MTANZANIA ALIYEOLEWA OMANI ASIMULIA ILIVYOBAKI KIDOGO APITE na MUME wa MTU - AKAACHA KAZI SIKU ya 19

  Рет қаралды 16,055

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MTANZANIA ALIYEOLEWA OMANI ASIMULIA ILIVYOBAKI KIDOGO APITE na MUME wa MTU - AKAACHA KAZI SIKU ya 19
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 175
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@ummohamed4404
@ummohamed4404 5 ай бұрын
حسبنا الله ونعم الوكيل
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 5 ай бұрын
Nasubir sehemu ya 5 mpenzi wanyoooshe hivyo vijibwa vinavyokuchukia❤❤❤❤ GABRIEL 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 5 ай бұрын
Hasbillahu wanemal wakeel wewe muongo sasa wewe malaya tu hukuja kwa kazi😢😢😢
@mamasalhat
@mamasalhat 5 ай бұрын
Ulivyo Anza hayo maneno nikazani MTU mstarabu kumbe mwehu kabisa inakuaje muambie Malaya je Kalala na Baba yako au mume wako Acha kumtukana anasimulia yalio mkuta ebu kajambe huko
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 5 ай бұрын
@@mamasalhat na mamangu sio mstaarabu uliona hata ukajibu siwezi kubishana na wewe sikuzozea nyie kila kitu mwaamini wangekuwa wapata tabu wangekuja astghfirullah fikirieni matusi ndio mwapenda mungu mkubwa mtaona
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 5 ай бұрын
@@mamasalhat na usimtaje mamangu au babanhu laanatullah
@mamasalhat
@mamasalhat 4 ай бұрын
@@fatmasalim8293 na ulitumwa umtumane mwezako hapo si umemuambia Malaya nikakuuliza Kalala na mumeo au Baba yako?? Acha kuwazarau wezako kama wewe umekamilika usivamie wezako kuwaita Malaya yeye kasimulia maelezo yake je lazima ww kuja na mada ya kumuita Malaya?? Ukome wewe Kwanza kuvamia watu
@faumarley5707
@faumarley5707 3 ай бұрын
Malaya wwe tena malaya mpofu usoona wala kuskia wwe
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 5 ай бұрын
Iyo ya ubalozi nakuunga mkono
@chikujuma18
@chikujuma18 5 ай бұрын
Wewe dada usione unafurahisha walimwengu umetuchosha usione kuhojiwa ndo kipaji unajiabisha mtandaon tena fanya yako siokusema uaraban kunamateso sio kila bos anaroho mbaya mm kama mm ninaamani zote kwenye nyumba yangu nina miaka mitano sasa ❤❤❤❤
@liljammacha7806
@liljammacha7806 5 ай бұрын
Na yy hajasema zote hembu muelewe
@saay4273
@saay4273 5 ай бұрын
Kawaida ya mijitu isiyo elewa ndio maaana mnakommenti ujingaa msikilizage kwanza ndio mkoment
@ZulfaZulfa-yr7nd
@ZulfaZulfa-yr7nd 5 ай бұрын
Naomba nitafute nimekopa namba zangu nimekupenda Bure sere Bado yupo ubaroz
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Nikweli kabisa ubalozi wa Tz Omani wabadiliswe wajewengine woote wazamaniwatolewe waletwe wafanyakaxi wapya hawawalokuwepo wanajikuta sana wanajiona wao wamefika. Wananyodo rohombaya unaweza upigwe makofi mbeleya nawanaonakawaidatu.kiufupi hawatusamini wa Tanzania .tunaofanyakaxihuku Oman.
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 5 ай бұрын
Sana Sana kipenz 😘
@hanifasilimakona
@hanifasilimakona 4 ай бұрын
Mm nimepata shida nimetuma msg toka tarehe 18 wamenijibu jana 😢km ndioengekuw kufa nishazikwa tena wananambia njoo na nauli yako hatunavyakutusaidia hata sikujuw na sijapata msaada mpk saiv allah anifanyie wepes😢😢
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 ай бұрын
@@hanifasilimakona Pole sana uposehem gani my. Haowatu wa ubalozi ni mtihani hawasaidiimtu mm nilikuananamba.zao nimezifuta sioni faidayake kabisa.
@hanifasilimakona
@hanifasilimakona 4 ай бұрын
@@HanifaOman-oo4pl nipo rutaq
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 ай бұрын
@@hanifasilimakona Duu kijijini huko. Kama unaendea hizki au nixwa. Sasa ww chukua gali uje mwenyewe Embasi. Gali lakuchangia ukichukua.tax.pekeyako pesanyungi hukombali na embass ya Tz.hipo madinat.kabus halkubra. Ujesikuya.jumaanne aujumaatano ukienda sikuzingine.usikioizwe naufunguliwi geti utakaanje mpakasikuhixombili. Mtihani Pole sana
@sygtamks1643
@sygtamks1643 Ай бұрын
Da zanini nakukubali❤
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 5 ай бұрын
Huyu asiletwe nchi yoyote ni mtu mbaya sana
@saay4273
@saay4273 5 ай бұрын
Kawaida ya mtu mbaya lazima aone watu wote ni wabaya fyuuuuu
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 4 ай бұрын
Huyu namjua haja olewa alikuwa akifanya deiwaka bosi wa lisha shindwana na namba zake ninayo nakina silitaji 😂😂
@faumarley5707
@faumarley5707 3 ай бұрын
​@@زيتونتنزانياumjui tulia kama una nyolewa
@salmafrancis6689
@salmafrancis6689 5 ай бұрын
Sema sema udugu wangu ❤❤
@lailahumaid2011
@lailahumaid2011 5 ай бұрын
Lazima ufanye kazi umeletwa kufanya kazi na ujue boss wamelipa pesa nyingi kuwaleta mwenye kuja kufanya kazi anae kuja kufanya siyo kudanga
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 5 ай бұрын
Kweli kabisa maneno yako
@lailahumaid2011
@lailahumaid2011 5 ай бұрын
@@rayaalhabsi1725 shukran
@SalamaAli-cv6uj
@SalamaAli-cv6uj 5 ай бұрын
Thamani ya pesa si thamani ya mtu waarabu wengi japo sio wote. hawathamini mashaghala Jitambue...
@mamasalhat
@mamasalhat 5 ай бұрын
​@@SalamaAli-cv6ujasante umemaliza kila kitu ❤
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 5 ай бұрын
Ww sio Agent kweli maana izo pesa utazani unazitoa ww
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 5 ай бұрын
Hasbi allah waneema lwakil
@kilungumsabaha3891
@kilungumsabaha3891 5 ай бұрын
Sema mzaramo wangu sema mjumbe hauwawi 😂🙌 Irene from Al Mabela
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 4 ай бұрын
Mtangazaji una sauti ya mvuto ❤❤❤una sauti ya mitego
@ZainaFatma
@ZainaFatma 4 ай бұрын
Ndio maana kizanzibar kwambali kumbe ulikaa zanzibar masha Allah
@faridapandu7579
@faridapandu7579 5 ай бұрын
Kweli dada umeongea pwnt❤❤❤😂😂 tupo oman
@RabeaSaleh-np8cg
@RabeaSaleh-np8cg 5 ай бұрын
Umeongea points inshallah serekali italisikizia
@hikmatalbusaidy6566
@hikmatalbusaidy6566 4 ай бұрын
Mimi nahisi wa Tanzania wasiletwe tena oman wameizalilisha sana inabidi hizi video tuzipeleke kwa balozi na police
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 5 ай бұрын
mtangazaji napenda sana saut yako
@husna34562
@husna34562 5 ай бұрын
Mh😂😂lisaut hata halinog😂😅
@HassinaAlharthi
@HassinaAlharthi 5 ай бұрын
Wangekua Wa Oman wabaya mbona kaolewa na waoman Hana kheri wala shukrani.
