No video

WANAOPINGA KUWAOMBEA DUA MAITI, MAULIDI HILI SIO TATIZO KWAO, JE LINAFANYIKAJE? - SHEIKH MZIWANDA

  Рет қаралды 32,334

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 106
@abdulhida8291
@abdulhida8291 2 жыл бұрын
Masha Allah, shekhe Jazzaka Allah kheri.
@jumanneshabeni2009
@jumanneshabeni2009 2 жыл бұрын
asante shekhe mziwanda الله akupe umri mrefu tunufaike na elimu yako
@nouhamour545
@nouhamour545 2 жыл бұрын
Doooooh Wallah Allah awaweke masheikh wetu tuzidi kufaidika na elmu zao
@abdulmwalimu7111
@abdulmwalimu7111 Жыл бұрын
Kwautumbo huu
@user-hx8bh1jt4k
@user-hx8bh1jt4k 10 ай бұрын
We Abdul mwalimu,utumbo anao babako
@auazenafusse134
@auazenafusse134 Жыл бұрын
sawa kabisa shekh Allah akuwoze
@mageh8655
@mageh8655 Жыл бұрын
Mashaallah shekh umetumalizia hili tatizo ALLAH akulipe kila la kheri
@MuhdharMuhammad-qv3zl
@MuhdharMuhammad-qv3zl 9 ай бұрын
Shukran Sana Sheikh Wetu kwakutuelimisha na Tunakuomba usife moyo kwasababu hata Mtumi Muhammad SAW alipingwa shukran sana Allah akuhifadh
@abdulkadirshora3080
@abdulkadirshora3080 2 жыл бұрын
Mashaa sheikh ALLAH atuzidishie
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Shegh tunakuelwa sana unafafanua vizuri sana na pia wale watu wakadiria wanafafanua vizur sana.hoja nzito sana
@abdulmwalimu7111
@abdulmwalimu7111 Жыл бұрын
Utumbo mkubwa kaongea
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 11 ай бұрын
​@@abdulmwalimu7111badala ya kutukana ungeweka hoja!
@jumahory859
@jumahory859 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi hakika unavitu vyakipekee mpaka nahau
@hasanisaidishabani3879
@hasanisaidishabani3879 2 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu
@swalehabdulrahman4118
@swalehabdulrahman4118 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh ili tuzidi nufaika
@sulekato4330
@sulekato4330 2 жыл бұрын
Allah akuzidishie na akuhifadhi
@osmaniidrisa6290
@osmaniidrisa6290 Жыл бұрын
Wallah shekh usipoacha kuzid kutangaza bidaa utaangamia Allah akunusur
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Ibunu Taimiya si kasema maulid siyo haram njoo Tamta Tanga tukuthibitishiye na huyu si ndiyo hana kasoro kwenu
@west5897
@west5897 Жыл бұрын
Mimi nataka kujua hapa tumeambiwa Mtume Muhammad (s.w.a) Aliondoka dini imekamilika .na tumeambiwa kwenye dini ya kiislamu hakuna kuengeza kitu ambacho hakimo wala kupgunguza kitu ambacho kimo .na tuliambiwa njia ni mbili ni sunna na faradh Sasa je maulid yamo katika dini na Kama yamo je ni sunna ama faradh
@anksusiabdurashid114
@anksusiabdurashid114 2 жыл бұрын
Mashallaah akurehemu Allaah
@abdallahsaid8157
@abdallahsaid8157 2 жыл бұрын
Mbali Sana hapo sheikh. Kwa niwajuavyo mimi hapo hawafiki.
@fardboy7043
@fardboy7043 2 жыл бұрын
Masha Allah
@bongotvonline4883
@bongotvonline4883 Жыл бұрын
Mziwanda wewe ni msomi mzuri sana, tatizo lako tu haupo katika haki ingawa unaijua haki. Na Allah akupe muongozo InshaAllah.
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Yaani unakubali Elimu anayo lkn unamkata jina kama mtoto wako kwasabu mumehitafiyana lkn ujuwe kuhitaliyana ndiyo kukuwa kwa Dini yetu kwasabu watu watasoma zaidi
@karimmkejina980
@karimmkejina980 Жыл бұрын
Kwaiyo kafili au dah nyie waislam wa ni shida sana aya wew mcha mungu mungu akujalie
@ramadhaniddsalim2201
@ramadhaniddsalim2201 2 жыл бұрын
Alhamdulillah
@ushindiushindi5749
@ushindiushindi5749 Жыл бұрын
Huwa nakkubali sana mziwanda lakin kutetea mauld hapan
@user-br6er7zf5z
@user-br6er7zf5z Ай бұрын
Nyie ni wanafiki tu wapuuzi kamà hamjui maana yamaulidi kaeni kimya au kalaleni
@saidally9896
@saidally9896 Жыл бұрын
Masha allah
@mubirirashidi
@mubirirashidi Жыл бұрын
Mashaaallah ❤️❤️❤️
@saadmbaraqa5272
@saadmbaraqa5272 Жыл бұрын
Unaona shida awa watu wanaleta mzaha kwenye vikao vya dini eti kama mayere dah mtihani
@binbaya923
@binbaya923 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 Жыл бұрын
Mashallah 😊
@user-qq6no9em1f
@user-qq6no9em1f 8 ай бұрын
wallaah mziwanda unaijua hakki ispokua unafanya unafanya makusudi kwa kufuata matamanio
@travellertraveller4505
@travellertraveller4505 2 жыл бұрын
ماشآءالله
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Endeleni kupotosha watu maana allah kawatoa aibu kama mtume mmemsingizia mtashindwa kusema urongo siku zinavyoenda wanawakimbia hawo munao waringania uzushi mtajikuta mmebaki wenyewe muogopeni mungu dinni haikuwa na ziada ya kuongeza mambo baada ya mtume
@FundiHussein
@FundiHussein 14 күн бұрын
Hili zee lmchoka uelewa nimbovu sherehe silazima kufanana lengo ni kitendo kinakubarika
@sabdiduwil8436
@sabdiduwil8436 Жыл бұрын
Ibrahim Alivyoomba mwenyezi mungu nijaalie niwe miongoni mwa wema. Ndipo alipooteshwa amchinje mwanae. (Alivyo amini) ndipo alipoonyeshwa mnyama,ndipo alipo barikiwa nabii Is-haqa mwema. mingoni mwa kizazi chake wapo wema,na wenye kudhulumu nafsi zao. Shekhe hapo umekosea maiti hasaidiwi kwa kusoma qur-anni, ili imuonye aliye hai (Yassin)
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 Жыл бұрын
Masheikh wakiwahabi wanaopinga waende semina wakaelimishwe
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 2 ай бұрын
Sheikh hapo umedanganya,kwenye neno على نشاطه Makusudio yake yapo hapa صل قائماً.... Na kuendelea kwenye hio hadithi. Wallahi nukupenda kwa ajili ya Allah. Lakini hapo umechemsha Sheikh makusudio sio idadi za rakaa
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 2 ай бұрын
Dalili
@homeboyvr8184
@homeboyvr8184 Ай бұрын
Maneno yk ni ya hovyo nasikuoni ila nmtu wa shari
@burhantvtzonline5417
@burhantvtzonline5417 2 жыл бұрын
Twayyib
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 2 жыл бұрын
Leo umefundisha kama mwalim wa Mathematics Mashaallah ila hao wanaoongeza na issue za mayele ndo wanao fanya watu wa maulidi kuonekana wahuni we unampenda mayele kuliko mtume na maswahaba
@user-qq6no9em1f
@user-qq6no9em1f 8 ай бұрын
KUWAFANYA WATU MAZUZU SASA MAMBO YA NDANI UNAFANANISHA NA MAULIDI YA NJE
@FundiHussein
@FundiHussein 14 күн бұрын
Wee ni kigeugeuhata hy nahau unayoitegemea hakufundisha mtume jua hlo kama hujui
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 11 ай бұрын
.shekh juzi kaeleza kwamba aliekataa khitima ni imamu shaafii allah amreh . Leo atuambia namna yakuomba kukusanyika kumuombea maiti .imeachiliwa . Swali khitima watu wakikusanyika wanafanya nini! Na ww umesema madheheb yako ni ya kumfuata imamu shaafii .
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 11 ай бұрын
‏لو كان خيراً لسبقنا إليه الصحابة ‏قال الإمام ابن كثير -رحمه الله- : ‏《 وأما أهل السنة والجماعة ‏يقولون في كل فعلٍ وقولٍ ‏ لم يثبت عن الصحابة : هو بدعة ، ‏لأنه لو كان خيراً لسبقونا إليه ، ‏لأنهم لم يتركوا خصلةً من خصالِ الخير إلا وقد بادروا إليها 》. ‏ [تفسير القرآن العظيم (١٣/١٢)]
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 2 жыл бұрын
Asiye elewa sjui ni mtu wa aina gani
@rahimaabdillahi6287
@rahimaabdillahi6287 7 ай бұрын
Shekhe uyu kijana alomaliza thanawi ivi masualiyake huyasikii au ni kiburi ebu mtwange ktk ayomasualayake tuonee ww mziwanda ni kidume unaogopa nn ebu jibu basi
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 2 ай бұрын
Wadanfanya watu
@mgosilawanukoviri2734
@mgosilawanukoviri2734 Жыл бұрын
Mdathiri soma acha kulalama elimu pana ndefu wewe umechota kijiko kwenye elimu wanzako wanna ndoo mapipa mito someni acheni ushabiki wa ki itikadi
@hashimkhamisi8291
@hashimkhamisi8291 2 жыл бұрын
ASANT
@issanasir3583
@issanasir3583 Жыл бұрын
Kufata sunna na kuacha shubhaat ni bora Zaid...sio kutafuta vichochoro vya kufanya bid'a
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 8 ай бұрын
Sasa unajifunga mwenyewe kama haguna dua alio waombea wazazi wake na yeye ndio kiigizo chema wewe umepata wapi
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes Жыл бұрын
Me nauliza swari kabla ya sijacommenti mauridi ayo anayo zungumzia shekhe Ni pamoja na madufu ama maaridi kisomo tu?
@salehmohammedsalum2054
@salehmohammedsalum2054 Жыл бұрын
Shehe kaongea vzuri sana lakini sijafahamu vtu viwili (1)dalili ya kuonesha Maulidi ni sunna. (2)dalili ya kuonesha Maulidi ni sunnatul Mutwlaka.
@MaalimYussuf-qy9ic
@MaalimYussuf-qy9ic 11 ай бұрын
Kama huja fahamu mtafute akueleweshe
@salehmohammedsalum2054
@salehmohammedsalum2054 11 ай бұрын
@@MaalimYussuf-qy9ic 😳😳😳😳
@rashidsaid9409
@rashidsaid9409 10 ай бұрын
Ni kweli maneno ya Imam Shafii Allah amrehemu. Amesema (lau kama mtu ataingia ktk usufi mwanzoni mwa mchana basi haitofika Adhuhuri atakuwa mpumbavu) bila shaka ni kama huyu. Sufi. Hii ni talbis iblisi.
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 6 ай бұрын
Na wafuasi sasa waio kuwa na tahadhali ya elmu wanacheeka tuuu
@mussaissa6796
@mussaissa6796 2 ай бұрын
HEBU LETE HICHO KITABU UTUONYESHE NA UKURASA ULIPOYATOA TUONE KAMA HUMO YAPO HIVYO UNAVYOROROMA WEWE
@AbdallahMpemba
@AbdallahMpemba 10 ай бұрын
Sheikh mbona ww muongo ktk suala maulidi mtume(saw) hakusheherekea Bali mtume(saw )alifunga ibada hii aliifanya kw kuifunga wewe ni muongo na mzushi.
@ibrahimmussa7069
@ibrahimmussa7069 Жыл бұрын
Swala kumsalia ishu je yana uhalali uhalali wake up wapi shekhe usizungushe watu
@abubakarshaban6118
@abubakarshaban6118 Жыл бұрын
Haya Acha hiyo ya dua kwa wazazi.. Je maulidi?? Na hiyo ya kula ubwabwa kumsumbua mfiwa..
@hamischuga6320
@hamischuga6320 2 жыл бұрын
Mayele kaingiaje msikitini Ushenzi huo
@TahfifuAlly
@TahfifuAlly 4 ай бұрын
Huyu n kenge jmn Murakkab
@mdathirhassan2187
@mdathirhassan2187 Жыл бұрын
Mziwanda kuna na kesho
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
Tunaelewa shegh ufafanuzi mzur sana,kuna vichwa haviwezi kuelewa sababu wanachoamini sivyo unaamini wewe shegh….
