Tunawaombea sana Kwa mungu mludi na magori ya kutosha🎉🎉
@PaschalJumanne-nn3lhКүн бұрын
Haonihalaryenumnawapiga gorimojalabilakelele
@leticiamwambara5726Күн бұрын
Ubaya ubwela,,,, piga vita hiyo mtashinda tu chama kubwa Hilo simbaaaa❤❤❤
@SaidiMalibiche2 күн бұрын
Kikubwa Simba wasitoke mchezoni mungu you pamoja Nas
@daudimchileg3072 күн бұрын
Mlipokuwa mnawapiga mlimhusisha mungu?
@DativaMdachi22 сағат бұрын
Tunaiombea sana team yetu jmn Simba nguvu moja 🦁💪 Mungu awatangulie ❤❤
@dissowadisso37372 күн бұрын
Daaa pole sana ila tu[ashinda Mungu yupo pam{ja nas
@Alennchimbi-gf2eo2 күн бұрын
Hapo ndo unagunduaa simba ni timu ambayo inaogopwa sana barani afrika Hii ni moja ya ubaya ubwela
@Izackfanuel23 сағат бұрын
Mungu aitangulie simba 🦁🦁 yangu irudi na point 👉👉👉👉 3+ Amen
@IddymohamediKivugo2 күн бұрын
Chama langu hiyo ni changamoto tu ya kawaida inatokea mungu ibariki Simba
@GatesMakoi6 сағат бұрын
SIMBA 4 🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi
@GatesMakoi6 сағат бұрын
Babo Justine SIRITO MAKOI LEO Dada VAI MAKOI LOVE Babo Dada LUCY MAKOI LOVE Babo SIMBA 5 🖐️ LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi
@GatesMakoi6 сағат бұрын
SIMBA 5 🖐️ LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi
@SIFAKiBONA19 сағат бұрын
🦁🦁 unstoppable team ❤❤❤❤❤ Simba
@GatesMakoi6 сағат бұрын
SIMBA 4 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi
@OsbMwenda2 күн бұрын
Simba nguvu moja!
@MagrethCostantine2 күн бұрын
Jamani tuiombee simba yetu hali si shwari tunisia
@GatesMakoi6 сағат бұрын
SIMBA 6 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi
@IssaMatandi2 күн бұрын
Waarabu kwa nini wanatuonea?Huu sio mpira ni vita hii.Waarabu wanapenda sana vurugu.
@Uwezo.Tz507Күн бұрын
Mungu ibariki simba ssc
@MohamedMngazijaКүн бұрын
Kila hatua Dua, InshAllah heri
@HussenErick-k4k2 күн бұрын
Nawaomben fujo yoyote itakayotokea mjisimamie mkiwa silius kama wao walivyojisimamia kwa mkapa,.
@solomonlaizar-f5o2 күн бұрын
Kila laher chamalangu
@omanquine3770Күн бұрын
😢
@MkongweKassanje2 күн бұрын
Vip huyo mpanzu
@magejuliani52932 күн бұрын
Mcheze kwa bidii na juhudi kubwa Ili mshinde!
@teresiamgimba549815 сағат бұрын
Tunawaombea , Mungu atasimama nanyi
@GatesMakoi6 сағат бұрын
YANGA 1
@andreamgaya37622 күн бұрын
Ubaya ubwela
@MwinyiAhmad-s2y2 күн бұрын
Chama langu mungu atawasaidia msitoke mchezoni pambaneni wasiwatishe hao Wala urojo
@Rukaiya-lt3hm2 күн бұрын
Warabu ila washamba
@KisukacharlesiCharlesikisuka17 сағат бұрын
Mungu awe nas
@benn.j.benn-882 күн бұрын
Wao wafanyetu vurugulakn kichapo kikopalepale
@MagrethCostantine2 күн бұрын
Atagongwa mama yako simba hatagongwa
@maureenlilykiwia15152 күн бұрын
Nilisema na nilijua mkitua kwai watawanyoosha
@bahatimshali27312 күн бұрын
Ndio furaha yako? Kwa taarifa rasmi ni kwamba timu imefika salama. Fuatilia taarifa ya Ahmed Alky. Umeona clip yoyote ya fujo?
