Naomba kwa hisani Yako ustadh nitaje kwenye Dua zako kwa Uwezo wa ALLAH SUB'HANA WA TAALA yaniondokee mazito yanayo niandama katika maisha yangu na watoto wangu. Mimi ni dadaako katika Imani Jina langu FATUMA MUHAMED HASSAN kutoka Mombasa kenya
@mename60203 жыл бұрын
MashaAllah jazakallah kheira... Leo nimecheka nimefurah wallah... Hakika usemayo mkubwa ni yakweli natunayo ktk jamii.. Allah awaangamize wabaya woote wachawi na wenye roha mbaya...
@mamuskamery453 жыл бұрын
Ameen wanga wote wafee
@MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын
Jazzaka llahu kher shekhe shukraan hakika Allah atunusuru
@fatumahassan86053 жыл бұрын
ALLAH SUB'HANA WA TAALA AWAANGAMIZE wachawi wote ulimwenguni
@nooor11203 жыл бұрын
Shukran sheikh Mardhiya na sheikh Watamaaman Jazakumullah kheir.
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
Audhubillah mina shaitan rajiim ,Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab kwa sitara yake. Allahumma ameen yaarab jamian
@khadijaangore44083 жыл бұрын
waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah. kweli kabisa sheikh Salim Maridiay
@hamidajuma9023 жыл бұрын
Mashallah Allah atulinde nahao wachawi ammiin
@saeedsaeed73813 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh outstanding as always, awesome lecture, BarakAllah feek Sheikh, Watamamann, crews members & viewers
@shafiiomarali69842 жыл бұрын
Sheikh salumu maridhia umesema kweli hakika maneno yako ni mazuri sana MWENYENZI MUNGU akupe afya NJEMA ALLAHUMA Amin SHAFII BINN OMAR From MWAMBE. ✍🇹🇿
@ruthnimi21653 жыл бұрын
Asante Sheikh Salum na Sheikh Watamamun Kwa video hii imezungumzia ukweli kabisa kuhusu wabaya Hasidi na Uzda washindwe na Mungu awahukumu wabaya hao 🙏🙏🙏😇😇🙌🙌🙌
@4242R-i9i3 жыл бұрын
Walkusalamu shukurn sheikh wetu
@sabrachabu35013 жыл бұрын
Inna lilaah wallah tunao live.
@nasirshekhi60703 жыл бұрын
Jazzakka Allahu khyern ❣️🌹❣️🤲
@jasminjuma63903 жыл бұрын
Subhanallah 😭 😭🤣🤣🤣sheikh mbaya anaumia roho Hadi miguu swadakta sheikh wetu ALLAH akuhifadhi
@khadijaangore44083 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@issakawaya83153 жыл бұрын
Mashaallah
@fuatmh-mashallahsheikhwetu5343 жыл бұрын
Assalam aleikum mashaallah sheikh salim maridhia allah akupe umri na afya, je ntakupata wapi ili uweze kunisaidi
@xxmidnightzepetosuni81063 жыл бұрын
no zao si zipo hapo kwa screen uchukue tu
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
You are right MashaAllah,na ndiyo tunaishi nao,Allah atukinge 🙏🙏🙏🙏🙏
@mwanaidimakalamangi8003 жыл бұрын
Mashaalwah kipnd kizur umetufungua macho sheikh shukran sheikh wang
@mariammuscat43002 жыл бұрын
Subhanallllah aaalllah aatuhifadhi yarab
@ramlqbalcari3183 жыл бұрын
برك الله فيكم ياشيخ
@thuhidamushwar78903 жыл бұрын
Allha uma Amin Na atonodshia kila mtu Na shari Na wa hasidi
@mohammedsalum44183 жыл бұрын
Assalaam alaykum masheikh wangu nawapata vizuri sana from south Africa allah awape afya njema inshaallah
@kulthummu2113 жыл бұрын
Amin
@ldnhmn28933 жыл бұрын
Subuhanallah Mwenyezi Mungu atukinge na maadui
@khadijaangore44083 жыл бұрын
SubnanaAllah mungu atunusiru yaraab alamiin.
