Ungana na Mhamasishaji Eric Shigongo Ujifunze Mbinu za Kufanikiwa

  Рет қаралды 21,366

Global TV  Online

Global TV Online

7 жыл бұрын

Ungana na Mhamasishaji Eric Shigongo Ujifunze Mbinu za Kufanikiwa
Kuna asilimia kubwa ya watu duniani wana uwezo wa kujikwamua na umaskini na kufanikiwa kutimiza ndoto zao, lakini kutokana na kutokuwa na uelewa wa namna gani au ni njia gani za kupitia kuweza kukifikia kilele cha mafanikio.
Sasa katika video hii, Mfanyabiashara Maarufu na Mhamishaji, Eric Shigongo, ameelezea kwa undani zaidi jinsi gani ya kufanya ili ufanikiwe hususani kwa vijana ambao ndiyo hasa taifa linawategemea kama nguvu kazi yake.
Ungana nae mwanzo hadi mwisho uweze kujifunza mbinu mbalimbali za kuuaga umaskini wa fikra na mali.
Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 22
@Amos-q8o
@Amos-q8o 22 сағат бұрын
Nakufatairia sana mbunge wangu nikiwa ilingamba
@Amos-q8o
@Amos-q8o 22 сағат бұрын
Nakufatiria sana mbunge wangu nikiwa iligamba
@stevefredy9408
@stevefredy9408 6 жыл бұрын
Nakukubaliii Mwamba wangu Cici Bado tupo pamoja Sana naww mpaka kieleweke
@christinen8291
@christinen8291 7 жыл бұрын
ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.unanitoa fasi mbaya ukaniweka fasi nzuli kwa mafundisho
@herrymwaipopo1170
@herrymwaipopo1170 4 жыл бұрын
Watu wachache sana smart wenye roho nzuri ya kumsaidia,mafundisho yko ni zaid ya capital interms of knowledge.....God may bless u brother..
@caroaisha2536
@caroaisha2536 7 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho yako mema mungu Azidishe malengo yako
@famasiamara1553
@famasiamara1553 7 жыл бұрын
mungu akubariki MTU wa baba
@ananiadamian2729
@ananiadamian2729 6 жыл бұрын
ubarkiwe sana brother
@matesotangazo4040
@matesotangazo4040 6 жыл бұрын
My brother I wish to mt with you one day I like your speech
@piusgiringa409
@piusgiringa409 5 жыл бұрын
brother nakukubali sana kwa elimu yako nzuri
@stafordamosgobetse2719
@stafordamosgobetse2719 7 жыл бұрын
NIMEJIFUNZA MENGI KUPITIA SPEECH ZAKO. MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU ILI TUENDELEE KUABSORB TALENT ZAKO.
@jerrydenis7165
@jerrydenis7165 Жыл бұрын
nakufatilia tangu napasua jipu nikiwa mdogo sana
@lugiko
@lugiko 6 жыл бұрын
Nawezaje kupata vitabu vyako, au CD zako
@salummohdnyiga9760
@salummohdnyiga9760 7 жыл бұрын
natamani sana tuonane face to face one day
@elgidiuselzeus1992
@elgidiuselzeus1992 7 жыл бұрын
Baba nakupenda sanaaa nmefka hatua nimeweka picha yako wallpaper ya simu angu ili nconcentrate na mwongozo wako
@frankgabriely9294
@frankgabriely9294 4 жыл бұрын
Kweli unatufungua sana
@sanaisamson4026
@sanaisamson4026 7 жыл бұрын
samahn kiongoz naitaj kupata vitabu vyako kwa njia ya audios pls give me precedure
@fideliskimati4619
@fideliskimati4619 5 жыл бұрын
pamoja mkuu
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312 5 жыл бұрын
kwerikabisa unayoyangea
@mtctz9844
@mtctz9844 6 жыл бұрын
asanteeeeeee
@samwelsanga8885
@samwelsanga8885 5 жыл бұрын
Mungu akukumbuke mtumishi
@Amos-q8o
@Amos-q8o 22 сағат бұрын
Nakufatiria sana mbunge wangu nikiwa iligamba
Ungana na Eric Shigongo Akifundisha Mbinu za Kufanikiwa  (Machi 3, 2017)
1:00:13
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 35 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 87 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,6 МЛН
ERIC SHIGONGO- "SHUGHULIKA NA UBONGO WAKO! SIRI ZA MAFANIKIO NI HIZI"
42:33
MCH MASANJA Anena Mazito Kwenye Msiba wa Mama Shigongo
43:52
Global TV Online
Рет қаралды 409 М.
Jinsi ya kutoka kwenye madeni sugu.
1:03:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 108 М.
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 35 МЛН