaa Allah
@munaaabdulrehman47713 жыл бұрын
A a shekh shukran sana mungu atakujazi inshaalla
@halimaomari34153 жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh mola akuhifadhi akupe umri uzidi kuwashambulia mahasidi inshaa Allah
@munaomar53263 жыл бұрын
Maa Sha Allah na wapata nikiwa Bahrain
@khalidhaji85703 жыл бұрын
Mashallah, mashallah jazakawahu kheir
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Mtihani kwa kweli mungu atunusuru ishaalah
@tambwefatuuma53783 жыл бұрын
Mashaallaah Mungu akujalie fridausi inshaallaah Niko Madina tulimunawara
@muktaromar55012 жыл бұрын
Asalaam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh sheikh Unaongea kitu kinafanyiwa kila siku kwenye maisha yetu. Tupo nawo everywhere
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Tumekatazwa kuhusudiana lkn tunahusudiana. Ila kikubwa tusieke mambo yetu wazi na tujikinge kupitia Qur-an na sunna ili yale yalokua nje ya uwezo wetu kuyaficha Allah atukingie. Allah atuepushe na hasad...kuhusudu na kuhusudiwa, Amiin.
@naimaabuualii5783 жыл бұрын
Ni kweli kabisa shekh watu mahasidi ni wengi sana ila wanadamu tuna mitihani mikubwa sana mungu atuhifadhi na tunakuombea kwangu uzidi kutuelimisha Isha Allah mashek wetu mungu awalipe
@mohamedaminah34483 жыл бұрын
MA SHAA ALLAH, TABARAKA ALLAH,JAZAKA ALLAH KHEIR ,KIPINDI KIZURI SANA, WATCHING FROM COMOROS.
@habibaidriss44803 жыл бұрын
Naomb tutumieni kwa maji mkisomea na huku Dodoma.allah akuhifadhi
@hfhdhfhd71263 жыл бұрын
Masha Allah, hasidi umfanyie mini?Tafadhali nieleze ,Sheikh, Allah Akubariki
@hamisimwarandungu45172 жыл бұрын
Mashalla tabaraka Allah fikum nipo kenya kwale walahi mimi napenda mada zenu mungu awazidishie kipaji mupo sahihi kabisa
@muktaromar55012 жыл бұрын
Allah akulipe kila la heri kwa lecture zako. Zinanisaidia sana
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Salamghaikum shekhe mm nafuatiya kipindi nikiwa oman
@hfhdhfhd71263 жыл бұрын
Sheikh salams tafadhali nikumbushe surah kamili za hasidi na wakati gani zinasomwa kila mwisho oesa zangu zaingia kwa madeni ya mgonjwa sickle cell anemia mtoto wangu kijana amemaliza form 4 na ameanza kuvuta mabangi
@asiajuma45733 жыл бұрын
Maashallah, nimewapenda kwa ajili ya Allah, Allah awape maisha marefu na moyo wa kuendelea kusaidia watu Insha allah, niko mwanza
@abdulmbaruku91772 жыл бұрын
Kuna boya nikinunua cm mamae zake anasema ipasuke mungu anisamehe huyu kenge
@nasirshekhi60703 жыл бұрын
Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️
@ashaajimtu25363 жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah Allah akuzidishie ilimu Uzidi kutujuza inn shaa llah
@bintsalimalbimany2873 жыл бұрын
Mashallah Kipind kizur Allah akuhufadh sheikh wetu tunakupenda sana kwa ajili ya Allah 😍❤️Kijana watamaman na wewe Allah akulind unafanya bidii kubwa yakutuendeshea kipind😍🤲
@amalsalah45733 жыл бұрын
Sheikh mardhiya allah akupe umri kiboko ya mahasidi
@naimaabuualii5783 жыл бұрын
Asalamalykum warahma tuwah Mimi nipo omani km kawaida yangu napenda Kwa jili ya Allah
@sameeralrahbi54693 жыл бұрын
Masha Allah nipo oman
@naimaabuualii5783 жыл бұрын
Oyee tujuwane jaman
@omanamenmct16002 жыл бұрын
@@naimaabuualii578 tujuane tupo
@hamisimwarandungu45172 жыл бұрын
Halamalekum shekh watamamam....nataka usaidizi wa twibwa za kiasili naumwa nataka tiba natokea mombasa kenya....hapa nimepigwa vibaya mpaka dalilizote anazo sema salum maridhia ninazo mimi....
