Рет қаралды 322
Karibu katika Ibada ya Jumapili, Siku ya Bwana ya Tano baada ya Utatu
▶ SOMO: NINYI NI BARUA YA KRISTO
1 Wathesalonike 1: 8 - 10
..................
ZABURI 119: 1 - 8
1. Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya BWANA.
2. Heri wazitiio shuhuda zake, Wamtafutao kwa moyo wote.
3. Naam, hawakutenda ubatili, Wamekwenda katika njia zake.
4. Wewe umetuamuru mausia yako, Ili sisi tuyatii sana.
5. Ningependa njia zangu ziwe thabiti, Nizitii amri zako.
6. Ndipo mimi sitaaibika, Nikiyaangalia maagizo yako yote.
7. Nitakushukuru kwa unyofu wa moyo, Nikiisha kujifunza hukumu za haki yako.
8. Nitazitii amri zako, Usiniache kabisa.
YOHANA 13: 12 - 15
12. Basi alipokwisha kuwaosha miguu, na kuyatwaa mavazi yake, na kuketi tena, akawaambia, Je! Mmeelewa hayo niliyowatendea?
13. Ninyi mwaniita, Mwalimu, na, Bwana; nanyi mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.
14. Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu, nimewaosha miguu, imewapasa ninyi pia kuoshana miguu ninyi kwa ninyi. 15. Kwa kuwa nimewapa kielelezo; ili kama mimi nilivyowatendea, nanyi mtende vivyo.
1 WATESALONIKE 1: 8 - 10
8. Maana kutoka kwenu neno la Mungu limevuma, si katika Makedonia na Akaya tu, ila na kila mahali imani yenu mliyo nayo kwa Mungu imeenea; hata hatuna haja sisi kunena lolote.
9. Kwa kuwa wao wenyewe wanatangaza habari zetu, jinsi kulivyokuwa kuingia kwetu kwenu; na jinsi mlivyomgeukia Mungu mkaziacha sanamu, ili kumtumikia Mungu aliye hai, wa kweli;
10. na kumngojea Mwanawe kutoka mbinguni, ambaye alimfufua katika wafu, naye ni Yesu, mwenye kutuokoa kutoka kwa ghadhabu itakayokuja.
▶ MHUBIRI:Mch. Christowelu Mande
..........
👇👇
// NAMBA ZA SADAKA //
▶ LIPA KWA [ M-PESA] - 579 579 4
▶ NAMBA YA MPESA - 0757 - 391 - 174
JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL
▶ MAENDELEO BANK
A/C NO 0137 9274 6021
JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL
TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI:
Instagram page: / kkkt_azaniafrcathedral
Website: www.azaniafront.org/
Facebook: / kkkt-azania-front-cath...
#azaniafrontcathedral #ibada #lunchhour #morningglory #sundayservice #lutheran