Asante Mungu kwa kunipa kibali cha kupata hili somo kupitia mtumishi wako huyu,,,NIKAMA ALIKUWA ANAONGEA NA MIMI KUNIPA MOYO,,,,,Hakika Mungu wewe ni Mkuu
@piliechildofkingjesus45943 жыл бұрын
Nazidi kubarikiwa na neno hili la uzima. Glory to our Lord and God Jesus Christ forever and ever
@fatemajohn3195 Жыл бұрын
Ameen mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana
@salmakiyabosiriyamachoziha87563 жыл бұрын
Asante kwa maombi Jina lipitalo majina Yore .Najua litakua Ulinzi wangu kwenye lango la uchumi.. kuibiwa sitoiviwa Ten katik Jina la YESU.
@remigiusstephano32923 жыл бұрын
Mungu akubariki sana akupe uzima uzidi kutulisha chakula kizuri cha kiroho
@estherkusaga91813 жыл бұрын
Asante kwa neno lako Mungu wetu unatuandaa kwa uzima wa milele.
@mahumafrancis29353 жыл бұрын
I don't have much words to explain how I benefit from your message, but know that Pr. Mbaga you have been my spiritual mentor all my life. I thank God that He is using you to teach me and many others in the whole world. Blessings to you and whole team of Mahubiri TV
@mossesjonathan73203 жыл бұрын
Mafundisho yako mch yamenibariki sana na taratibu nimeanza kuona na kutumia mbinu unazo tufundisha zikifanya kazi kwa nguvu ya roho mtakatifu
@ireneorina35603 жыл бұрын
I really don't know how to put it, but your msg comes at the right time wen I need it the most. When am facing a challenge, God brings His Word at time I need it. God bless you for sure, you are a servant of God. A lot of prayers for you pastor as you minister to many souls
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Thanks so much Irene! Blessings to you
@montteyfloki39533 жыл бұрын
Hili somo nilikua nalisubir sana...barikiwa sana mtumishi....halafu huyu baba jamani nimkarimu sana hata ukiwa unawasiliana nae.
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
🙏
@vicknessngenzi61463 жыл бұрын
ulimpataje jamani?
@montteyfloki39533 жыл бұрын
Nenda kwenye Instagram yake anatumia jina la pastor David mbaga then mwandikie msg kweny inbox yake huwa ana respond hana tabu then muombe number yake atakupatia 🙏🙏
@vicknessngenzi61463 жыл бұрын
@@montteyfloki3953 asante sana ubarikiwe
@montteyfloki39533 жыл бұрын
Amina sana,tubarikiwe sote
@lennyfrank11 күн бұрын
Ameen Ameen
@kellymwakinah60833 жыл бұрын
Mafundisho yako nimazuri sana muchungaji ..nasikiza kutoka kenya
@esternaftari45533 жыл бұрын
Amina mpendw ukiwa na Yesu hata ukiwa na vita bado unafurahia mwanzon nilikuw cijui nilivy jua cina pressure naenjoy
@raymondmagway48413 жыл бұрын
Nabarikiwa mno na mahubiri mtumishi ,naomba no. Zako kwa msaada zaidi tafadhali.
@angel-y3 жыл бұрын
Number ya Pastor ni +255 755 932 283.
@saipeter79603 жыл бұрын
@@angel-y ubarikiwe
@kissanselu8569 Жыл бұрын
Amina
@raelsarange638 Жыл бұрын
Pastor your teachings has improved my status I don't know how to put this physically, but holy spirit help me to move forward I serve the living DADDY in heaven AMen🙏
@PrincessSally7773 жыл бұрын
Amen! Pastor,Mungu akubariki.For sure,the word of the Lord is like a double edged sword!!
@betherkilolo30612 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi!! Mungu azidi kukuinua ili tuendelee kubarikiwa na kujiandaa kwaajili ya umilele
@Vel423 жыл бұрын
Asante Pastor unaniponesha roho na kunitia nguvu na mafundisho yako kila wakati.
