#LIVE

  Рет қаралды 3,496

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Pastor: Innocent Mashauri
Yoeli 3:10
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 45
@frolencinahenry2407
@frolencinahenry2407 16 күн бұрын
Mungu Nisaidie nikoe mimi na wanangu na mifugo yangu yote Mungu nisaidie❤❤
@EstellaNshimirimana-up9jo
@EstellaNshimirimana-up9jo 16 күн бұрын
Amen amen,asante Mungu wangu kwakuwa unatengeneza njia ya maisha yangu,nipe kupambana binafsi nisiaangalie maisha ya wengine najua vyakwangu bipo,amen tena,asante mtumishi wa Mungu kwamafundisho munatupa kwa kila siku,Mungu azidi kuwalinda mahali mulipo,amen amen❤❤
@user-zs4zf6tq7v
@user-zs4zf6tq7v 13 күн бұрын
Amina Ashate Yesu nibe nguvu nibambane adi mwisho hii kazi naiweke mikononi mwako posi wangu aniogeshe pesa na masiku nienderee na kazi adi nitimishe doto zangu kwa jina la yesu
@agnessmwasumbi4965
@agnessmwasumbi4965 17 күн бұрын
Amina sofa na utukufu Kwa:Bwana
@RoseWilson-j2y
@RoseWilson-j2y 15 күн бұрын
Ee Mungu nisaidie kupata nguvu ya kukomaa nisaidie Mungu nifundishe kupitia watumishi wako uwalinde uwabariki watumishi wako
@blaisekambale2145
@blaisekambale2145 16 күн бұрын
Asante kwa kunipa moyo. Ndani ya mapambano yangu. Uniombeye nishindane katika vita hii.
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 17 күн бұрын
Nakupenda mno mtumishi wa BWANA,,,kwani MUNGU ameniona kupitia neno lake
@NannyNanny-fo9yh
@NannyNanny-fo9yh 17 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙌,kwa kunipa mwanzo mpya wa ujasiri,barikiwA
@user-rl9sd8hl5o
@user-rl9sd8hl5o 16 күн бұрын
AMINA
@MonicaJB-x7w
@MonicaJB-x7w 8 күн бұрын
Asanteee mungu kwamaombi yako yananipa nguvu kupitiya maombi hay sitokuwa dhaifu🙏🙏🙏
@agnessmwasumbi4965
@agnessmwasumbi4965 17 күн бұрын
Bwana uliye baba wa yatima na Mume wa wajane usinipite nyoosha mkono wako ukaniguse
@SaraMpozi-nf1yk
@SaraMpozi-nf1yk 17 күн бұрын
Amen,🙏🙏🙏
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 17 күн бұрын
Mtumishi MUNGU ameniona,, asante YESU
@MalaikaBrighton
@MalaikaBrighton 17 күн бұрын
Nasema asante mingu kwa kunitia nguvu masaa.haya kuweza kusikilizamaombi pamoja na pastor nisaidia baba asante baba amin🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@esthermasudy8415
@esthermasudy8415 16 күн бұрын
QQQQQ
@IshaK-t7g
@IshaK-t7g 17 күн бұрын
Iyo neno n langu Santi mwenyezi mungu 🙏🙏🙏🙏
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 17 күн бұрын
MUNGU nisaidie ,nakutaka MUNGU na nguvu zako🎉
@DelaneyWambui
@DelaneyWambui 16 күн бұрын
Amen sitakata tamaa mpaka nitakapopokeà vyangu
@HhNn-f5s
@HhNn-f5s Күн бұрын
Amen
@user-rl9sd8hl5o
@user-rl9sd8hl5o 16 күн бұрын
Fungua milango iriofungwa kwangu bwana Amen
@IshaK-t7g
@IshaK-t7g 17 күн бұрын
Ameen 🙏🙏🙏🙏🙏
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 17 күн бұрын
Asante asante MUNGU kwa neno lako
@DelaneyWambui
@DelaneyWambui 16 күн бұрын
Amen amen tunakupenda pia pastor
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 17 күн бұрын
Nakuelewa mtumishi wa BWANA
@cuteliciacutelicia3968
@cuteliciacutelicia3968 16 күн бұрын
Jana sikuingia online toka majuzi nakufatilia mtumishi kiukweli neema ya Mungu izid kuwa na wewe akupe maono zaid na zaid kwa maana somo la toka jumatano nahisi ulitumwa kwa ajili yangu nilikuwa na wakati mgumu mno ila hakika umeniimarisha had leo nimeimarika nafanya kazi kwa amani na imani yote ni kwaajili ya mafundisho yako. Nimejifunza vingi mno asante na Mungu azid kukuinua. Nakupenda sana mtumishi
@ChikondiMadaliso
@ChikondiMadaliso 15 күн бұрын
