JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@GgFff-nb2wb19 күн бұрын
Niunge
@NasraSaid-m8r19 күн бұрын
Niunge
@nirfatyabdallah895119 күн бұрын
Niunge
@HafidhHafidh9619 күн бұрын
Tuna ishi tu ila tuna pitia mingi😢😢 poleni sana watazania wezetu😢😢
@MAPETEE19 күн бұрын
Ni unge na mm
@aishaissa251219 күн бұрын
Oman hakuna ujirani kila mtu anaishi kivyake hata ukiuliwa hakuna mtu atajua maisha ya uarabuni magumu mungu akuweke mahali pema😢🤲
@aaminaasljbgbvf74519 күн бұрын
Nchi ngumu hii nanzito sana kimaisha yawafanyakanzi
@FayzaSultan19 күн бұрын
Mm nashangaa snaa bora pasingekua na ubaloz hamna faida hata robo mateso yapo vilevile unyanyasaji upo roho inauma unaona mwenzako anabofanyiwa na kumsaidia huwez daah hakuna uislaam waullah 😢@@aaminaasljbgbvf745
@RahimaMct-ik8mr19 күн бұрын
Wana sema wote ni wamoja
@KuruthumBilali19 күн бұрын
Innalillah wainna ilàih rajiuna
@NEEMAKAMBA19 күн бұрын
Naam
@aishadakio723719 күн бұрын
Innalilah wainnailah rajuuni poleni sawa wafiwa tuliobaki mungu atulinde ktk upambanaji tukutane tena na familia zetu
@SikudhaniAdamu19 күн бұрын
Allahumma Amin 🤲
@AishaAisha-w1v19 күн бұрын
Ameen
@FarajaSijali18 күн бұрын
,🙏
@Asma-m1j17 күн бұрын
Aaamin
@KhadijaAli-y8t17 күн бұрын
Ameen
@lailati698019 күн бұрын
Allah Msamehe makosa yake mungu tuludishe salama na tupe mwisho mwema 😢😢😢😭😭😭😭😭
@KhamisBoss19 күн бұрын
Yaan Kaz hiz
@shabaniguma869619 күн бұрын
Amiin 🤲🏾
@HafidhHafidh9619 күн бұрын
Amiin😢😢
@asmahassan566119 күн бұрын
Ameen 😢
@mariamkibindo174118 күн бұрын
Amin Yarabbi Amin
@PiliRashidi-j2l19 күн бұрын
Mungu tulinde yarabi tuweze kurud salama Nchini kwetu salama
@aminamhina912913 күн бұрын
Amiina
@shadyahamad372411 күн бұрын
Amin amin amin ya rabby 😭
@nasrahassan734619 күн бұрын
Poleni sana wafiwa ndg jamaa mungu awatie nguvu hakika tumeumia mungu aturinde sote tuliobakia turud makwetu salama
@faudhiaayubu246319 күн бұрын
Allah atufanyie wepes turud nyumban Salama 😢
@TatoTato-t7s19 күн бұрын
Allha atupe mwisho mwema atuludishe makwetu Salama nampambanaji mwenzetu mungu ampe kauli thabity
@GdFf-ik2eo19 күн бұрын
Yaa rabb tujaalue mwisho mwema
@hamisaLbsi19 күн бұрын
Amiiin
@samiadominick19 күн бұрын
Amiin 🤲
@HalimaHalimaomary19 күн бұрын
Alaahum Amiiyn 🤲
@SikudhaniAdamu19 күн бұрын
Allah atuludishe Salam nyumbani kwetu amen Inshallah 🤲🤲
@anoldamkumba320819 күн бұрын
Huko Oman hakufai naona mabinti wengi wanapoteza maisha.Poleni sana familia
@Niget-us1np19 күн бұрын
Nina miaki 9 nipo omn huo Ni mtihan tu kwn yule mfanyakazi wa ndani alipigwa na boss akafa nini
@khadijahhussan18219 күн бұрын
@@Niget-us1np😢Duuh miaka9 kweli unachokitaka bado ujapata tu miaka yote iyo unafanya kazi tu
@salmamlokela198719 күн бұрын
Miaka 9 yote unafanya nini wewe dada huna watoto Ama kweli kuna watu wana nyota ya ushagala@@Niget-us1np
@NeemaJanga19 күн бұрын
Ishakuwa saudi oman tulikuwa tunasikia haya matukio mengi yakitokea saudia
@mwanaimaabdallah782519 күн бұрын
Naingia mwaka wa 14 sasa ila Allah akishaandika kifo hakina njia kabisaa ya kuzuia
@TaybaNassoro19 күн бұрын
Mungu atusaidie wapambanaji wote tuuliyopo nnchi za nnje ewe allah hatuna njia zaidi yako
@AbdallahBakari-qi6gr18 күн бұрын
Amiin
@DevotaSamsohn16 күн бұрын
Amiin
@Jamila-c7k19 күн бұрын
Pole sana baba aisee inauma sana yallab mpe makaazi mema mwenzetu mpambanaji, hapo Kuna kitu tu sio bure duh inauma sana,
@Aminah-i9p19 күн бұрын
Inasikitisha Sana,yaani serekali bila kusimamia haki zetu, tutaendelea kuumia nakupoteza maisha kila kukicha,turudishe salama nyumbani salama
@ElizabethNyabu-q1x19 күн бұрын
Hzi nchi Dah n noooma mm nikimalza contract wallah ctorud Yan n mateso2
@OmanOman-v2g19 күн бұрын
Safi sana dada zari nakupenda nakusikiliza vizur mungu akupe nguvu
@AsiaAa-w5m19 күн бұрын
Mungu akuzidishie umri na afya njema watumishi w global
@SsSa-r2r19 күн бұрын
Imeniuma sana jaman Allah atatoa ufumbuzi wakifo cha mpambanaji mwenzetu Allah tusaidie turudi makwetu salama
@MrsDariya-y1j19 күн бұрын
Ameen
@KH-on8pp19 күн бұрын
Ameandikiwa siku zake mola kamuita tumuombee mola amsamehe dhambi zake na zetu
@NEEMAKAMBA19 күн бұрын
Aamiin 🤲
@TsunnahJacob18 күн бұрын
Poleni sana dada zangu wapambanaji mlioamua kujipambania maisha yenu na familia zenu bila kujali mazingira.Nyie ni mashujaa wa kweli na mnastahili pongezi.Mungu awalinde popote mlipo na hatimaye mpate kurudi nyumbani salama in shaa llah.Pole kwa familia iliyompoteza binti yao,Mungu ampe kauli thabiti
@AishaOman-qz7tn18 күн бұрын
👏👏
@MonicaMkombwe18 күн бұрын
@@AishaOman-qz7tnAmeen🤲🧎
@AishaOman-qz7tn18 күн бұрын
@@MonicaMkombwe yani mpaka unaogopa mtu na haya mambo mungu atulinde sie
@MonicaMkombwe18 күн бұрын
@@AishaOman-qz7tn unajua Oman hapana matukio kabisa kipenzi ila nisisi wenyewe tabia za tz tunaleta uarabuni mwarabu bhna hapendi mazoea na wanaume zao na watoto wawo wakiume asa unakuta mtu unashoboka mpk unapiliza matokeo yake ndiyo haya ila hili watu hawalioni kazi kulaumu waarabu
@IsiahMosl18 күн бұрын
Shukran tunamuomba Allah atulnde turudi salama tuungane na familia zetu.
@Oman-s7f8u19 күн бұрын
Pole sana dugu najamaa kifo kimetugusa ote mungu ailaze roho yake peponi 🙏🙏🙏🙏🙏
@HadijaOman19 күн бұрын
Inauma sana Mungu msamehe mazambi yake Mungu atujalie kheri tuliokuja kupambana aturudishe salama kwetu
@Fathasssane-vs2th19 күн бұрын
Inalillah wainailah rajioun Allah Tupe mwisho mwema turud nyumban salam 😢😢😢ila jaman hawa watu ni mtihan jaman tunawatetea ila ni ngum kumeza 😢😢mwanamvua mwanamvua umetuacha na majozi wapambanaji wezako,2 kuna muhidi alifariki kwa kujinyoga hawakumtoa mpka police wakafika ndio wakamtoa police hawa ni WA mshezi wamemuuwa hapo hamna kitu,sisi tunaishi kwenye nyumba za bait mama ni mtihan maan huwa una maboss wengi sana na kila boss na tabia zao
@MaryamM-t5n18 күн бұрын
Kifo cha shujaa mwenzetu kinatatanisha😢😢mungu tusaidie tumalize mikataba yetu salama😭😭😭😭😭kinauma sanaaa mungu tutetee sisi😭😭😭😭
@DevotaSamsohn16 күн бұрын
Kwakweli 😭 tumepta pigo haki amungu inauma Sana mungu atusaidie jmniiiii 😭😭 uchunguzi ufanyike kwakweli sio haki
@AsiaAsia-sv6ok19 күн бұрын
SubhanAllah 😢😭💔inauma sana Mungu atusaidie sie wenye tunahitaji kwenda huko kutafuta maisha 😢
@aishaibrahim560719 күн бұрын
uyo kaka sele nae nikipele kilichoiva amna mtu apo🙌🙌🙌🙌🙌
@tedibakary589519 күн бұрын
Kwakweli 😢
@ZainabLol-wx7xf19 күн бұрын
Stupid
@Mohammed-v3i1u19 күн бұрын
Ni ajent awezi tetea mfanyakazi atapata wapi maboss
@MonicaMkombwe18 күн бұрын
Ila binaadamu mnakazi kweli hivi Kuna mtu anamsaada huku Oman kama seleman ? Ninani mwingine kama siyo sele ? Muulize tuliopata matatizo na sele akasimamia na tukarudi salama tz na tumerejea tena Oman acheni kuongea vitu msivyo kuwa na uhakika navyo
@aishaibrahim560718 күн бұрын
@MonicaMkombwe kama umefanyiwa ivyo si wewe unatulazisha kusifia tusichopata?kilamtu anaongelea yaliyomkuta comment yakwako nasiokukosoa yawenzako we vp
@MaimonaRajebo19 күн бұрын
Innalilah wainna ilayhi rajiuni mbele yake nyuma ALLAH atujalie mwisho mwema
@aishaissa251219 күн бұрын
Serikali yao inawapendelea hakuna kitakacho onekana hapo mungu awaumbue kama kuna ubaya walofanya🤲
@Fahema1013Alsenaid19 күн бұрын
Allahuma Amiin
@zahraabdul965211 күн бұрын
Amen 😢😢
@FatrishaAyoub10 күн бұрын
Hawa huwa wanapewa hongo huko wanatetea tu😏😏😏
@NadyaShadrack19 күн бұрын
Mtangaxaji umeongea point lzma ubalozi uwakilishe.kabisa wanatukosea sana ubalozi wa oman😊
@salhaidowa743319 күн бұрын
Ubalozi wanapenda rushwa ndo maana waarabu wanatuuwa
@aishaibrahim560719 күн бұрын
kwanza ukishachukuliwa namabos wako ukiwa nashida hata hawakujibu ata ukisalimia hawajibu
@sygtamks164319 күн бұрын
Sahihi@@salhaidowa7433
@Mohammedyasia19 күн бұрын
Yaan ubaloz watakiwa washughulikie apimwe tujue ukwel yaan Mm inaniuma jmn nchi hz ni ngumu sn yatakiwa kuvumilia kbsa kwasababu hawa watu hawana huruma kbsa na wafanyakazi ni unafiq tu yaan tuishi nao kinafqi Innalillahi wainna ilaihi rajiuun
@salhaidowa743319 күн бұрын
@@aishaibrahim5607 hahahhaha in short sisi na mungu wetu tu huo ubalozi na waarabu lao moja maana naona hata uyo suleymani ana tetea waarabu
@NeemaJanga19 күн бұрын
Poleni ndugu zetu inauma sana tumempoteza mpambanaji mwenzetu
@DevotaSamsohn16 күн бұрын
imeniuma jmniiiii 😭😭😭😭 Yani natamani hta mazishi ya mpambanaji mwenzetu 😭 ningehuzulia
@OnlyRuky19 күн бұрын
Tatizo la Zai kila siku anarudia makosa anapenda kuweka emotions before Kupata uhakika wa habari 💯 alafu tabia mbaya SANA unamkatiza huyo mzee kuongea kisa katoa maoni yake usiyoyakubali( like yr Son)😮 why ulimuita hapo studio? Km haupo tayari kupokea mawazo ya mgeni? Umesha ambiwa subiri habari rasmini why unagomba after kuambiwa zaweza kuwa habari za mitaani yaani like unamsuta mgeni? Are seriously 😮 Inalilahi Wainailahi Rajeehun Poleni saana wafiwa Allah awape subra
@saleemadhiyabalkhatri780019 күн бұрын
Kabisa
@aishaibrahim560719 күн бұрын
zary apendi kukosolewa afu achelewi kukasirika anapenda yeye awe nasaut kuliko wengne sijui anashida gn
@FatumaJumanne-p4d19 күн бұрын
Walkuja huku wakahoj upuuz wakaondoka yaan walhoj wa2 waliofankwa na wapo maofcn 😢.
@AbubakarAbasi-z8z19 күн бұрын
Hamna nyinyi hamjui labda,,,,, kunataswira ambayo mie naiyona kwa mzee huyo wa omani kunakutetea fulani waomani wenzie kwani anajua wanamuangalia vp awaangushe sasa zari kashtukia hilo
@aishaibrahim560719 күн бұрын
@AbubakarAbasi-z8z nikwer ila pia zar we mchunguze kwenye video zke utagundua ni mtu wa aina gn
@AishaOman-qz7tn18 күн бұрын
😢😢😢 Mungu atusaidie sana tuliopo nje ya nchi yetu
@mshello423119 күн бұрын
Mimi npo pmj na zali, seleyman anazingua, na hao ndio maajent wetu jmn mjionee wenyewe wanavyotudidimiza😢😢
@doriztanza899818 күн бұрын
Poleni sana kwamsiba huu mzito mwenyezi mungu aenderee kutulinda masna pekeetu sisi atuwezi
@lisawilliam249119 күн бұрын
heeeh mungu ! hii dunia tunaishi inameng sn! icho kifo kina utata sn! mungu akawape faraja family
@Aminah-r4s18 күн бұрын
Allah amsamehe makosa yake na aturudishe salama salimini InshaAllah 🤲😭😭😭😭
@FaudhiaRajabu-u8p18 күн бұрын
kiufupi huku oman mfanyakazi WA ndani hauna samani ni huo umaskini tu unatufanya tuzidi kupambana huku mungu atutie nguvu inshaalah
@PendoMaloda19 күн бұрын
Daaah mama Samia tupia jicho huku😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@athumanisinga712812 күн бұрын
Atupie machoo kweli jmn daaah 😢😢😢😢
@JasiminJasimin-i5l19 күн бұрын
Inauma sana kiukweli mungu tusaidie sana wapambanaji turudi nyumbani salama 😭😭😭😭😭😭😭
@MerryRenatus-ck4lz19 күн бұрын
Amiin inshaalaah
@piliramadan87519 күн бұрын
Mwenyezi mungu awape subra wafiwa
@ScalaAal-vu4pq19 күн бұрын
Mungu nisaidie hata mim sielewani vizur na watoto wa madam wangu naninamiez kumi Oman
@aishafrancis771419 күн бұрын
Pole Mungu akupe subra🤲
@lailati698019 күн бұрын
Pole sana sehemu ukiona sio mzuri bora utafute utaratibu
@lailati698019 күн бұрын
Hinauma sana
@SikudhaniAdamu19 күн бұрын
Mungu naomba utulinde na Kila shari za Kila aina na atuludishe kwenye familia zetu tukiwa na uhai na uzima allahumma Amin 🤲
@zuberiismail297219 күн бұрын
Kwani hamna ubalozi wa tz huko?
@Mahfudha19 күн бұрын
Pole Kurusum Alla ataleta haki na kama hamkuipata hapa basi kuweni na subra atakulipieni Akhera
@aishaa293019 күн бұрын
Mimi huyu ajent nampenda sana anasaidia sana
@herenaa1tann86718 күн бұрын
Huyo boss achukuliwa sheria kabisa
@RabiaSaid-sh1km19 күн бұрын
Innalillah wainna ilaihi rajighun Allah atupe mwisho mwema atusameh waja wake na atufishe salama usalimin turudi kwetu tukiwa wazima wa afya😢😢😢😢
@Fatmashilinde-nu4fj19 күн бұрын
uhakika ufahamu ndio inatakiwa kuelimishwa 🙏🙏🙏🙏🙏shukurani sana Abdullah
@rayahamisi11819 күн бұрын
Ingekuwa mtoto warabu apo wangesimamia kucha😢😢😢
@SharifAbdallah-bu9hm18 күн бұрын
Yanii Achatu
@nasrahassan734619 күн бұрын
Allah akupe kauli thabit mpambanaji mwezetu pole sana
Mungu wew ndiye anayejua turudishe salama makwetu,
@AfricaQueen19 күн бұрын
Hilo shimo utakuta ndipo wanauwa watu Na uchunguzi ufanye hilo shimo ni shimo la kuua watu🤔😭😭😭
@aminaali79219 күн бұрын
Subhanah Allah mpaka malaika yananisimama Allah awafanyie wepesi familia yake🤲🏽🥹
@monirangerera715519 күн бұрын
Sahihi kabisa
@mamialsawafi802018 күн бұрын
@@AfricaQueen kwahiyo umeshatia saini shimo la mauwaji ukiitwa ukatoe ushahidi utaenda?unakunya tu hapa nenda kawaambie polisi km ww hodari wakuropoka mengine muwaachie ubalozi ukweli utajulikana lkn midomo hiyo kiherehere loooh
@AfricaQueen18 күн бұрын
@ nyamaza kimya shetani kama hao wengine freedom speech 🤔🫵🏽wacha kubabakia waarabu pumbavu wewe Unajua kuchampa umenipata nyau wewe mtajua hilo shimo la kuua watu mbona unawatetea nyambavu wewe . Watanzania sio wajinga mtajua hamjui Tunataka kujua hilo shimo mmetumbukiza wangapi🫵🏽😏
@mamialsawafi802018 күн бұрын
@@AfricaQueen sijibizani napunguani naukweli ukijulikana mtashushuka makauzu hao warabu ndio wanaekupeni mlo km wabaya mnakuja kufanya nn huko kwenu mnachinjana kweupe kila siku mpk wtt mnauwa bado hamyaoni na watu wa Oman wangapi wameuliwa Tz hotel mbona hamjayasema na ubalozi wa Oman haukuyakuza na wamezikwa huko natujuwa wametiliwa sumu kisa pesa zao acheni tamaa ndio mana mnaumbuka dhulma nyie
@MariaBwarwa17 күн бұрын
Poleni sàna baba mzazi na mama mzazi, na sis site tulioko uku kwenye nchi za watu mungu tulinde Inauma sana😭😭😭😭😭
@SalmaZuber-h5z19 күн бұрын
Hapo ingekua mtt wa mwarabu kaachiwa mfanyakazi akatumbukia shimoni basi angenyongwa au angechinjwa😢😢😢😢
@saleemadhiyabalkhatri780019 күн бұрын
Wewe nae unasema tu huku kunasheria yy kilimtumq nini kwenda huko ebu acheni uzushi mshaambiwa kaeni makwenu mmengangania tu nchizawatu acheni kuropoka ovyo
@RitbayRitbay19 күн бұрын
Aje atumbukizie bila sababu unakua wap ww
@sarahrashidabdallah310919 күн бұрын
Saingine nyamazeni tuu sio hao watoto Wa huku watu wazima wanatoa machoz kuhusu hao watoto @@RitbayRitbay
Kabisaa umeongea point mm nakuunga mkono ingekua jini la kiarabu hapo ndio limekufa mana sio watoto ni majini
@ZaituniOmary-k2l19 күн бұрын
Itakua wamemuuwa kwanza mtu sehem kama uingiagi uwezi kwenda wametuulia mpambanaji mwenzetu mwenyez mungu Ata waukumu inshallah 😢😢
@deborahamisi929419 күн бұрын
Jamani wamemuua mungu awalaani sana walio mfanyia unyama uyo dada😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@zuweinaalhabsya877319 күн бұрын
Atakulaan wewe kwanza. Unaesema kitu bila kuhakikisha
@PendoThomas-jz6cp17 күн бұрын
Poleni sana familia 🙏🙏
@aishafrancis771419 күн бұрын
Mungu tusaidie tumalize salama mikataba yetu turudi salama makwetu.🤲
@leilasalim-200917 күн бұрын
Amin
