Hongera Sana Mbeya Mjini na wote Tunaofuatilia Hotuba hizi Mungu atupe Ushindi Amen.
@enockmogaka80413 жыл бұрын
Neema ya Mungu naiwe juu yako mtumishi milele
@maggyirene1102 жыл бұрын
Amen amen Mtumishi, nime barikiwa mno
@user-qo8tm4sn3s9 ай бұрын
Amen mungu akubariki na kukupanua viwango nimepata ufahamu nisio kua nao
@olphanyamweya31549 ай бұрын
Nakufuatili nikiwa Saudi Arabia nashukuru MUNGU Kwa neema amenipa,
@martinkithinji42178 ай бұрын
Mungu hakubariki mtumishi
@rosesimon46303 жыл бұрын
Asante kwa mahubiri mazuri Pastor tunazidi kuimalika kiimani
@emmanuelmbwambo65713 жыл бұрын
Na ya nyuma iravusha teri,nimebarikiwa SANA.
@jamesboka-kk9rv7 ай бұрын
Pasta Mungu akubaliki
@ombenhezron1443 жыл бұрын
Nawapendeni sanaa uko nyumbni mbeya Mungu atusaidie kwa mafundisho aya mazurii,Mungu akulinde Pr Mmbaga
@jessikaakinyi84453 жыл бұрын
Kwakweli pastor umenibariki sana kwa hili somo Mungu akubariki sana
@FurahaHappy69 ай бұрын
🙏amen 🙏
@dorisgesare77075 ай бұрын
Amen
@damaclinemoraa2763 жыл бұрын
Hivi haya mahubiri tunayapata bure Mungu akubariki sana.
@haddasahestara75433 жыл бұрын
Pastor Mmbaga àsante Sana kwa mahubiri haya. Ninabarikiwa Sana. MUNGU akubariki Sana.
@estherwambuies17823 жыл бұрын
Amen,Amen mafundisho mazuri ubarikiwe pastor
@reaper55343 жыл бұрын
Ameeeen. Barikiwa sana mchungaji Mmbaga 🙏🙌
@florahtmlingo55953 жыл бұрын
Nimebakiwa Sana somo lako la Kwanza kuhusu ndoto, naomba mawasiliano yako mchungaji
@queenmama20332 жыл бұрын
🤣🤣😂😂😂😂u got m PR,may God bless u a lot
@jimmyjangu69343 жыл бұрын
Nimebarikiwa San mungu akubariki mtumishi
@lennahombiro35773 жыл бұрын
Be Strong in Lord.. Amen
@navokisembo3 жыл бұрын
Na Barikiwa mtumishi 🇺🇸
@emmanuelmasele3113 жыл бұрын
Nakupenda sana pastor 🙏 ubarikiwe
@methuselasospeter29373 жыл бұрын
ubarikiwe sana pastor nabarikiwa na bwana kupitia mahubiri haya
@godfreysylvester48623 жыл бұрын
Nabalikiwa Sana nawaza jinsi yakukubaliki na wewe.one day yes.
@saumhamisi73203 жыл бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@nsajigwakipembe27633 жыл бұрын
Amen PR
@graceesiabia53793 жыл бұрын
I'm so blessed. Thank you!
@nippermshana92603 жыл бұрын
Mungu akubariki pastor
@loyceackim42963 жыл бұрын
Mubarikiwe wapendwa nawapata vizuri.
@lennahombiro35773 жыл бұрын
Amen Sifa
@emmanuelfatael2873 жыл бұрын
Mchungaji tunaokufuatilia wa madhehebu rafik na sabatho ni wengi Sana na tunabarikiwa na namna Mungu anavyokutumia kufikisha ujumbe wake kwa watu wa madhehebu yote
@upendoeliudi51963 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana
@victoriakalekye64723 жыл бұрын
Sehemu ya tatu nameingia baada ya kazi siku nzima.
KWELI PASTOR UNAHUBIRI UHALISIAA WA MAISHA KABISA WAKATI MWINGINE NAJIHISI HIVYO ...EE BWANA NIPE NEEMA YAKO MAANA AHADI YAKO INADUMU.......UBARIKIWE MTUMISHI UMEKUWA MBARAKA MKUBWA
@MN-hi8ll3 жыл бұрын
Final ni Biblia
@lamidalonghee70123 жыл бұрын
natamani ningekuepo mbeya nikuone live mchungaji nakukubali sana
@aidakashoro51853 жыл бұрын
Pr Barikiwa sana BWANA akutunze utusaidie wengi kumwona mwokozi wetu.
@zacharynyangech79123 жыл бұрын
Zachary Nyang'echi from Isebania Kenya Migori county nabarikiwa Sana mtumishi ,ubarikiwe