@abdulmwalimu7111
@abdulmwalimu7111 Жыл бұрын
Wew uliyeelewa twambie umeelewa vip
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 Жыл бұрын
Hakuna iyo sh ambalo hakulifanya mtume swallahu alaihi wasallam haliwez kuwa ibada leo
@saidihaji3739
@saidihaji3739 Жыл бұрын
Yahya Rashid Umesema : ambalo hakulifanya mtume ﷺ haliwezi kuwa lbada leo. . Twayyib : kufundisha kitabu (( بلوغ المرام)) sio lbada kwa7b mtume hajafanya ?? Kujenga ((markaz)) tukazipa majina ya masheikh waliokufa mtume hajafanya jee halifai ?? Pia : Tunaomba utupe taarifu (difinition) ya lbada .. ni nini lbada ??
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 Жыл бұрын
Hawezi kukujibu mpaka akamckilize shekhewake
@mickdadymwinyi1936
@mickdadymwinyi1936 Жыл бұрын
@@saidihaji3739 Kwa ushauri tu kaa chini usome acha janja janja ktk dini, hivi kujenga Markaz na kuipa jina ni ibada?
@Team-t6k
@Team-t6k Жыл бұрын
Ujanja ni mwingi 😢 sijuwi lipi alifikisha
@shebymilanzi8716
@shebymilanzi8716 Жыл бұрын
Tulia Kama uelewi mfate akufundishe
@saidsheha-wn4qw
@saidsheha-wn4qw 10 ай бұрын
Kuna ujanja gani hapo. Mbona maana mkaambiwa mkasomehwe. Nyie hamtaki.
@giltaemi4017
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Ni uovu kumsemea Allah. Kwamba kama ombolezo baya anaadhibiwa maiti. Kwanini ikisomwa Quraan asisamehewe. Suala la Allah kumsamehe binadamu ni mapendeleo yake sio kwasababu umesoma Quraani ndo asamehewe. Allah akitaka inakua asipotaka haiwi hata ufanye nn. Cha msingi fanya alicho fanya mtume na alicho fundisha.
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Ndiyo maana tunamuomba huku tukitarajiya msamaha kwake tunajuwa kuwa humsameh amtakae lakini Allah hachoki kuombwa na waja wake tafauti na sisi mtu akikujiya mara 3 mara mtu anachukiya
@yusuphj2357
@yusuphj2357 Жыл бұрын
Taratibu wanazd kuelewa kuitambua bida'a
@saadomar2480
@saadomar2480 Жыл бұрын
Mtakoma kifwenibas. Hahahaha
@hassanhussein2422
@hassanhussein2422 Жыл бұрын
Kuweli wwe ni musomi
@bakarimabele9295
@bakarimabele9295 Жыл бұрын
Tuache upaulo kwenye dini ya Allah ndugu zangu
@aljabery.binruz
@aljabery.binruz Жыл бұрын
Upaulo Nani na tuache nini fafanua tukuelewe, nn kibaya alio kisema?
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 Жыл бұрын
Huja hamna na mashekhe wenu wapo kimya inaonesha wazi dawa imewaingia nyie viclili mmeachwa njiapanda
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
KWELI TUWACHE UPAULO TAWHEED TATU (MUNGU BABA, ULUHIA. MUNGU MWANA, RUBUBIA, MUNGU ROHO MTAKATIFU, ROHO NA SIFA ASMAU WA SWIFWATI) KATIKA UISLAMU. upo sahihi. Tuwache ulokole wa tawheed tatu
@bakarimabele9295
@bakarimabele9295 Жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 shukran sheikh leo nimepata kufahamu mungu mwana kwa kiarabu ni rabi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@bakarimabele9295 sio rabi, ni rubu. Hio sio rabi bia. Hio ni RUBU BIA. RABI- NI MWENYEZIMUNGU RUBUBIA - NI UWILI WA MWENYEZI MUNGU YAANI MUNGU MWANAE. Rabi ni Mwenyezi Mungu na wakiristo huita Mungu baba. Wanakusudia huyo Mungu mwenyewe kisheria. Sasa unapoendelea kugawa tawheed ndipo unapofanya utopolo wa Paulo. Alikatazwa Paulo kufanya tawheed ni Tatu Sasa waislamu wamejifanyia wao tawheed Tatu. QUR-AN hawaridhiki mayahudi na wakiristo mpaka mfate mila zao za tawheed Tatu ili mkufuru pamoja nao. Qur-an "WALAA taquulu thalatha" yaani MSISEME TAWHEED NI TATU KAMA PAULO. AU UNAYO HADITHI IMESEMA TAWHEED NI TATU IKAIPINGA HIO QURAN ILIOKATAZA TAWHEED TATU?
@husseinbutoyi8675
@husseinbutoyi8675 Жыл бұрын
MZIWANDA, UJANJA MTUPU NA HAMNA JIPYA HAPO.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Unamuombea vipi mzazi wako
@nasoros.mgungo5502
@nasoros.mgungo5502 Жыл бұрын
.
@ibrahimmussa7069
@ibrahimmussa7069 Жыл бұрын
Unazunguka sana mauligi yana shirki nyingi shekhe
@fatumaamadi3169
@fatumaamadi3169 Жыл бұрын
We mpumbavu una elimu mbwa ww
@user-yh5fu5lo9r
@user-yh5fu5lo9r Ай бұрын
Jirongo ivi wewe nae nimtu au mtumba Huoni kuwa Allah ndio alileta hiyo habari sasa Abraham hakuwepo anasemewe hii nikauli taarifa Tena anasema nime ona ktk ndoto walasio kwa tafsiri Yako hio chafu unapingana Mungu wako kafiri wewe
@medimisi6930
@medimisi6930 Жыл бұрын
Watu kuleta mayele kwenye maulid na madufu yao ndio usahihi wa hadithi.maana mtu kasema BIDAA zote mwisho wake ni upotevu zaidi Kama huko kuleta mayele.shida wa mashekhe wa BIDAA wanakiswahili kingi iv ww unazani huyu shekhe hajui ukweli,jiulize tu mbona makka na Madina huko alikozaliwa mtume mwenyewe hawasomi haya maulidi ukipata jibu ndo utaelewa.
@hamadomary3308
@hamadomary3308 Жыл бұрын
Mbona maka na Madina hawafuati mwezi ulioandama nchi icyokuwa yao, Wakat ww unafata wao,
@medimisi6930
@medimisi6930 Жыл бұрын
@@hamadomary3308 mh,lako jipya kwaiyo kila miaka unaonekana hapo,iv tz tushawahi kuwatangulia kufunga au kufungua makka unaongea tu bidaa zimekushika SAUDI huwa wanataka Hadi sehemu au nchi ambazo mwez umeonekana
@gaboudghussein527
@gaboudghussein527 Жыл бұрын
Hivi unajua Imam wa Makka amefungwa miaka 10 jela? Sasa usiseme usichokijua. Huko maulid yanasomwa pia
@mummy-qg6tt
@mummy-qg6tt Жыл бұрын
Siku nyingine nyoosha maelezo ya mada
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 Жыл бұрын
Hili linaijua Haq lakini kinaipindisha والعياذ بالله
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Жыл бұрын
Uko mbele ya majabari wa maulidi na mahitima thubutu useme ukweli!!!? Ndio unabaki kuyakoroga na mifano ya kijingajinga
@abuushaukan6157
@abuushaukan6157 Жыл бұрын
Akina nani hao
@FundiHussein
@FundiHussein 14 күн бұрын
Wee ni kigeugeuhata hy nahau unayoitegemea hakufundisha mtume jua hlo kama hujui
@mdathirhassan2187
@mdathirhassan2187 Жыл бұрын
Shekhe kazi yenu ni kuleta ujanja wa nahwu ili kuwachanga watu , mwenye kuzua yasiyo kuweko haponyoki
@khalfanmudibo3356
@khalfanmudibo3356 Жыл бұрын
Sindano imeingia sio
@saadmbaraqa5272
@saadmbaraqa5272 Жыл бұрын
Vikao vya watu wa bidaa ni kuongeza chumvi tu
UFUNDI WA SHEIKH MZIWANDA AKIIELEZEA BID'AA - SHEKH MZIWANDA
19:41
SHEKH MZIWANDA ONLINE TV
Рет қаралды 2,9 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 45 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 6 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
NAMNA YA KUSWALI KWA KUMFUATA IMAM
20:24
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 4,8 М.
SHEIKH MZIWANDA..MAISHA YOTE YA MWANADAMU YAMEFICHWA KWENYE AYA HII
15:58
KWANINI TALAKA ZIMEKITHIRI*" SHEIKH  MUHARAM MZIWANDA
1:28:56
Kai Mediatz
Рет қаралды 6 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 45 МЛН