@Fatima1234-wl1nu19 күн бұрын
funga kazi bahna unasoma km umeishia la nne la ukoloni khaaa jamani 🙌 ALLAH ampe kauli thabit mwana mvua
@shamzone38819 күн бұрын
Pongezi sana kaka abdallah wa japan umetueleza vizuri sana upo vizur sana kwa kutuelewesha
@timesaid550419 күн бұрын
Innalilahi wainnailaihi rajiun Allah amlaze pahalapema peponi dadayetu nass allah atupe khatima njema inshaallah
@HusnaSalum-p1q19 күн бұрын
Inaumiza sana 😭😭😭😭 Allah amsamehe makosa yake lakini tukirudi kwa Allah kufa ni lazima Allah Allah atunusuru jamani hawa watu siyo japo siyo wote wakiamua dakika 1wanaweza kukufanyia kitu
@racheljoseph940219 күн бұрын
😭😭😭😭 hiki kifo kina utata aseee inaumaaaa sana hiz chemba tu ukiziona mpk mt kudumbukia ni ngum Ila tu Allah amsamehe makosa yake sisi sote njia yetu ni mojaa
@ZamdaAli19 күн бұрын
Mungu Ampe kauli sabiti mwenzetu mbele yake nyuma yetu mungu aturudishe salam.watu wote tuliyokuja.kutafuta maisha
@AnastaziaCrispo12 күн бұрын
Na wewe upo huko
@HgGg-i6l19 күн бұрын
Inaumiza sana kihukwe mungu hawalinde mliompo glg
@nourannouuran351419 күн бұрын
Masaa 2 bila kuonana sio point mbona watu wanakuwa busy hata amelala au ubize,lakin utata ni mwingi,kwenye kifo,ALLAH TUHIFADH
@aishaibrahim560719 күн бұрын
ni point ndgu yngu maana huo muda ulikuwa muda wakupika nasio wakulala maana kulala unaanzia sa8
@Zahara-or3cf19 күн бұрын
Mie hatuonani na bosi hadi masaa5 mimi nipo jikoni bosi chumbani hatuonani
@aishaibrahim560719 күн бұрын
@Zahara-or3cf inategemea lkn ndo asikwite kbs atakukutuma waarabu hawa
@hakikahoman61519 күн бұрын
@@aishaibrahim5607kabisa iyo mida ni jikon wa wakae masaa yot mpk muda wakula sio kweli
@salhkiyagi18 күн бұрын
Haaa me Kuna siku sikuamka asubuh hadi saa Tano ndo nikatoka nnje lakn hakuna hata dalili ya kuuliziwa Sasa masaa mawili kwa mwarabu ayo madogo San
@SamouOman18 күн бұрын
Mungu atulinde jaman huku tulipo dah mungu akulaze mahala pema dada angu
@HbbMkhl19 күн бұрын
Innallah wa innallah rajiun Allah ampunguzie azabu za kaburi watanzania tupaze sauti hapo angekua mtoto wa mwarabu kufanyiwa ivo wangemuua hiisio haki tupaze sauti allah tenda hakikwa hili😭😭😭
@AsiaAa-w5m19 күн бұрын
Helen mwenyezimungu ajudumishe dada update pepo yako ya dunia na Akhera Ammeen
@zepinashatibu514919 күн бұрын
Asizikwe Oman wamrudishe Tanzania watatuekeza kilicho mpata hilo shimo linaurefu gani 😢jaman mkiona sehemu mbaya torokeni tusipeane moyo wakutoana uhai
@ShufaaabubakariOmary14 күн бұрын
Ni kweli ukiona sehemu unateseka huna amani toroka mpk ubalozini ukakae pale mpaka urudi tanzania bora urudi ata kam huna mia mbovu
@KhadijaSalim-b8q19 күн бұрын
Huyo kauliwa hakuna mjadala
@MiriamKhalid-z6o19 күн бұрын
Kauwawa huyu walihy MWENYEWE MUNGU atawalipia
@RitbayRitbay19 күн бұрын
Una uhakika unachokisema ww unadhani huku sheria ni za afrika kma mtu auliwe tu jamani hizi nchi zinasheria zke wala hawana kutetea sababu muarab ukienda uko jela waarabu wamejaa tele tena madam na watu wenye kazi zao kubwa na wapo jela itakua mtu wa kawaida tu wa nchi
@AlHamra-k4u19 күн бұрын
@@MiriamKhalid-z6ommmmmh hako kashimo mbona kanaleta sitofahamu. Mmmmh Kuna kitu
@Fathasssane-vs2th19 күн бұрын
@@RitbayRitbaywanajisifu sana waarabu wanasema tutawauwa,tutawapiga,tutawachinja,na hamuezi kutufanya chochote tupo inch yetu
@MiriamKhalid-z6o19 күн бұрын
@@Fathasssane-vs2thkama kuwawa ni wengi xn sema hajawahi kufuatia labda unakumbuka yule wa Uganda alitolewa figo na kuwa kilema?