@zaituniallyjuma8845
@zaituniallyjuma8845 4 ай бұрын
sio wote wabaya wagine niwazuli
@suheilabbas4861
@suheilabbas4861 4 ай бұрын
kaolewa na mu omani, wengi ambao ni wabaya ni hawa watanzania wa omani, ila mu omani og sio wengi wako hivyo. mumewe ni mzee wa kiarabu
@kadilamore802
@kadilamore802 Ай бұрын
Kwani kasema wa oman wote wabaya .?? Shida ni waarabu mfanyakazi za ndani wanamuona mtumwa
@ummohamed4404
@ummohamed4404 5 ай бұрын
لاحول ولا قوة الا بالله
@أمطارقالبحرية
@أمطارقالبحرية 11 күн бұрын
Hamtosheki Kazi roho mbaya tu
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v 5 ай бұрын
Nikweli sadakta
@sekikigosi8265
@sekikigosi8265 4 ай бұрын
Mtangazaji tunaye na tunatamba nae,unachomekea hatari nakupa mauwa yako🎉🎉🎉
@zaituniallyjuma8845
@zaituniallyjuma8845 5 ай бұрын
ndio tunakabiziwa namadamu
@faoziyaziyaa8443
@faoziyaziyaa8443 4 ай бұрын
Wewe chizi sana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 5 ай бұрын
Yaaaaan comments nyingi za hum yaaaan kina mashaghala na makadama maana wana mchamba huyu dada uwii
@mamasalhat
@mamasalhat 5 ай бұрын
Tunao muelewa huyu dada ni wachache sana mie nakuelewa na nimefuraha kuja kusema ukwlei mateso ya oman japo wapo wanao watetea ningekujua na soda ungekunywa
@mdhafsa-kx2tc
@mdhafsa-kx2tc 5 ай бұрын
Hakika alichoongea ni kweli kabisa
@mamasalhat
@mamasalhat 5 ай бұрын
@@mdhafsa-kx2tc wanao ukataa ukweli ndio wale watumwa WA koloni yaani MTU anaeleza ukweli tunayo fanyiwa wao Wana mtukana ama kweli mashaghala hawana hakili baazi ndio maana tuna zauliwa mashaghala WA tz Kwanza sie wenyewe hatupendani
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 4 ай бұрын
Jamani kaolewa lini huyo wakati alikuwa Achana hata bosi siku nyingi akawa anapiga deiwaka jamani kwani aliolewa
@lailalaila9114
@lailalaila9114 5 ай бұрын
Mie nikajua Una nyumba kumbe Una mashamba 😂😂😂 tena sio mashamba ni vichochoro 😂😂😂 kujichoresha tu 😅😅😅
@peninashungu6633
@peninashungu6633 5 ай бұрын
HIZI NDO SABABU ZA SINGLE MOTHER KWENDA MBALI NA WATT ATA WAFANYA WENGI WA OMAN AU NJE YA NCHI WANAENDA KUTAFUTIA WATT ALAFU BABA WATT YUPO TU ANA ZUNGUSHA SURUALI SERIKAL YA TZ WAJIBISHA WA BABA WANAOKIMBIA MAJUKUM
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 5 ай бұрын
Endeleeni kupita na mabwana za watu mkiuliwa tutatype R.I.P tukisonga😂😂
@faumarley5707
@faumarley5707 3 ай бұрын
Wazaifu na roho mbaya ndo wana jifanya awajaelewa wakosa future utatumwa adi ufe ..roho mbaya tu kuogaa aaaah
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 5 ай бұрын
Wachanipande huku shida raha joto barid nimalize gorofa langu nipate kururi kwetu 🇴🇲
@majabiali973
@majabiali973 5 ай бұрын
Ukitakaa. Msada ubalozini ukubali kuwekwa chupi upande ,kma hutaki ndyi yanatukuta yakukosa misadaa
@Mrs.Mumewangu
@Mrs.Mumewangu 4 ай бұрын
Wanaochukua wanaume za watu, wanakua na hio nia tayari wanapotoka nyumbani... Ovyoooo sana
@Naw89
@Naw89 5 ай бұрын
Nakushauri tu usimpigie mumeo pia jitahidi kumficha usimnadi sana mana hasadi nazo hazipo mbali Mtegemee Allah usivuke mipaka mpendwa
@SalamaAli-cv6uj
@SalamaAli-cv6uj 5 ай бұрын
Kabisa apo umemshauri kitu, mahasidi upepo wapo umu mitandaoni.. comment zao zinajulikana..
@jarsjam8894
@jarsjam8894 5 ай бұрын
Hilo la kuiba waume za watu ndili mnaloendea ughaibuni
@RahmaKasawa-cn2dt
@RahmaKasawa-cn2dt 5 ай бұрын
Mume haibiwi 😂😂yeye mwenyewe ndo anataka
@aishajuma7813
@aishajuma7813 5 ай бұрын
Waambie ukweli maana atuna msada wwte
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v 5 ай бұрын
Wewe Dada kama mimi tunaendana Sanaa mimi nakumpenda nataka urafiki na wewe sio utani mimi sasa nipo omani
@majabiali973
@majabiali973 5 ай бұрын
Pole mwaya yaninikuta na mm ayo heee nilirud kwet chizii ,mke mwenzaa mmakunduchii heeee nilitaka kufaa mama
@AmnaAlnahdi
@AmnaAlnahdi 5 ай бұрын
Ulienda kufanya kazi kwa hiyo utandike kitanda cha boss au ufue au chochote kinachoitwa kazi ya nyumba unalipwa mshahara acheni upumbavu na uwongo daima mnashtaki aliniachia nioshe vyombo na kusafisha na nini nae kaa anastarehe eboo na kakuleta kakulipia na anakulipa mshahara na unataka akusaidie kazi pia 😅
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 4 ай бұрын
Huyo jamani haja olewa omani na alikuwa akipiga deiwaka😂😂😂 Jina lake nalificha
@guugug9gt829
@guugug9gt829 5 ай бұрын
Ahsant dadazanini Maneno sahihiiiiiii 😅😅😅😅😅
@HassinaAlharthi
@HassinaAlharthi 5 ай бұрын
Wewe Dada jaribu kua kweli mbona husemi udhaifu wako shida ngapi huko Tz upo.
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 5 ай бұрын
Asiyependa apite kushoto au tuachie sisi tunaopendq stories
@Muslim-gs6rn
@Muslim-gs6rn 5 ай бұрын
Kumekucha😮
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Acha nipambane nimebakiza dirixha mbili ili ni enjoy
@kamarhelo
@kamarhelo 5 ай бұрын
Pambana mama mtu hata sisi tupo huku
@NasraKingu
@NasraKingu 5 ай бұрын
Ubalozi amna msaaada wowote jaman
@wastarangayonga8562
@wastarangayonga8562 5 ай бұрын
Wazaram mauwa yao
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 4 ай бұрын
Huyu dada mwehu
@mwanaibrahim2444
@mwanaibrahim2444 5 ай бұрын
Shika dabuyako wewe yangekushinda usinge kaa miaka4 na mimbajuu mpyuu
@RahmaKasawa-cn2dt
@RahmaKasawa-cn2dt 5 ай бұрын
😂😂kwani hujaelewa au
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 4 ай бұрын
Mwehu huyu anaropokwa tu
@fatimakabuei179
@fatimakabuei179 5 ай бұрын
Mwambie huyo dada mm nataka namba ya ajenti nahitaji mume oman
@SabiamSuleimanmtwalo
@SabiamSuleimanmtwalo 5 ай бұрын
Nimependa hap mwisho kipenz umemalizia utamu san
@nawwalally3640
@nawwalally3640 5 ай бұрын
mume tunaye na tuna tamba naye👌💃💃💃💃😂😂😂😂😂
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 5 ай бұрын
Kabisa kabisa
@mdhafsa-kx2tc
@mdhafsa-kx2tc 5 ай бұрын
Kabisaaaaa ❤❤❤
@bikeymmaka2589
@bikeymmaka2589 5 ай бұрын
Mm najua an nyumbn kimbe kiwanja .
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 5 ай бұрын
Kiwanja nacho Allahamdulilah sio mbaya
@nawwalally3640
@nawwalally3640 5 ай бұрын
nyumba ata kobe anayo wewe tz unanyumba??
@bikeymmaka2589
@bikeymmaka2589 5 ай бұрын
N kam Sina nisende ongea fal wewe
@OfficialA83640
@OfficialA83640 5 ай бұрын
Eeh huyu ana endelea ana lipwa sh ngp kwani kah Global mmeamua kumchokonoa huyu kiumbe😂😂😂😂😂
@fatmamdihiri4164
@fatmamdihiri4164 5 ай бұрын
😂 😂 😂 Umeonaee
@princessmakwega2444
@princessmakwega2444 5 ай бұрын
😂😂😂😂Yani acha tu akili zimeishia hammamu
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 5 ай бұрын
Kwenyeuchokoz wako vzr😂😂😂😂
@kilungumsabaha3891
@kilungumsabaha3891 5 ай бұрын
Mbona kupita nae hahahahahaaa 🤣🙌
@ZulfaZulfa-yr7nd
@ZulfaZulfa-yr7nd 5 ай бұрын
Jamani acheni kumkandiya na nyinyi tafuteni baati zinu kama arikua ana danga na wwe kadange upate mume uworew
@ابوذر-د8ك
@ابوذر-د8ك 5 ай бұрын
Muongo mmoja ww mimi nieoa Morogoro na mke wangu ninae nyumbanu Zanzibar nawala hakubagukiwa weka sawa maneno yako ww
@rayahamisi118
@rayahamisi118 5 ай бұрын
Kwani kakulia nn chako uyu dada
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 5 ай бұрын
​@@rayahamisi118 Haswaa muulize huyo wazanzibar wabaguzi sana tu
@SalamaAli-cv6uj
@SalamaAli-cv6uj 5 ай бұрын
Hii ya ubaguzi zanzibar ni itakua ni kweli nshasikia kesi nyingi sana kuhusu hilo yani mwanaume wa zanzibar Akio mke bara wengi inakua mtiani kwa Familia uko zz nishaona mmoja ameoa mke bara wazazi wake wanamwambia amuache haraka, na akaoe uko washamchagulia mke..
@mamasalhat
@mamasalhat 5 ай бұрын
Usikate bwana weeh WA Zanzibar wabaguzi mashahidi kwa hili tupo wengi toka hapa unakatakaa ukweli wakati unajulikana😏
@SabiamSuleimanmtwalo
@SabiamSuleimanmtwalo 5 ай бұрын
We Iyo anayoongea Ni kweli kabisa wazanzibar ndio zao yaan sio utani ameongea ukweli kabisa
@wastarangayonga8562
@wastarangayonga8562 5 ай бұрын
Ukweli umesema ila usisubutu kurudi😂😂😂wanakufanya supu
@mwanaibrahim2444
@mwanaibrahim2444 5 ай бұрын
Hayo mahujiano yakifika serekali ya omani yatakuponza shoga
@TatuSaid-lq2zh
@TatuSaid-lq2zh 5 ай бұрын
Wanaosema wewe muongo wanajilas ila umesema kwel tupuu
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 5 ай бұрын
Shoga nawe simuolewaji mtafutahi tu,mh pambana sasa utaona bahati yako
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 4 ай бұрын
Huyu dada kwanza nauliza akarudi lini pili huyu alikuwa HANA bosi balı alikuwa anapiga deiwaka. Mwenyewe anamdomo tena alikuwa akiniabia hapa nipo piga deiwaka wakinizingua pia naondoka je akarudi lini alikuwa HANA bosi huyo dada ni nakama MWEZİ tuu sijaongea nae
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 5 ай бұрын
Mume anae na anatamba nae 😂😂😂nalo neno.
