SHEIKH IZUDIN KUTOKA KENYA ASHANGAZWA NA TANZANIA TUNA MASHARIFU MASHEIKH WAHUNI KENYA HAKUNA HAYO

  Рет қаралды 9,818

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
Facebook: / mzeewakhidma
Instagram: / khidma_tv
Tiktok: / khidmatv1
KZbin: / @khidmaonlinetv350

Пікірлер: 35
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 2 ай бұрын
Allah akupeni Afya kuilinganiia na kuipigania dini Yarrab🤲mana tupo ktk mtihani wa kuzungukwa na vishekh njaa vijambazi hawana imani ila maslaha tuu
@siphifahashimu9723
@siphifahashimu9723 2 ай бұрын
❤❤❤❤Alhamdulillah
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 3 ай бұрын
Yaaani utapeli mpaka kwenye dini imani yetu Tanzania ni aibu tupu akijitokeza Shekh kuitetea imani baaasi inakuwa shughuli wanakurupuka huko mashekh njaaa na kumuona shekh msemakweli ni mbaya jamani hatari hata M/Mungu hatumuogopi tunaendeleza matumbo yetu tumrudieni Allah
@biashaomar2367
@biashaomar2367 2 ай бұрын
Masha Allah
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 2 ай бұрын
😂😂😂😂 kweli kabisaa sheikh wangu
@t.v.a.i.s.s6842
@t.v.a.i.s.s6842 3 ай бұрын
Ni kweli ma sheikhs wetu tanzania wanatia hadi huruma.. Yaaani kila msim, kunakua kuna tokea visanga tofauti katikati ya ma sheikh wetu.
@daudkindy5807
@daudkindy5807 2 ай бұрын
Mashekhe wengi Tanzania ni washirikina wanajificha kwenye kichaka cha Dua kumbe ni ushirikina
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 2 ай бұрын
Kweli kabisaa
@sharrifidris3422
@sharrifidris3422 2 ай бұрын
WaTz mmetoa wasanii wengi mpka kwenye dini 😂😂sio mapastors sio masheikh wengi wasanii na jambajamba nyingi😅
@Saggukhty3126
@Saggukhty3126 3 ай бұрын
Mara masharifu utaskia makarama watz wana mambo mengi sana😢
@DeBoy-oy2jg
@DeBoy-oy2jg 2 ай бұрын
Nimemuelewa sana Sheikh Hizudin,, Mifano mengi na nusu ya hii Darsa,( 99% ) amemlenga sana Sheikh Kishk
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 2 ай бұрын
Naam pia nimefaham anamsubirisha sheikh kishki yanayomkuta kwa vile anasema kweli,sjui nimepatia au laa
@Salma-cl7yb
@Salma-cl7yb 2 ай бұрын
Sikweli hajamlenga yeyote anachohimiza ni kuongea yalio ya muhimu kwenye dini yetu
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 3 ай бұрын
Kweli Tznia sana kumejaa mitapeli mijambazi tu wale shkh wa uhakika kidogo Allah awahifadhi, asilimia 80 ni wizi mitandaoni sijui ana karama sijui sharifu wote ni n wizi tu Allah awadhalilishe Yarrab
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx 2 ай бұрын
Tena wanadai hela nyingi hao mashekh
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 ай бұрын
Chezea Tz weweeee, maajabu yote ya dunia yapo huku
@otaibonny8835
@otaibonny8835 2 ай бұрын
Masheikh mahuni 😂😂😂😂
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 3 ай бұрын
Mashaallah 🙏🙏
@NanaHassan-s8x
@NanaHassan-s8x 2 ай бұрын
Wenzetu wametuzidi Wana kila kipaji 😂😂😂
@MaulidFakiKhamis
@MaulidFakiKhamis 3 ай бұрын
Ila tz hakuna masheikh kuna walanguzi wa madawa ya kulevya wanawake
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
😂😂 mijini.imemwagwaa wanadubili mashalifu wayatoe na. Mafuta namaji namganganyuoe anajiita shalifu
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Waeleze wajue.
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 3 ай бұрын
Wanajiita mashk wanajitia wao eti wanasoma dua ukienda kwa huyo shkh hajui chchte badae anakupeleka KW mganga kuku na kuvunja nazi waogopeni hao mashkh uchwara matapeli wizi tuu
@SinaHafidhi
@SinaHafidhi 3 ай бұрын
ALLAH awanusuru mashekhe matapeli
@uiavajiwgav5441
@uiavajiwgav5441 3 ай бұрын
Shekh kishki anapo sema huyo nisharifu feki haja kosea huto sharifu hana tiba zaki islamu kuna clep kwajina taka nimroge yatarabu ameshiriki apeana nazi na mafuta hiyo ndio dua wanao mtetea kina mazinge ogopeni mungu
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 3 ай бұрын
Huyo kishki mwenyewe hayuko perfect ana hasada kuna watu wanaopeleka wtt wao ktk school yake kama hujalipa ada mwezi anawafukuza wtt halafu yy anajifanya mkarimu ktk macho ya watu
@bashirumuniru
@bashirumuniru 3 ай бұрын
Hivi akili yako inachaji kweli yani unataka ufundishiwe watoto wako Bure
@MariamNkelame
@MariamNkelame 3 ай бұрын
Umemjibu vizur sna​@@bashirumuniru
@غريبالهدابي
@غريبالهدابي 3 ай бұрын
​@@saidalhinai1131ngoja asa nikuulize we kama shule zingine huwa usipo lipa mwez mmoja unafanyaje unakaa bure tu acha chuki mbwaa we mashule yote usipo lipa ada mwezi mmoja unasimamishwaaa mie mdg wang kasoma comecolleg ada tumeteleza mwezi mmoja kambiwa kuanzia kesho usije mpk mlipe hyo ni lzm we vp bhnaaa
@BuiKishkOnlineTv
@BuiKishkOnlineTv 2 ай бұрын
@@saidalhinai1131😅mi naomba unifahamishe HASAD ni nini kwanza, kisha nakuombea ALLAH akujaalie umiliki shule, ndo ujue walimu na wafanyakazi wote wa hapo huwa wanajitolea au wanataka Mishahara?, then nijibu kwanini walimu wa Madrasa huwa wanashindwa kuendelea kufundisha hasaaaa wakioa? NI WAZI WEW NDIO UNAHASAD na ndio maana ukaitaja ilhali huijui maana yake
@joezeno8
@joezeno8 3 ай бұрын
Sisi Wakristo tuna Mitume na Manabii 😂😂
@mamuamtoto
@mamuamtoto 3 ай бұрын
😂
@rahmamohammed9678
@rahmamohammed9678 2 ай бұрын
😂😂 SALALWAHU salamatal wali Afya yaa rabb 🤲🏾
@kiangurajason1183
@kiangurajason1183 2 ай бұрын
Please, don't drag us into their nonsense.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Reality behind Hardships - Shaykh Hamza Yusuf
10:29
Noor of Islam
Рет қаралды 1,1 М.
Epuka sana NZI kama wataka Ndoa yako idumu - Sheikh Izudin
18:01
Living a christlike life by Rev Sam Ithiga | Mamlaka Hill Chapel
45:56
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН