Wallah thumma wallah mnadanganya umma lakini kuna watu tuna elimu na tunajua lugha ya kiingereza yaani ni vichekesho. Muogopeni Allah.
@ip_header3 ай бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiun, masikini umma una angamia
@mohamedKhamis-j7f2 ай бұрын
Kiukweli sijaona akipandisha jini la kiingereza subhana allah
@ZuwenaNassor-b6m11 ай бұрын
Allahuakbar mtihani mzito allah atufanyie wepesi
@WadyShaibumohammed3 ай бұрын
Mungu anakuoneni dah. Utapel mtupu
@GloryMathias-n4d11 ай бұрын
Subhaanah Allah, is a challenge, People are Committed to devjl them self
@eddymaphy3 ай бұрын
INNALILLAH WAINNA ILAYHIRRAJIUN😭😭 Wanatapeli sana kina mama na dadazetu
@IshaIuziga11 ай бұрын
Sheikh shareef firdaus alqadiry.mashallah kwa kazi zako nzury
@mohdkhatib2233 ай бұрын
Kwa mtu dhaifu kama wewe ndo ataona kazi nzuri lakini huo upumbavu na ushirikina hata wasio waislamu wanafanya
@mahfoudhmabrouk8093 ай бұрын
Huu upuuzi mno! Hawa wanaichezea dini yetu nasi twawatizama tu. Ifike kipindi huu uhuru upungue tu.😢
@mohammadswaleh69003 ай бұрын
Matapeli hawaaaaaaa Daaaah utadhani Pastor
@abdallahdullah86422 ай бұрын
Cndo ya kanisani haya?
@AlphayoLugallah2 ай бұрын
Kabsaaaa....dah! inatisha aisee
@FakhiChapozo3 ай бұрын
Daaaah mtihani hu mungu atunusuru
@eddymaphy3 ай бұрын
Aamin
@husseinmukwambo90013 ай бұрын
Amin
@Rukaka_jr3 ай бұрын
Utabaki kuwa sharifu kilugha na sio kisheri, na uzuri ujumbe ushakufikia tayar Allah atuongoze sisi sote InshaAllah
@eddymaphy3 ай бұрын
Aamin yarabba'Alamin
@vuaiali37803 ай бұрын
Mwamposa version 2
@Mariam-ke4og3 ай бұрын
Jamani mnatengeneza watu kuja kutudanganya hamuoni aibu innalilah wainailaih rajiuuun
@RioKoka3 ай бұрын
Kinacho ni shikitisha ni mazinge ana support vitu kama hivi msiba mzito wallah si comedy hii
@abuyunusmohamed69613 ай бұрын
Anasapoti kwa sababu ya njaa kali
@atambitomotesTz71003 ай бұрын
Mtihani mzito huu
@MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz3 ай бұрын
if you have nothing to say, it's better to keep quiet, bora kunyamaza mnaongea ujinga tatizo yenu WA tanzania shule kidogo vichwani mwenu, From mocambique
@alikidungura94193 ай бұрын
Mazinge ninjaaa imemfanya asapoti ujinga
@salimfaraj55093 ай бұрын
Hicho hata mm kimenisikitisha sana. Mazinge kusapoti ujinga huu. Nilikuwa namuheshimu sana
@Abdallahmohamed72Ай бұрын
Haoni haya waka aibu kuaribu dini yake Allah ameweke dunia mbele kuliko akhera hana elimu wala busara wala hekima hakusoma dini kabisa ndio maana anafanya uchinga huu mungu akuongoze ubadilike urudi kwa Allah
@MyasaAbdullah11 ай бұрын
Mtihani Kwa kweli
@ZaytonaEid11 ай бұрын
Mashaallah
@9119-r4t3 ай бұрын
Hatu hawaogopi kesho akhera subhanaallah. Utapela huu
@MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz3 ай бұрын
mhhhhhh this sheikh is very attentive to English and speaks it very well, yuko imara Sana kwa lukha ya kingereza
@Sanjar-y3c3 ай бұрын
Mazinge mpumbavu Sana nmemjua Leo kama mpumbavu aisee wakumuunga mkono huyu😂😂
@SeifuMkoma3 ай бұрын
Mazinge kumbe mzigo wa mavi,anaungana na huyu mwizi
@issakawaya831511 ай бұрын
Mtihani kweli
@Anna-hh7hi10 ай бұрын
Mnapatikana wapi ofisi zenu
@MrUshindi-b8k3 ай бұрын
Bila YESU hamuwezi kuondoa uchawi na majini
@mohdkhatib2233 ай бұрын
Yesu gani wewe mgalatia wakati huko makanisani kwenu watu wanaopandisha mapepo ni wengi na mapepo hayaondoki kanisani.
Jini huyo ni jini wa subiani ajikaze shekhe anatakiwa awe na elimu ya kumshinda yeye ktk majini wasomi ila wameasi kwa allah ni hawa subiani hatari sana ukimpata jini huyu au ukipewa bas unamtihani mkubwa mno zako zipo lengo kuu ni kukutoa roho nusura nusura hukutia kilema cha maisha utamaliza waganga dunia mzima hutibiwa kwa makarama ,na elimu ya majini tena uwenaelimu nayo hakuna kitu asichokijuwa ktk qur an ,kama mchaw bas yeye zaidi unamfukuza nakuwambia naondoka ila baada siku au mda matatizo pale pale utasoma vitabu vyote kumtibu huyu jini labda uwe mcha mungu unaelimu kumzidi yeye allah akbar allah atunusuru na jini huyu
@abelmbata373 ай бұрын
Koboko yake ni jina la Yesu hapo ujanja hana atatoka tu
@kilemilekilemile3 ай бұрын
Hiki kituo kiko wapi?
@abdulrahmanngaluma37683 ай бұрын
Hata usikijue huyu dogo ni muongo, mchawi feki, mshirikina halisi, bangi zimempeleka resi
@abdallahsuwed653 ай бұрын
Mimewacha kabisa kufatilia mihadhara ya mazinge.ni ovyo sana.
@Mahershalalhashbazi-kf6xi3 ай бұрын
Bado kidogo utajuwa mengi si kwa Mazinge tu
@Blessedboi801911 ай бұрын
Vituko na visanga uswahilini. Tanzania hatukosi movie.
@Mahershalalhashbazi-kf6xi3 ай бұрын
Maaamuma oyeeee
@Mariam-ke4og3 ай бұрын
Shekh Kishk hivi unaona kinachendelea ? Usichoke shekh kukemea haya maovu na kuudhalilisha uislam kiasi hichi na M/Mungu atakulipa kwa kuipigania dini yetu
@hassannyalile22563 ай бұрын
Mzee kachemka marohani yanaongea kiingereza nayeye anatolewa marohani Lakini nae anaongea kiingereza huu ni mpango wa kuwazubaisha wanamama wa kiislam
haha tena wizi wa wazii aende pemba kama yeye kidume akatowe majini mtuu mwenye jini anakuwa hivyoo 😂😂haha
@AbubakariKisuju3 ай бұрын
Walslam tumefikia huko"kweli?allahuakbar
@MdaluLipanda3 ай бұрын
ihi sawa kali dah
@GloryMathias-n4d11 ай бұрын
Sheikhe Firdaus ,as long as SUBHAANAH ALLAH send you to us Live long life to save the people of Alla
@taturajabukhalfani79533 ай бұрын
Mmmmmmmh!!!
@zaimkoko861511 ай бұрын
Mashaallah mungu ni mwema
@AdmiringCorgi-rg5tj11 ай бұрын
Jinni anacheka kwa kiingereza chakeeeee
@azizhamed63203 ай бұрын
Njaa ni mbaya kweli😮
@AlhajiIssa-jb9hr11 ай бұрын
Kwahiyo Hilo jini ni la kizungu noma sana atatufaa tunatafuta mwalimu wa English language.
@KautharMohamed-kj5zc11 ай бұрын
😂
@AlhajiIssa-jb9hr11 ай бұрын
@@KautharMohamed-kj5zc pole madame.
@KautharMohamed-kj5zc11 ай бұрын
@@AlhajiIssa-jb9hr Asante
@AlhajiIssa-jb9hr11 ай бұрын
@@KautharMohamed-kj5zc jamani karibu Tanga mjini madame
@KautharMohamed-kj5zc10 ай бұрын
@@AlhajiIssa-jb9hr Inshallah
@hamisimchana19511 ай бұрын
Tunaomba video ake had mwisho imekuwaje ??
@AbuuRamlahADAM2 ай бұрын
Wanatuletea Michezo hawa Jamaa
@imperfektservantt-e8b2 ай бұрын
Kila ninapotazama imani tulizo nazo waislamu wa sasa na mambo tunayoyofanya nazidi kujua maana ya kwa nini baadhi ya maswahaba na watu wema waliopita hawakutamani kuishi zama zetu. Achilia mbali Rasulullah ﷺ hivi unadhani mtu kama Umar Ibn Abdul Aziz angelikuwepo zama hizi angewavumilia watu wa aina hii? watu wanaochafua uislamu kwa sababu ya pesa?Miongoni mwa mambo ya hovyo wanayofanya watu wa hivi hata inapofika swala hutaona wakiwaambia watu tukaswali kwanza tukirudi tutaendelea na hizo wanazoziita dua, wanachojali wao ni pesa tu.Kama mtu swala yake tu anaipuuza huo usheikh anaupata wapi? Tuzinduke waislamu hili ni janga, ina maana ndio umefika huo muda wa kuwafuata makafiri hatua kwa hatua mpaka tutumbukie shimoni??
@jumalove26313 ай бұрын
sasa kunatofauti gn na kanisani kaka 😅😅😅 dini zimeingiliwa daaa😢😢😢😢
@faridalekupe35823 ай бұрын
Uigizaji huu jamani Astaghfirullah
@yesesimoni11 ай бұрын
Shekhe ameshika mafuta au naona vibaya?
@Zubaiba11 ай бұрын
Pole sana mzee wng
@Abdallahmohamed72Ай бұрын
Huyu kijana anafanya mambo hayo yote kinyume nadini inatakiwa aitwe kwenye kikao awekwe chini vizuri akanywe kabisa ili awache upuzi huu aibu sana kwa kweli anachafuwa sura nzuri ya uislamu kwanini waislamu nawakubwa wadini wanamuangalia tu mpuuzi kama huyu
@IssaJuma-rk5qb3 ай бұрын
Yaani wa uislam wanaupgia dili
@MombokaMomboka3 ай бұрын
Yaniww umekosa namnanyingine yakutafuta riziki mpaka uifanyizihaka dini ya Allah. Ww hunatofauti na MBWA. Au nguruwe
@salimfaraj55093 ай бұрын
Hicho hata mm kimenisikitisha sana. Mazinge kusapoti ujinga huu. Nilikuwa namuheshimu sana
@NtakarutimanaHassan-q9l3 ай бұрын
Wallah naapa huyu jama si muislam kwa sheria yakiisilam huyu hana utofauti na mwamposa
@eddymaphy3 ай бұрын
Hamujamuelewa huu utapeli umeanzaje anzaje, Hii ni dili ilipangwa na Mazinge,kwasababu Allah alimleta Shariff duniani akiwa na miujiza yake na nusu ya dunia inamjua tangu alipokuwa mdogo na miaka miwili na nusu,sasa mazinge akaona yale majini yao yatumike na huyu dogo ndie atazidi kushangaza umma na kutengeza pesa, kwahiyo kwa nguvu za majini ndio anatupiga mchanga wa macho ili tuheshimu jina lake na historia yake tangu mdogo, Tujiulize swali,,hiyo miaka ya nyuma kuanzia akiwa na miaka 12 hadi akiwa na miaka 21 alikuwa wapi na sifa zilipotea mpaka mwaka jana ndio akaanza kujitangazia kazi zake wakati ashajua njia ya kutumia majini italeta pesa
@MombokaMomboka3 ай бұрын
WEWE UNAEJIITA SHALIFU NAVIBALAKA WAKO WANAOKUSAPOTI MUNGU AWAZALILISHE KWAUTAPELI MNAOUFANYA
@mesasaid-kj3nq3 ай бұрын
Ujuha munataka kuleta karne ya GNZ
@Haarun-h4qАй бұрын
Hakuna tofauti na makanisani.
@mohdkhatib2233 ай бұрын
Halafu yule walid sheikh wa bakwata anasema mkitaka msitake ni sharifu, lakini mimi simshangai na hasa sheikh akiwa wa bakwata, maana kuna mmoja amehalalisha hadi mwenge akidai umetajwa ndani ya Quran.
@AdmiringCorgi-rg5tj11 ай бұрын
Jinni kawa mkali kama kanataka kuyaviwa na shekheeee
@IssaJuma-rk5qb3 ай бұрын
Shekh mazinge unaheshimika sana kwa waislam usiingizwe kwenye komedy hizi
@AlyAly-n8r3 ай бұрын
Mbona amejiingiza mwenyewe kwa kumtetea mbele za kamera watu hawajakurupuka TU
😂😂😂Jina halijui Kingereza eti! I am going to home😅Sharif naye anaongea Kingereza aiseee😮dogo msenge sana huyu
@rashidmexes36293 ай бұрын
ACHANENI NA IMANI ZA MAJINI MGEUKIENI YESU
@hassanally4463 ай бұрын
Nyie wenyewe ndio mnaongoza na imani za mashetani, kilasiku mnayatoa kanisani
@thekingdragon83583 ай бұрын
@@hassanally446 NAMSHANGAA
@prochesernest54393 ай бұрын
Ndungu zao waislamu wanaongea kingereza wamehachana lugha ya Allah kiarabu
@chieframadhani49763 ай бұрын
Watoe Majini wakae sawa babu
@RAHMAHUSSEINMUSH2 ай бұрын
Duh ww firdaus acha kuzingua ww tafta kaz nyngn hy sio kaz. Na tunamuomba Allah akudhalilishe ww mpaka ushike adab
@maryamsuleiman63403 ай бұрын
😂😂😂😂😂😅😅😅raha shetani karudi tena ,hahhhh this COMED ,maskini mzee sijui kalipwa ngapi ,siokosa kutafuta hela ,Uwo USHARIFU ,JINAKUBWA
@HussainAbdallaAli3 ай бұрын
Huyu mzee ni mchekeshaji co mgonjwa ila sharfu Acha comedy basi km umeamuwa kutangaaza jina la Allah tangaaza t ila achana na comedy tafadhali utakuja kujijutia ck ya siku mbele ya mahakama ya Allah namuomba Allah atupe mwisho uliomwema
@Haarun-h4qАй бұрын
Masikini mama zenu wadanganywa.
@Haarun-h4qАй бұрын
Huyu mzee ni mchekeshaji,sijui amelipwa shillings ngapi.
@AmiEdi-f2y3 ай бұрын
Nyi nyi mutaenda kujibu nini Allah,siku ya siku, na mashekh mumekaa kimya ata kukemea ni shekh kishki tu watu wanacheza na dini ya Allah
@eddymaphy3 ай бұрын
Mashekhe wengine wanakemea kiuoga wanatoa historia za kipuzi zengine hazieleweki,hawaendi kwenye point husika au kuwataja kwa majina yao ili kuwaumbua kwa umma kama vile sheikh kishk Masha Allah mungu azidi kumlinda na shari za wapotoshaji na maadui waliomzunguka,,Aamin
@SaidHamad-d3n3 ай бұрын
Mimi sikuiti shekhe lakini wewe sharif wa michongo acha uhuni kwenye uislam huna chochote unaleta ukristo kwenye uislam Acharya hizo bwana kweli wabongo hawana akili ni wepesi kudanganywa lakini ujuwe unafanya makes a sana wacheni usanii
@TaarabChannel11 ай бұрын
Kizungu gani hicho....shengesha tu...
@woah.africa9911 ай бұрын
Jini wa Europ sijui kwa baiden katokea
@ludovicmjili84802 ай бұрын
Sinema zetu hakika ni za kwetu
@MwajumaLajab3 ай бұрын
Atatoka Ila si kwa halaka halaka halaka hivyo,Hadi amchukue aende nae kwake,na visomo viwe vingi sana
@AllyKipende3 ай бұрын
Jamani hakuna uislamu wa hivi nduguzangu huu ni ukiristo kabisaaa, nasikitika kuona wahubiri wetu wa kimataifa walohusika kusilimisha watu kina mazinge wanaona haya mambo alafu wanatetea
@AhmedMohamedMadaiMadai3 ай бұрын
Mimi jini hanikhanith mda wote huo hta sku moja dakika nyingi keshapotea
@mwamudmohamed55663 ай бұрын
jamani waislamu wenzetu tanzania msikubali watu hawa kutuharibia uislamu na munaangalia fanyeni jambo kukomesha watu hawa wa wachukuliwe hatua za kisheria kwa kutapeli watu....fanyeni jambo naana nyie ndio mko karibu
@hamismohamed354111 ай бұрын
Huyo jini angenipa Mimi kesho naenda kwenye interview na pale ni kizungu mwanzo mwisho
@Twahamwela-ch5lz11 ай бұрын
Hahah hahah
@BINOSEMBOGA0023 ай бұрын
Yaaani uyu dogo Kuna baadhi ya watu anawapanga wa comment ili ionekane yeye ni bora but kwa akili ndogo 2 hapa naona ni UTAPELI kwa ni English Gan wanaongea spoken tu. Kijana acha uvivu wa kulima ... tafuta rizki ya halal acha kudanganya watu
@MpembaHalisi3 ай бұрын
Hahahaaa!😂😂 Sijui ata uyu mzee wamemlipa kiasi gani kajitahudi kuigiza jamani pesa inatafutwa huyu wakimuita maka wanamnyonga
@musakibindo63453 ай бұрын
Mnamjua majini nyinyi? Wacheni sarakasi.😂😂😂 WATANZANIA HAPA PAPITE BAKORA MPAKA VICHWA VYA HAWA MATAPELI VIANZE KUFANYA KAZI.
@Hassanali-sq2dm3 ай бұрын
Ila shekh mazinge
@mohammadswaleh69003 ай бұрын
😂😂😂😂 Nice Comedy
@ramahkesh93603 ай бұрын
Innalillahi wainnailayhi rajiuun, unatapeli wajinga wasio jitambua😂 na uiogope siku utakayo itwa na Mola wako hali yakuwa umezama ktk shirki na dhurma😢
@AishaSaoud-m4i11 ай бұрын
😂😂😂😂😂Leo sharifu umeni furahisha wallah mtihani Duniani wallah
@ayubutwalbu65943 ай бұрын
Kwani shekhe kwanini unawadhalilisha watibu tu kwani lazima uwalekodi jamani huu sio uwslamu mue na hekma uwisilamu ni tabia njema
@Ajijji123 ай бұрын
Ukiskia kichekesho hicho kingereza au kimasai
@IliveforAllah3 ай бұрын
Omba basi vita vya huko Palestine vishe kama kweli . hutokua na jibu, acheni ujinga . Sharifu mwisho utasema mtume ww . Astaghfirullah . Mashehe wakiTanzania Sasa too much hii kazi Mnakula hongo tuuu na kupaisha wasanii . Mtakiona huko mbele
@kilogreek405011 ай бұрын
Mungu AKUBALIKI sheikh Firdaus ☝️☝️🤲🤲❤
@AbdulkarimMohamed-l3n3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 kubabake jini la kizungu Tena bongo hahahaha
@AhmedMohamedMadaiMadai3 ай бұрын
Huyo angenipata mimi angebadikisha lugha kumdhakilisha mzee wa watu tu
@MariamOmari-x4u3 ай бұрын
Sasa mbona sauti ya jini na mzee zinafann kila moja atalipwa alichokichuma sasa huyo mzee mbona anaongea kama jini tu na vituko ni hivyohivyo nyie furaieni tu lakini ipo siku mtakutana na mola wwnu
@nassirmasoud254511 ай бұрын
Acheni utapeli kwa jina la kutoa majini.eti jini kapanda anaongea kizungu..hi c ni vochekesho.ww shkh shariffche Mngu wako na utubie uyafanyao.urongo mtupu huo.
@omaryissa18213 ай бұрын
Tapeli
@SELEMANIAthumani-j5r2 ай бұрын
Nihatari sanajamani tujitahidi sana nahawa Watu😂😂😂😂😂😂😂😂