@Oman-t7q19 күн бұрын
Poleni sana ndugu na jamaa mwezi mungu atulinde wamba aji wote inauma sana😭😭😭😭😭😭😭😭
@MagrethDally19 күн бұрын
Nyie hamuon langi moja uyo baba anatetea warabu dah apo mtoto wao unanyongwa jmn mungu tupe mwisho mwema
Acha tu nilikaa masaa matano chooni mlango ulikuwa mbovu yani ulijilock adi walipoamka wakaona hawanioni ndo wakaja chumbani kwangu wakanikuta choon na bado mlango ujatengenezwa hpa najilinda mwenyewe
@RitbayRitbay19 күн бұрын
@@salmamlokela1987 mm sna mambo kutia loki milango kabisa hta nikiwa wap
@NeemaMwita-g1j18 күн бұрын
Mimi wakwangu dakika mmoja tu ananitafuta ila wangu anawasiwasi nitamchukulia mume@@salmamlokela1987
@vero5719 күн бұрын
Hao watu kwanini wanakua na vyumba ambavyo havifunguliwi??????poleni sana wafiwa
@FayzaSultan19 күн бұрын
Ukifa Oman sio kifo kilichopangwa na Mungu amini ivo waullah wabillahi huku vifo wanavitengeneza wenyewe na sio mungu waullah
@TumaZenji19 күн бұрын
Nimekupenda Baba
@MsFadhila19 күн бұрын
Mungu atujaalie turudi kwetu salama ughaibuni baadhi ya watu wanateswa sana ila mungu tujaalie Allah tunakuomba turudi salama
@SikudhaniAdamu19 күн бұрын
Allahumma Amin thuma amin 🤲🤲
@AishaMtumwa-y9r18 күн бұрын
Huyo sleman naye ndio haohao
@omanquine377018 күн бұрын
😢😢😢Inaumaa mnoo allah ajibu Hili dam ni nzito kuliko maji mm naomba ubalozi ukazie hili
@KhadijaAhmada-vl3hs19 күн бұрын
Waarabu watu wabaya sana tunaishi nao tu kwa njaa ,mimi wangu kuna siku mlango wangu wa chooni kitasa changu ni kibovu mlango ukajikomea na mlango wa nje nilikua nimefunga basi alinijibu hawezi vunja mlango wa maana kitasa chake ni kipya heri nifie uko uko chooni .kama si watoto wake kuwepo ningekufa maana dirisha la chooni lilikua halifunguki nusu nipoteze maisha
@NeemaJanga19 күн бұрын
Pole sana Dada
@ZaituniOmary-k2l19 күн бұрын
Pole Sana ndugu yetu
@يونسيتنزانيا19 күн бұрын
Pole sana familiy
@SashaRamadhani-uu1wv19 күн бұрын
Pole sana ndugu
@KhadijaAhmada-vl3hs18 күн бұрын
@ZaituniOmary-k2l asnte
@SAa-c9i17 күн бұрын
Jmn mimi ombi langu kwa mama samia atufungie watanzania tucje Omani na cc tulioko huku turudishwe sote
@Salamajamshi19 күн бұрын
mama samia ongea na serikal ya wajomba zako wanatumaliza 😢😢😢😢😢 ss ni watafuta ridhki kwann tuuwawe ss 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@HusnaMohamed-u3f19 күн бұрын
Point
@Nailaty56419 күн бұрын
Tuombe mungu 2025 tupate rais wa kutujali huyu mama si chochote
@ElizabethNyabu-q1x19 күн бұрын
Mama NAE hana msaada wallah
@FayzaSultan19 күн бұрын
Kabisaa hawa watu wanauwa watu sana sana sana na hamna wa kuwafanya kitu chochote watu wanakufa na sio kwa bahati mbaya waullah mm roho yangu yaniuma mno na ata ukipaza sauti huku hakuna wa kukusikiliza waullah daah ivi mungu una Miadi gani na hawa watu tujue mana kama wao ndio wenye haki pia tujue basi mana wanamambo mengi ya ajabu ajabu na mengi mno na yanaushahidi kabisa wa wazi wazi na bado wanasema wao hata wasipofanya ibada wanaenda peponi mmh eee mungu kuna nini Kati ya hawa watu kwanini wao tuu ndio watenda machafu yaliokithir na cha ajabu hakuna hatua daah haya
@GatekaFatma19 күн бұрын
@@Salamajamshi Nimecheka km mazuri Eti wajomba zako😀Wallah ss Watatumaliza haki
@RahmaAlly9115 күн бұрын
Daaah kumbe kweli jmn ana watoto wawili wote wakiume😢😢
@AminaLibisa19 күн бұрын
Kikubwa kufanya kazi kwa malengo waarabu sio watu wazur ukiendekeza shida ni hatari sana ata kiafya pia ni tatizo
@Mammymuhamed16 күн бұрын
Unakosea sana hakuna binaadamu mkamilifu na ubaya hauna kwao, Wala kabila. Hapa kwetu Tanzania wabaya wapo pia. Timezoea akikosea mtu mmoja kuwaona wote ni sawa sawa. Kuna watu nawajua wapo huko miaka na miaka wanakwenda wakirudi. Kubwa ni kuomba Mungu kwa Kila jambo limpatalo mwenzetu. Allah amfanyie wepesi ukweli ujulikane. Kwa sababu tu hapo duniani kwa Allah.
@AminaLibisa16 күн бұрын
Haujanielewa nilicho maanisha ao wanao fanya kazi miaka Kwa miaka wamesha zoea utumwa nimefanya kazi Tz na nje ya nchi hanidanganyi mtu waarabu nawajua vilivyo tena Bora uteseke kwenye nchi yako unaweza saidika Kwa araka kuliko ao unao watetea tena kama haujui lugha ndo kabisa pole kama imekuchoma😆😆👈
@Mammymuhamed15 күн бұрын
@@AminaLibisa Nimekuelewa uzuri sana , utumwa uliokwenda kuutafuta mwenyewe, nimekwambia hakuna binaadamu mkamilifu, yaliopo huko na huku ndio haya haya, kwani hapa watu ni wabaya kama ulivyo sema waarabu wote. Na wewe pole sana kwa kukuumiza . Hizi ni nafsi . Kilakiumbe kinafsi yake. Ukimuona mwenzio mbaya na mwingine humuona mazuri, kwa sababu huwezi pendenza kwa wote. Hii Dunia ajuaye zaidi ni Allah. Allah atupe mwisho mwema , kwa sababu ya kutokujielewa kufanyia ubaya mwenzio.
@AminaLibisa15 күн бұрын
Huna lolote 😀
@AminaLibisa15 күн бұрын
Sema Sina mda wa kubishwna na watu mtandaoni umejileta mwenyewe Kwa heri 😀🤪🤪au na wewe upo uko
@FatmaMohammedAliphan17 күн бұрын
Huku Oman ni shida bc to tunapitia mangum saana nahakuna msaada at ulalamike vp 😢😢😢😢🙌🙌 mwenyezi mungu atuwekee wepec
@MiriamKhalid-z6o19 күн бұрын
Warabu ni washenzi xn MWENYEWE MUNGU tulindie ndugu zetu wanaotafuta riski kwenye family zao🙏
@NeemaJanga19 күн бұрын
Amen
@UserOnline-c4f17 күн бұрын
Amn
@HusnaSaid-t4j18 күн бұрын
Huku kwa ghalif m2 akirudi salama Tanzania walah inabidi ufanye na dua ya kuchinja 😢😢maana wa2 2napitia magumu sana
@Aminahlamranl420-hw2ie19 күн бұрын
Innalillah wainna illah rajioun, 😢.najiuliza hawa watu walivyo na kinyaa walimtoaje kwenye shimo la maji taka
@FatumaJumanne-p4d19 күн бұрын
😢
@ZeyanaKhamismashaka19 күн бұрын
Inaumiza cnaa tena cnaa unaenda kutafuta maisha unarudi maiti eee we mola wtu tujalie tulioko hku turud nyumbni salmaa watu wa omn hawna ujirani wla nini kila mtu na jambo lake Ila uyoo baba hatowi ushirikiano mzur jman inaumiza 😢😢😢😢😭😭
@AminaLibisa19 күн бұрын
Kuna watu wanawatetea waarabu duuh utumwa shikamoo 😢😢😢
@Fahema1013Alsenaid19 күн бұрын
Marhaba kwa niaba yao🥹🥹
@salmamlokela198719 күн бұрын
@@Fahema1013Alsenaid😅😅
@AminaLibisa19 күн бұрын
Mjitasmini Kisha mchukue atua 😂😂😂
@AishaIsmaily-p5f19 күн бұрын
Yarabi tupe mwisho mwema napole kwa family ya mwamvua ndugu yetu katuacha wabambanaji wenzie pumzika kwaamani pele yako nyuma yetu😢😢😢😢
@ArRahman-ih1pi19 күн бұрын
Mungu ndo mwenye kujua wallah Allah atupe mwisho mwema kwenye Kazi zetu na nchi za watu 😥 mungu amsamehe makosa yk 🤲🤲🤲
@FatumaMuya-w5h19 күн бұрын
Amiin Allahumma Amiin
@rahmamct19 күн бұрын
Amina
@MWANAHAMISIOTTO14 күн бұрын
Huyu dada niwatqnga sehem gan?
@AishHassan-p8l19 күн бұрын
Hawa madam zetu hawawezi kukaa masaa mawili bila ya kumuona mfanya kazi wao hilo tukio tuna mashaka nalo Ila Allah ndo anaejua zaidi ikiwa wamemzurumu mfanyakazi mwenzangu inatuuma sana
@athumanisinga712812 күн бұрын
Hii ni kweli kabisa wakikupa masaa 2 ya kulala huwa hazidii hata dakika kumi
@aminamrimi732319 күн бұрын
😭😭💔So sad Unarud nyumban ukiwa umenyamaza😭😭😭😫
@Ayuminchasi19 күн бұрын
Wamemuua ndoo maana hawataki watu waende kumuona wameuaa hawa waraabu roho zao anazijua mungu alowaumba
@hakikahoman61519 күн бұрын
nakubariana na we sababu kwa nin wakatae watu wasiend
@Ayuminchasi19 күн бұрын
@hakikahoman615 na wakisema eti kadubukia kwenye chemba ni uongo chemba zilivyo ni fupi mno na hazikai na maji na hata ukikanyanga ule mfuniko huwezi ingia ndan maana ni imara mno hakuna mwarabu ana mazingira mabovu kiasi hicho kwa sababu wao wana watoto na watoto hawasikiagi so hawawezi acha mashimo wazi
@Ayuminchasi19 күн бұрын
Labda wangesema kisima cha maji na sio chemba
@rayahamisi11819 күн бұрын
Sele anazalau wafanya kazi lkn ndio wanamueja mjini kamdomo😊😊😊
@FatmaHamad-g6s19 күн бұрын
Halafu kuna mtu amekaa tu Tz anaomba pesa kumbe watu tunarzk maisha
@NeemaJumanne-h5d17 күн бұрын
Akiomba usimpe sio lazima 😂
@bekajoo182513 күн бұрын
Habari,,jamii ,kwanza mungu amuifazi dada yetu uko inchi ,Omani ,mimi niko Dubai na maisha ya dubai na oman yanashea ,,kwa iyoo ,kwanza kuna kitu zalau pili nyumba nyingi zinakamera,,tatu police namba zao ziko wazi kuliko kitu chochote ,,ira bosi aojiwe vema kuna nini ndani yake ,,,,,,😢😢😢
@JamilaMoosa-y2m19 күн бұрын
Inauma sana walahi mtanga mwenzetu mpaka tuliobaki huku tunakua na sinto fahamu
@FatrishaAyoub11 күн бұрын
Labda alikuwa hajafa BD masikini Hawa mabosi jmn Allah atujaalie Na atulinde na kila mabalaa🙏🙏
@Salamajamshi19 күн бұрын
tunaiyomba serikal ya tanzania iwe inasimamia kesi kama hizi tunaumia sn😢😢😢
@Ayuminchasi19 күн бұрын
Kma yule mfiliphino serikali yake ilivyokuwa kidedea
@MwasitiMatari19 күн бұрын
serekali ya tz is isimamie oman wakipew kahawa wanywe maesapu yameish
@Ayuminchasi19 күн бұрын
@MwasitiMatari kwanza kwa Tanzania serikali ipi itasimamia kwa mfano
@MwasitiMatari19 күн бұрын
@Ayuminchasi inauma sana
@Ayuminchasi19 күн бұрын
@MwasitiMatari mm niliwahi ambiwa nitakuchoka kisu na mmama mwenye nyumba mm nikamwambia mtoto wake wa kike juu ya mama yake wakaniomba sana niendelee kufanya kazi nilikataa nikamwambia mm siwezi kuishi na huyu mama yako bac yule dada akanielewa maana niliongea kwa hasira hakuamin alinitafutia kazi kwa mtu mwingine nikaondoka
@UmayyaMunisi15 күн бұрын
Dah wallah 😢mtihani Allah atulinde huku na hawa watu uwiii Inna lillahi wainna ilayhi rajiun 😢😭😭😭😭😭
@umranim585419 күн бұрын
Zari hujui sheria za huku ndio maana humuamini subiri upewe habari na ubalozi