Ameen napokea kibali Kwa jina La Yesu, ubarikiwe sanaa Mtumishi wa Mungu 🙏
@edinagelase7964 ай бұрын
Kibali na hekima kinaenenda na kimo(umri) wa mtu,asante sana mtumishi wa Mungu kwa somo zuri na Mungu azidi kukutumia zaidi
@aloycelusungu13224 ай бұрын
Faida za Kibali.. Kibali kinatukinga na uharibifu Kibali kinamleta mwamini ktk upenyo wa maisha Kibali kinaimarisha kusimamishwa ktk misingi IMARA KIBALI KINAMFANYA MUNGU KUKUPIGANIA KIBALI KINAUWEZO WA KUKUTOA ULIPOFICHWA NA KUKULETA KWA WAKUU...
@danielpatrickrobert1254 ай бұрын
AMINA ,Naomba namimi Mungu anipe nguvu ya kibali mahali popote ,napokea mchungaji
@sambalizainabu24 күн бұрын
Mungu naomba unipe kibali katika maisha yangu
@ReginaMulenga-t9f9 күн бұрын
Amen. Mungu naomba kibari
@GabriellaFaithMaenda4 ай бұрын
Ukatusaidie BWANA, tupate kibali zaidi mbele zako na mbele za wanadamu pia. Amen 🙏
@veronicajoshua4116Ай бұрын
Naomba Mungu anipe kibali chake, awape kibali watoto wangu, ampe kibali Mme wangu, awape kibali wadogo zangu.
@marykarebeti94104 ай бұрын
Mungu, ninaomba kibali ktk macho ya wanadamu ktk Jina la Yesu!!
@marykarebeti94104 ай бұрын
Amen
@fadhillwitiko4 ай бұрын
Asante pastor for the beautiful and magical word.
@dorahmavazi1112 ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema naomba Kibali katika maisha yangu yote
@chikuamedeus87004 ай бұрын
Ee MUNGU naomba unipatie nguvu ya kibali kutoka kwako🙏🙏
@tasokwamichael24334 ай бұрын
Mungu anipe Nguvu ya Kibali mahali popote
@Neema-wy4mh4 ай бұрын
Amen Amen Amen baba ktk jina la Yesu kristo nami naomba kibaliii chako NA chawandam. ❤
@lidamudy28424 ай бұрын
Bwana Yesu nipe kibali kwako na kwanadamu
@gracenashengena33664 ай бұрын
Mungu naomba kibali ktk hizi kesi na watoto. Wangu wape.kibali cha Esta
@jefwakalama43364 ай бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi kwa kzi nzuri Emmanuel Jefwa kutka Lamu Kenya
@jeremiaisowe44434 ай бұрын
Neno laMungu linahitaji mwili🙏🙏🙏
@marykarebeti94104 ай бұрын
Mafundisho mazuri hakika nimejifunza kitu! Ni maombi yangu Mungu anipe favour
@mrbuhwihwi4160Ай бұрын
Eeh mungu naomba unipe Kigali katika biashala unifanikishe kama wengine
@JacintahNgilah4 ай бұрын
Mungu eangu naomba kibali amen
@EvelynJeremiah4 ай бұрын
🙏ĀMEN✨THANK YOU LORD JESUS ✨GLORY TO GOD✨AMEN🙏
@marygumbo32964 ай бұрын
Mungu kibali changu kitoke kwako
@anitandossi25424 ай бұрын
Amen Amen Amen.. am blessed Baba!
@RehemaKibengu-fe8rg4 ай бұрын
Ee Mungu naomba unipe kibali
@aloycelusungu13224 ай бұрын
Tuishi vizuri na watu wanaotuzunguka
@PriscaChangoma-jf6tq4 ай бұрын
Nabarikiwa sana
@RoseMwakyoma2 ай бұрын
Ee mwenyei mungu nomba kibali
@deolohay76304 ай бұрын
Eeeee Mungu wangu naomba kibali kutoka kwako
@joycekimorgo52394 ай бұрын
Sifa kwa mungu,na ndie anaepeana kibali kwa mwanadamu.Eee mungu naomba kibali chako asubuhi ya Leo.
@agnessangu19074 ай бұрын
Mungu naomba kibali ktk kila nilifanyalo
@pilimpinga6472 ай бұрын
Mungu naomba kibali Cha kukubalika
@Lovenessimon-zz8qg1jz6j4 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙌
@annonciataumingabire14604 ай бұрын
mungu anipekimbali
@DeboraShalya4 ай бұрын
🙏🏾Amen baba
@KaimNyalusi4 ай бұрын
❤kibari kinijie🎉
@josephinemtangalala28734 ай бұрын
Ninaomba Mungu anipe kibali Kila mahala
@JohnKabuka4 ай бұрын
Mungu naomba unipe kibali
@grolyjosephat82634 ай бұрын
Ameen Ameen Ameen
@Villahofficial29314 ай бұрын
Amina 🙏🧎
@lucyhaule5779Ай бұрын
Eeb Baba naomba kibali katika kila nifanyalo Kila nitembeapo Naomba kibali chako
@veronikaaugustino22584 ай бұрын
AMEIN
@ElizabethJames-r6n2 ай бұрын
Eeh Mungu naomba unipe kibali
@irakozeshakiru11314 ай бұрын
Amen 🙏
@stephanosospeter17094 ай бұрын
Ameen
@jocelyneedward4 ай бұрын
Amen
@zenomlambo2 ай бұрын
Naomba kibali kwenye bias hara na kazi zangu zote ninazotarajia kufanya