@abdulmbaruku91772 жыл бұрын
Hao wenye hasad ninao kibao wapombav sana wanakera
@evelynengilah523 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu anipe shifa kila mahali ya Duniani nipitapo ama kutembelea
@ramadhanmakungu68413 жыл бұрын
Mama Ammy Tunaelimika kupitia kipindi hiki mashallah Alla atubarik
@nabiljumbe3 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah
@jasminisharifu7446 Жыл бұрын
Mashallah kweli mahasidi wamejaa sana shekhe
@fatemaoman79483 жыл бұрын
Allwah azidi kukuhifadhi upate kuutuelimisha
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Waalaykum Salam warahmatullah wabarakatuh
@zulekhasaeed60463 жыл бұрын
Mimi niko munch nafatiliya sana kipindi hiking mungu awape uwezo
@saeedsaeed73813 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh Awesome lecture you briefing it in way so beautiful, BarakAllah feek Sheikh, Watamamannn, crews members & viewers
@eastzuuzuu70503 жыл бұрын
Samahan naomba namba ya shekh mardhia
@sabihaidris96593 жыл бұрын
MashaAllah
@momatv20192 жыл бұрын
Mabrouk alfu mara ya Sheikh
@issamtumwa51933 жыл бұрын
Masha Allah
@muktaromar55012 жыл бұрын
Asalaam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh sheikh. I am following you from cape south africa
@ayshaoman10522 жыл бұрын
Nafatilia kipindi nikiwa 🇴🇲 Oman alhel shamalia nakipenda kinamafunzo na mnatufungua macho
@marcntwari40123 жыл бұрын
Una jipfica kwa damu ya yesu
@eastzuuzuu70503 жыл бұрын
Asalam aleykum
@idrisaabdillahibpxkijykbs41623 жыл бұрын
ivo unavyo msifia sheikh kila siku mbele yake naona aibu mimi huku
@naimaabuualii5783 жыл бұрын
Kwaio unataka iweje asisifiwe na Mtu mungu amempa kipaji
@idrisaabdillahibpxkijykbs41623 жыл бұрын
@@naimaabuualii578 Sio asisifiwe, ila mimi nadhani ukimsifia sana mbele yak hatojiskia vizuri. Watu wengi hawapendi kupambwa kwa sifa sana mbele zao. Labda ni mawazo yangu tu maana kama mimi kukiwa na jambo jema nalifanya huwa naona tabu mtu flani akinipamba sanaa mbele yangu mbele za watu.
@halimaomar29863 жыл бұрын
Walah mi Nina mahasi..tena wengi wako kwa family..bidii zangu.zinawakera..walah Kila nifanyalo la heri wananiaribia.. mpk nime wachoka😭😭.. cousin sister pia alinitilia fitina mpk mchumba.akagairi ukiona..niliumia sana 😭😭..mpk nikashukuru...sijui niwazidi wapi
@ismatshaffi61863 жыл бұрын
Pole sana ukhty. Hasidi hana sababu. Wasomee hizb bahr baada ya swalaa ya Dhuha Allah atawaangamiza.
naitaji nambari yasheikh nilisha sumbuka sana nakumtafuta
@issamtumwa51933 жыл бұрын
Hasid yupo tayar akose ww ukose kabisa
@mwanakherialihassan43793 жыл бұрын
Mimi mwanangu anasomewa anatapaka damu
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Mtu kujieka mbali na watu ni moja ya madhara ya husda....Kwa nilivyomfaham....Anakusudia moja ya dalili ya mtu aliyehusudiwa ni mtu kujieka mbali na watu.
@jamil15473 жыл бұрын
😅😅😅 kama khasidi ni mama mzaizi ni kweli ni muache afe njaa
@marcntwari40123 жыл бұрын
Aca kudanganya akuna uchawi
@amalsalah45733 жыл бұрын
Sheikh hio hizbuhul bahr nishaitambua jee hio nyengine ni sura gani niambie
@irenemoraa88183 жыл бұрын
Sasa utatusaidiaje kurudisha neema yetu Niko kenya
@halimaomar29863 жыл бұрын
Watu wabaya😭😭😭
@majdaaly6387 Жыл бұрын
asalamu alequm mm nipo fuoni shee napenda sana vipindi vyako lkn nakupingia cm hupokei nataka nikufate nna matatizo mengi cn wp nitakupata
@muktaromar55012 жыл бұрын
Mini jinalangu Omar Muktar from Burundi ila naishi South Africa cape Town
@marcntwari40123 жыл бұрын
Ni dunia sheikh
@aishabakari89533 жыл бұрын
Shekhe unachokiongea ndo matatizo yananikabili takriban yapata mwaka sasa
@moonathansania61433 жыл бұрын
Hasidi hana sababu
@zuumitindo66103 жыл бұрын
Shekhe na mm nirikuwanaitaji iyo dawa nitapataje
@marcntwari40123 жыл бұрын
Unaogopa hogopa yesu .
@ramadhanilukambuzi97603 жыл бұрын
YESU ni nani?
@naimaabuualii5783 жыл бұрын
Ata mm nashanga yesu ndio nni ss jamni
@abdullahsalima5703 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭🙉😭😭😭😭😭
@swariotibi61342 жыл бұрын
Mashaallaha mm nawafatilia nikiwa saud
@abdulrahmaniselemani85693 жыл бұрын
Ninafuatilia kipindi nikita Newala Mtwara Tanzania bara
@khalidhaji85703 жыл бұрын
Safi Sana , Sheikh mfuatilie huyu sheikh MARDHIYYA hakika faid kubwa utaipat BIIDHILLAH ,kwani Hiki Ni kipaji na HAKUNA wa kukiondoa isokuwa yey mwenyewe alompa ambae Ni ALLAH ( SW) ,