@user-fy5fu6wl8l2 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@vitaleskagy21313 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana mpaka nataka kulia
@anastaziafrancis1913 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu, vuka uje Singida utubariki na huku pia
@sundaynashon76422 жыл бұрын
Amina barikiwa pr
@eunicenyandiko13893 жыл бұрын
Mbarikiwa sana pastor, mahubiri yako niyamzaada kwangu, hallelujah Amina
@cyrusmagonya26703 жыл бұрын
Amina, hakika ushindi ni wetu tukiwa na mungu baba.
@estherkusaga91813 жыл бұрын
Nimeguswa sana na ushuda huo PR, Hakika Mungu ni mkuu
@imgracesamwel39993 жыл бұрын
Amen ujumbe huu umenitia nguvu na ufahamu zaidi ya yale ni nayo ya pitia
@dominicombassa28642 жыл бұрын
Amina mtumishi
@amjudith3 жыл бұрын
Pastor mmbaga nakufuatilia tokea kenya ntashukuru sana kwa mahubiri yako
@hellfrennyanchoka94243 жыл бұрын
Asante kwa mahubiri hata ssana.Naomba pastor uniweke kwa maombi .
@BarnabasJonas-nv4ig Жыл бұрын
AMINA
@judithnjalambaya24503 жыл бұрын
Amen. Ubarikiwe Pastor Mbaga
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@godfreysylvester48623 жыл бұрын
Nabalikiwa Sana nawaza jinsi yakukubaliki na ww 'one day yes'
@jameskirwasang43533 жыл бұрын
Jams Sang from Kenya nime barikiwa sana mch Amen
@notbulgajohn40823 жыл бұрын
Uende mbali zaidi Pastor Mbaga
@rayman1113 жыл бұрын
Asante sana mchungaji
@daniLamay3 жыл бұрын
Amen,napokea,hakika yupo Mungu anaenishindia
@user-bx5nc8ge6r10 ай бұрын
Amen 🙏
@masinihenry92213 жыл бұрын
Nmebarikiwa hakika na nmepata tumaini la pekee sana ndani yangu
@maheligati29363 жыл бұрын
Baba ahsante kwa kumuinua mbaga kwani nilikuwa nimekwisha kabisa kiroho
@nkyaisaac94843 жыл бұрын
Barikiwa sana pr kwa somo hii la ajabu. Bwana azidi kukutumia pr wangu.
@danielmwita1989 Жыл бұрын
Barikiwa
@perisbosibori85243 жыл бұрын
AMEN! Be blessed pastor for the good teaching and may GOD give strength for the wonderful work you are doing.
@kissanselu8569 Жыл бұрын
Amen
@hellenjanganya55513 жыл бұрын
Asante saana Pastor kwa mahubiri mazuri
@rizikichigodi43163 жыл бұрын
Aaaamina nimebarikiwa Sana kwa mafundisho ,pya ubarikiwe past, kutoka kenya
@optimumtv8298 Жыл бұрын
Amina.
@silusjacob54143 жыл бұрын
Nazidi kubarikiwa sana mtumishi wa Mungu
@marwacharles97683 жыл бұрын
Ubalikiwe sana
@duncanmwangi83793 жыл бұрын
Watching from Kenya
@peninadunda63483 жыл бұрын
Amina ubarikiwe sana pastor
@dilurai42043 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki mchungaji
@damaclinemoraa2763 жыл бұрын
Neema inatosha barikiwa pastor
@estharlovely62022 жыл бұрын
Amen sana
@shukranjulius59103 жыл бұрын
Barikiwa zaidi pastor
@marympemba18293 жыл бұрын
Asante sana muchungaji 🙏🙏
@loraumuhire47553 жыл бұрын
Asante Mungu akubariki
@celineenock66553 жыл бұрын
Mchungaji Mungu akubariki sana
@Vel423 жыл бұрын
Barikiwa sana Pastor.
@neemamanongi88213 жыл бұрын
Amina barikiwa sn
@deboramsuya29403 жыл бұрын
Mchungaji Mungu akubariki tunafuatilia mahubiri yako kila siku hata kama tumeshalisikiliza tunarudia tuu. Mrungu akimukie na kukurinda Debora Msuya Tuko London
@davidmmbaga33503 жыл бұрын
Amen
@upendoeliudi51963 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana
@johngirway77683 жыл бұрын
Aminaaa
@Vel423 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN
@veronicanjeri24833 жыл бұрын
nafurahi nikiwa kilimani area nairobi kenya
@eunicekarembo78063 жыл бұрын
AMen
@Vel423 жыл бұрын
AMEN AMEN
@nireremartha65853 жыл бұрын
Amena 🙏
@josephezekieli84383 жыл бұрын
Mtumishi mungu akubariki
@ev.misalabacharles6343 жыл бұрын
@mahubiritv nawaomba na kuwasii kwa huruma za Mwenyezi Mungu, kwaajili ya kupereka mbele zaidi ujumbe huu, mu export na kuya upload mafundisho haya ya "Vita ya kiroho" ili tuweze ku down load au ku save for offline view. Kwa sasa huwezi kufanya hivyo
@johngirway77683 жыл бұрын
Kesho tar 29/03/2021 katika huduma ya maombi mbeya Mjini pia vitakiwepo vitabu mbalimbali kama siri ya maombi iliyojibiwa, lesson na vitabu vingine vingi katika meza ya Vitabu karibuni sana nyote.
@wishitwinzi80673 жыл бұрын
Samahani hebu nitumie namba ya pastor kupitia namba hii 0622386388
@angel-y3 жыл бұрын
@@wishitwinzi8067 no y a Pastor ni: +255 755 932 283.
@izzylyrics22403 жыл бұрын
Barikiwa kwa SoMo zuri sana
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️
@marifundi10743 жыл бұрын
MUNGU akubaliki mchungaji
@amosmwaz47422 жыл бұрын
Unafundisha zaidi kuliko kuhumbiri.Yamshingi ni Kufudisha nikuhumbiri ili tuelewe ni patrick mbanya in kenya mkristo
@MaggieG2763 жыл бұрын
Hii message ni yangu na bwanangu.
@danielndegwa96613 жыл бұрын
tunabarikiwa sana ,karibu kenya
@hawamusumba4313 жыл бұрын
Plz pastor hizi vitabu vyako tunaweza pataje wale wako Kenya
@graceesiabia53793 жыл бұрын
I'm always moved by that song..Yesu akasema..wewe una nguvu...how do I get the lyrics?🇰🇪🇰🇪
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Yesu anasema, Wewe huna nguvu Kesha ukaombe, Na uje, Mwanangu Chorus Alilipa bei, Nawiwa naye; Dhambi ilitia waa, Aliiondoa. Bwana nimeona, Uwezo wako tu Waweza takasa Mioyo michafu. Sina kitu chema Kudai neema, Hivi nitafua Mavazi kwa damu. Ninaposimama Juu ya mawingu, Taji nitaweka Miguuni pa Yesu
@graceesiabia53793 жыл бұрын
Thank you so much!
@ev.misalabacharles6343 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga nakuombeni wapendwa.. siwezi ku download Fundisho hili muhim sana kwa familia na rafiki zangu, coz ni live stream, naombeni mfanye namna wapendwa, hata kama n kuweka ktk Dvd zitaongoa wengi,
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
DVD PIGA +255 67 388 8226
@ev.misalabacharles6343 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga nashukuru sana nimepata huduma. Mwende mbali
@remigiusstephano32923 жыл бұрын
Hivi mchungaji huwa unatuona au?
@utakasotv70723 жыл бұрын
Pastor Kama utasoma comment hi nitafute kwa number hiii 0759337843 au ingia hii channel yangu unitafute INJILI TV ONLINE.na neno nawe
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Tuma ujumbe Whatspp +255 755 932 283
@wishitwinzi80673 жыл бұрын
Samahani mchungaji mm naomba unitumie namba yako au email yako private tuongee,
@angel-y3 жыл бұрын
Number ya Pastor ni +255 755 932 283.
@perpetuarwabona64643 жыл бұрын
Nko sngda naomba kupata kitabu cha maombi yaliyojibiwa ntakipataje
@fridageorge28093 жыл бұрын
Nimesikia Mbeya nimerukia hii simu kuandika msg! Pasta upo Mbeya kanisa gani!?