No video

UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA

  Рет қаралды 90,762

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Жыл бұрын

MATENDO 12
1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.
2 Alimuua kwa upanga Yakobo, ndugu yake Yohane.
3 Alipoona kuwa kitendo hicho kiliwapendeza Wayahudi, aliendelea, akamkamata Petro. (Hiyo ilifanyika wakati wa sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu).
4 Baada ya kutiwa nguvuni, Petro alifungwa gerezani, akawekwa chini ya ulinzi wa vikundi vinne vya askari wannewanne. Herode alikusudia kumtoa hadharani baada ya sikukuu ya Pasaka.
5 Basi, Petro alipokuwa gerezani, kanisa lilikuwa linamwombea kwa Mungu kwa moyo.
Malaika anamtoa Petro gerezani
6 Usiku, kabla ya siku ile ambayo Herode angemtoa Petro hadharani, Petro alikuwa amelala kati ya askari wawili. Alikuwa amefungwa minyororo miwili, na walinzi walikuwa wanalinda lango la gereza.
7 Ghafla, malaika wa Bwana akasimama karibu naye na mwanga ukaangaza kile chumba cha gereza. Malaika akamgusa ubavuni akamwamsha akisema, “Ondoka upesi!” Mara ile minyororo iliyomfunga mikono ikakatika na kuanguka chini.
8 Malaika akamwambia, “Jifunge mshipi wako, vaa viatu vyako.” Akafanya hivyo. Kisha huyo malaika akamwambia, “Vaa koti lako, unifuate.”
9 Petro akamfuata nje lakini hakujua kama hayo yaliyofanywa na huyo malaika yalikuwa ya kweli; alidhani alikuwa anaota ndoto.
10 Walipita kituo cha kwanza cha ulinzi na cha pili, halafu wakafika kwenye mlango wa chuma wa kuingilia mjini. Huo mlango ukawafungukia wenyewe, nao wakatoka nje. Wakawa wanatembea katika barabara moja na mara yule malaika akamwacha Petro peke yake.
11 Hapo ndipo Petro alipotambua yaliyotukia, akasema, “Sasa najua kwa hakika kwamba Bwana amemtuma malaika wake akaniokoa mikononi mwa Herode na kutoka katika mambo yale yote watu wa Israeli waliyotazamia.”
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 2 400
@hamidarose9019
@hamidarose9019 2 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi , hakika wewe umetumwa na roho wa mungu , mungu aendelee kunipa kibali cha kuweza kukusikiliza , kwan moyo wangu umechoka sana , nipo ktk gereza lisiloelezeka , naomba msaada wako mtumishi , nazizidi kudidimia kiuchumi , kila nikifanyacho hakuna nachofanikiwa , mm ni wamagonjwa kila kukikucha , roho za kichawi zimenizonga kila sehemu ya maisha yangu , niokoe kwenye hili gereza 🙏🙏
@LatifaShabani-jl8ew
@LatifaShabani-jl8ew Ай бұрын
Najua nmechelewa kupata haya main ila nime niko kwenyechangamoto ya familia tangu changamoto ya chini mshikaji kabsa mtu wa kukushika mkononi nmebanwa kwenye kona kabisa
@LatifaShabani-jl8ew
@LatifaShabani-jl8ew Ай бұрын
Naomba uongee na mm kwa kina
@maryamsylivester8662
@maryamsylivester8662 Жыл бұрын
Sina chaguo Naamini umeomba Mengi kwa Ajili yangu kwaniliyokuwa nikiyapitia😭😢 maana Imani yangu Inaniambia Tayari Mungu Amemtuma Malaika wake kwa Ajili yangu Utunzwe na Bwana Yesu Mtumishi wa Mungu Na Ubarikiwe sana Na nitarudi kwaajili ya Ushuhuda kwaatakayoyatenda kwangu 🙏🙏🙏
@harrietmukhemba7680
@harrietmukhemba7680 Жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
@renfridakomba7499
@renfridakomba7499 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe, nipo ktk mahusiano ambayo sio sahihi ila nashindwa kutoka naomba niombee niweze kutoka
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
​​@@renfridakomba7499 Omba Toba kwa kuingia kwenye hayo mahusiano Halafu Anza kujitoa Kwa kutumia damu ya Yesu, FUTA Kwa damu ya Yesu km umeingizwa kwenye maagano yyt usiyoyajua Zaburi 51,Isaya 1:18......tubu Halafu Kiri ,sema nafutaa Kwa damu ya Yesu haya mahusiano
@leontinaaugustine4337
@leontinaaugustine4337 Жыл бұрын
Mtumishi naomba maombi Kwa ajili ya changamoto yandoa nimarayakwanza kutuma ombihili la ndoa nilikuwanikiomba nawewekupitia yutyubu naomba msaada Kwa hili
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu roho ya talaka iondoke kwa familia yetu niombee mtumishi wa Mungu
@KombeJustine
@KombeJustine 2 күн бұрын
Praise the Lord! Ninahitaji maombi yako mtumishi wa Mungu
@jacintakiloko
@jacintakiloko 21 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumish wa mungu naombo unishike na maombi kwa ndoa yangu na kwa KAZI yangu na kwa watoto wangu na familia yangu na kwa kuomba unishike mono Amen.
@termankalendo1439
@termankalendo1439 Жыл бұрын
Nawapenda sana watumishi wamungu.munatutia moyo kila wakati God bless you always
@ElinuruKaaya-fz1vi
@ElinuruKaaya-fz1vi 3 ай бұрын
Asante nashukuru kwa maombi y jioni hii yameribiki sana ubarikiwe
@user-oe1cg6tw7y
@user-oe1cg6tw7y 8 ай бұрын
Ni kweli mtumishi wangu unaloongea baba Mimi naitajtaji mtu aniombee kweli kanisa Asante Kwa roho mtakatifu amen
@Victoria-bv6xu
@Victoria-bv6xu 17 сағат бұрын
Nimepokea msimu mpya wa kucheko kipya tena Amina💞😘👏 God bless prophet 😘
@Stellanovatus751
@Stellanovatus751 4 сағат бұрын
Nipo katika gereza ma nguvu zagiza limeharibu maisha yangu kazi mahusiano mgonjwa kukosa Amani kujikataa nakukataliwa Sina msaada isipokuwa Mungu pekee🙌🙌
@bitihaywajean3563
@bitihaywajean3563 Жыл бұрын
Amen mtu wa Mungu, kwa Imani yote yawezekana
@edithaabel7858
@edithaabel7858 11 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu hakika neno hili limeyagusa maisha yangu, nami nimepokea maombezi haya na asante sana Mungu akubariki na madhabahu hii idumu daima katika kutukomboa🤲🙏
@SesiliaMorice
@SesiliaMorice 2 күн бұрын
Natamani MUNGU amtume malaika wake kwangu ,abebee mzigo wangu nipate amani ya moyo kulingana na changamoto nilizowahi kupitia 🙏💚
@evelinakungi2854
@evelinakungi2854 7 күн бұрын
Amen napokea uchumi mzuri,kupata mwenza sahihi, familia yangu ikafunguliwe kwenye vifungo vya umasikini, vifungo vya kutoolewa, vifungo vya kukataliwa, vifungo vya unzinzi, vifungo vya ulevi KATIKA JINA LA YESU AMEN
@kawirajoseph8910
@kawirajoseph8910 Жыл бұрын
Mimi ni mjane bwana amekufa juzi nafanya kazi Kwa nguvu dio watoto wangu wasilale badala nihinuke katika kibiasara ina zorota tuu niombee nitoke katika umaskini Amen
@AliceBarasa-ko9ul
@AliceBarasa-ko9ul 3 ай бұрын
Bwana asifiwe pst ni Alice mim mmoja ninaye pitia mambo mengi sana Sina ndoa usiku silali mchungaji naomba uniweke kwa maombi
@DeusdeditMathias
@DeusdeditMathias Ай бұрын
​@@AliceBarasa-ko9ulMungu akujibu kwa wakati wake
@herielizakayonyari71
@herielizakayonyari71 Жыл бұрын
Amen .Amen nashukuru kwa Mungu anavyoktumia tunapata ufaammu wa nano la Mungu na maarifa na nguvu iliyomo ndani ya nani la Mungu 37:41 37:41
@BellaBlue-do5pj
@BellaBlue-do5pj 15 күн бұрын
Siriyabibilia12 ❤🎉😊37:41
@leahezekia7497
@leahezekia7497 13 күн бұрын
Asante MUNGU kwaajili yako mtumishi MUNGU azidi kukutumia kwaajili yetu,naelewa nalinganisha wakati ninao upitia MUNGU anikumbuke 😭😭
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 11 күн бұрын
Mtumishi wa Muñgu nakuelewa Sana na imetumwa kwa mpango wa Muñgu kwa sisi tunaoshindwa kujiombea vizuri mtumishi Mimi nachangamoyo nyīngi kwenye familia yangu na pia nasumbuliwa kuumwa umwa naomba unisaidie uniombee Muñgu akubariki ombea mwanangu yupo shule mkubwa yupo kazini lakini kwenye kampuni natamani apate kazi ya kudumu Asante ❤❤❤❤
@zedrickwanjaza5263
@zedrickwanjaza5263 Жыл бұрын
Mtumishi wa mungu akika umeiguza moyo wangu ni zedrick kutoka western Kenya
@mercychesang9749
@mercychesang9749 Жыл бұрын
Nakusia nikiwa Saudi Arabia nashukuru kwa mafunzo Yako umenifuza mengi mungu hakubariki sana mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@agnessmwasumbi4965
@agnessmwasumbi4965 6 күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe, mahitaji mtu atakayenibeba kwenye maombi napitia changamoto ya kutopiga hatua kwenye maisha yangu, masomo ya watoto wangu
@LucyJacob-j3n
@LucyJacob-j3n 24 күн бұрын
Sina pa kukimbilia mchungaji ,ninachangamota katika maisha yangu naomba unibebe katika maombi ,moyo wangu umevunjika ,Mungu naomba anitendee, Amen
@mariabasso7466
@mariabasso7466 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi naomba uniombee mambo yangu yamefungwa kila nitakachokifanya hakionekani,na natamani mungu anijalie mume wangu nifunge ndoa
@Mr.HassanHussen
@Mr.HassanHussen 4 ай бұрын
Mimi nataka Mungu anisaidie kuiokoa familia yangu ilio katika maisha magumu na vita vya waovu amina🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@LeonChoaji-n8z
@LeonChoaji-n8z 24 күн бұрын
Hakika Mungu wangu ni mmoja tu na wa kweli, hajawahi kushindwa kamwe na hajawahi niacha! Hata pale nilipoingia kwenye fedheha ya shida ya umasikini na maradhi, ilikuwa ni funzo na namna ya kunionyesha niwe imara vipi kwa nyakati zijazo. Nipo katikati ya daraja la changamoto ya kiuchumi. Najua utanivusha salama. Na damu ya Yesu kristo ipo kusafisha maovu yangu pale ninapoteleza, Ameen!
