Asalam alaikum Sheik Salim Maridhia na Sheik Watamaman...Insha Allah...Mola Awape nguvu zaidi katika tiba Mnazozifanya...Mola ajaalie kupitia tiba zenu iwe Shifaa kwa Waislamu...Na Mola Awalaani Wanga,Mashetani na majini waovu....Ameen.
@mrajaali6044 жыл бұрын
Mi ni Hussein Ali Mraja
@ladhanbore44654 жыл бұрын
Asalam aleikum sheikh Maridhiya na watamaman Karibuni tena Mombasa tuko pamoja ni furaha ilioje kuja kutuokoa mi Mama yassin
@jumaiddi44053 жыл бұрын
MASHAALLAH,Jazzakalah Kheri, ALLAH akuzidishie elimu yenye manufaa na akuongeze umri
@greatiq78353 жыл бұрын
Allahumma Amin!
@ramlamohammed57734 жыл бұрын
SUBHANNA ALLAH!! Mu ngu awape laana!!
@aishaaisha14954 жыл бұрын
Usimuombee laana ht km ni mchaw kwan mwenyez akitaka kumuongoa ni mda mchache2
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Insha Allah Sheikh Salim Naomba Dua zako sheikh
@asiaissa9764 жыл бұрын
Shukran ndugu mtangazaji kwakipindi kizuri allah akulipe.kher
@zubedatatu78524 жыл бұрын
Ningekua Mombasa ningewai kuwaona Masha Allah
@asiaissa9764 жыл бұрын
Assalamu alaykum sheykh salum allah akuhifadh sheykh
@mulhatsuleiman62293 жыл бұрын
Subhanallah ya rabby tulinde na mitihani hii Amiin
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah. 💕💕💖
@Sweetie-im2jd4 жыл бұрын
Aasalam alaykum waramtulai wabarkatu sheikh
@ashasudi88024 жыл бұрын
Masha Allah.,naomba uoane na mume wangu aanasumbuka sana na biashara yake,yaani yuwauza kama hauzi miaka nenda rudi yaani haeleweki.
@ashasudi88024 жыл бұрын
Nitampatia No.yako miwasliane napenda muje muonane.pamoja na wanangu wawili.
@زينببنتسعيد-د9ح4 жыл бұрын
Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah sheikh @salummaridhia Mwenyezi Mgu akupe afya njema na umri mrefu uzidi kutusaidia kwa uwezo wake Amiin ya Rabbil Allamin
@زينببنتسعيد-د9ح4 жыл бұрын
Sheikh naomba ufungue branch mombasa ya madawa hayo ya tiba
@@arqamibnarqam.7185 maasha ALLAH tabaraka ALLAH ya akhuy
@mayaaljabry27943 жыл бұрын
ma shaa allah Sheikh wetu Salim Mardhiya allah akupe nguvu daiman na umri mrefu asante sana 🌹🌷🌹🌷🌹🌷🌹🌷🌷🌷
@vdhjhdhdhhhd93324 жыл бұрын
asanteen kaka zangu kwa kutuelimisha..asantee sana
@ruthnimi21654 жыл бұрын
Wanga na wachawi waage exodus 22:18-20 Suffer no witch to leave..... And Romans 1:28-32. We have been given power over serpents and scorpions read Luke 10:18-20 a d Romans 8:38-39. God bless you🙌🙏😇👏👏
Masha Allah Sheikh Salum you went so harder towards those snitches peoples, they deserved it, straight forward lecture, BarakAllah feek Sheikh & your crew members
@stahilimohamed91273 жыл бұрын
She nakupenda
@waldaally41784 жыл бұрын
MashaAllah Allah awahifadhi nawapenda sana
@maryamtemba17603 жыл бұрын
Subhanallah Allah atunusuru
@sadhiyaiman60384 жыл бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu in Sha Allah wiki hii nawafwatilia bi ithnillah
@suheilahsuheilah49683 жыл бұрын
Subhanallah Allah atulinde ya rabby
@fatmazena88864 жыл бұрын
Waleykumsalaam warahmatullah wabarakatuh
@asiaissa9764 жыл бұрын
Astaghafirullah Subhanallah mtihani hao wanaununuwa moto kwa pesa zao mtihani wallah mungu tunusuru yaarabbi
@zeynabsayid29413 жыл бұрын
Shukran
@bakarali12874 жыл бұрын
Macha Allah
@fawziadarabu97274 жыл бұрын
Subhanalah
@swariotibi61342 жыл бұрын
Nikweli kabisa shubuhhana Allah
@saifsaif81623 жыл бұрын
اللهم صلي 9
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh mashaa allah tabarakallah hakika wachawi wote allah awaangamize
@thetravelquestservices3 жыл бұрын
Kama wapo wachawi waislam ni vizuri tuwaombee Dua wafanye Toba🙏
@hudhaifatshaame1023 жыл бұрын
Assalam alaikum Allah tuweke mbali na majin na wachaw...
@zaynabkidere14074 жыл бұрын
Sheikh hizo dalili ulizo zitaja niko nazo, nikweli mombasa wachawi wako wengi waombee dua wafe tume teseka Sana, Allah awape nguvu na awazididie hekma
@rahmamohamed12533 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Ameen ya rabb
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
@@rahmamohamed1253 Assalaamualykum
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
@@rahmamohamed1253 assalaamualykum
@Omarmmanga4 жыл бұрын
salum kaka njungu ya makangale kiboko shukran shekh
Sheikh mm ua siupi sana uchawi kiki japo upo na tunasumbuliwa sana lakini Allah s,w,t anatulinda waja wake
@sikudhanjuma39873 жыл бұрын
Swadaqtah kitu chochote ukikiamin kitakudhuru
@fabianjohnas23282 жыл бұрын
Sheikh salumu mimi ni mkristo ila napenda elimu yako unayotoa. Nimeskiliza baadhi ya videos humu KZbin baadhi ya mashee wanawatetea hao majini na mtu unakua na maswali mengi. Kwamba inawezekana vipi jini akawa na urafiki na mwanadamu ilhali ni kiumbe kilicholaaniwa. The non-Muslim community is shocked by this…
@maureennaliaka8936 Жыл бұрын
Kweli kabisa hayo yote nimeyaona uarabuni haswa kwa wadosi wangu Yani hao ndio wachawi kweli
@fuatmh-mashallahsheikhwetu5343 жыл бұрын
Sheikh dadangu mdogo ameuguwa wazimu kwa kipindi cha miaka kumi na tano amekua akisomewa kuran na urudi mingi lkn wapi naomba umusaidie sheikh salim
@naimafahad89113 жыл бұрын
Aa sheikh kuna ustadh moja amemwambia mamangu kama niko na subiani ambayo nimetumiwa na mtu..alipo angalia jina langu na ya babangu ndio alisema hivo.Nimeogopa sana lkn pia sijaamini,tafadhali kama waweza kunisaidia tafadhali sheikh mm ni mama wa watt wawili wadogo
@naimafahad89113 жыл бұрын
Na kuna ustadh moja kitambo pia aliniambia niko na maruhani lkn ni wazuri na wananisaidia kuona vitu na kusikia vitu vya maajabu
@sabontumohamed91922 жыл бұрын
Sheikh unapatikana wapi
@fatimaf52842 жыл бұрын
asalamau alaikum mm Nina matatizo nikupata vp
@SamSam-dp2xu4 жыл бұрын
99
@kanisiamkoko70513 жыл бұрын
Shekhe sisi tuliokuwa mbali tutapataje huduma yako.
@eddietaxidriverzanzibar43954 жыл бұрын
Sheikh Mb0na ukitumiwa text hujibu na kuna waislam wanahitaj husaidiwa wana matatiz0 mazit0 ya kiuchawi????
@Zinjibartvzanzibar4 жыл бұрын
+255756876777
@husseingabo54972 жыл бұрын
Mtafute sheikh Othman Michael online tiv
@husseingabo54972 жыл бұрын
Mtafute sheikh Othman Michael online tiv
@husseingabo54972 жыл бұрын
@@Zinjibartvzanzibar hakuna Jin anaeishi Miaka elfu kumi labda elfu Moja
@ramlamohammed57734 жыл бұрын
Pole hujamsikia huyu shekhe mwenyewe akiwalaani?
@abeidmohammad77734 жыл бұрын
Sheikh mimi nataka maji uliyo yasomeya nita yapata vipi sheikh
@thelistener83573 жыл бұрын
Toa nyimbo hizo bwana
@yassirhalimamohammedmohamm59134 жыл бұрын
Kumrudishia mchawi uchawi alokuroga niharam
@Anonymous000184 жыл бұрын
Kisasi ni haki ila kusamehe ni bora zaidi. Akirushia uchawi namlipiza kisasi tu namrudishia uchawi wake shenzy zake.
@salmasalim60554 жыл бұрын
@@Anonymous00018 🤣🤣👍
@khadijaangore44084 жыл бұрын
@@Anonymous00018 Hongera sana,lipiza kabisa baba cha kusamehe ni watu WABAYA sana
@yassirhalimamohammedmohamm59134 жыл бұрын
@@Anonymous00018 Yani mimi wananiudhi wameniharibia maisha natamani niwarudishie haya walonitwisha
@zaytunhijja67713 жыл бұрын
@@Anonymous00018 hhhhhhh
@greatiq78353 жыл бұрын
"Dislikers" ndo WACHAWI wenyewe? Sheikh ameuza CD, anakuharibieni dili. Siyo?
@jamardineali33734 жыл бұрын
Ustaz kwani jini unaweza ukamuona kwa macho yakawaida?
@Zinjibartvzanzibar4 жыл бұрын
Jini haonekani ila vitimbi vyake utaviona
@deepsea21413 жыл бұрын
Majini gani unayoyasema. Mrongo mtupu, conman. Unaitumia dini vibaya na kuwadanganya watu wasiojua dini. Dini mwenyewe hukuisoma vizuri wewe. Tauhid pia hauna kabisa, Soma Tauhid ya Muhammad ibn Abdulwahab. Wewe unajihusisha na shirki na unadangaya watu wasiojua dini
@marcntwari40124 жыл бұрын
Mbona Islam inaongea majiine
@muhammedwakif62164 жыл бұрын
Islam inafanya nini??
@hafidhuhamada13463 жыл бұрын
Sheikh naomba dua zakugikiga waaza sallam aleikum-----