@ndayushimiyerungarunga84383 жыл бұрын
Shukran sheh
@zakiamahfudh60792 жыл бұрын
Aa shekhe naomba unitaje kwenye dua zako naitwa zakia mahfudh kwa hakika napitia mazito kwenye ndoa yangu najihisi myonge sana itakua sadaka kwako na Allah atakulipa inshallah
@shersaid79883 жыл бұрын
Watu hao tunao wengi Allah awaangamize hasbia llah Waneema lwakiil
@geerleebmuhamed83013 жыл бұрын
Subhana llah mungu atuhifadhi na wakati huu na sheek Salim mungu akupe kila mazuri kwa kazi ya Allah
@rakmaadan24613 жыл бұрын
Mashaallah shukran
@ashrafyyousuf6821 Жыл бұрын
Ya shrleikh ume pinda nacekanga sana nikitu sikia unavyo wa cukia wacawi ... Alhmdulillah ala deenil Islam
@fatumahiribae31822 жыл бұрын
Masha Allah congratulations, shekhe Allah awa bariki fili duniya wali akhera
@thuhidamushwar78903 жыл бұрын
Mwenjezimung akupa kila la kheri ya rrabi Sheikh Salim maritha
@rehemashaaban1416 Жыл бұрын
Mungu akubarik shehe
@muhidinishauri50353 жыл бұрын
Mashaallaah sheikh hao watu tunaishi nao humu humu kwenye shughuli zetu.
@HamidaNgolo4 ай бұрын
Jaazakumllah kheir🤲🤲
@MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
@zaynbnwala85373 жыл бұрын
Nikweli kbs baba yani.watu km awo wafe
@salimsalim84213 жыл бұрын
Subhana Allah
@aminaharun92663 жыл бұрын
Allah will bless you inshallah shekh wetu inshallah 🙏
@mariammuscat43002 жыл бұрын
Aaalllah atawallahni watukama hawo subhanallllah
@habibadab55453 жыл бұрын
ماشاء الله
@halimamashallahtabarakalla97843 жыл бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu, mm ni Halima Ibrahim kutoka mombasa,tulisikia umefika mombasa lakini hatukujua ulikua wapi kwa hakika unayo yasema matatizo yote kamauna screen yangu wallahi tuna hamu kukuona kwa sababu tuna mazito makubwa yalo nipata mm na familia yangu lakini sijui nitakupata vipi.
@halimamashallahtabarakalla97843 жыл бұрын
Nafuatilia vipindi vyako kila siku na ni ukweli kabisa twa hasirika lakini inshaallah mwenyeezimungu atakupa umri mrefu utusaidie inshaallah
@maryanomar1193 жыл бұрын
Yani shekh salum kweli umewachambuwa wanafiki leo kweli kipaji mungu amekupa
@maryamalbusaidi30493 жыл бұрын
A.aleykum warahmatu llah wabarakatu shekh wetu mashallah alhamdulillahi umefika Abudhabi lakini umeghafilika ukatusahw watu wa alwathba
@KhadijaMasoud-m6u6 ай бұрын
Mashallah mashallah
@fatumahiribae31822 жыл бұрын
Nawaangalia from London masha Allah kipindi mumutaz
Asalam alaykum sheikh mardhiya na watamaman jazakumu LLAHU khayra mm naitwa Tima Athman Muhamad IN SHA ALLAH Sheikh🙏 naomba unitie na mm katika dua zako sheikh Uniombee mm na familia yangu
@nabiljumbe3 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah
@bonifacenkwabinyashimbahom2752 жыл бұрын
Sheh nakubali upo vizuri
@mwemawaziri54762 жыл бұрын
Nimbe duwa niko mgongwa sana sijielewi
@ROGUESON-wb2ts5 ай бұрын
Dah mm nimeamk nywel zang zime catwa sehem ya utos unanisaid aj sheikh wang naomb msaad shiekh marzia
@biasha23492 жыл бұрын
Assalamu alkuykum vp hali zenu
@kadijahajali39183 жыл бұрын
Shekhe salamghaikum. Ni kweli shekhe wapo wachawi
@BernadethaSimba-qi4dw Жыл бұрын
Tusomemee shekh hatujui tafadhali
@fatmazena88863 жыл бұрын
Waleykumsalaam warahmatullah wabarakatuh
@mrsliverpool42353 жыл бұрын
nakuaminia sana sheikh
@rauhiyaaziz80003 жыл бұрын
Ahsante Ahsante sheikh
@abdulmbaruku91772 жыл бұрын
Shekhe mungu akulipe
@adijamuke85902 жыл бұрын
ManahaAllah Shekhe Allah akulipe kilalakheri 🙏
@djumahawa16973 жыл бұрын
Masha Allah mpenzi
@mwanamwinyikutunga78842 жыл бұрын
Subhanaallah
@halimaomar29863 жыл бұрын
Tunaishi nao.tuna Kila.subhana Allah
@MamaFeisal-i5z Жыл бұрын
Asalam aleykum shekhe mimi naota kila nikiota nipo baharin
@abdulmbaruku91772 жыл бұрын
Jaman eeee nimempata kwa huu ujumbe
@aminaharun92663 жыл бұрын
Allah akuzidishie kakangu inshallah
@Hidaya-e2j2 ай бұрын
A/alykm munapatikana sehem gani
@ladyfantastic67083 жыл бұрын
Shek mie naomba namba yako
@suheilahsuheilah49683 жыл бұрын
Subhanallah allah atunusuru
@aminatambi98313 жыл бұрын
THANK YOU.
@SadamuHilaliАй бұрын
axalam aleyekum mm shehe uxingizi sipati naonanikilala tu nitakufa
@monashakin40302 жыл бұрын
asalamu alekumu she mimi nachukiwa kilaseemu
@munaaabdulrehman47712 жыл бұрын
A a asante nambiye uko wapi ama ikiwa uko Kenya piano plz naambiye.
@KhadljaJuma Жыл бұрын
Assalam alaykum
@aminaharun92663 жыл бұрын
Wazazi wangu walifari Allah awape kauli dhabit napenda watu lakini sina bahati kikubwa ni ndugu zangu
@aminasuleiman64023 жыл бұрын
Nimekubali nikweli shekhe wetu wapo wengi tunaishi nao tena ni mtihani kwelikweli mtu anakununia ghafla tuu bila ugomvi unashangaa nn tatizo hapendi hata kukuona 😥😥😥
@mwajumaahmed90663 жыл бұрын
Shekh tunaomba uturushie iyo dua
@maryammdoe58013 жыл бұрын
Waxhawi mtapata tabu sana bora tu mjiuzuru maana sio kwa mineno hiyo ya masheikh wetu 😂😂😂 wallahi twawapenda kwa ajili ya ALLAH waalimu wetu
@habibadab55453 жыл бұрын
👌👌👌👌👌👌👌
@aminaharun92663 жыл бұрын
Na kila nikilala huota nyoka wanataka kuniuma lakini huwauwa mimi nashindwa hizi ni ndoto gani yarabi mungu wangu
@haworabongomuvihawora96783 жыл бұрын
Subhanallah
@faridaarafat15713 жыл бұрын
Asalaam aleykum sheikh mm nimeteswa pamoja najamii yangu
Jamn shekhe mnayoongea yamenikuta mm niko oman nafanya kaz hapa jamn nyie hii famili mwanzon walionyesha upendo wahali ya juu ,lkn saiv nakaribia kumaliza yan wamebadilika sana wananipakazia tabia za ajabu nimekuwa nachukiwa na familia nzima pesa hazikai nachukiwa mpk na ndugu zangu wazaz wangu pia hawana habari na mm kabisa nalia tu cku hiz furqha yote imepotea na bado miez mitano nimalize niondoke kurud tz,na nimechanjwa ucku mikonon naamka asububi naona mikonon huku na huku nimechanjwa matukio ya kila aina ucku na mchana
@biumbemohamed79453 жыл бұрын
Shukuran
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv Жыл бұрын
Swadakta shekhe wangu maneno yako
@halimamasudi72213 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh Mardhiya Allah Akuzidishie na Akulinde. Kwan Mombasa uko na office ama wafanya kuitwa?
@rahelmfinanga56003 жыл бұрын
Tanzania
@biasha23492 жыл бұрын
Mm natoka Kenya nikwely twaumia
@asa121aminahta.nakshfrombu52 жыл бұрын
walaykumusalam warahmatullah wabarakatuh
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Mtihani huo
@sichanali59732 жыл бұрын
Amiin mungu atukinge na husda mm na we😭😭👹😈👽🖤🖤♥️
@aminaharun92663 жыл бұрын
Asalaam aleikum shekh mimi niko na ndungu zangu lakini wote wamenipiga vita mpaka sasa hawaongei na mimi wote nasija wakosea
@BilaliBilaliramadhan10 ай бұрын
Shekhe unazitaja Dua hutuelekez tuna fanyaje nasi tuzipate
@hajatihajati53573 жыл бұрын
Shekhe wangu nipo mbali yako ila niwekee dua sikumoja nikuone face to face Nina mengi siwezi kuya eleza apa mtandaoni nime kufa najapo nigaliki hai