@fridashani6562
@fridashani6562 2 күн бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili yako Mtumishi wa Mungu Hakika nshitaji mtu atakae nineba kwenye hili pito langu 🙏😭
@dativaoscar2723
@dativaoscar2723 Жыл бұрын
Ameen ameen ameen Ubarikiwe sana, Sina la kusema zaidi ya uweza wake Mungu 🙏🙏🙏🙏
@furahazero6559
@furahazero6559 Жыл бұрын
Acha Mungu anifungulie njia nyepesi nitoke hapa EE Mungu wayakobo Niko mbele Zako msalabani Na nyenyekea unitangulie unifinike Na damu ya mwanao yesu Christo Amen
@omegashuma6584
@omegashuma6584 Жыл бұрын
Nimimi mtumishi nipo chini sana kiuchumi nahotaji mtu anibebe kiroho
@victorwesamba2520
@victorwesamba2520 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢 Mungu nikumbuke na family yangu roho yavumasikini nimekataa roho ya ugovi Kwa mausianovyangu aut😢😢😢
@FlorenceObed
@FlorenceObed 7 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi. Naomba ukomboz wa Familia yangu biashara yangu.umaskin. Maden. Watoto wangu.
@zakayomwashilindi-cf5kh
@zakayomwashilindi-cf5kh 9 күн бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu hakika Mungu ni mwema kila siku Mungu akuongezee mwaka 10000000 ❤❤❤❤
@rodahshikhaya8628
@rodahshikhaya8628 Жыл бұрын
Ndoa familia imesambaratika kabisa, naitaji mtu wa kusimama na mimi kwa jina la yesu amen. Rodah from Kenya.
@FaustaShirima
@FaustaShirima Жыл бұрын
Mungu ndio kimbilio nanguvu rodah nami nautwa fausta shirima kutoka Arusha Tanzania nitakua naww katika maomb Mungu atarejesha furaha yako na Aman yako itarejea
@rodahshikhaya8628
@rodahshikhaya8628 Жыл бұрын
@@FaustaShirima Amen
@SusanAshle-zj8do
@SusanAshle-zj8do Жыл бұрын
Hallelujah... I receive in the name of Jesus Christ...God bless you 🙏🙏
@aminamfikwa2121
@aminamfikwa2121 Жыл бұрын
Kuumwa kwa mtoto kila wakati hasa kifua
@aminamfikwa2121
@aminamfikwa2121 Жыл бұрын
Naombea na mtoto mwingine hasikii kila unalo mwambia
@angellokibassa4850
@angellokibassa4850 9 ай бұрын
@faigel
@faigel 23 күн бұрын
Naomba mungu akanitoe katika gereza la magojwa,, Naomba Afya jema mungu wangu,,,mungu ikumbuke ndoa yangu🙏🙏
@RozinaChami
@RozinaChami 15 күн бұрын
Asante mtumishi wa MNGU tunakushukuru kwa mafundisho yako
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 11 ай бұрын
Mtumishi uliyoyaongea yote haya ndio ninayopitia mimi, naamini kupitia maombi haya MUNGU atafanya jambo jipya kwenye maisha yangu 😭😭😭😭😭😭😭 naweza kuwa na furaha siku 2 mwezi nalia Mungu nisaidie
@loemabee3728
@loemabee3728 6 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe,namuhitaji Mungu katika maisha yangu, Mungu atuponye mimi na mme wangu,
@JESCAKISAILA
@JESCAKISAILA 3 күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe, naomba uniombee mtumishi niweze kupata mwenza sahihi, pia niweze kukua kiuchumi na MUNGU aikomboe familia yangu juu ya umasikini
@GraceMtoi
@GraceMtoi Күн бұрын
Amen nahitaji msaada wa maombi kwaajili ya elimu ya watoto wangu
@adelasumaili8149
@adelasumaili8149 Жыл бұрын
Namimi naitaji msahada wamaombi kwashida ninazo pitiya katika maisha yangu mimi nilikuwa napenda sana kusoma neno la mungu naku funga siku moja moja nakuhenda ibadani kila ifikapo Sunday lakini kwasasa Sina hamu tena yaku soma neno lamungu nakwenda ibadani amu imenitoka kabisa lakini namshukuru mungu sana kwaku kuleta wewe mtu mishi wake ambaye maombi yako inayo patiya watu nguvu zakusimama imara bila kukata tamaha naamini iposiku kwaimani yangu nita funguliwa milango Asante sana na mungu aku bariki Amina 🙏🙏🙏🙌🙌
@lwambamiriam586
@lwambamiriam586 Жыл бұрын
Mimi ni maman miriamu Niko apa kongo naitaji maombi maisha yangu ikokatika jifungo jyagiza Mimi pamoja namume wangu
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Жыл бұрын
Amen amen
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Жыл бұрын
Hatamm nahitaji MTU wakunibeba n mefungu sana
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Жыл бұрын
N mm Mtumishi niko Lebanon napitia changamoto sana nilikuja mwezi wakumi namoja lakini bass aliye nitoa kenya akanirejesha kwa office nimekua napitia shida mm nahitaji kurudi kenya plz nmeomba sana hatanakosa chakuomba tena nahitaj msada nrudi kenya sina msada wowote naomba
@blandinathomas4519
@blandinathomas4519 Жыл бұрын
Najua Mungu kupitia mtumishi wako, utafungua vifungo vyote katk maisha ya familia yangu na biashara yangu itakuwa kiuchumi
@aksamsemwa5302
@aksamsemwa5302 Жыл бұрын
Ameeen napokea uchumi mzuri, elimu, watoto, afya njema, kwa jina la Yesu
@lilianmagava6854
@lilianmagava6854 Жыл бұрын
Mungu anitoe kwenye magumu ninayopitia
@zawadsimon7940
@zawadsimon7940 Жыл бұрын
Eemungu nakuomb uniepushe n watu wabay kwenyefamiliy yang amina
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa nahitaji mtu atakayenisaidia juu ya Afya yangu na afya za familia yangu
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 Жыл бұрын
Natamani Mungu anitie kwenye gereza la magonjwa mm pamoja na familia yangu
@Aminafatuma-wb6th
@Aminafatuma-wb6th 2 ай бұрын
Asante mtumishi kwaneno nzuri ninahitaji msahadaa was maombi.
@user-wl2oe4xn4z
@user-wl2oe4xn4z 20 күн бұрын
Naomba mungu anitoe kwenye gereza la uvivu wa kusal mtumish nisaidie kuniombea kwa hlo pia anitoe kwenye gereza la kujua kuwa ya Dunia yanapita bali nihangaike kuomba msamaha wa dhamb na kuutafuta ufalme wa MUNGU na afya ya kiroho na kimwil pia nipate hitaji la maisha kwa ajil yang na wengine pia Ameen 🙏🙏🙏🙏
@mbusuromwita4724
@mbusuromwita4724 Жыл бұрын
Amen naomba Mungu anitoe kwenye gereza la magonnjwa yote ktka mwili wangu na familia yetu na ukoo wetu ,gereza la madeni yasiyoisha , ,naamini Maombi haya yatafungua Kila kitu
@martherteresa8108
@martherteresa8108 Жыл бұрын
Ningependa mungu aniondolee gereza la kupendana na wanaume wa wenyewe ,anipariki na ndoa yangu mwenyewe ,anibariki na kifedha 😢🤲🙏
@agnessmapolu5003
@agnessmapolu5003 Жыл бұрын
Mngu nitoe kwenye gereza lá umaskini namagonjwa ya mapepo
@marymaria6544
@marymaria6544 Жыл бұрын
Amen
@mutashobyamutashobya
@mutashobyamutashobya Ай бұрын
Naitwa Patrick nahitaji maombi ya kunitoa ktk laana ya ukoo wa michifu na maisha yamekuwa changamoto kila kumicha sioni nuru kamwe naomba Bwana anirehemu tu uchumi ndo umehama kabisa mbali nami naomba ukombozi toka kwa Kristo Yesu amen
@AbimanaJumakatiti
@AbimanaJumakatiti 20 күн бұрын
Mungu anifunguwe katika vifungo vyote vya ukoo Kabila mababu na bibi wazazi wangu aiza nilijifunga pekee yangu kwa jina wangu Mugu anifunguwe amen
@stevelebanon8231
@stevelebanon8231 Жыл бұрын
Kweli kabisaa ninahitaji mtu wakunisaindia kwa maombi 😢..kwa ajiri ya doa yangu 😢🙏
@user-qc1bk5zn8w
@user-qc1bk5zn8w Жыл бұрын
Thank you Lord
@ElizabethSimon-uu7wh
@ElizabethSimon-uu7wh Ай бұрын
Mtumish wa mungu unafundish ile kweli ya mungu ni kweli tunapoteza muda ,miez, miaka kwa kuomba vibaya mpaka tunakata tamaa ya kuomba Tena Asante mungu kwa kukutumia ww kutufundisha jinsi ya kuomba vizuri na bila kupoteza miez mwaka na muda
@nicksonmusa3457
@nicksonmusa3457 22 күн бұрын
Naomba mungu anitoe kwenye gereza la kukosa viwango vya juu vya elimu yangu na ufauluu kuvuka level Moja mpaka nyingine
@user-qc1bk5zn8w
@user-qc1bk5zn8w Жыл бұрын
Nahitaji maombi mtumishi napitia magumu Ila naamini mwenyezi mungu
@FatumaKashindi-l3h
@FatumaKashindi-l3h Ай бұрын
Nahitaji maombi mtumishi wa mungu napitia shida kubwa sana ya ndoa yangu nahitaji maombi mtumishi kwasasa nikombali na mume wangu naitaji msahanda wamaombi nimemuacha mume wangu naitaji halikute uko niliko naitaji mungu hanipe wepesi nifanikiwe Amina 👏👏🧎🧎
@user-dq5kw4tk5n
@user-dq5kw4tk5n Жыл бұрын
Pastor ubarikiwe sana wewe MUNGU amekutumia kusaidia maisha yangu na maisha ya wengine asante sana
@julianamasanja9434
@julianamasanja9434 2 ай бұрын
Na mm naomba uniombee pastor
@VedinaGesare
@VedinaGesare 13 күн бұрын
Ninaitaji mtu wa kunibeba kwa maombi na nina imani Mungu ametenda❤❤❤
@esterminja5414
@esterminja5414 27 күн бұрын
Amen napokea mabadiko kwà jina la yesu..naimani mungu atayendo yote🙏
@josykogei7647
@josykogei7647 Жыл бұрын
Natamani kufunguliwa nielewe neno la mungu pia kupokea uponyaji
@dafrozasimwanza700
@dafrozasimwanza700 Жыл бұрын
Amen mungu akuinuwe sana mtumishi wa mungu
@kisandosamy4924
@kisandosamy4924 Жыл бұрын
Ule ni mimi lutumishi ninaitaji
@lindanyakile2345
@lindanyakile2345 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu nahitaji mtu wa kunibeba ktk MAOMBI maana nakufa na tai shingoni sababu ya uvimbe shingoni ktk mshipa wa damu zaidi ya miaka 12 sasa na pia nimezurumiwa haki zangu zote Kwny ndoa ya miaka 25
@ShilwaMwampina
@ShilwaMwampina Ай бұрын
Bwana yesu asifiwe asanteeeee Sana kwa ujumbe naomba iniombee Mingu aniondolee roho ya makufuru
@rachelgidion8782
@rachelgidion8782 21 күн бұрын
Mtumishi niombee nponywe na magonjwa ya kipepo nimetembea kila hospital hakuna ugonjwa roho mtakatifu anipende,Amen
@celinaduka3346
@celinaduka3346 Жыл бұрын
Naomba msaada wa Mungu anitoe katika gereza ya Magonjwa, Madhabahu ya kutofanikiwa ,kukosa Amani katika maisha yangu Mungu afungue familia yangu katika mateso.. Amen
@matildakilufi7739
@matildakilufi7739 Жыл бұрын
Amina 🙏🏽 Naomba Mungu aniondolee roho ya mauti kwenye familia yangu, magonjwa ya kufanana ya akili yaliyofatilia watoto wangu waliotangulia mbele za haki, yasiendelee kwenye vizazi vijavyo vya uzao wa tumbo langu Nahitaji mtu wa kusimama na mimi kwenye maombi. Mungu akubariki sana Mtumishi 🙏🏽
@espesifa5661
@espesifa5661 Жыл бұрын
Amina mimi na zarauliwa saaanaaa na mme wangu kwajili ya wamalaya mpaka hameniacha mimi na watoto na hameenda kuhishi nao bali ni mengi saaaaaaaanaaaa
@akhanntahena2544
@akhanntahena2544 Жыл бұрын
'
@benardnzale6025
@benardnzale6025 Жыл бұрын
Being from Kenya,I am always inspired by the preaching of Innocent Mashauri.Mungu akubariki sana
@millieholmst6628
@millieholmst6628 Жыл бұрын
Kenya🇰🇪
@zawadikimaro4087
@zawadikimaro4087 Жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU. Nahitaji mtumishi wa kuniombea mm napitia changamoto ya kila ninachofanya hela siioni nazidi kushuka madeni yameandamana nami
@user-mq9fr3st5w
@user-mq9fr3st5w Жыл бұрын
Gereza la.kesi za kusingiziwa na kuchukuliwa mshamba yangu na viwanja vyangu viludishwe
@user-mq9fr3st5w
@user-mq9fr3st5w Жыл бұрын
Maombi wazazi wangu wapone na watembee waongee kwa jina la yesu
@user-qt7py1yy4p
@user-qt7py1yy4p 9 ай бұрын
Mtumishi naomba Mungu atutoe familiar yetu kwenye liana magomvi na umasikini
@user-pu4ys8cf5e
@user-pu4ys8cf5e 8 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu mi napitia mambo magumu Sana kiasi kwamba nimekata tamaa nahitaji maombi yako mtumishi.Mungu akubariki
@MicalSemu
@MicalSemu 4 ай бұрын
Mtimishi wa mungu Asante kwa neno la Leo,naomba Leo ninapoenda kutafuta kazi nipate kazi mzuri na ya kudumu napata kazi nasikia ninapoanza kujijenga TU hapo ndio gafla magonjwa visirani vinatokea naninafutwa kazi naomba uniombee.
@miriamisaya3878
@miriamisaya3878 Жыл бұрын
AMEEEN AMEEEN AMEEEN 🙏🏼
@deborahkelvin4528
@deborahkelvin4528 Жыл бұрын
Shalom Mtumishi Ni kweli kabisa Mimi na Watoto wangu tunamuhitaji MUNGU maana Mimi Ni Mama Mimi na Watoto wangu tuna matatizo makubwa Ni kweli tunahitaji Maombi ya nguvu
@deborahkelvin4528
@deborahkelvin4528 Жыл бұрын
Tunapitia magumu Nina Mtoto wangu yupo Ujermani na ndio Msaidizi wa hatma yangu kafukuzwa kazi haya na mdogo wake kaolewa Mume wake pia kafukuzwa kazi wote Hawa wanawatoto nahuyu mdogo wake alikua amefungu Saloon lakini Wateja hakuna haya na mdogo wao wa mwisho nae pia Hana kazi inayoeleweka Mimi Mama sasa Niko njia panda kote naona Giza Mtumishi Naomba msaada wa Maombi
@deborahkelvin4528
@deborahkelvin4528 Жыл бұрын
Namshukuru Sana MUNGU Kwa Maombi haya Roho Mt ameyaleta kwaajili yangu na familia yangu Asante Roho wa MUNGU
@hildakahaso849
@hildakahaso849 Жыл бұрын
Naomba kufunguliwa katika pingu na minyororo pamoja na watoto wangu na mume wangu na jamii yangu yoote madhabahu ya ukoo kuteseka katika masomo yao naomba Mungu atukumbuke ameen
@hildakahaso849
@hildakahaso849 Жыл бұрын
Gereza ya mashetani magonjwa umaskini,madeni,ndoa uzinzi naomba kufunguliwa,masomo ya watoto wangu,huduma ya mtoto wangu
@emohsteve2186
@emohsteve2186 Жыл бұрын
AMEN 🙏🙏
@rehemakiteu
@rehemakiteu Жыл бұрын
Naomba Mungu aguse maisha yangu
@elizabethwanjiru9543
@elizabethwanjiru9543 Ай бұрын
Baba watoto wangu kwa ajiri ya kazi pastor unanibariki sama
@GressGress-fd9xl
@GressGress-fd9xl 2 ай бұрын
Bwanayesu asifiwe mtumishi wa mungu naomba uniombee nimekuwa mtu wakuumizwa kila mausian nikifikia ndowa panatokea vurugu naitaji furah ya kutuliya na maisha mazuri nilee watoto wangu na kila nikifanyacho nifanikiwe katika kazi yangu nisaidiy mtumishi nimechoka na maisha
@JohnCharles4252-wc3lv
@JohnCharles4252-wc3lv 8 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubaliki mtumishi wa mungu Kwa mafundisho yako yakujenga kiroho,kimwili pia na Mimi naomba unisaidie kuniombea maisha uchumi nichangamoto kwenye familia yetu na wazazi wangu wamtumikie mungu na mdogo wangu wamtegemee bwana mungu wao.naitwa John Charles nimeokoka nampenda yesu kama bwana wangu na mkozi wa maisha yangu.
@user-kl9cz3tr3b
@user-kl9cz3tr3b 9 ай бұрын
Namuitaji mtu mtumishi ni mm Debora niomba Sana mda mrefu sijafanikiwa kwenye shida yngu ya ndoa mwenzangu amepotea kwenye mazingira ya kutatanisha hajulikani,hasikiki ni miaka kumi nanane sasa niombee mtumishi ni mtanzania Niko Kenya kwaajili ya kumtafutia maisha mume wngu wa ndoa kabisa .
@velmah_96
@velmah_96 9 ай бұрын
Mungu asikie kilio cha moyo wako.Nitakukumbuka kwa sala zangu
@EmunguPaul
@EmunguPaul Ай бұрын
Nashukurukwaufariji muchungaji laneno mungu akuinueju Sana nikonakufata APA Congo mji wa tenke Jimbo la Katanga asante kwaneno
@FausterLawrence
@FausterLawrence Ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu Nibebe nami katika maombi haya, mwanangu amelazwa hospital anaumwa na Jumatatu anafanyiwa upasuaji wa kutoa kizazi
@user-zg3mv9dg6w
@user-zg3mv9dg6w 2 ай бұрын
Mimi niko hapa jwa hiyo massage mangu niobe sana mti yayeyuke in Jesus might name Amen
@Stellanovatus751
@Stellanovatus751 4 сағат бұрын
Ni Mimi na hitaji huo msaada mizigo nimzito umenielemea siwezi kuendelea mbele nikiwa peke yangu Yesu nisaidie
@GetrudeMasale
@GetrudeMasale Ай бұрын
Asante kwa neno na mafundisho hayo Mungu akubariki sana
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 11 күн бұрын
❤❤❤❤Amina Ubarikiwe yalishanikuta baada ya kufiwa na wazazi wangu lakini Muñgu hakuwai kuniacha alisimama na alinipa ujasili wa Hali ya juu
@NaomyDaudi
@NaomyDaudi 6 ай бұрын
ameen mtumishi nashukuru kwa mafunzo yako barikiwe san baba ,naomba uniombee niweze kuwa na ujasiri wakati wa kuomba maana kila nikiomba najawa na wasiwasi pleaz mtu wa mungu nahitaji maombi yako pia sometime nashindwa kusoma biblia nikichukua bliblia nafunua then najikuta nimesinzia naomb mtumishi uniombee
@user-ff3dy3ox6v
@user-ff3dy3ox6v Ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishiwa mungu naomba mungu anitoe kwenye gereza la madeni yananikosesha amani
@PatrickThomas-s5y
@PatrickThomas-s5y 14 күн бұрын
Amina mtumishi nahitaji kuombeewa kwa habari ya familia yangu
@MussashilindeLichard
@MussashilindeLichard 2 ай бұрын
Amin tunashukur mtumishi wa mung kwa neno hill mungu atusaidie amen mungu atufungulie milango ya amina
@user-pf5gs1ht8p
@user-pf5gs1ht8p 16 күн бұрын
bwana yesu asifiwe watumishi mimi naitaji msada juu ya watoto wangu vurugu kila siku nimeomba yakutosha bado shida iko pale Mungu anisaidiye kwa hilo mtumishi
@user-tr1uo4ns9z
@user-tr1uo4ns9z Ай бұрын
Nipo kwenye geleza la kutafuta mda mlefu bila kuona mafanikio naitaji maombi Yako mtumishi amen
@AddaFrank
@AddaFrank 16 күн бұрын
Bwana asifiwe Mtumishi Mimi naona na familia Yangu maombi Napita Katika kipindi Kigumu Sana Kwa muda kiuchumi, Roho ya Umaskini ninayopitia Naomba Mungu anafungua vifungo hivi sasa,
@CoxoXoxo-er7jg
@CoxoXoxo-er7jg 3 ай бұрын
Mtumishi bwana yesu asifiwe Mimi naitaji msaada wa kiroho kwa kijana wangu sijui amekutwa na Nini maana ametokomea kwa mazingira sip mtumishi anaitwa Elisha Fabian naitaji msaada mungu anisadie amen.
@JasirBarance
@JasirBarance 12 күн бұрын
Mtumsh mimi ni swala la uchumi nafanya kaz ya Mungu kwenye mazingira magumu sana ina niumiza sana kuna baadh ya mambo ya Mungu nashindwa kuyatimiza,
@JaphetyJaphetyshemhilu
@JaphetyJaphetyshemhilu 2 ай бұрын
Mimi naomba mungu anivushe katika mapito magumu naaniokoe na pepo la pombe na kamari mtumishi niombee kweli Kila nikipata hela sifanyii kazi yeyote mungu aniokoe kabisaa
@RodahShimela
@RodahShimela Ай бұрын
Bwana asifiwe mtumishi wa Mungu,nimekuwa nikiomba kwa ajili ya magojwa ambayo ya aniandama lalini sijapata Msaada .Naomba uniombee mtumishi wa Mungu
@pendodiadia2915
@pendodiadia2915 16 күн бұрын
Niombee zaid watoto wng hawako sawa shulen mama yng nae anaumwa sana mtumishi yan umegusa kila sehemu ya maisha yang
@Edinamssa
@Edinamssa 14 күн бұрын
Amin naomba mungu aikomboe family yangu na mimi pia mungu anikumbuke napita changa moto katika mahusiano nakutana na wanaume wengi sana
@MildredKeya
@MildredKeya Ай бұрын
Mtumishi wa mungu bwana yesu asifiwe mm naomba unibebe kwa maombi nimefanyia watu kazi za nyumba kwa miaka mitatu sijawai kuendelea kwa hizo pesa zenye wananipea maisha yangu imekuwa magumu sana watoto wangu wanatedeka sana mtoto wangu mdogo amesumbiliwa na magonjwa kwa miaka sita nimejaribu maombi kwa makanisa nimeshindwa SS nimeamua ww ndo utanishindia kupitia kwa maombi yako
@ZakayoMaasai
@ZakayoMaasai 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumshi wa mungu kwakubari naneno ya mungu iyi ndoto nimeota mara nyingi sana laki tusidi tuombean maana bila mungu atuwezi chochote
@norahogero8217
@norahogero8217 2 ай бұрын
Mtumishi was Mungu kwa kweli umenibariki sana Naomba Sana unibebe kwa maombi Mimi ni mgonjwa miguu inaniuma Sana siwezi kutembea naumwa
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov Ай бұрын
Amen niombee mtumishi wa mungu nipate nguvu ya maombi
@user-wq8wi4uv9l
@user-wq8wi4uv9l 6 күн бұрын
Hello Mtumishi wa Mungu Bwana wetu Yesu kristo asifiwe, napitia mashinda mengi mengi maishani mwangu naota ndoto za wavu , kuna wakati nilifanya kazi ikafanikiwa lkn mwisho wake kazi ikainzia kwisha kiaibu aibu, mimi wakati mwingine nasikianga masauti ndani yangu tena mabaya sana cyui jiue fanya ivi au vile lkn mimi nashumbuliwa na maroho mabaya sana Akh mpaka natamani kujiuhua, kwa mfano ata niwe na pesa nyingi aji asiwezi kunisaidia, saihi pesa ziliisha ata kazi ikaisha, nyumbani niliusha plot yangu pesa nyingi lkn azikunisaidia kwa lolote, kwa sasa sina kazi nikitafuta kazi sifati kabisa, ata cjui nifanye nnn kwanzia sasa kwetu nyumbani shamba niliusha sina lingine yaani sina mbele wala nyuma, ata nimeshindwa niende wapi ama nimalizie wapi mawasiliano ya nyumbani tangu niuze shamba hilo yalisha , nyumba ni ya kurenti nilishindwa kulipa kodi ya wenyewe ,
@liberathaaugustine472
@liberathaaugustine472 2 ай бұрын
Asante mtumish wa mungu unipe nguvu ya kukutambua wewe mungu wangu ukani itie ñguvu ukatuponye na magonjwa yote.ktk familia yangu nakuomba bwana yesu ukatupe afya njema na familia yangu.
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov Ай бұрын
Amen. Mtumishi naomba unisaidie kwa hiyo hali napitia
@MarieMakiwa
@MarieMakiwa Ай бұрын
Asente mungu kwa kunitumiya mtumishi wako kwa Jina la Yesu 🙏
@janecharo1196
@janecharo1196 24 күн бұрын
Mungu naomba ukañitoe kwenye gereza la utumwà, umaskini,ndoto mbaya na kila vifuñgo vilivyo zuia hatima yangu mungu leo ukañivushe😭😭😭🧎🧎🧎🙌🙌
@ColethaShirima
@ColethaShirima 3 ай бұрын
Naomba kuombewa familia yangu kwa magonjwa ya Mara kwa Mara kwa mume wangu na biashara yetu kuwa ngumu Sana wateja hakuna na mzigo tunao Mungu afungue pale palipofungwa na adui.
@PhilomenaChija
@PhilomenaChija 3 ай бұрын
Naomba msaada wa maombi juu ya shida za familia yangu,uchumi wetu,watoto wetu,,ukoo wangu na Mungu atuponye magonjwa yanayotusumbua.
@Este-yd9ro
@Este-yd9ro 9 ай бұрын
Naomba mnisaidie kunivusha kwenye hili janga la madeni kwani yamenizonga kiasi cha kutoona njia ya kutokea nimeomba sana lkn majibu yangu yana chelewa basi kwa msaada huu naamini nikapata miujiza ya bwana Yesu leo
@user-th2ew8iz1k
@user-th2ew8iz1k 2 ай бұрын
Bwana yesu Asifiwe mtumishi, Naomba MUNGU anifungulie milango na madirisha kwa ajili ada za Watoto shuleni,,ninae pia anaestahili kwenda chuo kiku ,lkn mipango ya ada sina,🙏🙏
@user-th2ew8iz1k
@user-th2ew8iz1k 2 ай бұрын
Niko nchini Kenya Nairobi
@jonakax
@jonakax 7 ай бұрын
Mimi hapa muzigo.umekua.asante sana kwasomo hiri.mungu amekutuma.kwamba.nifunguriwe.niripo aza.kusikiriza.asubuhireo.nimemuonamungu mukubwa akapitia.kwako
@AnjelaKavishe
@AnjelaKavishe Ай бұрын
Asante mtumishi kwa maombi yako yamenijenga
@ZaifathAhmadnapokea
@ZaifathAhmadnapokea 3 ай бұрын
Mtumishi wa mungu niombee kuusu afya yangu, niombee mwana wa mungu, nimepofuka jicho Moja lakulia kwa ajiri ya situroko ya kichwa .
JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7
35:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 23 М.
MAOMBI YA KUTOKA KWENYE NYAKATI NGUMU
40:20
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 26 М.
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 211 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 14 МЛН
LIVE: MABAYA YASIKUPATE WEWE // MAOMBI YA USIKU
38:44
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 24 М.
MAOMBI YA KUONDOA LEVIATHAN (NYOKA ANAYEZUIA MAFANIKIO/KUSUDI)
35:19
YADAH GLOBAL MINISTRY
Рет қаралды 1,3 М.
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 25 М.
JIFUNZE KUZUNGUMZA NA MUNGU
16:47
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 64 М.
CHANZO CHA ROHO YA UZINZI NDANI YA MTU // ACHA TABIA HIZI
15:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 63 М.
NJIA KUU TATU ZA KUMSIKIA ROHO MTAKATIFU
19:24
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 217 М.
MAOMBI MAPYA,TUMIA MAMLAKA ULIYONAYO {YOHANA 15:1}
17:40
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 41 М.
Usiku wa Maombi by Innocent Morris
2:57:47
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 49 М.
MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris
3:14:49
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 116 М.
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18