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 5 ай бұрын
Hapokwenye ubaloz swadakta hawanakaz yoyotehuku wanakula mishaharatu
@salehothman6144
@salehothman6144 5 ай бұрын
Swala sio kuuziwa talaka ukitaka kuachwa kisheria unatakiwa urejeshe mahari ,sio kutaka kuuziwa talaka!
@Zubaiba
@Zubaiba 5 ай бұрын
Wa oman wagekuwa wabaya vp umeolewa na muoman?ww dd acha kiki za kishetani,
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 4 ай бұрын
Mm nitabaki Tanzania uarabuni mateso nasikia kufira wafanyakazi uko watoto wa mabosi watoto zao wakiume wakirudi wanakufira kuna mtu alituadisia he alichofanyiwa huko dubai
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 4 ай бұрын
😂😂😂 Jamn
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 5 ай бұрын
Makubwa
@zaituniallyjuma8845
@zaituniallyjuma8845 5 ай бұрын
wanaume zao watupenda sisi watanzania wamoto niwatamu
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 5 ай бұрын
Jipumbaze akili bs
@petermanala6138
@petermanala6138 5 ай бұрын
Mmmmmmhh mmefata kaz au utam wa maboss
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 5 ай бұрын
@@petermanala6138 ndio hpo mmeona unajidhihirisha wazi na wala hawatak bs wale wazee ndio waangukia
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 5 ай бұрын
Manina subiri ukifumaniwa utamu utakatika😂😂😂😂😂😂😂😂
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 4 ай бұрын
😂😂una ujinga sana 😂😂sisubutuu kifunuliwa na Boss Wang
@HameedaHh-y5y
@HameedaHh-y5y 5 ай бұрын
Swalii nzur kabsa ulomuulizaaa kuhusuu damu inachemkaaa
@saidijuma5424
@saidijuma5424 5 ай бұрын
Huyo ndio wale wa rial 2 huku😂😂😂
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 5 ай бұрын
Dada nimekupenda sana,ukovizuri ,unajibu vizu wa dada mjifunze,dada anaongea pointi,sana kaka fabi tunashukuru kutuletea huyu dada,,mimi binafs nachukua yakwangu, hapo,
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 5 ай бұрын
Nimempenda sana saaana huyu binti kwani anajiamini mnnnooo. Safiiii❤❤❤❤❤
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 5 ай бұрын
Ufupi umeniongezea muda wa kuishi sbb umenipa furaha sana
@Naw89
@Naw89 5 ай бұрын
Ubalozi wanalipwa na maboss ukienda pale husikilizwi watachukua na chemba na boss wanapewa pesa unalidishwa kwa boss Hatari yake unaweza pigwa na wao wakatulia kama maji
@YumnaBurhan-q6h
@YumnaBurhan-q6h 11 күн бұрын
Nikwel wake wa huku hawawashuhulikii waume zao
@OmanOman-fr5hl
@OmanOman-fr5hl 5 ай бұрын
Kahaba mkubwa ww nyoo wamikoseya wangikufnga jela hta miyaka ufie oman ndo ungilijua jiji pumbavu mtu mzima ovyo nyooo ajuza ulopevuka
@SalamaAli-cv6uj
@SalamaAli-cv6uj 5 ай бұрын
Kahaba haolewi.. uyu kaolewa.. Na ilikua afungwe miaka mpaka afie jela kwa kosa lipi tujuze? Alafu Ajuza kakuzalia mamaako??
@Mariammwanga-xv2gx
@Mariammwanga-xv2gx 5 ай бұрын
Chuki itamuuwa kabisa ​@@SalamaAli-cv6uj
@Mariammwanga-xv2gx
@Mariammwanga-xv2gx 5 ай бұрын
Dua ya kuku iyo kahaba mwenyewe una unalo lijua kima wewe
@SabiamSuleimanmtwalo
@SabiamSuleimanmtwalo 5 ай бұрын
We kweli mkund kuwaka kweli yaan unamuombea mwenzak afie jera fala kweli we Kuna kibuy san dua la kuku ILO alimpat mwew fala
@liljammacha7806
@liljammacha7806 5 ай бұрын
Mbn unamtukana mtu ht humjui??
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 5 ай бұрын
😂😂😂😂wasichana wa kitanzania mnatia aibu sasa ww si ulikuja fanya kazi mume wa Mtu wamtaka wa nini bora mfungiwe tu mkae kwenu
@aishajuma7813
@aishajuma7813 5 ай бұрын
Kabisa ndugu yangu uku akuna wema
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 5 ай бұрын
Wema uko nchi gn
@petermanala6138
@petermanala6138 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂wema uko Tz na sepetu
@sygtamks1643
@sygtamks1643 Ай бұрын
Ndio wanavyo tulipa wanahisi wanatussidia wajinga sana😢
@ShukurMkan
@ShukurMkan Ай бұрын
Mwenzio nimekoma nimemsaidia mtu na Leo ht mawasiliano akuna na kuambiwa Nina UTI na yupo na mwanamke mwingine tanga
@songombingo108
@songombingo108 5 ай бұрын
Mdangaji huyu katuchosha
@SabiamSuleimanmtwalo
@SabiamSuleimanmtwalo 5 ай бұрын
Km we unavyodanga Kwa liar moja maku
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 5 ай бұрын
Upita nae waarabu watapita na wewe uko si Tanzania
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 5 ай бұрын
WANAWAKE WENGI WA KIOMANI HAWAJITAMBUI KAMA WAPO NDOANI....UNAKUTA SHAGHALA ANAFANYA HATA LINALOMUHUSU MADAM ULIFANYE WEW....WAJIREKEBISHE KWA KWELI... LAAH ....SIVYO ..WAUME ZAO WATABEBWA NA SHAGHALA 📌✔️
@saudalilingani9264
@saudalilingani9264 5 ай бұрын
Na wewe nenda karoge
@lenniefei6710
@lenniefei6710 5 ай бұрын
Wanawake wakiOmani hawajitambui katika ndoa kazi yao kubwa kujirembesha na kwenda shopping katika Malls kila jioni.....Waume zao wanacharuka sana !
@KhadijaDija-ir2hq
@KhadijaDija-ir2hq 5 ай бұрын
Kuangalia TV 'simu 'na kula😅😅😅lkn ukiingia uko vyumbani kwa wanandoa looh ! Usijesema uingie vyooni pooo na wanavyojifanya wanajua usafi sasa hawana lolote
@lenniefei6710
@lenniefei6710 5 ай бұрын
@@KhadijaDija-ir2hq 🤣🤣🤣🤣....Bora wajirekebishe la sivyo Waume watanyakuliwa na madada wa kazi
@aby21111
@aby21111 5 ай бұрын
Machawi wewe naroga marabu.
@HusnahMaulid-wi8dl
@HusnahMaulid-wi8dl 5 ай бұрын
😂 weeeee
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 5 ай бұрын
We dada ebu tulia bn unatuchosha bn ww ushamaliza manukumu yk uku acha ss tupambane s
@husnathabiti4114
@husnathabiti4114 5 ай бұрын
Kwakwel
@Muslim-gs6rn
@Muslim-gs6rn 5 ай бұрын
Hatar 😂 nanusu😂😂
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 5 ай бұрын
Hyo mumewe akiona hv kwa waarabu mh asahau kuwa nae
@salmafrancis6689
@salmafrancis6689 5 ай бұрын
Kwani siupite Tu maneno yanini ujalazimishwa kusikiliza
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 5 ай бұрын
Kama huyawezi pita huko
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 5 ай бұрын
Boss gani atamtaka andunje kibabu kimejiokotea 😂
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 26 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 118 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 41 МЛН
Shujaa aliyelala chumba cha Idi Amin wa Uganda  aeleza mazito
12:25
Mwananchi Digital
Рет қаралды 138 М.
MATESO YA SAUDI ARABIA || UHALISIA
31:00
MBCI TV OFFICIAL
Рет қаралды 16 М.
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26