⚫️

  Рет қаралды 16,571

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

⚫️#LIVE: HIZI NDIZO TABIA ZA WEWE KUFANIKIWA, SHUGHULIKA NAZO | SHIGONGO DARASA
Ni katika kipindi cha Darasa na Mtangazaji Lucas Masungwa pamoja na Mkurugenzi wa Global Group Erick Shigongo akizungumzia namna ambavyo mtu anatakiwa Pambana ili kubadili tabia inayoweza kumkwamisha kuelekea mafanikio yake na kuwafanya watu wakuamini
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 23
@JLXNINEJNINE
@JLXNINEJNINE 7 күн бұрын
❤nimefurahi kuku tana na huyu father Eric mazingila niliyo pitia yamefanana na yangu wakati utoto wangu nimejua habari ya Eric kwenye kitabu cha umasikini hadi MAFANIKIO kazi nzuri sana uandishi wa TOFAUTI
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
Kipindi kizuri, kwakweli hata mimi nimejifunza kitu hasa hapo katika matumizi ktk vitu muhimu tu,asante sana Eric shigongo we l❤ you.
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Shigongo nakukubali sana kaka asante sana kaka na ubarikiwe sana kaka
@katondaonlinetv9900
@katondaonlinetv9900 Жыл бұрын
Nakufatilia sana kiongozi wangu Eric Shigongo.
@user-lz4mq3qo7x
@user-lz4mq3qo7x 6 күн бұрын
Nakukubali brother
@erickpasence5837
@erickpasence5837 2 жыл бұрын
helo..this is erick patience...... napenda masomo ya erick shigongo....its my wishes to meet you Sir
@mkamikimelo9268
@mkamikimelo9268 3 жыл бұрын
Nakuombea uzima Kaka,tuendelee kupata madini
@user-vq3vh4jt3z
@user-vq3vh4jt3z 8 ай бұрын
Ahsante sana Mr.shigongo from grobal Tv
@user-qu6bv7dm3c
@user-qu6bv7dm3c 8 ай бұрын
Asante kwa Elimu nzuri
@habeshaqameyu8555
@habeshaqameyu8555 4 жыл бұрын
Hongera kaka
@mcchillo3145
@mcchillo3145 3 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka shigongo
@JLXNINEJNINE
@JLXNINEJNINE 7 күн бұрын
Kuhusu tabia niliipenda tabia YANGU yakupenda kusoma wakati nipo na umri wa miaka 8 MALIFA na ujuzi niliwasumbua walezi na baba yangu
@goodluckrichard6476
@goodluckrichard6476 2 жыл бұрын
Kweli natamani sana nipunguze asira ila inanimate shida kuacha
@samwelaloyce54
@samwelaloyce54 3 жыл бұрын
pamija san bwana shigongo nakukubali kiongozi
@habeshaqameyu8555
@habeshaqameyu8555 4 жыл бұрын
Nimekuelewa xana
@fatmas7338
@fatmas7338 4 жыл бұрын
Kuanzia leo nitajitahidi nisikose kipindi chako
@JLXNINEJNINE
@JLXNINEJNINE 7 күн бұрын
Vitabu urinyo vionesha vya Eric shigongo nime vipenda TAYARI nasoma VIZURI sana
@user-je9lf6ny6d
@user-je9lf6ny6d 9 ай бұрын
Nimekupata
@PetyJonas
@PetyJonas 6 күн бұрын
Nilikuwa mlaji wa pemba ( udongi) nikawa nakula adi najichukia nimeamua kwa sku moja nikajizuia nikafunga adi sas yapata miez miwil hata nikijarb kula naisi kutapika nashukuru imenisaidia japo ni ngumu ila maamzi tu
@fatmas7338
@fatmas7338 4 жыл бұрын
Hichi kipindi kipo kila au vp
@filberthendry8519
@filberthendry8519 3 жыл бұрын
Kwel Kaka Erick n ukwel mtupu na ambaye anakufuatilia akiamua anabadilika ukwel na kupata mafanikio
@LubinzaRichard-yk7cv
@LubinzaRichard-yk7cv 10 ай бұрын
Tupo pamoja kaka
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 159 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 13 МЛН
Ungana na Mhamasishaji Eric Shigongo Ujifunze Mbinu za Kufanikiwa
1:20:20
Global TV Online
Рет қаралды 20 М.
Tengeneza Tabia Zitakazokupa Mafanikio - Eric Shigongo
14:14
Hamasika Tv
Рет қаралды 19 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 66 М.
ERIC SHIGONGO- "SHUGHULIKA NA UBONGO WAKO! SIRI ZA MAFANIKIO NI HIZI"
42:33
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН