Oscar jaribu kuelewa watoto wengi sana kwenye sensa na wengi.hawajakuwa na umri wa kupiga kura hadi sasa. Hata kama watu wanahama na.kuhamia sehemu nyinginee haiwezekani tofauti kuwa ndogo kiasi hichi. Kwa mantiki ya Oscar watu wote wlioko.kwenye sensa walikuwa watu wazima.kitu ambacho sio sahihi.