@NuruAmina-h1q2 күн бұрын
Wee fara kweli nakwataallifa yako huu niuongo
@MwajumaNgaruma2 күн бұрын
Tunamsikiliza semaji letu 2 nasio wengine ,Simba imefika salama na wapo wanafuraha ,acheni uongo nyie
@EdithaEditha-z3sКүн бұрын
Hehe mungu wangu tuwaombee Simba jaman nini shida
@FahamuHamza2 күн бұрын
Kwa mtindo huu warabu tuwaangalie vizuri sana
@GatesMakoi6 сағат бұрын
😘😘🥰🥰😍😍🤩🤩🥳🥳
@GatesMakoi6 сағат бұрын
YANGA 0 mtoto 👶👶
@PeterAlphonce-p7w2 күн бұрын
Hao warabu wakuda wawaguse watakuja ipo ck
@MagrethCostantine2 күн бұрын
Bakari mahenge koma sana kuifuatilia simba mbwa wewe
@OshtakiLikangagaКүн бұрын
CAF na watu wa haki za binadamu waliangalie hili.
@CristinLyanga19 сағат бұрын
Hiki kinachoendelea kwa waarabu,shirikisho la soka Barani Africa,watafute namna kama hawataki ngozi nyeusi bac wawe wanacheza wenyewe kwa wenyewe,maana hii ni too much,
@mariamshibanda33582 күн бұрын
Mungu hawatie nguvu mfanye kutulia msitumie hasira
@ChandeDaudi2 күн бұрын
Mnakosea kuwaita mashabiki machizi
@MimiIta-m9j2 күн бұрын
Basi tufanye wewe ndio chizi
@EliyaKudaga-u4q2 күн бұрын
Simba hawaiwezi
@joshuambarie17 сағат бұрын
Bwan aipendesi kabisa
@HerryLazaro2 күн бұрын
Hao hawajui maana ya ubaya ubwela
@RashidShedaffa-v9x2 күн бұрын
Ubaya ubwela....Wanangu pigeni kwenye mshono..!!
@omanquine3770Күн бұрын
Haki mwarabu amekosa ubinadam 😢😢😢
@JoelyMgalla-v7kКүн бұрын
Ubaya ubwela watakula nyingi hawo
@Leodimk-n5c2 күн бұрын
Simba waache uoga wakapige boli 😅😅😅
@WilbertChambilo-yl1kc2 күн бұрын
Watagongwa hvohvo
@shaameshaame-g3d2 күн бұрын
kumbe na wao kuna kitu walifanyiwaee Kwa Mkapa
@issahamis5812 күн бұрын
wewe sisi ndiyo simba
@VitalessGalus2 күн бұрын
Sisi ni simba brather
@JohnSabiro-ot2wy22 сағат бұрын
kwanguvu za ala itawezekana tu dakka tisin ndo muamuz
@AbuuAyubu-t7c2 күн бұрын
Hii ndio maana halisi ya mpira
@BakariMahenge-n7o2 күн бұрын
wao mliwapiga naviti huku hadi wakakimbilia uwanjani nahapo bado subilini sindano iwangie
@jascinthakameleki1042 күн бұрын
😊Dua la kuku Bakari! Shindwa na sala zako mbaya
@theonasmkoba61212 күн бұрын
HUJITAMBUI wewe
@bahatimshali27312 күн бұрын
Utasubiri sana
@SalumuMuhidini-io4xk2 күн бұрын
Sisi tumeshazoea vurugu za warabu atuogopi
@Ramadhanilawoga2 күн бұрын
UWNJA WAKE WA NYUMBANI WAAMUZI WANAPENDELEA TIMU MWENYEJI NAKUPOTEZA HADHI YA MASHINDANO Sioni ubora kama kuna vituo vyao dhuluma matokeo Yake waendesha mpira na mashabiki wanapandwa na jazba na kufanyiana uhasama HATUA mnayochukua ya kuwafungia mashabiki sio jawabu chunguzeni chanzo cha tatizo vinginevyo mpira wa afrika hautaleta mallengo ya mpira wenyewe BADILIKENI
@AbuuAyubu-t7c2 күн бұрын
Mi najua mpira ni uhuni flani hivi ushenz ushenz
@AgostinoAgostinoumbu23 сағат бұрын
Ubaya ubwelaaaaaa
@johnkabegi959623 сағат бұрын
Mbona hatuoni hicho mnachokielezea kwa mujibu wa video yenu?,viongozi wanasema hakuna kikwazo chochote,hata hiyo picha inaonyesha wanachukua mabegi yao au mimi ndo sioni?
@Ramadhanilawoga2 күн бұрын
VIONGOZI WA CAF MPIRA WAAFRICA HAMTENDEI HAKI MNARUHUSU KILA TIMU IFANYE MADUDU KWENYE
@MsafiryChitema18 сағат бұрын
Waaarabu wapumbavu sana
@saimonntani68312 күн бұрын
Simbba tulisha fanyiwa vurugu misri na zamaleki lakini tukatobowa.hiki ni chamtoto tuu