Ubarikiwe
@safialuhizo4979
@safialuhizo4979 17 күн бұрын
Yes bwana,,,,,,🙏🙏
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 17 күн бұрын
Ni kweli kabisa hata kwenye kuchukiwa na watu Kuna kupeleka kwenye mafanikio yangu
@neemafrancis2487
@neemafrancis2487 15 күн бұрын
Sifa na Utukufu vina ww Mungu🙏
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 16 күн бұрын
Ameen
@CalistaMichael
@CalistaMichael 16 күн бұрын
🙏🙏
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 17 күн бұрын
Mmh .. MUNGU ameniona ,,nasonga mbele
@IshaK-t7g
@IshaK-t7g 17 күн бұрын
Be blessed pastor 🙏🙏🙏🙏
@user-jp2sn7hd4s
@user-jp2sn7hd4s 15 күн бұрын
Amina
@Princesscareen
@Princesscareen 16 күн бұрын
Neno hili ni lakwangu me kabisa
@blaisekambale2145
@blaisekambale2145 16 күн бұрын
Amina. Mungu akubariki
@harunithabiti9572
@harunithabiti9572 16 күн бұрын
Asante yesu
@eveabasi2469
@eveabasi2469 17 күн бұрын
Amina, Asante sana Yesu Kwa kunipa nguvu mpya ya kusonga mbele sitaka tamaa Tena acha vita iendelee nitashinda tu Kwa sababu nipo kwenye ratiba ya Mungu baba
@EuniceJonathan-z9i
@EuniceJonathan-z9i 17 күн бұрын
Ahsante Pastor kwa neno la Faraja,.Ninachangamoto kazni kwangu Mungu anisaidie
@KisisiManda
@KisisiManda 16 күн бұрын
Asante mutumishi
@user-zg6ek5kk6z
@user-zg6ek5kk6z 17 күн бұрын
BWANA MUNGU NAKUSHUKURU NA LA WA MAISHA HAYA NALETA KILA LINALONISUMBUA UWE SULU HUU ILI SHO BABA,WALA USINITUPE ,MAGUMU YANGU UNAYAONA ,NISIHADHIRIKE JEHOVA NAOMBA MBINGU Z INIKUMBUKE
@janendumia8991
@janendumia8991 16 күн бұрын
ee, Mungu usinipite wakati huu...unapo fungua orodha mpya kwa yule baba/mama/mtoto usiniache..ndani yangu nina huduma nipe mwelekea,,nikienenda kwa akili zangu Nita,fail...nakuitaji roho mweleke ndio nahitaji...Asante kwa kipundi hii na mafunzo haya mlinde mtumishi wako ni kwajili ya nafasi zile anakomboa....mwezi huu wa September,unapozuru na wale usiniache...too much delays in my life/family..nipe nguvu ya ujasiri nashindwa na hofu..uwoga ..nahitaji mwanzo mpya ee Mungu wangu...nina Imani mi nimshindi na ushuhuda ni wako. In Jesus Name.. Amen 🙏
@blaisekambale2145
@blaisekambale2145 14 күн бұрын
Merci beaucoup
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 17 күн бұрын
Amen amen
@deboramsangi360
@deboramsangi360 16 күн бұрын
Amen
#LIVE: KUOMBEA LANGO LA NDOTO // DAY 15
1:21:19
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,3 М.
LIVE:  AMKA ANZA NA BWANA // MAOMBI YA ASUBUHI
51:46
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 44 М.
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
LIVE: MAOMBI YA USIKU WA MANANE // MBINGU ZINAFUNGUKA
1:12:54
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 137 М.
#LIVE: CHA KUFANYA VITA INAPOINUKA KWAKO
1:12:21
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,8 М.
ILI KUVUNJA MADHABAHU ZA KIFAMILIA OMBA MAOMBI HAYA
26:03
UKOMBOZI WA FAMILIA
Рет қаралды 36
NGUVU YA KIBALI  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 19 М.
#LIVE: FAIDA ZA KUOMBA MUDA MREFU // DAY 07
1:30:22
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,5 М.
AINA10 ZA WANAWAKE WASIOPENDWA
20:49
Mbeki TV
Рет қаралды 124 М.
LIVE: MAOMBI YA KUZUIA UHARIBIFU MAISHANI MWAKO
1:07:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 22 М.
JINSI YA KUSHINDA ROHO YA KUKATA TAMAA
1:44:01
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 102 М.
LIVE: MAOMBI YA UKOMBOZI KWA WOTE WALIOVIKWA VAZI LA AIBU
1:42:21
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 9 М.
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН